Ni kuzuri lakini ubaya wa Nai ni vile vitongoji ambavyo vimetelekezwa na vikaaki na miundombinu chakavu kwa mfano mabomba yaliyopasuka, majitaka kuongezeka kwenye sehemu kadha wa kadha na makwekwe ya takataka kulimbikiza. Kwahivyo kama halmashauri ya mji ikijumuika kuarabatisha sehemu hizi, kutakuwa poa sana.
Mtu akiona hii comment yako atafkiria umetoka nchi ambayo imestawi kumbe umetoka hapa kwa ujamaa Republic nchi ambayo imejaza maskini wake ndio omba omba kwa miji yetu mikuu ya nairobi na mombasa fagia kwenu kaka nairobi sio ligi yako
And it's about to become even better.
Megacity?
Better than some European capitals
Wow. Africa is the future. We have unlimited potential.
Africa is a future❤ that
Flags
Nairobi looks better than Prague
Wow. Great to hear that. Africa is rising.
You can't compare old city like Prague with relatively new Nairobi.
Ni kuzuri lakini ubaya wa Nai ni vile vitongoji ambavyo vimetelekezwa na vikaaki na miundombinu chakavu kwa mfano mabomba yaliyopasuka, majitaka kuongezeka kwenye sehemu kadha wa kadha na makwekwe ya takataka kulimbikiza. Kwahivyo kama halmashauri ya mji ikijumuika kuarabatisha sehemu hizi, kutakuwa poa sana.
@@dylankanyubi3700 Huu mradi wa housing project unaeza kuja kubadilisha hivyo vitongoji. Things will improve with time.
@@afrihensionexactly..
@@afrihensionexactly
Mtu akiona hii comment yako atafkiria umetoka nchi ambayo imestawi kumbe umetoka hapa kwa ujamaa Republic nchi ambayo imejaza maskini wake ndio omba omba kwa miji yetu mikuu ya nairobi na mombasa fagia kwenu kaka nairobi sio ligi yako
Nipe mji mmoja duniani ambapo hapana vitongoji duni? taka ni shuguli ya siku baada ya siku hakuna namna ya ku hakikisha usafi kila dakika kila siku!