Ujerumani ilivyomwaga mabilioni ya fedha kununua mfumo wa ulinzi wa Arrow 3 kutoka Israel

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 169

  • @josephrichard241
    @josephrichard241 21 годину тому +5

    hongereni sana wachambuzi na ubunifu wa kudeal na current situation zilizopo dunia

  • @SamwelMartin-h7c
    @SamwelMartin-h7c 21 годину тому +22

    Kipimo pekee cha mfumo bora ni wa ulinzi ni aingie vita na Russsia tuijaribu na ORESHNIK

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 21 годину тому +5

      😂😂😂😂
      Ngoja wayahudi WEUSI waje kuona comment yako

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 21 годину тому +1

      Kweli

    • @ChristaSoko-v4v
      @ChristaSoko-v4v 21 годину тому +5

      Oreshnik Ukraine walisema wamepigwa na kitu wasichokijua

    • @JosephAmos-z4g
      @JosephAmos-z4g 20 годин тому +1

      ​@Christa😅😅😅Soko-v4v

    • @ThomasKeya-z1p
      @ThomasKeya-z1p 20 годин тому +2

      Orishniki baba Yao itpigwa Kwa spidi ya ajabu

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 години тому +1

    Ujermani ni mtu wa pili kumsapoti na kumpa silaha mwisrael.ukipenda kutetea utspoteza uwezo wako.

  • @georgemasumbigana7434
    @georgemasumbigana7434 18 годин тому +5

    Dj sma awezi kuongelea hizi technologies 😂

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 17 годин тому

      Hahahhah,,,atakwambia ni mfumo dhaifu

    • @minicooper9642
      @minicooper9642 16 годин тому +1

      Dhaifu kweli si unaona Iran kapiga mara mbili hazibollah kapiga mpaka makazi ya waziri mkuu

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 10 годин тому

      Kwani yy si alisema ni dhaifu kutokana na kushindwa kwake kuzuia mashambulizi

    • @AbdallahSumbinyo-ln9qi
      @AbdallahSumbinyo-ln9qi 10 годин тому

      @@Williamstozzo ni dhaifu kweli kwani uongo braza? Tar 1 October si uliona makombora ya ballistic haypersonic missile ya irani yalivyokuwa yanashuka bila kikwazo chochote! Na kupiga

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 7 годин тому

      Ndio ndugu,,, kwa iwe wazi hakuna mfumo wowote wa ulinzi unaofanya kazi 100%,,,,hata s-500 ya Russian ni Bora sana lakini drone na makombora ya Ukrainian yanapita..huu mfumo wa arrow pia haudungui Kila kombora una mifumo ya kuweza kuangalia hatari ya muanguko au mahali ambapo kombora linaweza kutua,,,ndo mana Kuna mengi yanaweza kupenya lakini unaangalia yamedondokea wapi,...kwa hiyo huo mfumo haulipui Kila kombora ...
      Lakini pia arrow system inadungua makombora anga ya juu zaidi ,,na pia Kuna umbali ambao ukirusha rada huwa zinashindwa kuona ndo mana israel wamezurika zaidi na makombora ya hezbollah kuliko ya Iran,ndo mana israel wanamtaka hezbollah asogee mbali na mpaka wao

  • @MOREDI2024
    @MOREDI2024 6 годин тому

    Tatizo la urusi wanapenda sana kujionesha badala ya kutumia uwezo wao kumaliza vita.

  • @Viva01Bigs-r7f
    @Viva01Bigs-r7f 22 години тому +5

    Yani Nchi za Europe zooote zinajikinga zidi ya Mr PUTIN Wallahi Nacheka Ila sijuwi nachka nini VIVA PUTIN

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 21 годину тому +16

    HAMNA KITU HAPO 😂😂😂
    HUO NDIO ULE ULIOSHINDWA KUZUIA MAKOMBORA NA DRONE ZA HEZBOLLAH ZINAENDA HADI KWENYE NYUMBA YA NETANYAHU KUMSAKA 😂😂😂😂😂

    • @JosephAmos-z4g
      @JosephAmos-z4g 20 годин тому

      Waongo Tu

    • @dasilvajr9647
      @dasilvajr9647 20 годин тому

      Kumbuka changamoto ya drones iko kote hata mrusi mwenyewe alipitia uzoefu huo, kupigwa na ma-drones pamoja na mifumo yake yote.

