- 667
- 1 811 754
Abass Online Tv, Daawa Kenya
Kenya
Приєднався 5 гру 2021
To support us: Send Donations to: +254724871565 .
Abass Online tv (Eastleigh Daawa, Nairobi, Kenya) ni channel ya Daawa ambayo makao yake iko eastleigh, Nairobi, Kenya. Channel hii inakuletea Mihadhara mbali mbali kila siku...waalimu mbali mbali hushiriki katika mijadala hizi. malengo ikiwa ni kufikisha ujumbe wa uislamu kwa wasiokuwa waislamu kupitia mijadala hizi. matukio haya yanavyoendelea ndivyo tunavyorekodi na kuiweka katika mitandao ili ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi. hivyo ni vizuri kila unapoipata video mpya.. bonyeza kitufe cha like na pia share katika groups za whatsapp na facebook ili uweze kushiriki katika kueneza ujumbe huu. Pia unaweza ukadownload App hii kufwatia link ifuatayo
play.google.com/store/apps/details?id=com.wAbassOnlineTV_16169259
au pia tufwatie facebook page yetu kwa kufuatia link ifuatayo
profile.php?id=61569363676083
ukiwa na swali lolote wasiliana nasi katika whatsapp +254724871565

Jack: Yesu ndiye Baba😇😇😇 Fumbo la utatu mtakatifu lamchanganya Jack. 🔥🔥🔥 3rd. Jan. 25
Utatu mtakatifu ni fundisho ambalo limeleta changamoto mbalimbali Kwa kujaribu kuielezea, Jack ajaribu Sana kutetea Imani hii ila katika Hali hiyo, akosea na kusema sasa Yesu Mwenyewe ndiye Baba wala siye Mwana, Je, hili ni fundisho jipya Sana, Je, ni ni la kweli? Lete maoni yako.
Переглядів: 921
Відео
MMOJA ASILIMU katika Daawa mtaani baada ya kufahamu mafundisho. 1. Jan. 25
Переглядів 1,2 тис.9 годин тому
Je, Yesu ni Mungu? Ni moja Tu katika maswali chache ambayo ziliulizwa katika Daawa mtaani
Maswali Yaulizwa Kwa wingi Sana Mtaani umoja 3 kuhusu uislam, 29th. December 2024
Переглядів 1 тис.14 годин тому
Quran iliteremka vipi? Muhammad alikufa vipi na alizikwa vipi, ni baadhi Tu ya maswali ambayo rafiki zetu walitaka kujua, Kwa maswali haya na mengine mengi, tufwatilie katika abass online tv, #daawa #kenya
Daawa in Kikuyu Language, By sheikh Ali Gitonga...
Переглядів 53121 годину тому
Ali Gitonga on Iqra FM Delivering a Kikuyu Daawa, #kikuyuisambae #daawa #kenya #abassonlinetv
Mbona Quran imeandikwa kutoka kulia kwenda kushoto!#***⁉️😁😁😁 .... 25 Dec. 24
Переглядів 1,8 тис.День тому
Maswali tofauti tofauti Yaulizwa katika Daawa mtaani, wengi wataka kuelimishwa ni Kwa nini hawaruhusiwi kuigusa Qurani takatifu, mbona mwandishi ya Qurani yanatoka Julia kwenda kushoto...na mengine mengi....
Sikiza Namna Mzee huyu anavyokufuru, Tufanyeni bidii kuifikisha Daawa. 21 December 2024
Переглядів 1,9 тис.14 днів тому
Daawa yahitajika Sana Kwa hawa marafiki zetu maanake wengi hawamjui Mwenyezi Mungu, pia hawaujui uislam, Sasa kama katika mhadhara huu, Ndung'u (ambaye ni muulizaji maswali anafikia kiwango cha kufru Hasa, lakini hajui kufru Yake, anasema eti kwake anaamini kama Mungu ni Mwanaume, Astaghfirullah... Kwa hiyo ni lazima tufanye Daawa Kwa wingi ili watu wapate Imani na fundisho sahihi......
