DIAMOND ALIVYOMZAWADIA ARISTOTE MIHELA AMPA MILIONI 30, SUTI BEGA NA VUNJA BEI WAONESHANA JEURI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 361

  • @gloryr9497
    @gloryr9497 2 роки тому +34

    Huyu bwana harusi kiherehere sana Sasa kamlipa Mc wa Nini kweli bongo Kuna vijimambo🤔🤔

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 2 роки тому +28

    Huyu mwanamke,she is black beauty ❤️❤️❤️

  • @jlosomi776
    @jlosomi776 2 роки тому +21

    Jamani wangekuwa wanafanya kufuru hvyo Kwa kusaidiya yatima ingekuwa jambo LA maana sana

    • @marcompesa9073
      @marcompesa9073 2 роки тому +2

      Mungu anawaona ngoja tuwaache ila yatima,wajane,wazee, masikini wa rika zote na walemavu wanaishi kwa shida mno

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 2 роки тому +1

      Pesa za masharti

  • @gabrieljr1422
    @gabrieljr1422 2 роки тому +59

    Bwana harusi kageuka MC jaman sasa garab alifata nn huko 😀😀😀

  • @ikentertainment3145
    @ikentertainment3145 2 роки тому +8

    Profesa jay wasn’t suppose to be in that room with full of jerks

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 2 роки тому +18

    Tuliiwaambia hawatuezii kipesa ata kiuchawii😂😂

  • @alvinmwendwa8356
    @alvinmwendwa8356 2 роки тому +10

    Chawa wetu,, Mama levo ,,ananyemelea pesa ,, aty bosi wangu diamond ,, mshenzi kweli

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 роки тому

      J9. ua-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/v-deo.html

  • @ayubukhamis8673
    @ayubukhamis8673 2 роки тому +9

    Danh kwaiyo ktk watu wote walioko hapo hakuna mtu mwenye ela kumzid mond.maan bwan harusi anavyo jikomba duh.mke wake sijui anajiskiaje.

  • @Zuulito
    @Zuulito 2 роки тому +15

    Watu wana pesa jamani, mimi nahaha ada😥

    • @kwanzamwisho2708
      @kwanzamwisho2708 2 роки тому

      Kubali yaishe, kuna mengi nyuma ya pazia. ujui hizo hela zinakujaje

    • @johnsonmbwana1405
      @johnsonmbwana1405 2 роки тому +1

      Ucjar wakati wetu upo tupambane

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 роки тому +21

    Watu wana pesa jaman daah 😢😢

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 роки тому +1

      Hi. ua-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/v-deo.html

  • @shamsiadamu780
    @shamsiadamu780 2 роки тому +49

    Akili ya hawa watu ni kuwatamanisha wengine kwa kujionesha ufahari wao wa kifedha sio jambo zuri fedha sio kipimo cha maisha mazuri ila ni sehemu ndogo tu ya maisha Kwan maisha yana mambo mengi

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 2 роки тому +7

    Zaman ukiwa Kalibu na mtemi mtemi akifa unazikwa nae ww ukiwa mzima unafukiwa ndobaba levo

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 роки тому +4

    Huyo ndo Msanii Big Platnumz 💎💎🔥 Sema pesa zake zinatesa vijana wanaotoka familia za kimaskini sana

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 місяців тому

    Daimond mashaallah,naomba nisaidie kumlipia mwng ada ya mwaka million 3 ,nahagaika kuitafuta

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 2 роки тому +3

    Awesome anajua kucheza na mastar kiakili hongera sana

    • @liliansingenda7492
      @liliansingenda7492 2 роки тому

      oh mond sjui nini mishabiki mandazi hiyo angekua fup ungeskia sifaujinga kibao ila mondi kidume kutoka kupewa mizengwe yakutupiwa miyai stejin namijtu yaclous mpaka leo umekuwa zaid yao wanamtumia fup nakulialia ila hawataweza sisi tunakuelewa mzee baba usbweteke wapelekee moto

  • @mariamissa2828
    @mariamissa2828 2 роки тому +7

    C Bora hata angevaa suti yako , hiyo suti kama muhudinu wa ndege .harusi ya watu mnaanza kujinadi majugu

  • @magnusraphael2229
    @magnusraphael2229 2 роки тому +52

    Hii ni kufuru naomba kujua kama watoto yatima, na wajane mtaweza kuwafanyia hivi ni wakat wa kuwakumbuka wenye dhiki na taabu na wenye magonjwa.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 2 роки тому +3

      Wanapenda misifa na kujionyesha na mashindano

    • @itsjonahfather7941
      @itsjonahfather7941 2 роки тому +23

      Ndugu yangu maswala ya pesa huwez kumlazimishaa mtu afanyiee nini, Tafuta na ww pesa ufanyee unachowezaa kama kusaidia au hapana, USIMPANGIE MTU MATUMIZI

    • @lulurubby2235
      @lulurubby2235 2 роки тому +5

      Ukifanya wewe inatosha

    • @mao9622
      @mao9622 2 роки тому +5

      Hela zake matumizi upange wewe

    • @shellaking6185
      @shellaking6185 2 роки тому +1

      Diamond anapenda sifa hyo ni sifa tuh.

