Roma kaka ...Najua unajua msimu wa fiest umeanza Sasa sisi kama mashabiki zako Tunakuomba urudi kaka Tuna kuomba sana....Tuna jua tulikukosea ila Tusamehe kaka njoo nyumbani ...Natamani Angekuepo Ruge tunge muomba Akakufata Ila ndo hivyo....Kaka Fiesta imeanza Tena sahivi kauli mbiu ni ......WEKA MANENOOOO
Show Kali Hadi aibu kucomment 2022
Nawakubali sana watoto wa nyerere
brother Roma naomba saport bro me ni yule dgo tulie piga picha musoma dukan pale
2021 August 21 still watching
Roma kaka ...Najua unajua msimu wa fiest umeanza Sasa sisi kama mashabiki zako Tunakuomba urudi kaka Tuna kuomba sana....Tuna jua tulikukosea ila Tusamehe kaka njoo nyumbani ...Natamani Angekuepo Ruge tunge muomba Akakufata Ila ndo hivyo....Kaka Fiesta imeanza Tena sahivi kauli mbiu ni ......WEKA MANENOOOO
Niatari
Kenya loves Rostam
Roma na stamina wanatisha mbaya mbovu hata msoma watu turikuwa namizuka naomba fiesta iwe kwamwaka Mara mbiri
Roma miss Sana show yako brother
Amazing perfomance.
🔥🔥🔥🔥
top perfomance ever!!!
Hawa watu ninoma saaan
Washikaji wanting wa nguvu kabisa yaan
Roma nitafute
Fund
Title ya hio song inayosema siwaskii ni ipi?
Chafu mbozi
Roma nip nmb zk
Rostam hapa Kenya mwatisha wanao
Dunia ingerikua ya mziki watu wangefaidi nakujikwamuria vitu ila bas
Dan B chorodo gen vyuma chakavu