Taarab Zilipendwa- Kifo cha mama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 259

  • @noelabel5700
    @noelabel5700 Рік тому +11

    Nyimbo hii huwa inaniliza sana juu ya kifo cha Mpendwa Mama yangu, lakini pia hunifariji sana najikuta tu natamani kuisikiliza hasa ninapomkumbuka Mama na alivyokuwa akinifanyia mema ya malezi..
    Hakika I miss you MAMA 😭😭🙏
    Poleni sana wote tuliopoteza Mama zetu tusiache kuwaombea roho zao zikawe mahali pema peponi.. Amina..🙏

  • @jamalimugele569
    @jamalimugele569 6 років тому +26

    Pole yetu tuliofikwa a haya matatizo mungu atupe nguvu

  • @joharihessen1143
    @joharihessen1143 5 років тому +25

    Yaan nikisikiliza hii nyimbo nalia sana Allah akurehem mama yangu akupe kauli thabiti mama yangu akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia akusamehe madhambi yako

  • @latifakassim491
    @latifakassim491 6 років тому +13

    Mwenyezi mungu akulaze mahala pema peponi marehemu mpenzi mama yangu

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 4 роки тому +5

    Yarab huu wimbo nilikua nausikia tu wallah leo umenihusu rasimi mama pumzika kwa amani ukawe miongoni mwa waja wa peponi alhamdulillah

  • @rashidamour4359
    @rashidamour4359 2 роки тому +3

    YAA ALLAH QARIIM MSAMEH MAMAAMGU NA UMREHEM NA MJAALIE KUWA NI MJA WA PEPONI...AAMYN, NA WAMAMA WA NDUGU ZANGU NA WAMAMA WA WAISLAM WENZANGU WOOOTE...AAMYN YAA RABBIL AALAMYN. POLENI SANA NA TUPOENI WOTE AMBAO MAMA ZETU WAMETANGULIA MBELE YA HAKI' HAKIKA INAUMIZA SANA UKISIKIA HUU WIMBO LKN NI KAZI YAKE JALLAH JALAAL ! ASANTENI SANA KWA UKUMBUSHO HUU. WASSALAM.

  • @franksaidi3635
    @franksaidi3635 5 років тому +31

    Yaa Allah, Yaa Rahman, Yaa Rahim! Have mercy on our beloved parents! Kwa wale wote tuliopoteza wazazi wetu Allah atupe Imani inshaAllah!

  • @damtumct6720
    @damtumct6720 6 років тому +15

    Ni machozi tuu!!! Yaani dahh!! Ni inauma sana ila kazi ya Mungu haina makosa. ALHAMDULILLAH

    • @piligeorge8278
      @piligeorge8278 4 роки тому

      Kuondokewa na mama ni msiba usiofutika moyoni

  • @mikidadimhagama5200
    @mikidadimhagama5200 2 роки тому +4

    Nyimbo inanikumbusha kifo cha mke wangu nikiwaangalia wanangu wameondokewa na mama yao allah amlaze mahala pema.

  • @allymbaya6411
    @allymbaya6411 Рік тому +1

    Dah! Nashindwa kuvumilia ninaposikiliza wimbo huu najisikia huzuni sana. Sina la kufanya zaidi ya kumuombe dua mama yangu kipenzi mungu ampe kauli thabit

  • @hadijadamumbaya5423
    @hadijadamumbaya5423 6 років тому +37

    napenda kuchukua fulsa hii kuwapa pole wale wote waliofiwa namzazi aijalishi mama au baba poleni sana sana mzazi anauma kwakweri mnaishi kihuzuni hususani ukipatwa na mtihani unatamani mzazi angekuwepo poleni sana jamani pia mungu niongoze niweze kuwatunza wazazi wangu mm ninehma kuwakuta hai

  • @janethkiswaga5847
    @janethkiswaga5847 7 років тому +13

    😂😂😂kwa kweli nitakukumbuka daima mamangu na nitakulilia milele luv my mum.😍😍

  • @mwantummakoa4253
    @mwantummakoa4253 5 років тому +17

    Poleni sana mliofiwa na mama zenu,nakupenda mamangu uishi miaka mingi

  • @halmakinty962
    @halmakinty962 7 років тому +13

    Kweli Mie Yakima wa wote kifo hakika hazoeleki RABI gufrili walwaldeiya Allah KARIM mola wahifadhi mayatima duniani shukran kwa hio upload kakangu mwenye kuitunga pia mola mjalie hat a njema

  • @rajabujr5827
    @rajabujr5827 6 років тому +10

    hii nyimbo naipenda kusikiliza maudhui yake napia inanitia uchungu kwa kifo cha mama yangu mzazi inaniuma ila sina jinsi yoote kazi ya Mungu haina makosa

