DAAWA ONLINE TV
DAAWA ONLINE TV
  • 231
  • 385 183

Відео

DUA KUBWA KWA RAISI MAMA SAMIA NA KULIOMBEA TAIFA KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 6921 день тому
SHIRIKI NA USIKU KUAMKIA IJUMAA
MUUJIZA WA QUR'AN SURAT KAHFI PRO- MBOGO TZ AKICHAMBUA MAAJABU SAYANSI NDANI YA QUR'AN.
Переглядів 69Місяць тому
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE LIKI NA SHARE USHIRIKI KUSAMBAZA DAAWA HII KWA WENGINE
NDACHA NATAKA MDAHALO NAWEWE TUMIA KITABU CHOCHOTE NIKUNYOOSHE
Переглядів 104Місяць тому
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE LIKE COMMENT NA SHARE KWENYE KWENYEMAGROUP YA WHATSAPP
SHEIKH MBOGO TZ ATHIBITISHA KUWA INJILI YA MATHAYO IMESAHAU KUANDIKA UKOO WA YESU
Переглядів 693 місяці тому
USISAHAU KUSUBSCRIBE COMMENT LIKE NA KUSHARE
JE NIKWELI NABII ISSA SIYO YESU? JIANDAE KUSOMA BY SHEIKH MBOGO TZ
Переглядів 713 місяці тому
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE LIKE NA SHARE
SHEIKH OTHUMAN KHAMIS AFUNGUKA MAMBO MAZITO KUHUSU KUWAOMBEA DUA MAREHEMU
Переглядів 663 місяці тому
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE LIKE SHARE NA COMMENT YAKO
WAISLAM TUNA MFATA NABII IBRAHIM KWA HILI LAZIMA MWAKANI WOTE TUTATIMIZA IBADA YA KUCHINJA
Переглядів 454 місяці тому
USISAHAU KULIKE SHARE NAKUTOA COMMENT YAKO
VIJANA WA MADRASA WAKIMSWALIA MTUME SAW. UTAPENDA MUISLAM
Переглядів 255 місяців тому
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE LIKE NA KUSHARE
AL-MALLID ISLAMIC TUNA UWANJA MKUBWA KIGAMBONI MATAJIRI NJOONI MJENGE MSIKITI NA SHULE
Переглядів 556 місяців тому
USISAHAU KUSUBSCIBE LIKE COMMENT NA SHARE
MAAJABU YA AYA RAMADHANI NDANI YA QUR'AN BY SHEIKH MBOGO TZ
Переглядів 567 місяців тому
SUBSCRIBE KUONA MUENDELEZO WA MADA TOA COMMENT LIKE NAKU SHARE
UDINI KWENYE AJIRA WAKRISTO 51 WAISLAMU 12 HII NI LAANA YA NCHI
Переглядів 887 місяців тому
USISAHAU KUSUBSCRIBE LIKE NA KUSHARE NATOA COMMENT
SHEIKH MBOGO AKUTANA USO KWA USO NA MZEE MAKANGE KIJIJINI CHANGALIKWA KOROGWE TANGA
Переглядів 599 місяців тому
SUBSCRIBE LAKE SHARE NA GONGA COMMENT
JE UKIFA NAKUACHA PICHA ZAKO ZISIZO NA MAADILI ANI ATAKUSAIDIA KUFUTA ACCOUNT YAKO?
Переглядів 479 місяців тому
SUBSCRIBE LIKE SHARE NA KUGONGA LIKE YAKO CHINI YA VIDEO HII
KIJANA MWENYE SAUTI INAYO FANANA NA SHEIKH KISHK AENDELEA KUTOAsis DAAWA
Переглядів 6659 місяців тому
USISAHAU KUSUBSCRIBE LIKE SHARE NATOA COMMENT YAKO
PACHA WA SHEIKH NURDEEN KISHK{ US -KIDEGE } ATOA KHUTBA NZITO