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 20 годин тому +1

      Arrow 3 hauzuii drone Bali ballistic missile

    • @dasilvajr9647
      @dasilvajr9647 19 годин тому

      @@jonasmrema8550 kuna watu wanachanganya mafaili hapo!

    • @innocentbitana
      @innocentbitana 19 годин тому

      Arrow 3 unazuia Ballistic missile sio makombona yamasafa mafupi na drones

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 19 годин тому +1

    Tanzania hatuwezi kutengeneza.kutunguws huwo Aro 3 Aro 2. Tut

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 19 годин тому

      Nasisi tuanze tuwe pamoja .wanasayansi wanazaliwa makundi mawili.ccm wanazaa watoto chadema wanazaa watot
      wazalendo

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 22 години тому +7

    Mfumo huu sibumeshindwa kuzuia mabomu ya iran hapo hapo wanataka vita na Russia ambae kasema hawawezi mzuia

    • @AntoniWerema
      @AntoniWerema 22 години тому

      Mmmh! Israel isingekuwepo

    • @pinielefraem4159
      @pinielefraem4159 21 годину тому

      Izrael angekua dhaifu wangeshampoteza

    • @abdulrazack9577
      @abdulrazack9577 21 годину тому

      @@pinielefraem4159 ndio maana marekani yupo kupigana kwa niaba ya Israeli bila marekani angekuwa kashachapika vibaya mno

    • @نجمهجمعه-غ8ق
      @نجمهجمعه-غ8ق 21 годину тому

      @@pinielefraem4159 usijipe moyo Israel ni dhaifu ila inabebwa na mataifa makubwa tu

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 21 годину тому +1

      HUO UMESHINDWA KUZUIA MAKOMBORA NA DRONE ZA HEZBOLLAH ZINAENDA HADI KWENYE NYUMBA YA NETANYAHU KUMSAKA 😂😂😂😂

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 22 години тому +3

    Mfumo bora paka uingie ulingoni

  • @ahmedymahmudu9532
    @ahmedymahmudu9532 7 годин тому

    Iyo ni mbinu ya kuisaidia pesa Israeli wanajifanya kwamba wananunua kumbe wanawapa pesa 😢

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 18 годин тому +1

    Mumgu wa israel nakupenda

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 20 годин тому +1

    Kwa nini wasipeleke THAAD kwa kuwa na marekani anayo ili wao wawe na vitu bora

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 20 годин тому +2

    Mfumo bora ni bavar 375 ya iran na S 500 ya mrusi mingine hamna kitu

    • @alhudhaify7810
      @alhudhaify7810 19 годин тому

      Hakika mn vile makombora yalivyokua yakidunguliwa ni fasta tofauti na Israel

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 22 години тому +1

    Dunia ina mambo, nchi nyingi zinakwenda vitani au kuna machafuko kama vile nchini Georgia na Korea Kusini Mungu atulinde katika nyakati hizi ngumu.

    • @zainabzanzibar1518
      @zainabzanzibar1518 20 годин тому

      Yaani umaskini hautakuwa Africa tu huko siku za usoni

    • @ce-08
      @ce-08 19 годин тому

      ​@@zainabzanzibar1518 bora na wao waonje joto la umaskini

  • @DohaQatar-w4t
    @DohaQatar-w4t 3 години тому

    Mifumo gani iyo yakusifia mikombora inaingia kila kona hadi kwa netapaka huna chakuongea tuu broo

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 20 годин тому +1

    Wanapeleka msaada kiaina ili wajerumani wasipige kelele kodi zao sio kama wamenunua

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 16 годин тому

    Pamoja dollar bilioni 3 Si mchezo💪✊️🙏

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 10 годин тому

    Tuseme ni marekani ndio kamuuzia 😊😊😊 ila mbona haya mambo yanachanganya mal waombe thard mal arrow

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 21 годину тому +4

    Ila tuache uongo bhana urusi isinge kuwepo dunia Nzima ingejisahau nakula bata tu sasa murusi anawachangamsha kuwatoa joto dunia mtizi hakuna kukaa kindezi 😂"Babaako!