  • @zaizaitwaha6633
    @zaizaitwaha6633 2 роки тому +8

    Hii sio harusi ni sehemu ya kuwachambia wengine tu

  • @KillionMakinda
    @KillionMakinda 2 роки тому +5

    Bwana Harusi tamaa mingi. Tangu lini tena kageuka MC? Jifunze adabu bwana

  • @happinessmsila1896
    @happinessmsila1896 2 роки тому +24

    Chawa amepewa kazi ya kushika fimbo

    • @theresiakaseno3163
      @theresiakaseno3163 2 роки тому

      Jmn yn🤣

    • @ashuraumari1322
      @ashuraumari1322 2 роки тому

      Ujaangalia vizuli fimbo kaiyacha ilopo kaa iyo yake baba Levo ludia tena kuangalia utagungua kitu ya mondi inan, gaa kama fedha

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 2 роки тому +4

    Wealth should be shared with the need and the poor! We should not use our wealth that God has given to us extravagantly. Poor people and orphans are dying out their because of hunger and lack of shelter,brothers. Spend your wealth for charity and not for fun. Remember the days that you had nothing,bro! You prayed to God to give you less that what you own today. Now that you have more than what you had prayed for,try to show your humanity by supporting the poor and not those who are able. Unless your wealth is from the devil,bro. You will be questioned for all stupid things that you are doing now! Take it from me,bro.

    • @kagirasta1476
      @kagirasta1476 2 роки тому

      Very True

    • @Phoenix_TechAnalyst
      @Phoenix_TechAnalyst 2 роки тому +1

      I think this so negative. You are not in a position to dictate the spending of someone, unless you’re tripping bro.

  • @neemawilliam8415
    @neemawilliam8415 2 роки тому +3

    GaraB pole my dear yaan sidhan Kama umewah kufanya kazi yenye machawa mengiii hv wakakunyima Uhuru wa kazi yako!!!!! Yaaan umepigwa na kitu kizito kichwan halooo

  • @zuhuzuli.5150
    @zuhuzuli.5150 2 роки тому +1

    Mke mrembo mashallah jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤👌

  • @zainabumohamed4763
    @zainabumohamed4763 2 роки тому +14

    Kama MTU hujawahi kwenda Kwa mganga basi usimwite mwenzio mchawi maana wote ni washirikina.yule ambaye hajawahi kwenda basi ndie aongee,

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому

      kabisa mn unajuaje km mchawi km hujenda kumchawiya jamani diamond wa2 wanampiga vita yule harmonize hakustahili kusema vile lkn washauri wake wabaya

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +1

    Mzee mwenzangu profer J ajionea nyotanyota tu kama mie dada ake 🙄😆😆.

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 роки тому +4

    Au kamwolea Diamond maana pesa nyingi mtu akutunze hivyo ahhhh ndio maana wanamtegeshea mimba anapesa ajui azifanyie nin 😁😜😜😁😁

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 роки тому +2

    PESA SI KITU JAMAN. TUNAZIACHA HAPA DUNIAN. TUREKEBISHE NA MUNGU MAISHA YETU JAMAN

  • @newahomwashiuya8858
    @newahomwashiuya8858 2 роки тому +8

    Mungu akubariki diamond❤️💋

  • @omarkalita5340
    @omarkalita5340 2 роки тому +1

    Mmmmh kama alimzawadia kiwanja wapi hati miliki hapo kuna mchezo mana wbc kwa uongo ni namba 1