Jack Chiraq apata vibano Sana, alopokuwa anajaribu kuutetea ukristo. 19 Dec. 2024
Переглядів 1,2 тис.14 днів тому
Je, Ibrahim ndio mtu wa Kwanza kuwa na dini? Na Je, Yesu alikuwa na dini? Kama ndio, Je, dini yenyewe inaitwaje? Kwa haya na maswali mengine mengi fwatana nasi tunapojadiliana na jack chiraq
Kijana ashangaa kupata mafundisho ya kiislam ndani ya biblia. 16 Dec. 2024
Переглядів 1,6 тис.14 днів тому
Kijana ashangaa kupata mafundisho ya kiislam ndani ya biblia. 16 Dec. 2024
Itikadi ya kusema kwamba Yesu anabebea watu Dhambi inachangia pakubwa sana kumuasi Mungu 15.12.24
Переглядів 98521 день тому
Wengi Wana Imani kwamba Yesu amewabebea Dhambi, lakini Imani hii si Kweli...mmoja katika wakristo tuliyezungumza Naye asema Imani hii inachangia pakubwa watu kumuasi Mwenyezi Mungu....
Kwanini mnaswali Kwa kiarabu Tu, mbona mnaenda misikitini ijumaa? na mengine mengi..12 December 2024
Переглядів 1,5 тис.21 день тому
Maswali yazidi kuchacha umoja, watu wanaotaka kujua mengi kuhusu uislam, mfano kwanini wasali Kwa lugha ya kiarabu Tu, kwanini wasali Sana ijumaa wala sio Jumamosi au jumapili, kwanini kuna nyota na mwezi misikitini, Je, ndio INA MAANA waislam wanaziabudu? Je, mtu akiacha uislam inaezekana akarukwa na akili? Kwa haya na mengine mengi, tufwatilie katika abassonline tv Daawa Kenya.. vilevile usis...
VANISTA akiri kuwa Uislam ulikuwepo kabla Yesu hajaja duniani, lakini ukristo haukuwepo. 10.12.24
Переглядів 1,9 тис.21 день тому
Mazungumzo yatupa mwelekeo tofauti, uislamu ulikuwepo kabla ya Yesu hajaja duniani ila ukristo haukuwepo... Kwa haya na mengine mengi fwatilia video hii zaidi...
VANISTA: Sisi pia tu Waungu wadogo... Mkristo ampinga mwenzake katika Mada: Yesu ni Mungu 9.12.24
Переглядів 1,5 тис.21 день тому
VANISTA, kijana barobaro, anajaribu Sana kutetea Imani ya kikristo, Kwa Imani Yake Yesu ni mmoja katika zile nafsi tatu za Mungu... Hivyo anakuwa Mungu, pia anasisitiza kwamba nasi pi Tu waungu wadogo... Hii yote inatokana na Yeye kuikosa fundisho sahihi... Hata hivyo anakabiliana na mkristo mwenzake ambaye anakataa katakata wazo Hilo, na kusisitiza Yesu si Mungu... Fwatilia Kwa makini tunapoip...
