Humu kila mtu anamuona m.baya yule anaemjuwa kwa sababu kitatange ndio mtu wa kwqnza alipaswa kujuwa hili chanzo nini ila hanayo asaaaaaaa tokea siku aloachana na yule demu mpaka Leo hajui ata khabari zake😂😂😂😂😂😂😂😂maana kaacha demu njiani kapata demu mpya mpaka kamuowa 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Tunawashukuru kwa kweli mchezo mzuri sana mie naufatilia toka ya kwanza na tunawapenda kwa sjili ya Allah mtafika mbali wallahi mchezo unafunza mengi unaridhika ukiwangalia kwakweli kila leo unazidi kunoga mno tunawapenda from uk 🇬🇧
Hivi waru munalala UA-cam kweli maana nimeidaka baada tu ya kuingia, nashangaa nakuta comments 17, any way BIG UP kwa washiriki wote, hongera pia kwa zmux ❤🎉
Sas kwanin mama mulihati anamroga amina wakati hanakosa apo wanawake ndipo tunapo koseya alikuwa afnyiye kitatage tu kuna muda amtaje mulihati na yey ateseke tu
@@zmuxzanzibar4583 nawapa hongera saivi kutokana nakazi za mikono yenu tunawakubali na tunawashukuru maana tulikuwa tuna walaumu munacherewesha lakini kumbe nikutokana na mitambo yakurusha sizoni ndio ilikuwa shida tuna wapenda na pambaneni ili watazamaji wafurahi kila mukitowa sizon, vichekeshona habari za ulimwengu duniani❤❤❤❤
Kwa wale ambao hamukuifatilia fungate kuanzia siku ya Kwanza kupostiwa live ndio mmnao ajabu Mara hii episode zimefuatana ...huu ndio ulikuwa mtindo wa kupost ilipoingia Ramadhan ndio ratiba zilianza kubadilika
Tusiwe wakosefu wa fadhila na kuwalaani kila siku hawa ndg zetu ktk kuteletea hii lesson hua wanatumia gharama nyingi kwa kweli sasa mchezo ukicherewa tunachukia tusiwe hivyo jamani haya chuma icho apo kimeachiwa mapemaaaaa bado cha moto kikubwa subra. Hii kazi ni nzito ktk kuikamilisha jamani
😂😂😂😂😂
Mchawi analindwa kwa mkanda 😂😂😂😂😂😂
Mungu awalipe kila la kher katka mafuzo munayo tuonesha jan llove you fungate
Aamin
😂😂😂😂😂mzee mwinyi bhana eti apwesa kama kadondo kanikumbusha kwetu pemba😂😂😂😂😂😂
Huyu mke wake duli Hana wazazi?
Sema mm mama mulhat ananikosha sanna akiekti patizake z uchawi hua hakosei tumpeni maua yake🎉🎉🎉❤
Kitatange leo umenifurahish sana et jitokeze 😂😂😅mzee mwiinyi nae ana mashaka sasa mamake Amina ana kosa gani
Humu kila mtu anamuona m.baya yule anaemjuwa kwa sababu kitatange ndio mtu wa kwqnza alipaswa kujuwa hili chanzo nini ila hanayo asaaaaaaa tokea siku aloachana na yule demu mpaka Leo hajui ata khabari zake😂😂😂😂😂😂😂😂maana kaacha demu njiani kapata demu mpya mpaka kamuowa 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Safi snaaaaaa inapendeza
Tunawashukuru kwa kweli mchezo mzuri sana mie naufatilia toka ya kwanza na tunawapenda kwa sjili ya Allah mtafika mbali wallahi mchezo unafunza mengi unaridhika ukiwangalia kwakweli kila leo unazidi kunoga mno tunawapenda from uk 🇬🇧
Tupo pamoj upo sehem gn kipenxu
@@nasramussa2370 nipo sehemu gani kufika mchezo hii ya leo moto moto tulio fikia bibie mjamzito
Shukran
Hongereni sana kwa kazi nzur
Shukran
