Mpaka Home MAISHA HALISI YA MKALI WENU, MTOTO WAKE NA JUMBA LA KIFAHARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 151

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 Рік тому +27

    Nimemtafuta baada ya kuona maisha ya mama akee daaaah we kaka Mungu anakuona mama yako aliye kubeba miezi 9 akakuzaa kwa uchungu unamuacha na maisha Kama Yale loooh Mungu akusamehe bure,Ila ipo ck utaona dhamani ya huyo mama wakati huo utakuwa umechelewa.

    • @annangosso6680
      @annangosso6680 Рік тому

      Lakini mama kaolewa na mwanaume mwingine so apambane na mume wake

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 Рік тому

      Kwani kazaliwa peke yake si wapo kaka zake

    • @goodluckmsoka3660
      @goodluckmsoka3660 Рік тому

      Afrika ipo shida sana ukiwa hai usaidie familia ukifa wanakuja kaburini kukuomba tena msaada

    • @tugabiz4286
      @tugabiz4286 Рік тому

      @@goodluckmsoka3660 haina kupumzika hiyo 🤣🤣🤣🤣

    • @hellaskarras1567
      @hellaskarras1567 Рік тому +3

      @@annangosso6680 kwahiyo akiolewa na Mme mwingine ndio anakuwa sio mama yake au unaongea ujinga huyu hana Akili tu

  • @lindambilinyi8579
    @lindambilinyi8579 Рік тому +29

    Tuliokuja hapa baada ya kuona maisha ya mama ake tujuane Kwa like

  • @saidshukeri4986
    @saidshukeri4986 Рік тому +14

    Hilo jinga,Lina muacha mama yake anateseka

  • @hamismhanginonya9360
    @hamismhanginonya9360 Рік тому +6

    Gari tatu afu kwenu hta choo Amna hii Dunia Ina watoto wa ajabu na tv za kucheza watoto kwenu hta umeme Amna inauma sana😭😭😭

  • @MoMo-pv2qc
    @MoMo-pv2qc Рік тому +7

    Haya matatizo yapo sana watoto hawasaidii wazazi wao wapo radhi wafanye starehe na kuwasaidia watu baki kuliko kusaidia family zao jamani

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 Рік тому +4

    Innahlillah wainnah illah rajiun hata kama siyo kwa maisha yale ya wazazi wako.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому +1

    Unjiita handsome boy kwa ajili ya yyle Mama aliyekuleta duniani sasa hivi unamdharau! Pole sana mjinga wewe

  • @saigonsaigo9907
    @saigonsaigo9907 Рік тому +17

    Mama yake anaishi maisha magum dunia hii

  • @juniorwilliam6338
    @juniorwilliam6338 Рік тому +5

    Be serious kaka, jitahidi kama sanaa haikulipi angalia pengine mtunze mama

  • @gres1182
    @gres1182 2 роки тому +3

    Mshaza kwa dula mkaenda kwa hamorapa hivi mshafika kwa kajala mungu wangu

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 Рік тому +4

    Hapa ni mpka home kule ni mpka kwa mama, mtunze mama japo kwenye kula ndugu yangu na choo kile cha mama

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому +9

    Nimecheka jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤🥰

  • @skytvonline4980
    @skytvonline4980 2 роки тому +2

    Mkaliiiiii weee chengaaaa sana

  • @nkulikandusi5282
    @nkulikandusi5282 Рік тому +1

    Mhhhh huyu si ndo ICU wameenda kwa mamake woiiuu

  • @fatumaomary6110
    @fatumaomary6110 Рік тому

    Unamuhoji dula au mkali wenu unaongelea sana watu tofauti na unaemohoji unazngua

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy 2 роки тому +3

    Yani nicheke Mimi umefika Kwa harmorapa Yani umbea kazi

  • @ahmedrashid7638
    @ahmedrashid7638 Рік тому

    Naomba ungekaa na mamako, utapata baraka, japo, samahani, nakupenda sana

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 Рік тому

      Sasa atakaaje na mamake akati anamume na anawatoto wadogo huu mzigo wote aubbe yye akati kuna kaka zake mbona hamuwaongelei

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 Рік тому

    Huyu Hana Akili kweli???? Tanzania Jamani kunawatu ovyo wasiojielewa

  • @peridamtweve7152
    @peridamtweve7152 Рік тому +1

    Una laana wewe mama ana hali mbaya sana! Dah!

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 Рік тому +1

    Mmmh huyu muandishi ovyo

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 Рік тому +3

    Nmekuja kuangalia maisha yako baada yakuangalia maisha ya mamaako, we mkaliwenu mkundu wako over.