Переглядів 1,1 тис.10 місяців тому
PACHA WA SHEIKH NURDEEN KISHK{ US -KIDEGE } ATOA KHUTBA NZITO
PACHA WA SHEIKH KISHKI AWA GUMZO JIJINI DAR {SHEIKH KIDEGE}
Переглядів 1,1 тис.10 місяців тому
PACHA WA SHEIKH KISHKI AWA GUMZO JIJINI DAR {SHEIKH KIDEGE}
KUMEKUCHA MDAHALO WA DR SULLY VS PASTOR NDACHA TAREHE 16 - 17 DECEMBER
Переглядів 15611 місяців тому
KUMEKUCHA MDAHALO WA DR SULLY VS PASTOR NDACHA TAREHE 16 - 17 DECEMBER
MDAHALO KANISANI SHEIKH MBOGO TZ VS MCHUNGAJI CHIKAWE /UHARAMU WA NGURUWE
Переглядів 10511 місяців тому
MDAHALO KANISANI SHEIKH MBOGO TZ VS MCHUNGAJI CHIKAWE /UHARAMU WA NGURUWE
AYA GANI YESU KALA NYAMA YA NGURUWE? MCHUNGAJI CHIKAWE ASHINDWA KUJIBU SWALI LA SHEIKH MBOGO TZ
Переглядів 4711 місяців тому
AYA GANI YESU KALA NYAMA YA NGURUWE? MCHUNGAJI CHIKAWE ASHINDWA KUJIBU SWALI LA SHEIKH MBOGO TZ
JE AYA GANI YESU KARUDISHA PUNDA WA WATU ILI AWE MKWELI MWAMINIFU. PRO MBOGO @ DANIEL
Переглядів 60Рік тому
JE AYA GANI YESU KARUDISHA PUNDA WA WATU ILI AWE MKWELI MWAMINIFU. PRO MBOGO @ DANIEL
KUMBE WAISLAMU WALIMCHANGIA NYERERE NAULI KWENDA KUTAFUTA UHURU WA TANGANYIKA
Переглядів 58Рік тому
KUMBE WAISLAMU WALIMCHANGIA NYERERE NAULI KWENDA KUTAFUTA UHURU WA TANGANYIKA
HAKUNA MUISLAMU ATAKAYE SHIRIKI MAANDAMANO YA MDUDE NA GENGE LAKE
Переглядів 54Рік тому
HAKUNA MUISLAMU ATAKAYE SHIRIKI MAANDAMANO YA MDUDE NA GENGE LAKE
MKIACHA UNAFIKI MASHEIKH HAPA MTAONA SHEIKH SABASI ALIMTIA KIBANO MTOTO WA BACHU
Переглядів 21 тис.Рік тому
MKIACHA UNAFIKI MASHEIKH HAPA MTAONA SHEIKH SABASI ALIMTIA KIBANO MTOTO WA BACHU
KAIMU KATIBU MKUU ALMALLID TAIFA MOHAMMED KABUTAL
Переглядів 69Рік тому
KAIMU KATIBU MKUU ALMALLID TAIFA MOHAMMED KABUTAL
NANI MUANZILISHI WA UDINI TANZANIA NI MAASKOFU AU MASHEIKH?
Переглядів 87Рік тому
NANI MUANZILISHI WA UDINI TANZANIA NI MAASKOFU AU MASHEIKH?
MAASKOFU HAWAJAWAHI KUTOA WARAKA NYERERE, MKAPA WALA MAGUFULI
Переглядів 121Рік тому
MAASKOFU HAWAJAWAHI KUTOA WARAKA NYERERE, MKAPA WALA MAGUFULI
WATANZANIA WOTE WANAHAKI YA KULIPA KODI
Переглядів 23Рік тому
WATANZANIA WOTE WANAHAKI YA KULIPA KODI
MATAMSHI YA MAASKOFU YAIIBUA MASHAKA KWA WAISLAMU BY SHEIKH MBOGO
Переглядів 341Рік тому
MATAMSHI YA MAASKOFU YAIIBUA MASHAKA KWA WAISLAMU BY SHEIKH MBOGO
Jina la Qur'an na Maajabu yake By Sheikh Suleiman Mbogo Tz
Переглядів 132Рік тому
Jina la Qur'an na Maajabu yake By Sheikh Suleiman Mbogo Tz

КОМЕНТАРІ

  • @ZuberiyIsmail
    @ZuberiyIsmail 8 годин тому

    Kw hyo Toka mwez wa 5 Hadi mwez wa 12,ni miez mi 5?????