    • @ZHING.Tech.
      @ZHING.Tech. 18 годин тому

      Hatari sana asee kam isinge kuwa Russia America wangesema wao ndy miungu na America ndy peponi asee

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 11 годин тому

      @ZHING.Tech. kabsa na tungekubali nakutwambia kuingia New York unatakiwa kulipa dora za kimarekani 1500😂

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula 3 години тому

      Kweli lakini hata Urusi pia mabomu yanafika vizur tu

    • @ZHING.Tech.
      @ZHING.Tech. Годину тому

      @@AFRICA_D669 🤣🤣🤣 sasa acha tuheshimiane kidogo

  • @charityshereni2275
    @charityshereni2275 10 годин тому

    Mbona hazija tunguwa kombora za Iran na zine kuwepo

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 18 годин тому +1

    masubi ajawai kukosea

  • @ZHING.Tech.
    @ZHING.Tech. 18 годин тому +3

    Hizo ni mbwe mbwe tu ili tuamini tunaka kuutest kwa kuupiga na ORESHNIK 😂😂😂

    • @suratibrahim6417
      @suratibrahim6417 12 годин тому

      😂😂😂😂😂

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 10 годин тому

      Ss wanajikinga kwa mifumo ambayo anae tak kuwapga anaijua hy tu😅😅

    • @ZHING.Tech.
      @ZHING.Tech. 8 годин тому

      @@nellymans-f1v 🤣🤣🤣

  • @OmarySwaibu-l7h
    @OmarySwaibu-l7h 6 годин тому

    German imebugi 😂😂😂 huo mfumo unashdwa kuzuia mapigo ya hzbllah iweje waununue

  • @mashachitumbo5488
    @mashachitumbo5488 7 годин тому

    Mbona hakuzuwia Ukraine ama Istrael

  • @abdulomari4932
    @abdulomari4932 22 години тому +1

    Siamini

  • @mashachitumbo5488
    @mashachitumbo5488 7 годин тому

    Huwo nihuongo

  • @yahyamgeni8903
    @yahyamgeni8903 12 годин тому

    Vipi mfumo alotengeneza iran mana tumeona israil na mmarekani baada ya kuishamnulia iran tumeona kapangua karibu ya yote😊

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 22 години тому +2

    Tanzania hatuwezi kutengeneza mifumo hii?

  • @maxozone3762
    @maxozone3762 19 годин тому +1

    Hamna lolote anga ya lsrael inapigika kama kawaida

  • @sautisevarino1656
    @sautisevarino1656 22 години тому +1

    Tupe habari kaka

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 13 годин тому

    ❤❤❤❤

  • @pascofp145
    @pascofp145 16 годин тому

    😂😂😂😂😂 mwenye mfumo wenyewe wamekandwa na iran na waudhi + ezibolaa mpaka wakaomba wa mashoga zao dhaadh

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 3 години тому

    HATA WAWE.NA.NA ARO5 WATANYOOSHWA MUIZREAL NA MIFUMONYAKE WANAMGAMBO WAMEMUHARIBU

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 20 годин тому

    Vipi ule wa Iran tumesahau?

  • @rajumrecords711
    @rajumrecords711 16 годин тому

    Mfumo gani wa arrow wakati Wenyewe wanakandamizwa Kila siku😂😂😂

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 22 години тому +1

    Itazuia kombora la oreshnik ?