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 2 роки тому +2

    mhhhhhhh mbn enteview ya mtu mwengine mnamzungumzia mtu mwengine sio busara kabisa

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 2 роки тому +2

    Ila nyinyi wasanii mnatiana aibu sana

  • @angelinamamu8854
    @angelinamamu8854 Рік тому +3

    Alafu mama anaishi maisha mabaya🥺🥺

    • @wasalimie11
      @wasalimie11 Рік тому +1

      anakula ugali na sukari jamani😳😳😳

  • @mozanamata4628
    @mozanamata4628 2 роки тому +3

    Mkali hufai🤣🙌

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 2 роки тому +1

    Mkali mmbea unahojiwa wewe unaongelea watu makabila van dah 😂😂

  • @millermsozi5598
    @millermsozi5598 Рік тому +1

    Huyu jamaa kampoteza mtangazaji ili asizungumzie ishu ya maisha ya mamaake,na dada nae hajitambui kapotea kabisa wameanza kusema watu.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому

    Hili jamaa kumbe fala hivyo. Yaani Mzazi anaishi maisha yale, khaa. Sina la zaidi

  • @mohamedsalum8933
    @mohamedsalum8933 Рік тому

    Kuzaa c kupata.

  • @stamelistameli8461
    @stamelistameli8461 2 роки тому

    Hongera

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 Рік тому

    Tena mkome AMBER LULU we kima uliemtelekeza mama yako. Huyo mkeo ana uzuri gani? Mxiuuuu jifunze kuheshimu wanawake na uache kuongelea wenzio akati yako yamekushinda. What a shame!!

  • @antonianyambuka4860
    @antonianyambuka4860 Рік тому +2

    Msaidie mama yako wewe acha mambo ya kushindana na ndugu zako, ila wewe umepewa kipaji hicho, msaidia mama yako mjengee hata choo

  • @catherineamos7087
    @catherineamos7087 Рік тому

    Huyu kaka anasifa zisizoza msingi

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 2 роки тому +7

    Huyo mtoto alivyokunja sura🤣🤣

  • @issabakari5455
    @issabakari5455 2 роки тому +1

    Nice

  • @veeJesus
    @veeJesus Рік тому

    Me nahisi ata huyo mkewake sio mzm

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 роки тому +2

    Binadamu mnakazinyinyi
    Yani kazikuongelea yawatu tuu

  • @abdulahmed1140
    @abdulahmed1140 2 роки тому +4

    Huyu jamaa ana akili sana...

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 Рік тому +1

    Huyu anakwepa nyumba yake mwandishi nawe unalengea tu au umeshomboka umeacha habari ya kichwa Cha habari unaongelea mengne

  • @amoonatnzani9834
    @amoonatnzani9834 Рік тому

    Nilichokigundua mm kwa huyu mkali wenu Roho mbaya anaona akimsaidia mamaake Atakula na babaake wa kufikia na atakula na wadogo zake wa mama 1 Pumbavu kabisa huyu

  • @jacksoncharlz5613
    @jacksoncharlz5613 Рік тому

    Mama kwanza uyu jamaa daaah

  • @sofiaahmad1926
    @sofiaahmad1926 Рік тому

    Interview ni ya mkali wenu au ya Dullah?

  • @amiduchiller8562
    @amiduchiller8562 2 роки тому +3

    Het ashamzoea mama yake mweupe😁😁😁

  • @maryammuhammad2553
    @maryammuhammad2553 2 роки тому +1

    Wajina wa mwanangu maashaallah habit mzuri sana mwanao

    • @OmarMohamed-zf8dp
      @OmarMohamed-zf8dp 2 роки тому

      mtoto umeibiwa rangi imeenda sivo

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 Рік тому

      @@OmarMohamed-zf8dp so lazima mtoto kufanana na baba atachukua vip sura ya mwanaume hali ya kuwa mtoto wa kike huyo kafata kwa mama

    • @zachaamaster5378
      @zachaamaster5378 Рік тому

      #mzuri kwa kukunja usoo

  • @fatmahseif5900
    @fatmahseif5900 Рік тому

    Yaani imebidi nije huku baada ya kuona maisha ya Mama yake

  • @judithfrancey7068
    @judithfrancey7068 Рік тому

    😂😂😂 awe makini huyo kijana nyumba ya nje ya geti hapo kushoto ni mwizi balaa , alinifanya nikahama hiyo nyumba