  • @aboubaqarally9834
    @aboubaqarally9834 2 роки тому +4

    Baba levo umekuwa chawa mpka unaboaa

  • @yeyemardin9119
    @yeyemardin9119 2 роки тому

    Nc

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 2 роки тому +7

    Million 80 bana acheni kupunguza bana

  • @catherineamos7087
    @catherineamos7087 2 роки тому +1

    Duuuuuh!!! Hii Harusi nikuchambana kwanza halafu ubwabwa 🤣🤣🤣🤣

  • @hamisahodari9229
    @hamisahodari9229 2 роки тому +9

    Bwana harus kageuka MC...🤣🤣🤣🤣

    • @rizikikhalid5119
      @rizikikhalid5119 2 роки тому +2

      Uyo mama levo kama kipofu na iyo fimbo

    • @hamisahodari9229
      @hamisahodari9229 2 роки тому +2

      @@rizikikhalid5119 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaaaan

  • @roseukanda6015
    @roseukanda6015 2 роки тому +1

    Diamond uwo ndiyo uhutu kabisa mungu akubariki

  • @ibrahimyussuf3079
    @ibrahimyussuf3079 2 роки тому +2

    Mimi pia nawa chawa wa diamond sio Kwa pesa hizo

  • @angelbarnabas7075
    @angelbarnabas7075 2 роки тому +3

    Jamani aristote ana vituko sogezeni camera 📸🤣🤣🤣

    • @jp1780
      @jp1780 2 роки тому

      Kwasababu wajinga wangelisema yalikuwa fake kwaiyo alifanya vizuri

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 роки тому +3

    Huyo ndo Msanii wengine wabana makoo tuu ila njaa zinawaua..Big Simba 🦁💪🙌🙌

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 роки тому +2

    Chawa ukijitunza kama aristote, lokole na Baba levo we nizaidi ya boss wako maana anavyokuthamini hadi anajisahau yeye.

  • @mkumbosamson7981
    @mkumbosamson7981 2 роки тому +5

    Acheni mambo ya kuabudu sanamu mwabuduni Mungu aliye hai

  • @sumecute2513
    @sumecute2513 2 роки тому +7

    Jmn,mondi unakosea,mbn hiyo pesa yote usimnunulie babako nyumba,we unawazawadi marafiki hata kama sio babako lkn alikulea maskini nzee Abdul

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +5

      Usimpangie wa usimuingilie mtu kwenye maisha yake, siri za ndani na whatever transpired toka akiwa mtoto hakuna ajuaye the whole story.
      Kuhumu binadamu ni kazi ya Mungu peke yake.

    • @sumecute2513
      @sumecute2513 2 роки тому +1

      @@unclepwechnov1381 🙌sijaingilia maisha ya mtu wala sijampanhia mtu hayo maoni tu

    • @abubakarkassimmwinyimwinyi6382
      @abubakarkassimmwinyimwinyi6382 2 роки тому +4

      Wewe ushamnunulia Baba baikeli? Hayakuhusu

    • @dcgcnyanza8877
      @dcgcnyanza8877 2 роки тому +1

      Mond ana misifa kweli anashindwa kutengeneza mazngra ya mzee abdul,

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +5

      Kuna watu wamegeuka wasemaji wa 'mzee' Abdul bila kujua undani wa maisha yao, wengi ni haters wa Diamond ambao feelings zake means nothing to them.
      Kila mja ana machungu moyoni mwake na kusamehe aliyopitia ni hiyari wala si lazima.

  • @jeremiahpaul9345
    @jeremiahpaul9345 2 роки тому

    Chawa baba levo

  • @MBGolden
    @MBGolden 2 роки тому

    Asante kwa kupiga nimbo yangu 🙏🏾🙏🏾

  • @kavoomshana7289
    @kavoomshana7289 2 роки тому +5

    Apeleke ulimbuken wake huko huyo sadala Hana lolote,nikuminya wasanii ndo anajua na kuja kuonyesha ufahali kwenye harusi..

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 роки тому +2

    Kila mtu na Chawa wakee jamaniii🤣🤣🤣

  • @ashurachariomar1701
    @ashurachariomar1701 2 роки тому +1

    Wasiompenda diamond bure yao mm nampenda bureee

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому

      kabisa mie ndo usiseme nampenda sana haswaa na mwanangu pia anampenda haswa na hayuko Tz

  • @judytabby2777
    @judytabby2777 2 роки тому +1

    Bwana harusi kiereere kaa nini

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 2 роки тому +8

    🤣🤣🤣🤣 hapo mama levo anatamani aolewe na yeye atunzwe 🤣🤣🤣

  • @habibukilango7738
    @habibukilango7738 2 роки тому +9

    Anataka acheze na akili zetu...Tz wake up sa huyu bwana harusi au Mc 😅😅😅....ongelea maisha yako wewe utaishi vp na mkeo we wamsifia mtu Ahahahahah kaz kwel kwel

