FUNGATE EPISODE NO 46| MWINYI MPEKU, KITATANGE, AMINA, BI SINA JAMBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 69

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 8 місяців тому +1

    😂😂😂 Mzee mwinyi pole kijiwe hakikaliki

  • @Hawanalugha255
    @Hawanalugha255 8 місяців тому +2

    Nawapata nikiwa magharib ya dunia mwinyi nkukubali na nimepiga picha na ww xku nioiondoka zanzibar umeniachia kumbu kumbu nawapenda sana zmux

  • @muharramsalum-o2u
    @muharramsalum-o2u 8 місяців тому +1

    Dah kwa kweli hii filamu inaburudisha nawaza wakimjuwa uyo mwanamke anaewafatilia akina kitatange na mkewe sijuw itakuwaje

  • @SaniyaSaidi-v7b
    @SaniyaSaidi-v7b 8 місяців тому +6

    Mupo vizuri yaan kurushwa tu mushaidaka

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 8 місяців тому +2

    Tunawapenda jamani from uk 🇬🇧 maskin kitatange hana furaha

  • @RashidMohammed-n8x
    @RashidMohammed-n8x 8 місяців тому +2

    Riziki mwambie Abduli akuowe wewe basi na umesema ana hekima

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 8 місяців тому +3

    Mamboni 🔥🔥🔥. Love from Dubai

  • @alichau3831
    @alichau3831 8 місяців тому +3

    Jamani mzeeheri msameheni mzee mwinyi munamtesa sana

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 8 місяців тому +4

    Abdul cjui Ndo tabia yko Ila Mashallah una busara Asa yaani sofa yko nikupe

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 8 місяців тому

      Kweli kbisa na kma ndo uhalisia wake huyu ni husband material

  • @IdrisaNasor
    @IdrisaNasor 8 місяців тому +2

    Mkwe anatak kujua king 🤴 anaondokaa lni

  • @emmysuleiman9912
    @emmysuleiman9912 8 місяців тому +4

    Mbona maa ana saut Ya kiumee🥺🥺🥺au masikio yangu🤷🏽‍♀️

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 8 місяців тому

      Kweli kbisa😂😂😂

  • @FatimahAl-f1d
    @FatimahAl-f1d 8 місяців тому +5

    Wow nimewahi leo 🎉🎉🎉🎉 ila mbona amja achilia vitu? Km wakubali Fungate gonga laki 😊😊

  • @RashidMohammed-n8x
    @RashidMohammed-n8x 8 місяців тому +3

    Kitatange na kungwi kila mtu anafikiria mwezake ni mchawi

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 8 місяців тому +2

    Kitatange pole sana kwa majaribu unayo pitia binadamu ndo tulivyo 😢😢😢

  • @emmysuleiman9912
    @emmysuleiman9912 8 місяців тому +2

    By the way the movie is nice. Congratulation guys

  • @WardatWardat-oh6ih
    @WardatWardat-oh6ih 8 місяців тому +2

    Mupo vizuri sana

  • @ummusalim9165
    @ummusalim9165 8 місяців тому +2

    nimecheka kwa sauti ATI samahamani sanaa

  • @abditari7998
    @abditari7998 8 місяців тому +2

    amina dalili inanyesha utamruka kitatange lakini utabaki kuangaika becareful Amina

  • @MeqatTalal
    @MeqatTalal 8 місяців тому +5

    Sijawah kupat mtu wakwanza😂😂😂

  • @munadifyonza809
    @munadifyonza809 8 місяців тому +3

    Afadhali leo mwanafunzi amejifunza kutojibu kitu

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 8 місяців тому +2

    Kitatange upande husika asa hayamjii ata ayo mawazo

  • @EliabethBarawa
    @EliabethBarawa 8 місяців тому +2

    Mbona mwachelewa

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 8 місяців тому +3

    Fungate moto

  • @sameraakhf5605
    @sameraakhf5605 8 місяців тому +4

    Amina jitande bana ww nimke

  • @BMSChasasa
    @BMSChasasa 8 місяців тому +1

    Kitatange umechemsha pale ulipopokea cm jitahidini beceaful

  • @lizchaka8924
    @lizchaka8924 8 місяців тому +2

    Ala! Huyo mama kwa simu mbona ni mtu mume

  • @RaheryAbbas
    @RaheryAbbas 8 місяців тому +4

    Mwendelezo jaman

  • @AishaHamad-rc5od
    @AishaHamad-rc5od 8 місяців тому +1

    mambo ni bul bul

  • @IbrahimAliahmed-rm6tc
    @IbrahimAliahmed-rm6tc 8 місяців тому +3

    Imepitia chochoko hukooo km wakujua

  • @JefahOfficially
    @JefahOfficially 8 місяців тому +2

    Sijaway tokea wa Kwanza why kila mda chombo ipo kwa hewa😂😂😂

  • @HalimaAme
    @HalimaAme 8 місяців тому +2

    Munachelewa san

  • @عائشةعيسى-ض4ل
    @عائشةعيسى-ض4ل 8 місяців тому +4

    Huyu kaka mganga anaongea kama kungwi jamani ao ni ndugu yake?

  • @AllyHaji-qy1xx
    @AllyHaji-qy1xx 8 місяців тому +2

    Kweny kuongea na sim hapo kwa kitatange mumefel kdg haiwezekn anapokea haloo maa mwisho wa cku tunackia mwanaum tn yup hap hap alip wal saut haitok kweny sim

  • @misisalim7292
    @misisalim7292 8 місяців тому +3

    Kwani imeenda wapi😂

  • @assaasuleiman9412
    @assaasuleiman9412 8 місяців тому +3

    Fungate imepitia njia gani mbona haifiki

  • @mohamedsalum323
    @mohamedsalum323 8 місяців тому +2

    Me naomba kuuliza swali kdg mbon kuna mtu km sielew iv

  • @MuhammedMgwali-ks4xs
    @MuhammedMgwali-ks4xs 8 місяців тому +2

    Hahh yaan ni mach🙄🙄🙄🙄 hatar

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 8 місяців тому +5

    Sasa huyo alopiga simu nimwanamme halafu wamwita Maa,kitatange umechemsha hapo,sauti ya mwanamme wamwita Maa

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 8 місяців тому +2

    Tuko pamoja kuwasapoti

  • @mohamedmkojanimashaallah7712
    @mohamedmkojanimashaallah7712 8 місяців тому +4

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😅😅

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 8 місяців тому +4

    Nausubiria mzigo utuwe

  • @RaheryAbbas
    @RaheryAbbas 8 місяців тому +5

    Mbona haifunguki 😭

  • @alichau3831
    @alichau3831 8 місяців тому +3

    Jamani mzeeheri msameheni mzee mwinyi munamtesa sana