  • @ziadaarthasani9308
    @ziadaarthasani9308 Рік тому

    Nyote mnaotukana huyu kaka hamjielewi kabla ya kumnanga azakufikiria kwanza

  • @dgochuibra588
    @dgochuibra588 Рік тому

    hana maisha hayo kwanza hafanani wana ekti tuu

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Рік тому

    Mbona unaongea ya Dulah???? Ongoleaaa YAKOOOOO MJINGA WEWEEE UMELAANIWAAA. UMEWATUPA WAZAZIIIII AIBUUUU ILOOOOOOOOO

  • @evancemkenda161
    @evancemkenda161 2 роки тому +2

    Unazingua mkali

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 Рік тому

    Huyu atakuwa ana mke mchoyo mana mara nyingi wanaume wanaongozwa na wanawake kusaidia wazazi wao. Ukioa mwenye roho mbaya baaasi

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 Рік тому

    Mtoto mdogo unamuongelea mambo ya watu maskion...half maneno mazto

    • @ashrafadam4629
      @ashrafadam4629 Рік тому

      kama kwel una pesa au maisha mazur make sure unamsaidia mama au wazaz wako

  • @allybulushi624
    @allybulushi624 Рік тому +2

    Yani napenda nikiona anahojiwa mkali wenu

  • @ndinawepwele4756
    @ndinawepwele4756 Рік тому

    Kina umeniuzunisha Sana Bora ungekuwa huna chochote lakini wazazi wako wawe mahala pazuri

  • @yakobolusasu1821
    @yakobolusasu1821 Рік тому

    Nyau huyu kabisa

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 Рік тому +1

    Kamsaidie mama yako anaishi nyumba kama chooo, harafu unaweza wapi kusema una magari matatu,,jinga sana wwe

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 Рік тому

    Yawengine unafaham kuyazungumza Wazazi wako uwaoni bora acha kulopoka

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 Рік тому

    afu mamako anaka pale na anala bugali na sukari na mtaji wa elfukumi na unampa elfu kumi ku mwezi huna haya eti hauna uwezo na unakaaapo umbwa weye ngoja kwanza ni ku unfolow

  • @suleiphwaupendo1030
    @suleiphwaupendo1030 Рік тому

    hhhhhh kiumbe kin sifa hichiiiii

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp Рік тому

    Usuiyo mkali kama mtoto wakike ataifata atachelewa kupata mchumba

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy 2 роки тому

    Lakini mkali wenu mumbea balaa

  • @nicebatare2737
    @nicebatare2737 Рік тому

    Mpe TV achezee mpe Tv yake

  • @rodageoffrey8556
    @rodageoffrey8556 Рік тому

    Sasa dullah amekujaje huku ebooo

  • @shaniashani7026
    @shaniashani7026 2 роки тому +1

    Una hojiwa wewe hama dulah mbona mpo hivyo khaa

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Рік тому

    Una hayaaqq aibuuu. Ongea yakooo etii Dulah. Zungumzia yakooooo kwa kutupa Mama na baba na nduguzooo lahaaana iyoooo mjinga weweeee

  • @sadathahmada9066
    @sadathahmada9066 2 роки тому

    Huyu mtangazaji yaan akitolewa kwenye reli nae anapotea hahaaa. Yaan unaendaje mpaka home afu unaishia kuwazungumzia watu wengine.

    • @yusrasalum
      @yusrasalum 2 роки тому

      Yani🤣wanafanya umbea wa kibalazani 🤣😂

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 Рік тому

      Mjunga huyu

  • @mauwabyaombe2425
    @mauwabyaombe2425 Рік тому

    Mama ni Mama tu ukitaka kumsaidia mzazi using alien tuko wangapi

  • @aliclassic8468
    @aliclassic8468 2 роки тому

    Mpe TV 📺 32

  • @zoab2699
    @zoab2699 Рік тому

    Eti mkubwa wao mkosefu wa akili wao mama yako yale maisha anayo yaishi kisha wewe unakuja kujionyesha maisha yako unayo ishi allah hato kusameh wewe

  • @latiphamohammed9900
    @latiphamohammed9900 Рік тому

    Kwanni usiuze ata moj umsidie mama yako at net ya mbuu asipate malaria jambo umununulia at kitada japo ubadilishe TV utoe ya chog

  • @aminasoud2874
    @aminasoud2874 2 роки тому

    Wewe

  • @Odama-dn7xy
    @Odama-dn7xy Рік тому

    Unamsema dulla yako yanakushinda

  • @fatmahramadhan4909
    @fatmahramadhan4909 Рік тому

    Ivi uyu dem nae chenga kweli sas iyo interview ya kina dula na hamolapa au mbn kama kilaza ivi