    • @AbdallahSumbinyo-ln9qi
      @AbdallahSumbinyo-ln9qi 21 годину тому +1

      Hapana haiwez zuia coz lile kombora speed yake ni supersonic mara kumi ya sauti

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 20 годин тому

      ​@@AbdallahSumbinyo-ln9qiNI kama Tu s-500 ya Urussi inavyoshindwa kuzuia drones za Ukraine

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 10 годин тому

      Naona wanajichekesha hao ujeruman

  • @JuliusSenyael-ej6hg
    @JuliusSenyael-ej6hg 20 годин тому

    Nikweli walinunua ghaali ila silaha za kisasa ambazo azionekani na mifumo iii tena kumbuka juzi izbola.ilipiga pale teliavv

  • @mustwafathabiti2978
    @mustwafathabiti2978 21 годину тому

    achauongo nawew ushakaririshwa malizia kutuambia marekani ina chakula cha miaka mia

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 4 хвилини тому

    Wenyewe waisrael wanaokandwa afu ununue mataputapu Kila siku mifumo imekufa ion dome ziko wapi afu awa waisraeli waongo mtupu

  • @JosephAmos-z4g
    @JosephAmos-z4g 20 годин тому +1

    Hawa waongo 😂😂😂

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 5 годин тому

    West watakuwa na hasira na iran maana sio kwa kuwavua nguo huko kwa kiasi kikubwa soko la hil mofumo limbedorora maana tuliaminishwa vitu vya uongo na na western media kuhusu ufanisi wa hii mifumo

  • @josephrichard241
    @josephrichard241 21 годину тому

    halafu naomba pia mje kutupa series ya 4th fighters na 5th fighters hatari sana kwa sasa maana naona ni muhimu sana kuzijua

    • @AizakiPiusi
      @AizakiPiusi 3 години тому

      Mbona munashabikia kapiganeni kapiganeni bas?

  • @VicentSangwa
    @VicentSangwa 20 годин тому

    Israel ni ndogo mno ingekuwa inapigwa ingeshafutika kabisa hivyo ukweli ni kwamba mifumo yao inawalinda

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 20 годин тому

    Hasara muyahudi hana mfumo wa ulinzi ni mbwembwe tu

    • @ce-08
      @ce-08 19 годин тому

      😂 sasa ananini hata mfumo wa urusi wenyewe drone zilipenya shida ya watu weng wanaohis mfumo wa ulinz unazuia Kila ktu mda mwingine utegwa kwa range na mda mwingine kwa aina flan ya mabomu

  • @SelijusiMalambo-z2b
    @SelijusiMalambo-z2b 21 годину тому

    Hakuna kitu mkuu

  • @issamuhammedi
    @issamuhammedi 21 годину тому

    Sasa mbona makombora ya wahouth yanapiga

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 12 годин тому

    Putin kwavuruga kiasi hiki aisee!😂 Kipimo chochote bora cha ulinzi hapa Duniani kinapimwa na ORESHNIK sasa hiyo mifumo yao imepimwa [ tbs ] na nn!😂

  • @AntoniWerema
    @AntoniWerema 22 години тому +1

    Israel ina eneo dogo sana kama mifumo ingekuwa haifanyi kazi isingekuwepo, make amezungukwa na maadui.

  • @ahmadmohd3771
    @ahmadmohd3771 20 годин тому

    Politics

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 21 годину тому

    Haina lolote makombora ya iran iligonga bila kuzuiwa prpaganda

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 21 годину тому

    tushaona ubora wake 😂😂

  • @feisalkhamis9445
    @feisalkhamis9445 22 години тому +2

    huo mfumo kiboka ya ni Iran 😂😂😂😂😂😂😂

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 22 години тому

      😅😅😅😅Iran au sio

    • @SumuuKijoka
      @SumuuKijoka 22 години тому +1

      kiboko kwa nkundu wako

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 22 години тому +1

      ​@@SumuuKijokaTuma Lugha ya staha ndugu yangu, majukwaa tu haya sio sehemu ya kutolea stress

    • @feisalkhamis9445
      @feisalkhamis9445 22 години тому

      @@SumuuKijoka tatizo nini ndugu

    • @johnthesimba4764
      @johnthesimba4764 21 годину тому

      Dah we jamaa hujawahi kupendwa utotoni kwako..mbona mchungu hivo😂😂😂​@@SumuuKijoka