  • @neemaballati7526
    @neemaballati7526 2 роки тому +5

    Ila mwijaku anakera jmn D wangu mungu akuweke baba

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 роки тому

      Y7. ua-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/v-deo.html

    • @nersonjoseph5369
      @nersonjoseph5369 2 роки тому

      Mzee wa kunyoosha maneno

    • @allamki2661
      @allamki2661 2 роки тому

      Ni kutaka tu sifa...watu wamsifu....angempa..jeki bila mtu kujuwa

  • @mariamissa2828
    @mariamissa2828 2 роки тому +3

    Ungekakimya ingependza Ili watu wakushereheshe

  • @mutwirithirinja2457
    @mutwirithirinja2457 2 роки тому

    Tz mtatuonyesha mambo 🥰

  • @remmysbrand
    @remmysbrand 2 роки тому +5

    Huyu jamaa ni tajiri ila mshamba..... Matajiri wa Kibongo kwa kujitutumua bwana!

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 роки тому +4

    Million 80! Uku 30 tushike lip Simba kama simba

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +1

      Kiwanja cha million hamsini na million thalathini cash

  • @lovenessedward5478
    @lovenessedward5478 2 роки тому +3

    Ovyoo kabisa eti "Diamond this! Diamond that" Kma machoko unamuongeleaje mwanaume mwenzio hivyo kweli chawa ni bimdogo

  • @zenj1986
    @zenj1986 2 роки тому +5

    Acheni ushamba kuvaa miwani nyeusi usiku🤔🤔🤔🤔🤔

  • @ethiopidemakaveli6644
    @ethiopidemakaveli6644 2 роки тому +1

    Kusoma ni vizuri rafiki zangu.ujinga mubaya na kulelewa namamako tu si vizuri .domo sadala ni mujinga, mchafu, shoga na mushamba.harmonize kamukondesha hakili

    • @stevemwakisimba5986
      @stevemwakisimba5986 2 роки тому +2

      We mkundu acha ujinga wako mbona baba yako mama yako hawajasoma na bado wakakuleta wewe ambae hata vidudu hujasoma achana na diamond atsendelea kupakatwa

    • @jimmybusiliye588
      @jimmybusiliye588 2 роки тому

      Mpe nawe huo mkundu akufile

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 роки тому +2

    Anapesa ama anataka kufunika kombee kujishauwa tuuu

  • @neemaballati7526
    @neemaballati7526 2 роки тому +1

    Ila kuna vijembe hatarii

  • @johnyagat973
    @johnyagat973 2 роки тому

    Mbona tu Mach mane anataka kumwaga moto atulii sehem moja mwijaku na ye yumo tu

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

    Mmmmmmmm, tutafute pesa Jaman!!! Maan mc 3 had baba levo

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +2

    Mhm kazi ipoo watazamaji tumepgwa na kitu kizito kichwan

  • @kapendalubowa534
    @kapendalubowa534 2 роки тому +12

    Mnalalamika Nini?Wasanii pesa wanazipata wapi si mnawachangia ninyi Wenyewe mpaka wanatajirika kwa kuwauzia sauti zenye nyimbo za hovyo na zilizojaa matusi,alafu mnakuja kulalamika baadae.🤔🤔🤔

  • @fatmaabdul1407
    @fatmaabdul1407 2 роки тому +6

    Full mipasho mweeh!! Kila mmoja na chawa wake na majigambo yake kazi ipo!!

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 2 роки тому +1

    Hii ilikua rambirambi sio harusi make sio kwa upuuzi huu umegeuka ombaomba kwenye harusi, pia pole Mc make hii ilikus kigodoro

  • @abdallahomary1480
    @abdallahomary1480 2 роки тому +2

    Kwani ukitaki diamond aje kwenye shughuli yako una pija ngapi ngapi eti jaman

  • @petercosta1317
    @petercosta1317 2 роки тому

    Daah watu na pesa zaoo

  • @bintimsemakweli455
    @bintimsemakweli455 2 роки тому +2

    Zimerudishwa zote hizi pesa. Mbona boss feki kashindwa kulipa magari yake ya gharama kodi?

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 2 роки тому +9

    *Ndugu zangu kwa heshima naomba muangalie video ya wimbo uitwao Je Utavumilia kwa bofya picha pembeni 👈💕🙏👈 kuutazama naamini utaupendaaa*

  • @udakutv6973
    @udakutv6973 2 роки тому

    WAMAKONDE WAMJIA JUU HARMONIZE WAMTAKA AOMBE MSAMAHA KWA DIAMOND
    ua-cam.com/video/Toldeu_VYtg/v-deo.html
    ua-cam.com/video/Toldeu_VYtg/v-deo.html
    ua-cam.com/video/Toldeu_VYtg/v-deo.html

  • @osoromageta3381
    @osoromageta3381 2 роки тому +1

    Kikubwa uzima na amani unaweza pata pesa ndefu lakini mm kapuru nikakuzidi amani 😂

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому

    Ela zaenda kwenye w2 wenye ela...duuh

  • @malemiconstruction1449
    @malemiconstruction1449 2 роки тому

    Aristote n nan hapa tz.