Je, ni lazima mkristo asilimu ili ndoa itimie? Je, Yesu kafa ili watu wasamehewe Dhambi? 7.12.24
Переглядів 1,9 тис.28 днів тому
Je, ni lazima mkristo asilimu ili ndoa itimie? Je, Yesu kafa ili watu wasamehewe Dhambi? 7.12.24
Mbona Hamchanganyikani na akina Mama misikitini? Maswali Yaulizwa Kwa wingi Umoja Three..6 Dec. 24
Переглядів 1,6 тис.28 днів тому
Mbona Hamchanganyikani na akina Mama misikitini? Maswali Yaulizwa Kwa wingi Umoja Three..6 Dec. 24
Mkristo Akiri kwamba Biblia iko na Makosa mengi na waandishi hawakuongozwa na Roho Mtakatifu.4.12.24
Переглядів 2,4 тис.Місяць тому
Mkristo Akiri kwamba Biblia iko na Makosa mengi na waandishi hawakuongozwa na Roho Mtakatifu.4.12.24
Masabato waamua kutetea Kanisa, uwanja wa OILE Park, Kisumu. watu watatu nao wasilimu, 3. 12. 2024
Переглядів 2,1 тис.Місяць тому
Masabato waamua kutetea Kanisa, uwanja wa OILE Park, Kisumu. watu watatu nao wasilimu, 3. 12. 2024
Yesu kaabudia katika Jengo gani? Ni Nani alimpelekea Wahyi Muhammad? daawa Kenya yahitajika 1.12. 24
Переглядів 5 тис.Місяць тому
Yesu kaabudia katika Jengo gani? Ni Nani alimpelekea Wahyi Muhammad? daawa Kenya yahitajika 1.12. 24
Kuzikana Kwa Masanduku sio fundisho la Mungu ..29 November 2024
Переглядів 3,3 тис.Місяць тому
Kuzikana Kwa Masanduku sio fundisho la Mungu ..29 November 2024
Daawa Mtaani, Je Yesu ni Mungu au la? Rasta aleta vichekesho...27th. November 2024
Переглядів 1,4 тис.Місяць тому
Daawa Mtaani, Je Yesu ni Mungu au la? Rasta aleta vichekesho...27th. November 2024
Team yetu imeamua kutembelea Madrasatul Nuur, mjini Iten. 26th. November 2024
Переглядів 289Місяць тому
Team yetu imeamua kutembelea Madrasatul Nuur, mjini Iten. 26th. November 2024
Siku ya mwisho mjini Iten, Mtu Mmoja aamua Kusilimu, Maswali yachacha... .24 November 2024
Переглядів 1,8 тис.Місяць тому
Siku ya mwisho mjini Iten, Mtu Mmoja aamua Kusilimu, Maswali yachacha... .24 November 2024
Dada wawili waamua kusilimu baada ya kufwatilia Muhadhara...20th. November 2024
Переглядів 2 тис.Місяць тому
Dada wawili waamua kusilimu baada ya kufwatilia Muhadhara...20th. November 2024
Wenyeji wa Iten wanaendelea kupata ujumbe... 18th. November 2024
Переглядів 1,6 тис.Місяць тому
Wenyeji wa Iten wanaendelea kupata ujumbe... 18th. November 2024
Maswali yachacha mjini Iten, 15th November 2024
Переглядів 2,5 тис.Місяць тому
Maswali yachacha mjini Iten, 15th November 2024
Friday Khutbah, Jamia Mosque, Kapsabet Town, Mada nzito: Kuwafanyia wazazi wema, 15 Nov. 24
Переглядів 428Місяць тому
Friday Khutbah, Jamia Mosque, Kapsabet Town, Mada nzito: Kuwafanyia wazazi wema, 15 Nov. 24
Haiwezekani Yesu Kuwa Mungu....10 November 2024
Переглядів 2,8 тис.Місяць тому
Haiwezekani Yesu Kuwa Mungu....10 November 2024
Askofu akataa katakata kuketi katika kiti cha maswali, wawili wasilimu, 9 November 2024
Переглядів 2,6 тис.Місяць тому
Askofu akataa katakata kuketi katika kiti cha maswali, wawili wasilimu, 9 November 2024
naupenda Sana uislam ila, .....watatu waamua kusilimu 4th. November 2024
Переглядів 3,8 тис.2 місяці тому
naupenda Sana uislam ila, .....watatu waamua kusilimu 4th. November 2024
