Wallahi masheikh tunawashuhudia mbele ya Allah kama munajitahidi kuwaeka wazi na kuwafundisha njia ilio sawa wakristo ila wakristo wenyewe ndio hawataki ila man rahma Rabbi. Wanasikitisha ndugu zetu wakristo 😢😢😢😢
Mimi kama mkristo, bible inaniambie yesu ndiye njia ya kweli kufika kwa Muumba,anatufuza matendo yako ndo palipo,siyo mambo na kuzikwa vipi?hata ninyi munaamini hizo si vingezo Muumba anaandalia, imagine nimekasirika.kwa kuhubiri jambo lisilo na maana kabisa.
Yesu ni njia kwenda kwa Mmungu hatukatai hilo ila hujafaham subiri tukuweke wazi..yesu ni njia kwenda kwa Mmungu maana yake ufuate matendo ya Yesu aliofundishwa ili umjue Mmungu bila ya Yesu watu wake hawawezi kumjua Mmungu sawa na Nabii Daudi kitabu chake ni Zaburi ,kwa wakati wake Daudi ni njia ya kwenda kwa Mmungu. Kafuatia Nabii Mussa kitabu chake Tawrati ,Mussa ni njia kwenda kwa Mmungu. Akaja Nabii ISSA yaani Yesu,sasa yesu ni njia kwenda kwa Mmungu. Akaja Nabii wa mwisho Nae ni Muhammad sasa zama hizi njia kwenda kwa Mmungu umfate Nabii Muhammad,maelezo ni mengi fatilia ujifunze usijidhulumu roho yako.
Ww mtambo huna akili,ss ndio ww mkiristu km mkiristu muongozo WA kitabu Cha wakiristo ni kipi na anayoyaelezea kwa mujibu kitabu kipi ss ww unamfata yesu,YESSU aliishi kwa mujibu WA muongozo WA kitabu kipi.
Hujui ndugu , kuongelea yesu si mungu na mungu ni mmoja si mambo wa wakristo ni mafundisho ya qurani. Aaya za qurani zazungumzia kuhusu yesu , na kukataa utatu. Soma qurani ujioneee
@@ufafanuzi4382Ss YESSU alipoteswa msalabani akilia. Mungu wangu Mungu mbona umeniacha!. Swali ambalo halihitaji akili kubwa,Mungu yupi alikuwa akimuomba?au alijiomba mwenyewe.
Wallahi masheikh tunawashuhudia mbele ya Allah kama munajitahidi kuwaeka wazi na kuwafundisha njia ilio sawa wakristo ila wakristo wenyewe ndio hawataki ila man rahma Rabbi. Wanasikitisha ndugu zetu wakristo 😢😢😢😢
YESU kazikwa na sanda,wanaomfuata wanazikana na masanduku...alafu wanasema Waislam hawamuamini YESU..mambo mengine yanahuzunisha sana
Please subscribe like and share
Unakosea rekebisha imani hailazimwishi,funza chenye Muumba anatutaka tufanye
Muumba anataka tuzikwe na Sanda... Mbona mnazikwa na sanduku?
Please wafunze watu uisilamu ni nn because wingi hawajui maana
Kwanza hamuamini agano jipywa ulienda hiko kufanya nini
Mimi kama mkristo, bible inaniambie yesu ndiye njia ya kweli kufika kwa Muumba,anatufuza matendo yako ndo palipo,siyo mambo na kuzikwa vipi?hata ninyi munaamini hizo si vingezo Muumba anaandalia, imagine nimekasirika.kwa kuhubiri jambo lisilo na maana kabisa.
Yesu ni njia kwenda kwa Mmungu hatukatai hilo ila hujafaham subiri tukuweke wazi..yesu ni njia kwenda kwa Mmungu maana yake ufuate matendo ya Yesu aliofundishwa ili umjue Mmungu bila ya Yesu watu wake hawawezi kumjua Mmungu sawa na Nabii Daudi kitabu chake ni Zaburi ,kwa wakati wake Daudi ni njia ya kwenda kwa Mmungu.
Kafuatia Nabii Mussa kitabu chake Tawrati ,Mussa ni njia kwenda kwa Mmungu.
Akaja Nabii ISSA yaani Yesu,sasa yesu ni njia kwenda kwa Mmungu.
Akaja Nabii wa mwisho Nae ni Muhammad sasa zama hizi njia kwenda kwa Mmungu umfate Nabii Muhammad,maelezo ni mengi fatilia ujifunze usijidhulumu roho yako.
Mimi kama Mwislam najua Biblia inakwambia Yesu ndio Njia, sasa maana Yake ninini?
Ww mtambo huna akili,ss ndio ww mkiristu km mkiristu muongozo WA kitabu Cha wakiristo ni kipi na anayoyaelezea kwa mujibu kitabu kipi ss ww unamfata yesu,YESSU aliishi kwa mujibu WA muongozo WA kitabu kipi.
Biblia inatufuza dini hitupeleki mahali,cha Kishangaza wakristo hawana haja kujua kuruhani.tende chenye kinampendeza Muumba uokoe moyo wako,
Kama dini yako haikupeleki popote, pole sana
Achini kujifamanisha,kama wewe mwislamu baki na imani yako mkristo abaki na imani yake,moyo ndo tunapigania,mnajikaza kujua bible for what?
Mungu Mwenyewe ametoa ruhusa ya dialogue, wewe Nani unakataza...
Hujui ndugu , kuongelea yesu si mungu na mungu ni mmoja si mambo wa wakristo ni mafundisho ya qurani. Aaya za qurani zazungumzia kuhusu yesu , na kukataa utatu. Soma qurani ujioneee
Ndugu Mourinekengehi pls usiwe mbishi kwa kitu hujui poa moyo wako hebu fatilia utake kujua ukiwa mshindani hutofahamu.
Muislam na mkristo kufata imani bila matendo haisaidii kitu lazima imani ufanye na matendo tusijadanganye.
@@ufafanuzi4382Ss YESSU alipoteswa msalabani akilia. Mungu wangu Mungu mbona umeniacha!. Swali ambalo halihitaji akili kubwa,Mungu yupi alikuwa akimuomba?au alijiomba mwenyewe.