Kijiwe Mchongo na UTT AMIS S01 E04 - Ijue UTT AMIS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Kijiwe mchongo ni muendelezo wa vipindi vilivyoandaliwa na UTT AMIS vyenye lengo la kutoa elimu ya uwekezaji, namna ya kuanzisha na kuendesha mifuko hiyo ya uwekezaji ili kuwawezesha wananchi kujiwekea akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji.
    Sehemu hii ya nne kwenye kipindi chetu tumeendelea kuwasaidia wananchi kupata uelewa kuhusu UTT AMIS. Ungana nasi ujifunze.

КОМЕНТАРІ • 4

  • @romstatistics2194
    @romstatistics2194 29 днів тому +1

    Aisee nimependa sana hii idea, endeleni kupga KAZI

  • @kjb_user0077
    @kjb_user0077 29 днів тому +1

    Mmechelewa sana Utt Amis kutoa elimu kama Kwa public..maana mpk Sasa ingekuwa na followers wengi sana

  • @SHAURI.2024
    @SHAURI.2024 29 днів тому +1

    Dodoma Hamji

  • @romstatistics2194
    @romstatistics2194 29 днів тому +1

    Ninaomba mtembelee ma vyuoni!