Roma Introduced Darasa On The Stage ( SIKATI TAMAA)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024
  • "Dar live Concert" 01/04/2012
    " NANI MKALI"
    Roma Mkatoliki VS Izzo Bizness.

КОМЕНТАРІ • 40

  • @jmsmarttv.7646
    @jmsmarttv.7646 2 роки тому +19

    Moja kati ya wasanii Bora Zaid kuwahi tokea kwenye nchi Yetu, Namkubari sana kwa kazi ya Kuelimisha JAMII, Kupitia Mziki wakee Bora wa Hip-hop. Napenda harakati zakee na kufichua Rushwa , na ukosoaji . Kila mtuu alijua nni kinaendelea ndani ya nchi yake wakati huo anatoa Ngoma zake n kuliwa na uhuru wa kusikilizwa kwa maoni ya watu wengine. Sikiiliza Ngoma kama hii NDO TANZANIA, IKULU NI MAHALI PATAKATIFU, ROMA 2030. HUYU NDIYE MSANII BORA KWENYE MAISHA YANGU NI MZALENDO WA KWELI NA NINATAMANI ANGEENDELEA KUWEPO TZ. DAAAAH NAUMIA SANAAA KWA ALIYO PITIA . MUNGU NI MWEMA SIK ZOTE. ATAENDELEA KUKUPIGANIA # ROMA MKATORIKI#. WEWE NI BORA SANAA.

  • @ayebarealexander8778
    @ayebarealexander8778 2 роки тому +5

    Viva Roma Darassa nawakubali pia kutoka hapa jirani UG. Nyinyi sio size zao🙌😊🙌🎵

  • @Dogoreeser-officiall
    @Dogoreeser-officiall 2 роки тому +1

    Vivaaa roma Rudi bongo wasikutishe nakukubali sana natunakupenda wa Tanzania nampangowa kuwa msaniimkubwa nifanyenini

  • @MkallaSalim
    @MkallaSalim Рік тому

    Daaah,,, 😂😂Roma ako bize sana hadi suluali inashuka chini na hajui,, aki daaah kumbe michakato gharama mbaya sana.. sometimes unawezabaki uchi kwa kusaka hela..

  • @justinmagonze4089
    @justinmagonze4089 2 роки тому +1

    Roma toa nyimbo mzee

  • @KenzoVEVO
    @KenzoVEVO Рік тому +1

    Maish yap ili tuish nakifo kipo ili tufe maish nizawadi naroma nizawadi yawataanzania

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому

    Uyu Jamaa Siku Moja Nilikaa Na Kutulia Nilimsikiliza Sana Kwa Umakini Mpaka Nikasema Sijui Jamaa Katokea Sayali Gani Uyu Mana Anajua Anajua Zaidi

  • @Evodmedia
    @Evodmedia Рік тому

    Wasanii Bora Roma huwezi muacha

  • @batterylow0.57
    @batterylow0.57 2 роки тому +2

    Aluta continue

  • @stevenwimbe3113
    @stevenwimbe3113 Рік тому

    Romaromaroma nakupenda sana

  • @salehehassan3665
    @salehehassan3665 2 роки тому +2

    Darassa we used to love.

  • @tavannkh
    @tavannkh Рік тому +1

    wow the same vanda in Cambodia he is reaper

  • @MR_NONAME_TZ
    @MR_NONAME_TZ 2 роки тому

    safi Sana mkato utambulisho WA kizazi darasa Kwenye map,,,, kiwalani Kwenye MAp ,,,, Tanga kitambo umeiweka kwa map,,,,,,

  • @wilsonkwizera6170
    @wilsonkwizera6170 2 роки тому

    Nkubali mzee poa

  • @simbafans951
    @simbafans951 2 роки тому +1

    Siku hiyo sipika zilikuwa zinakolomaa

  • @adamdemarch5565
    @adamdemarch5565 2 роки тому +1

    Vivaaaa Tanga Boy

  • @muhindokisalya8079
    @muhindokisalya8079 2 роки тому +1

    Vraiment courage

  • @wingstarmsanii9862
    @wingstarmsanii9862 2 роки тому +1

    Roma wewe ni jeshi

  • @TheAlesry
    @TheAlesry 2 роки тому

    CMG for life Darrasa mtu mbaya

  • @mengodmengo1645
    @mengodmengo1645 2 роки тому

    Kali sana wakuu

  • @shedrackathanasio8001
    @shedrackathanasio8001 2 роки тому

    We nawe toa ngoma tushachok siye

  • @tanzanianboy9983
    @tanzanianboy9983 2 роки тому +1

    Viva roma

  • @officialmumu
    @officialmumu 2 роки тому +1

    𝓡𝓸𝓶𝓪 𝓷𝓪𝓴𝓾𝓫𝓪𝓵𝓲 𝓴𝓪𝔃𝓲 𝔂𝓪𝓴𝓸 𝓴𝓪𝓴𝓪

  • @farijalimussa2592
    @farijalimussa2592 2 роки тому

    Keep it hip hop baddest combination on the stage

  • @patrickPMP
    @patrickPMP 2 роки тому +1

    Wow 🔥🔥🔥🔥🔥🔥#cairnsdirector

  • @ZABNICE
    @ZABNICE 2 роки тому

    Roma 🔥, kutoka 254

  • @sheddymusiq7811
    @sheddymusiq7811 2 роки тому

    Hatareee hii🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @luismabanda4876
    @luismabanda4876 Рік тому

    Bado tunaikubari🇲🇿🇹🇿🇲🇿 for life

  • @ramadhanimtambo7858
    @ramadhanimtambo7858 2 роки тому

    Hahaha kitambo iko sio

  • @MinoonlineTV
    @MinoonlineTV 2 роки тому

    VIVAAAAA ROMA

  • @hatibukasimu146
    @hatibukasimu146 2 роки тому

    Rudi tu kaka

  • @emmaonlinetv5308
    @emmaonlinetv5308 2 роки тому

    Chiiiiiii

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 2 роки тому

    KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA 💥💥

    • @rawhiyarajabu7324
      @rawhiyarajabu7324 2 роки тому

      Acha bange

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 роки тому

      Dunia iko kiganjani saiv wewe umdanganyi mtu unajidanganya mwenyewe😂

    • @POPkateshian
      @POPkateshian 2 роки тому

      Ushanunuliwa fala ww big up Roma & Darasa