Mzee mwinyi jmn et mwanga weeeeee 😂😂😂mke wa duli acha roho mbaya n ww ona hadi King karudi kijijin 😢ila nawapenda ❤🎉🎉🎉😊
Kaz mzuri san
Hii sio move bali ni asali mashallah mashallah
Shukran
Mzee mwinyi mgomvi😂😂😂
Wee MWANAMKE ebu tuliza komwe lako kwn mimba waanza weye loh😮roho mbaya to mimba ni kisingizio to uciwe ivo unajitia sifa mbaya😢😢
Pwesaaaa tu
Nimetoka kwetu kojani nikaja nikakuoa wewe kizimkazi huko si kupotea kudogo, mzee mwinyi hakija unafurahisha sasa 😂❤
Leo namuangalia mama mulhat mpka mwili unasisimka naogopa, nawapata tukiwa america, zmux hamtuangush tunaburudika kwa film za kwetu mkataa kwao mtumwa nawapenda xna Sema uyo mke wa duly Wondemwa anaonekana mkorofi kweli kweli
Mimi nauliza hii tamthilia tunajifuza Nini au ni kupoteza mb
Kuna mengi ya kujifunza kwenye tamthilia hii ikiwa utakua makini
Tunajifunza mengi tu kwanza kumsaidia mwenzako anapopatwa na tatizo
Pole mama amina stahamili
Kitatange ananifurahisha anamlinda mwanga na mkanda 😂😂😂😂😂😂
Hahahahaha kitatange wee noma unamlinda mchawi kwa mkanda
Mamb ni fire mamb bado ya moto😂
😂😂😂😂😂 Mzee Mwinyi hatar
Fungate 🎉🎉🎉 kitatange mchawi atakapigwa na mkanda😂😂😂😂
🎉🎉❤❤
Mama mulhat ndipo atisha na huo uchawi hayo meno
Shapotea zmn kutokea pemba mpk kizimkaz😂kiukwel nawapenda mno ❤mn mnaifany cku yng iwe nzr kila nikiangalia hii kit😊
Hhh santem
❤❤❤❤😊😊
Bi sinajambo kweli umechukua nafasi yako ya utu uzima mashallah ♥️
Bisinajambo ameona bora akamuombee msamaha mzee mwinyi dah
We we mke wa duly sasa hiyo si mimba tena unaleta roho mbaya upendeze❤
Unalala Sanaa kitatange 😂
Pole kitatange dah
Safari hii mmejitqjidi kutufrahisha 🎉🎉🎉🎉
Jupe moyo dadangu
Hivi waru munalala UA-cam kweli maana nimeidaka baada tu ya kuingia, nashangaa nakuta comments 17, any way BIG UP kwa washiriki wote, hongera pia kwa zmux ❤🎉
Asante
Mamb
Huyu bb ya dula anakera😂😂ingelikuwa watu wa mimba yako hivi dunia ingekuwa moto
Tunakukubali sana kitatange
Mume bora mwenyewe upendo wa dhati na mke wake kitatange😊😊
Kitatange halewi heeee, jitokeze
Asema potelea mbali
Mwinyi Asema nishapotea kitambo kutoka kojan Kuja kizimkazi kukuoa wewe kupotea kudogo hapo
Hap kitatange umeupiga mwing eti nakulinda na kuvuta mkanda 😂😂😂😂
Jamani mm ninachokiona huku ndani wanawake wote wamekosa maadili yetu hawataki kujistiri kwnn au kunajoto wajifunike Kang'nga
Sas kwanin mama mulihati anamroga amina wakati hanakosa apo wanawake ndipo tunapo koseya alikuwa afnyiye kitatage tu kuna muda amtaje mulihati na yey ateseke tu
Burudani halisi. Hongera kitatange mapenzi ya dhati. From Dubai
Nampenda bi sinajambo jmaan ,maneno yake tu hunikosha 😂
Mke wa duli we kiboko mimba iyo ya tembo 😏😏😏😏😏
Huyu mke wa dulli kawa anachefu na mdomo wke anavyo uvuta akiongea na mumewe😢😢
hili mwanamke mama kijacho linauharibu mchezo yaan nalichukia limekua korofi
Mzee mwinyi huna busara wala hekima 😊
Bi sina jambo umeyataka wew ayo kitatange alikwambiya usimwambiye baba ake
Kwaio kitatange kwa mlizi