  • @AmosiKajuna-v3h
    @AmosiKajuna-v3h 20 годин тому

    Dogo biblia ujui kabisa zero kabisa wapi kumeandikwa asiye sujudu anatenda dhambi roho inakuuma maana usipo rudi kwa Yesu utaeda motoni

  • @HusseinKhoja-e1y
    @HusseinKhoja-e1y 22 години тому

    Mashaallah Allah Akubariki ndugu yetu katika uislam

  • @GladysVyagusa
    @GladysVyagusa День тому

    Njoo kwa YESU uokoke huko umepotea kabisa Yesu ndiye njia ya kweli na uzima mtu hatafikq kwa BABA bila kupitq kwa Yesu.

  • @MariamGhorra
    @MariamGhorra 2 дні тому

    MashAllah❤❤❤❤

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 2 дні тому

    Hawa matapeli wa dini za MUNGU waakamatwe waafuungulliwe mashitaka hawana lolote Hawa wanatumiwa kijinga hakuna lolote

  • @ElijahLokwee
    @ElijahLokwee 2 дні тому

    Chuma samson

  • @AmosiKajuna-v3h
    @AmosiKajuna-v3h 2 дні тому

    Bado sana dogo bibilia uijui wala uo uslamu ulio ingia haujui ila unatangatanga ila nimaombi yangu Mungu akusaidie urudi kwenye ukristo

  • @AmosiKajuna-v3h
    @AmosiKajuna-v3h 3 дні тому

    Pole dogo umepotea kitabu chao kinasema kuna majini mazuri na yenyewe yanaswali msikitini siyo wakristu wanasema Mungu akusaidie urudi kwenye ukristo

  • @RoseKimishabhalemi
    @RoseKimishabhalemi 3 дні тому

    Pumbafu

  • @AdamYussuf-bd6sh
    @AdamYussuf-bd6sh 4 дні тому

    Siku zote allaah humuongoza anae taka ndo sikuzote ilivyo

  • @MORRISMBAJI
    @MORRISMBAJI 5 днів тому

    Umepotea kijana, katika mambo ya Mungu hakuna kitu kama Dini, halafu ujue Mungu si mtu, nadhani unalifahamu hilo, Yesu alizaliwa na miezi sita mnasema haliwezekani mmerogwa, sikieni Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu Yote yanawezekana!! Kwanza wewe ulikuwa mwalimu wa Dini sio Mwalimu wa Neno kwahio kwa ufupi wewe unaitwa Nikodemas, mwalimu wa wajinga, jifunze mwenyewe ndio ufunze wengine.

  • @Paulo-c9z
    @Paulo-c9z 5 днів тому

    Sio mbaya ukaamua kuwa fata wafuga majini ongera

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 6 днів тому

    Huyu dogo anaonekana mapepo yamejaaaa kabisa kivhwani mwake😊😊

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 6 днів тому

    Mapepo tu hayo yamekupeleka huko

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 6 днів тому

    Kwanza bado mdogo Kwa hiyo maamzi aliyoifanya niyakitoto

  • @Mayasaaliy
    @Mayasaaliy 6 днів тому

    Dini ya kwel ni uislamu na ndio dini ya haki hata yesu alikua muislamu akuwai kiingia kanisanii na hakukua na kanisaa

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h 7 днів тому

    Watu waone na wafahamu namna ZNZ inavyofanyiwa kwa sababu ya Uislamu Walimu ni watendaji wa serikali wanafanya kitendo Cha kinyume maadili ya kazi