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 20 годин тому

    Maghariba wakiamua kuremba kitu chao utadhani ni kitu cha pekee sana tukija kwenye uhalisia unaona hamna kitu

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 19 годин тому

      Kaka magharbi ndiyo vilanja wa siasa za uchumi na kijamii nadhan hilo halina ubishi

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 10 годин тому

      ​@@lusajomwaipopo5042ni vilanja ambao wajip sifa tu wenyew ila sio za kuwafaa

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 22 години тому

    Ujerumani ni kiboko ya magaid wote 😅😅😅

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 22 години тому

      Ndio kina nani hao 😂?

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 22 години тому +1

    Halafu unambie ni technology gani Iran na nchi za kiarabu zimewahi kuvumbua😂😂😂😂...

    • @SelemaniMsuya-q8n
      @SelemaniMsuya-q8n 22 години тому +1

      Wakati Iran kashambulia Israel ulikua wapi? Drone mpaka kwa Netanyahu?

    • @SelemaniMsuya-q8n
      @SelemaniMsuya-q8n 22 години тому +1

      Iran umeona Drone zake mpaka kwa Netanyahu na mbona wanapigika au umeanza leo

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 21 годину тому +1

      SI HUO MFUMO ULISHINDWA KUZUIA MAKOMBORA NA DRONE ZA HEZBOLLAH ZINAENDA HADI KWENYE NYUMBA YA NETANYAHU KUMSAKA CHOONI AKIKATA GOGO 😂😂😂😂

    • @mustwafathabiti2978
      @mustwafathabiti2978 21 годину тому +1

      yani udini umekukaa kumayo

    • @JosephineAtieno-y9q
      @JosephineAtieno-y9q 20 годин тому

      Lakini hakufa ila netanyahu akiamua kumuua ayatollah ni dakika mbili tu​@@SelemaniMsuya-q8n

  • @razackndeze-pv5bm
    @razackndeze-pv5bm 20 годин тому

    SnS bwana, yaani kwa sababu wameuziwa na Marekani ndio sababu ya kuwa mfumo bora?!? Nonsense. Kwani umeshaiona mifumo ya kujilinda ya South_Korea , mifumo ya warusi, wa Iran na mifumo ya kujilinda ya Cuba. Taabu yenu nyinyi hawa mnapenda kunukuu Kampeni za viombo via magharibi (bias media ) bila kuchambua na kufanya utafiti .

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 20 годин тому +1

      Unacho ongea ni sahihi hawa jamaa hawana uwezo wa kupima habar na kuifanyia tafakar wanyew hutoa habar Kama ilivyo hata Kama haina ukweli haswa habar zinazo tolewa na vyombo vya magharibi hua wanasifia tu! bila kufanya upembuzi

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 10 годин тому

      ​@@kamanapomo7029habar yenyew imetolewa ndio n wameinukuu tu ila hawajaichambua naomb tukutn GPS y ijumatat ijayo

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 21 годину тому +1

    Propaganda za kuipaisha Israel sasa kama huo ni bora ule wa THAAD NI WAKAZ GANI

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 10 годин тому

      Hilo ndilo swali ambalo wanafaa watujib maan waliiomb thaad iend kwao kuwa ndio mfumo bora zaid y yot pal israel.mm nahs hap wanatk kuip shavu israel kwmb n bora kwny mifumo

  • @KhalfanShaban-x4x
    @KhalfanShaban-x4x 22 години тому

    Mbona imetuangwa na Hezbollah huo ubora umeonekana kwenye vita Gani?

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 22 години тому

      Hawajawai kuitumia hii...huwa wanatumia Ile ya Iron dome

    • @JosephineAtieno-y9q
      @JosephineAtieno-y9q 21 годину тому

      Wewe makombora ya hezbollah wanatumia iron dome bhana

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 9 годин тому

    Sasa kama unafanya kazi, uzur si ungali zuia missile za Iran?