  • @pastor_benjie
    @pastor_benjie 2 роки тому +1

    akili zetu wabongo, hapo sijaona cha maana kabisa , kwanza uyo Bwana harusi au MC?, bored

  • @andrewisaac171
    @andrewisaac171 2 роки тому +1

    Hakuna pesa inaweza kuhamiswa kwa cheki 15m mwisho huwa ni 10m

  • @siliviasimon7970
    @siliviasimon7970 2 роки тому +3

    🔥🔥🔥❤️❤️❤️🦁🦁

  • @darklovely6877
    @darklovely6877 2 роки тому

    I don't believe D gave him money just like that🤑🤑🤑please ppl you all need to wake up is business!!!! 😪😜

  • @rukiarashid3669
    @rukiarashid3669 2 роки тому

    Kwani mwenye suti ya orange kaitwa?

  • @stellamsangi4281
    @stellamsangi4281 2 роки тому +1

    Aristotee wewe umekuwa MC? Unaongea hadi kichefuchefu Yaani

  • @dicksonluena3266
    @dicksonluena3266 2 роки тому

    Oy Maisha Ya Amani Sio Pesa,,,,Pesa Chanzo Cha Presha,,Pesa Ina Asilimia Robo Kwa Maisha,,,Robo Tatu Upendo wakweli Siopesa

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 2 роки тому

    Baba levo chawa wa maana sana

  • @shukurulymo9882
    @shukurulymo9882 2 роки тому

    👃 saivi kawa bodigadi jamani wew ela

  • @fatmatwalib8179
    @fatmatwalib8179 2 роки тому

    Baba Levo haaa upunguze mda mwengn

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 2 роки тому +4

    Uniwez kipesa acha aonyeshe jeur ya pesa ndan ya camera nje ya camera ziludishe 🤣🤣🤣

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 2 роки тому +1

    Uongo mtupu baadae zinarudishwa hizo huo mchezo upo

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 роки тому

    Mke ndo hana hapo! Bibi harusi gani mbaya hivo! Sura kama matembele yaliyo lala!

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 2 роки тому +1

    Sifa za hivyo mtu unayejitambua lazima uzikatae

  • @trumptz6821
    @trumptz6821 2 роки тому +2

    Respect allystote

  • @nekashash2190
    @nekashash2190 2 роки тому

    Huyo mwijaku mbona km hajakaribishwa hapo 😂
    Mbona hana point 😂😂
    Hivi alialikw kweli?

  • @zippypretty6949
    @zippypretty6949 2 роки тому +1

    Baba levo akiona Hela🤤🤤🤤🤤🤔

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 2 роки тому +2

    Chawa wa daimond Hawa sasa we ni mc au bwana harus🤣🤣🤣

  • @elielekelele3582
    @elielekelele3582 2 роки тому

    🔥✌️

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 2 роки тому

    Dah mondi unajuwa chezeya akili za wafasi wako naami wengi wao apo wataunga harusi za haraka haraka kwakutaka wapewe misaada na jibu.ivi salam havutiwagi na ivyo vyote kwanini asifanye harusi naye.

  • @hawahabibu3881
    @hawahabibu3881 Рік тому

    Diamond cku nyingine utupege na Cye wenye uhitaji wanaongezewa wenye nazo tu🙄

  • @josephjohn9578
    @josephjohn9578 2 роки тому +1

    Huyu bwanaharusi nae kiherehere sasa alimleta mc wann huku snaongea yy 2

  • @syphroseshazala6854
    @syphroseshazala6854 2 роки тому

    🔥🔥

  • @pascaljr.5439
    @pascaljr.5439 2 роки тому

    Zawadi co mpk uonyeshe mbele kadamnasi kwamb una hela cku zikiwaishia mtaficha wapi sura zenu

  • @aminamwanakombo2097
    @aminamwanakombo2097 2 роки тому

    Baba levo jamani

  • @pendotemba3614
    @pendotemba3614 2 роки тому

    Yani kuwa chawa ni kaziii jamni unateseka unatetemeka kwa mtu mwenye khaa,yani baba levo anateseka mbayaa

  • @Malkey4real-330
    @Malkey4real-330 2 роки тому

    ua-cam.com/video/wy_mr-kum2o/v-deo.html gusa hapo