  • @MaulidiKigumi-m4i
    @MaulidiKigumi-m4i 7 днів тому

    Mungu akuhifadhi

  • @mubaarakhassani5746
    @mubaarakhassani5746 7 днів тому

    ALLAH akujazie kila la Kheri Nakupenda kwa Ajili ya ALLAH

  • @daudisephu1292
    @daudisephu1292 8 днів тому

    MAshaallah

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 8 днів тому

    Umatumalizia bando dogo

  • @ZamraniSuleiman
    @ZamraniSuleiman 8 днів тому

    Mashaallah Allah akujaliye maisha mazur hapa dunian na akhera inshaallah ❤❤❤

  • @zainabusadi6469
    @zainabusadi6469 9 днів тому

    اللهم صلى وسلم على سيدنا وحبيبنا ونبينا محمد صلى الله عليه وسلم ❤❤❤❤❤

  • @AdiyaShariff
    @AdiyaShariff 9 днів тому

    Ashukuriwe sana Allah kwa kukuongoza kuingia ktk dini ya haki. Upo ktk njia sahihi endelea kuusoma uislamu kijana wangu inshallah utafika mbali. Nakupenda kwa ajili ya Allah❤❤

  • @morrisairo8267
    @morrisairo8267 10 днів тому

    Huyu si wa kutupotezea muda, hajui asemalo.

  • @morrisairo8267
    @morrisairo8267 10 днів тому

    Sio mwezi wa 5, Biblia inataja mwezi wa 6, na huo mwezi wa sita sio June kama unavoeleza, dogo unayumba, Biblia huijui, unauumba, Sema umetekwa mawazo! Hata mafungu unayotaja hayasemi hivo, unayaachia nusu!! Pole sana Mungu atakuita.

  • @morrisairo8267
    @morrisairo8267 10 днів тому

    Biblia hukuijua dogo, labda ulikariri!!

  • @morrisairo8267
    @morrisairo8267 10 днів тому

    Mungu akurehemu dogo!!

  • @morrisairo8267
    @morrisairo8267 10 днів тому

    😭

  • @jeremiamadinga9579
    @jeremiamadinga9579 10 днів тому

    Huyu nimuongo sikiliza vizuli mazungumuzo

  • @Dutichgogo
    @Dutichgogo 11 днів тому

    Pore sana dogo wewe yawezekana mbegu ya ibilisi kasome bibilia mathayo 13--- 14 mpaka 20

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 11 днів тому

    Mbona mnafuta comments zetu. Wahuni wakubwa nyie. 01:08

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 11 днів тому

    ua-cam.com/video/qz4KFAbZ8-I/v-deo.htmlsi=f5CBvxo8KwSPxgj9

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 11 днів тому

    Naomba namba ya huyu mtoto.

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 11 днів тому

    Wacha uwehu! Waliojifunza kwa gwajima sio vilaza kama wewe. Hata binafsi sikujui! Wapotea kwa kutokuyajua maandiko. Askofu,Mh, Dr. Josephart Gwajima ni mwalimu mzuri sana. Kama kwake umejifunza na umetoka ukiwa kilaza hivyo basi una laana!! Pole sana

    • @jumaazuberi9317
      @jumaazuberi9317 3 дні тому

      Pole tukupe wewe usietumia akili yako na kutengemea akili ya gwajima kiasi umeshindwa kutafakari hayo maandiko kama alivyofanya huyu kijana mdogo.

  • @simbi-u4k
    @simbi-u4k 11 днів тому

    M/Mungu atakujalia sana Inshaalah Umeingia ktk dini sahihi. Wasche wakuseme sana lakini mwisho wa siku utakua peke yako hiyo siku ya Kiyama.

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 11 днів тому

    Umepigwa dogo

  • @saidshija892
    @saidshija892 12 днів тому

    1 Yohana 2:18-19 [18]Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho. [19]Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.