Je, mnaamini injili ya Barnabas, Kwanini viombo vya habari vinahusisha uislam na ugaidi? 3 Nov. 2024
Переглядів 7 тис.2 місяці тому
Je, mnaamini injili ya Barnabas, Kwanini viombo vya habari vinahusisha uislam na ugaidi? 3 Nov. 2024
Msikiti wa Shibale ina historia, "Wengi walisilimu baada ya Said Awadh Kuiacha dini Ya Haki" 1.11.24
Переглядів 9352 місяці тому
Msikiti wa Shibale ina historia, "Wengi walisilimu baada ya Said Awadh Kuiacha dini Ya Haki" 1.11.24
Shekhe samahani kwani naomba usimfokee huyo mwalimu anae soma tafadhali msemeshe kwaunyenyekevu atakuelewa, napenda sana mafundisho yenu toka,🇹🇿
Mazbut wallah Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu ndani ya oneness
Asalamu aleykum. Abass. Hapo ni kazi. Subhanalaah. Jesus na mungu ni sawa. Mr jack. Kaka uko Mbali sana uji uliza. Kabla ya Jesus Nani alikuwa mungu Ana taka musada don equal Allah and his greater and god has family because of you say Jesus is son of god that god has family and you have family 2 that u also become equal. Allahu Akbar
Sheikh Abbass huyo Jack chirack hajaelewa lugha pana kiunganishi 'na' chakujulisha kuwa kuna vitu viwili tofauti. Lakini usichoke kuwafundisha Insha Allah MUNGU atawaongoza
Hawa WaLuhya wako na lack of intelligence, kwaku fanya 'MTU' yeyote, kuwa 'MUNGU'! Ni UGONJWA wako nayo hawa Big Headed WaJings Wa Western! Therefore musi waste Time na huyu Jack, ambaye ni part of the GANG of Big Headed Luhya imbeciles, kama Josephu, Moses, Lydia, na Vichwa Kubwa vingine! Vicha vio ni vi KUBWA, lakini ni EMPTY humo ndani! Nobody is benefiting from this STALE SUBJECT ya 'yesu ni mungu'! Ni total NONSENSE! Move on to someone else. Dont Waste time with 'desciples' of JOSEPHU! AFADALI ongea na Ma Youths wa Umoja. Wachana na hawa WaJinga wa Josephu, kama huyu jack! TabarakAllah Team
Ni kweli. Hawa WaLuhya vichwa zao haziko sawa! Kuna yule Mluhya jehova Wanyonye, ambaye ni mungu mwesi. Halafu kuna Mluhya John the Baptist.! Halafu kuna Mluhya mwengine wazimu, , ambaye ni yesu wa Tongaren, na DAMES wake 12!
Mlevi ana akili kuliko Aliyekula ugali.... Huu ni msiba
Me and I are one. Means jesus speaks what he was ordered by God.
Asalaam alaikum. Huyu mlevi ameshindilia msumari. Aibu kwa mkristo. 😂😂😂😂
Asalaam? Ikiwa mkristo kamili, lazima uwe confused kama huyu Jack,
Heated dialogue amazing
Assalamu Alykum Tunawashukuru sana Sheikh Abbas na Group yako Allah awahifadhi na muendelee kutangaza dini ya Allah na pia Cameraman leo shooting yako hsikuwa nzuri sababu unachukua kwa chini na sio kawaida yako Shukran
Mashaallah, Shukran.
Uyu Jack anatetea nini kwani hupewa sadaqa ni kama anakulia
Abbass unajitahidi sana kuwafundisha ndugu zetu na hizo biblia zinawachanganya sana
Mashaallah, dua zenu Tu ndio twaomba
Please subscribe like and share
Mashaallah, Jack Chirack, Allah akuongoze, update njia iliyo nyooka, sio ya waliopotea.
Aamin
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
Asalam Alekum:nawaombar mfike Umoja 1please.kwasababu huko akuna Waisilamu wengi
insha'Allah tutafika
@abassonlinetv Shukran Allah awafanyiewepesi Insha ,Allah🙏🙏
Mashallah Dawah nzuri.