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 роки тому +1

    Ajenge sio kupanga mbona wa napata hela wasanii wanakwama wapi

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 Рік тому

    La Dulla ebu geuka nyuma mkumbuke wazazi wako

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 Рік тому

    Yaani mama yako anaishi maisha mabaya wewe unalala pazuri

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      Siamesema hapo kapangishiwa na mama mkwe wake

  • @fadhilmohamoud
    @fadhilmohamoud 2 роки тому +1

    😃😃😃

  • @nkamangi4707
    @nkamangi4707 Рік тому

    HUYU TAAIRA NA ANALALA USINGIZI SELFISHNESS

  • @mercynorris2286
    @mercynorris2286 Рік тому

    Yani huyo kama kalogwa yani linaongea pumba tu una nzuri gani Sura kama mkundu wa nyani kima wewe unalana mbwa wewe

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +1

    Pengine yake hi nyumba anafichatu kwa yaliyotokea

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому

    Mshamba huyu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 Рік тому

    Huna radhi

  • @ndekenichuma4373
    @ndekenichuma4373 2 роки тому

    Pumba tupu

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Рік тому

    Kweriiii????? Ndio USAHAU WAZAZIII????? UMEPAGAWA SANA WEWEEEE JEEE UMEJIZAAAA MWENTEWEEE??? AU UNELOGWAAAA LOOOOO EBUUU STUKA MJINGAA WEWEEE KUMBUKA ULIKOTOKA NI AIBUUU NA ZAMBIIII SANA. NYOOOOOO. KAWASAIDIE WAZAZIII WAKO MJINGAA WRWEEEE

  • @festogeorgekwakala4146
    @festogeorgekwakala4146 2 роки тому +1

    Acheni ujinga kwahiyo munamuzungumuzia dula ndo interview gan sasa

  • @mariamothman2000
    @mariamothman2000 2 роки тому

    ,😳😂😂😂khaaaa

    • @kulwadamas9610
      @kulwadamas9610 Рік тому

      We mkaliwenu nilikupenda na kuwa shabiki yako ila kwa hili la kumtesa mama ctokushabikia Tena katili mkubwa wewe unaweza kumuacha mama aliekulea mpaka ukaujua huo ustar wako jinga kabisa wewe

  • @mercynorris2286
    @mercynorris2286 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣eti mpe TV mbwa wewe mama ako hata radio mbao hana kima utafika mbinguni umechoka sana na kwa mwanamke gani huyo mkeo kama wewe tu Sura kama ngedele wa mikumi mkundu wewe

  • @mercynorris2286
    @mercynorris2286 Рік тому

    Eti amba Lulu mbaya umeona wewe sura lako choko wewe

  • @lucaslutego3461
    @lucaslutego3461 2 роки тому

    Mpe tv inch 49 achezee

    • @priscillahsirya6544
      @priscillahsirya6544 2 роки тому

      Hahahaaa
      Anamasifa huyu mwanaume

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 2 роки тому

      Sasa si ungemfuata dula.makabila mwandishi unazinguwa

  • @AsAs-ng9rb
    @AsAs-ng9rb Рік тому

    🤣🤣🤣🤣

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 2 роки тому

    Mkaliwenu una matatz ww htar

  • @teddylameck3355
    @teddylameck3355 Рік тому

    Urafiki kazi sasa mambo ya rafiki yako yanahusiana nini na mambo yako ..wewe msaidie mama yako usipotezee acha kuyaongea ya watu uku yako yanavunda

  • @davidoscooper237
    @davidoscooper237 2 роки тому +2

    Mkali namkubal xan

  • @ollacamusic
    @ollacamusic 2 роки тому +1

    😂😂😂 wangapi waliskia hii 👇👇
    ua-cam.com/video/gnIe4ZeeTDY/v-deo.html

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому

    Wewe Mkaliwenu mjinga sana nimekudharau sana sana huna lolote unamwacha Mama anahaangaika na karanga kutafuta 5000 kwa siku jua lake mvua yake weww na huyo mke wako wote wajinga mna laana nyinyi

  • @estermahenge5972
    @estermahenge5972 Рік тому

    Uyu mkaka mjinga sanaaa daaàa😏

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 Рік тому

    Kwan ile harus ilikuwaga lin
    Mpaka mtoto kakuwa hivi

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 Рік тому

    Muongo uyu kwaiyo ile BMW aliopewa na mchungaji iko wap

  • @ndekenichuma4373
    @ndekenichuma4373 2 роки тому

    Sasa umeenda kumuhoji dulla au mkali wnu wasanii wa bongo shule hakuna kabisa

  • @nkunzimanaadja2074
    @nkunzimanaadja2074 2 роки тому

    ili lijama akili 0% huna lolote