Mzee mwinyi umekoseya kwenda kumtukana mkweo
Tatizo Zmux ndio wanaorusha hii sizon wala sio wanao cheza sizon
Ndio
@@zmuxzanzibar4583 nawapa hongera saivi kutokana nakazi za mikono yenu tunawakubali na tunawashukuru maana tulikuwa tuna walaumu munacherewesha lakini kumbe nikutokana na mitambo yakurusha sizoni ndio ilikuwa shida tuna wapenda na pambaneni ili watazamaji wafurahi kila mukitowa sizon, vichekeshona habari za ulimwengu duniani❤❤❤❤
Movie nzuri sana
Uyo mke wa dulli angekuwa mzuri sijui ingekuwaje
😂
Kitatange na huo mkanda ndio wa kumpiga mchawi😂😂
Wadau w fungate kit kip hewaniiii
Kitatange man of the season,.....🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉
mm cmpendi mkewe duli saiv
Mzee kheri hataki ata kusikiliza 😂😂😂😂😂😂
🇰🇪❤️ MI jamani nampenda duli na mkewe
Huyu anayejidayi anamimba isokuwa simpendi anarohombaya achamumewo amtibu amina
😂😂Kitatange bahna
Tunausubiriiiii😊
tupo tyr kuitizama fungate
Amina uharusi ushaanza kukutoka sasa maana rangi yako imeanza kufifia😢
Oyaa duli apewe mauwa yake kwenye hiy muvu
Shingo kama kichupa cha wino dah
Kitatange halewi heeee, jitokeze 17:59
Maskini kitatange na amina poleni
Kitatange upo vizuri😂
Mambo ni bambam
Mama mulhat umejua kuuvaa ihusika maana utadhania mchawi kweli unatushaaaa 😅
Kwa wale ambao hamukuifatilia fungate kuanzia siku ya Kwanza kupostiwa live ndio mmnao ajabu Mara hii episode zimefuatana ...huu ndio ulikuwa mtindo wa kupost ilipoingia Ramadhan ndio ratiba zilianza kubadilika
Good
Sizon nimeikubal kwel tuwekeen Namba ya kuchangia kutoa pongez
Mama mulhat bhn shungi ilo unaliadhirisha
Naona duli kimewaka sasa na mkewe
Ss kitatange uo mkanda ndo unatak kumpig mchawi😂😂
🎉🎉🎉🎉❤❤
Huyu mchawi kweli maana kafananakabisa
Saiv afadhal na ndio inavotakiwa
Apo sawa naana jana na leo
Wajeur tu
Vp kitatange heeeeeee
Tuko pamoja kitatange mpka mwisho
Wamesikia wamesikia Kusema Nako Dawa
❤
Timu omani mupo tunawakilsha
Tupo
Tupo
🇴🇲 tupoo
Mama mulhat unatisha,,,wala hupendezi 😢
Shida ya movie watu hawawez kuongea wakiwa wanatembea had wasimame waongee wakimaliza ndio waendelee na safar yao
Safi nausubiria hakuna kulala
Tusiwe wakosefu wa fadhila na kuwalaani kila siku hawa ndg zetu ktk kuteletea hii lesson hua wanatumia gharama nyingi kwa kweli sasa mchezo ukicherewa tunachukia tusiwe hivyo jamani haya chuma icho apo kimeachiwa mapemaaaaa bado cha moto kikubwa subra. Hii kazi ni nzito ktk kuikamilisha jamani
Uhakika🎉🎉
Kabisa
@@abdullatif053tt SSI tttt
@@abdullatif053tt SSI tttt
Fact
Sasa Kitatange ulalame upo kwenye Mizani ya imani ... Yatapita tu mitihani yetu sie bina'adam
Hee mupo vizuri jaman yaan mchezo umeachiwa sasa hivi bas comment kama zote
Asante
Shukuran ziwafikiye wazamini
Asante
Mchezo mzima wameuharibu hapa party ya mama ake mulhat mbona hakumtibia mwanae kitatange amuoe.?
Mapema sana kit kipo tyr
Kitatange azidi kuchanganyikiwa jamani bora ateseke yeye kuliko mkewe mbona mchawi hajajitokeza