Masha Allah shekh Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kuwaelimisha wengi alafushekhe samahani mwambie kamera man wako atulize kamera ina cheza sana😢
It is NOT true that MUSLIMS are the descendants of ISMAIL. BOTH of the IRAQI ARAB Prophet called IBRAHIM'S children, Ismail and Essaq, were MUSLIMS, just like Ibrahim was, plus his TWO Wives, Iraqi ARAB woman SAR'AH and Egyptian Princess HAJAR! It is simply 'kristian' propaganda, that claims that the EUROPEAN CULT of 1611AD, **Orally known as 'christianity', is descended from the IRAQI ARAB Prophet called ESSAQ, and THAT, Muslims are decendants of Ismail! **christianity, is an ORAL CULT because the British FORGOT to mention the word 'christianity', when they FABRICATED the BIBLE, in 1611AD (which was later edited and changed or CORRUPTED 1814, in order to produce a VERSION known as the KJV, or the SLAVE Bible)! And this 1814 KJV Bible is the ONE that ADDED this verse of "baptise in the name of....". This is a 1814 FABRICATION. 'Flesh' ni nini??? FLESH ni NYAMA, na SIO 'Mwili'! Na 'Mwili' ni BODY. Sio 'Flesh'! Na Neno BODY au MWILI, haiko katika Biblia. Therefore, Neno 'FLESH' means a piece of (DEAD) MEAT. Na hio 'NYAMA" ina patikana kwa Butchery! TabarakAllah Team!
Swadakta.
Masha allah mungu awabarikii kwa kazi yenu
Aamin
Allahu Akbar
Mazbut ndani ya oneness,,, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu
Waalekum salaam warahmatullah wabarakaatuh
Masha Allah great video and welcome to the new brother my Allah keep you in Islam
Aamin
We welcome the new brother with open heart and wish him the best amiin
Aamin, May Allah s.w.t. guide him
Masha Allah
As Muslim we welcome the new brother with open heart and wish him the best amiin
Aamin
@@abassonlinetvAise masheikh wetu mnafanya kazi kubwa sana kwakweli niuwezitu wamali bado haujakaa sawa kwakweli mnahitani sapoti zetu sana inshallah tuzidi kuombeana iposiku nitawasapoti ndugu zangu nawashaulitu mchukue namba zahawa vijana ambao wanania ya kusilimu nuafutilie nahawa walio silimutayali mnatakiwa kuwafutilia sana maana wapowengitu wamesilimu lakini wanapotea nakurudu katika ukristo maana hawana wano waongoza fanyeni kama kina sheikh Salim Daawa wanafutilia mpaka kwenye nasomo Yao nakuwatembelea lakini mnapo waacha hawataweza kujiendeleza wenyewe
Masha Allah great video
Please subscribe like and share
Masha Allah ya Habibi
Kama uamini yesu ni mwana wa mungu we ni kuni ya jikoni
interesting questions I can’t wait the answer unfold
Huyu Jamaa wa Red T Shirt ame sema Roho Mtakatifu, ako na Uwezo WOWOTE! Angel Gibril HANA Uwezo wake, ila anao peqa na Allah. Kila Malaika hu tum8za commands za Allah
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu
Ni jengo la Alkaaba si mchoro
Masha Allah the dawah went well yesterday and my Allah keep the new brother in the deen and those in the future. I see some of the questions are amazing
Please subscribe like and share
BarakkaALLAH kheri...
Ma sha Allah
Where's this tv/radio station
Iko Adams Arcade na iko sana na Kiswahili program Iqra fm
Iqra FM
Great work 👍
Thanks ✌️
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu....hau kirima nikiahutio
Please subscribe like and share
Finally mashallah..!!
Naomba viongozi wa channel hii mniambie mhubiri Ali Karanja na xp Ibrahim wako wapi naona sioni mahubiri yao
Allah azidi kukupa afya njema uzidi kuwalingania wasioujua uislam waufahamu na awape taufiq waufate.
Watafahamu tu wakristo masheikh msichoke Allah atawasimamia hatowaacha.
Nikweli kuutetea ukristo ni kama kujitwisha jabali la miba kichwani,maana bible ina confuse imejaa mashaka.