  • @saidshija892
    @saidshija892 12 днів тому

    1 Yohana 4:3 [3]Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

  • @saidshija892
    @saidshija892 12 днів тому

    Waebrania 6:4-8 [4]Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, [5]na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, [6]wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri. [7]Maana nchi inayoinywa mvua inayoinyeshea mara kwa mara, na kuzaa mboga zenye manufaa kwa hao ambao kwa ajili yao yalimwa, hushiriki baraka zitokazo kwa Mungu; [8]bali ikitoa miiba na magugu hukataliwa na kuwa karibu na laana; ambayo mwisho wake ni kuteketezwa.

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk 12 днів тому

    Ndacha na Paulo Mungu awabariki maana Mungu amewaweka kwaajili ya kuwaokoa Waislamu waliopotelea kwenye Uislamu Wampokee Yesu.

  • @chris-moses7320
    @chris-moses7320 12 днів тому

    poleee

  • @icesue6613
    @icesue6613 12 днів тому

    Kama Kwa kumsikiliza mazinge pole sana. Profesa biblia haijui kabisa. Poleee

  • @richdsr3517
    @richdsr3517 12 днів тому

    KOSA LAKO KIJANA NI KUJIINGIZA KTK UALIMU WA UKRISTO WAKATI BADO ULIKUA HUNA MAFUNDISHO, MAANDIKO YA BIBLIA UNAYACHANGANYA NDIYO MAANA UMEDANGANYIKA MAPEMA!! UMEONA WANAFUNZI WA YESU WANATAWADHA UKADANGANYIKA KUA YESU NI MUISLAMU, KWANI ULIKUA HUJUI YESU ALIKUA MYAHUDI?? NA WAYAHUDI WANATAWADHA?? UKRISTO UMEZALIWA TOKA KTK UYAHUDI, NA MUISLAMU WA KWANZA NI S.A.W MWAKA 600AD UKRISTO UKIWA TAYARI UPO. QURAN INASEMA MARIAM NI DADA YAKE NA HARUNI, WAKATI BIBLIA INASEMA MIRIAM NDIYE DADA WA HARUNI, RUDI KATIKA UKRISTO AU ENDELEA KUDANGANYIKA HUKO AMBAKO MUHAMMAD MWENYEWE ANASEMA HAJUI ATAKACHOFANYWA

  • @NdayishimiyeFrançoise-f3f
    @NdayishimiyeFrançoise-f3f 13 днів тому

    Aca micezo.nani.anaweza.kuonja.utamu.wa.Yesu.kritso.aatoke.aca.kutengeneza.cinema..Yesu.ni.njiya.yakweri.naujima.kupitiya.yeye.tukonakibali.cakufika.mbingu.

  • @HerielyMjemah
    @HerielyMjemah 13 днів тому

    Pole San rafiki yangu usijisifu kuwa unaijua biblia umepotea San muombe mungu akuongoze na usiongozwe na hisia haupo sahihi siwezi kukuficha umepotea na wewe kuitw mchungaji haimaanishi kua upo sahihi

  • @rodenwapalila7875
    @rodenwapalila7875 13 днів тому

    Mungu Hana dino maana yeye SI kiumbe kama sisi.Biblia inasema wazi katika Injili ya Yohana sura ya 14:mstari wa SITA kwamba:-'Yesu ndiye njia kweli na uzima, na mtu hawezi kufika kwa Mungu ila kwa njia ya Yesu. Hivyo hicho unachoamini subiri utakakoishia, Kijana unaejieleza hujui chochote kuhusu Biblia na kama ulikuwa unafundisha ulikuwa unawadanganya. .

  • @HajatsafiunaKiangi
    @HajatsafiunaKiangi 13 днів тому

    Masha Allah.mungu alikupeleka njia sahihi acha wabaki wakibadilisha matoleo mapiya yakale..ndo zao

  • @emmanuelfabian-d2u
    @emmanuelfabian-d2u 13 днів тому

    Hakuna dini yakwel acha usenge sema naiman yako ndo din yakwel