  • @josephpeter8511
    @josephpeter8511 16 годин тому

    Mungu ni Mkuu Sana!! ebu angalia!! ujerumani wakati fulani waliwaua Waizrael. baada ya miaka 70 wanawaizia Technogia !! Mungu wa Israel ni Mkuu sana.

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 10 годин тому

      Hapa wanajidanganya sana tu maana kam israel yenyew iliomba thaad kutoka marekani na ndio mfumo bora wanao usema wenyew kuliko mingn yot,kwann wasinunie thaad hy ambay ni bora zaid wanaend kunnua arrow??au hap ndio kubeban 2

    • @josephpeter8511
      @josephpeter8511 9 годин тому

      @nellymans-f1v aukuomba Marekani ilimpa mwenyewe. ila pia wanascience. waona kunaufanisi. ilkiwa unafanyakazi kwapamoja.

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 22 години тому

    Mbona makombora ya Iran yalifika katika malengo yake

    • @ShedrackShedrack-c2b
      @ShedrackShedrack-c2b 21 годину тому

      Unasema ww na waislamu wenzake

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 21 годину тому

      @@ShedrackShedrack-c2b Mimi sio muislam kama macho yangu yalicho kiona nikupiga aridhin basi yalifika uongo mbaya

    • @JosephineAtieno-y9q
      @JosephineAtieno-y9q 21 годину тому

      Wewe kichaaa iran alirusha makombora180 lakini zilifika 20 tu kwahiyo zingin zilikuwaje

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 20 годин тому

      @JosephineAtieno-y9q siina nguvu ilibidi yamezwe yote kama urusi inavyo yameza

    • @JosephineAtieno-y9q
      @JosephineAtieno-y9q 20 годин тому

      @AFRICA_D669 acha ushabiki sasa urusi huwa anapigika mbona juzi kati tu oil refinery ilipigwa

  • @JeanMalilo
    @JeanMalilo 22 години тому

    iron dome ni kimono bro tafuta video zake uone inavyo fanya kazi, ni balaa

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 22 години тому

    God bless Israeli🇮🇱🇮🇱🇮🇱

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 22 години тому +1

    Israil wenyewe makombora ya hizbullah na wahuthi yanapenya .alafu unasema mfumo bora duniani.hahaha ujerumani aepigwa

    • @saumuaziz4482
      @saumuaziz4482 22 години тому

      Ua wanatumia iron dome hawajawai tumia hii...pengine ndo itakua replacement ya iron dome

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 22 години тому +1

      Huwezi elewa...ni kombora ngapi za Huthis huwa zinafika targets zao..? na ni ngapi huwa zinazuiliwa

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 22 години тому

      @@saumuaziz4482 ndugu israil kwa anavo umiwa akipigwa lazima angaliutumia lakin marekani alipoona mwanangu anapigwa akapeleka thadi nayo makombora yamepenya

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 22 години тому

      @@omondiowino7875 makombora ya wahuthi yanaingia manake yeye huwaga anapiga moja alafu akatulia na huwaga anatumia hypasonic au balestik na wao waisrail huwaga wanasema yameingia. Hizbullah Leo amepiga kituo cha cha jeshi cha israil na mfumo huo upo. Haufai ndugu

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 21 годину тому

      Wamewai i​ron done haiwezi kutungua ballistic missles@@saumuaziz4482

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 20 годин тому +1

    SASAIVI UNATANGAZA KWA ADABU SANA KAKA, YULE NASRALLAH MKUU WA HESBOLA ULOKUAGA UNAMSIFIA KWAMBA MAREKANI INAMSAKA MIAKA MINGI YUPO KABURINI ANALIWA NA FUNZA WALA SIYO MARUNGU KAMA MNAVOSEMAGA WAISLAM, MAANA ALIONGEA SHIT KUHUSU ISRAEL ALIPUMZIKA SIKU MOJA TU ILA SIKU YA TATU MAPEMA SANA KWA ALLAH 😂😂😂

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 10 годин тому

      Aah kufa kwa himamu sio mwisho wa ibada elewa tena kufa kwa himamu sio mwisho wa ibada..