  • @rehemamkakile5028
    @rehemamkakile5028 5 місяців тому

    Huu wimbonnakukumbuka sana mama ulijua kumlilia mama yako leo nausikilizabwewe umendika. Nakupenda mama nakuombea mama yangu. Mwenyezi Mungu akupe kauli Thabi,akusamehe makosa yako akujaalie pepo fildous mama yangu. Mungu naomba uwarehemu mama zetu wote waliotangulia mbele ya haki🙏

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 роки тому +3

    Allah akulaze pema peponi my mom,my mind is talks to you mom,Dua zangu ziko pamoja nawe 😭😭😭

  • @husseinjuma6295
    @husseinjuma6295 7 років тому +9

    Hatuwezi kukusahau mama shakila hamis mimbo yako unikumbusha mengi Sana ahsante mungu akurehemu akuondolee adhabu za kaburi name akhera

  • @julianayesayamwailolo8240
    @julianayesayamwailolo8240 2 роки тому +1

    Mama angu kipenzi changu rafiki yngu Mungu akuweke mahala pema peponi mwanga na nuru vikumulikie mama angu Sarah

  • @7tho745
    @7tho745 7 років тому +29

    Mama ooooh kilio umenachia... WALE WOTE TULIOKWISHAONDOKEWA NA MAMA ZETU TUNAELEWA KWA DHATI MAUDHUI YA WIMBO HUU. " ....Mama tulimuzoea.. nyumbani tukiingia......."

    • @mariammwalongo9590
      @mariammwalongo9590 7 років тому +1

      mama jamani

    • @khalasaid6340
      @khalasaid6340 6 років тому +1

      namkumbuka mamangu kipenzi na kipumbazi cha moyo wangu, mungu akurehemu mamangu, nakuombe na machozi yanitiririka

    • @ayshaaysha9676
      @ayshaaysha9676 6 років тому

      Kwel kabisa

    • @hassanibakari8530
      @hassanibakari8530 6 років тому

      Asiye na imani na mm ni nani jamani hyo

  • @shununamtoni9145
    @shununamtoni9145 3 роки тому +2

    RIP mamangu ASHA ABDALLAH mola akuepushe na adhabu ya kaburi nakupenda daima..

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 5 років тому +3

    Ooooh Mamangu 🙆🙆🙆Kilio umenachia😱😱😱 , Huuu Wimbo napenda kuusikiza ila kila nikiusikiza ni Machozi mwanzo mwisho, Shukrani kwake Mtunzi na Muimbaji wa Huu Wimbo, Ambao bd Mna Mama hamuwezi kumuelewa ila Wenzangu na Mimi tumeshaondokewa na Mama utajua Anamaanisha nini

  • @thuwebaahmed833
    @thuwebaahmed833 6 років тому +2

    A.alkm. Hamujambo nyote. Hakuna kama MAMA duniani. Mungu akurahamu mamangu akueke pema penye wema. Ameen

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 4 роки тому +4

    Pumzika kwa amani mama yangu kipenzi I can't stop crying Mom 😭😭😭

  • @HajiMwita-x4t
    @HajiMwita-x4t 5 місяців тому

    Poleni sana wote mlofiwa na mama mungu akupeni nguvu na subira

  • @tatumakadara5793
    @tatumakadara5793 10 місяців тому

    Allah maghafir laha warhamha wajaal kaburaha waraudhata al jinnah mama yangu.
    Hii nyimbo nimeshindwa kuimaliza kuisikiliza.
    Nasi MUNGU atusamehe atupe khatima khatima njema khatima njema

  • @dullahmmebela3123
    @dullahmmebela3123 4 роки тому +1

    Ewe Mwenyezi Mungu muumba wape neema ya milele Mama zetu waliotangulia mbele ya haki ameen!!!

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Рік тому

    Mungu warehem wazazi wangu..wape kauli thabit..nasikikiza sana wimbo huu ninapo wakumbuka wazazi na ndugu zangu waliotangulia mbele yako

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 2 місяці тому

    Nyimbo nikale ,hazitoshi kuskiza ,zinamaana namuelekeo 🎉❤

  • @masturasaid6830
    @masturasaid6830 7 років тому +9

    Wimbo huu nikiusikiliza nalia tuu. Duuh wee acha tu

  • @hidayakidumuni2396
    @hidayakidumuni2396 7 років тому +7

    Mungu akupunguzie adhabu ya kabuli mama yangu kipenzi

  • @abrahamankanji5050
    @abrahamankanji5050 6 років тому +4

    R.I.P. Mama Yangu. Mwenyezi Mungu Aiweke Roho Yako Mahala Pema Peponi - Amina.

    • @hadijadamumbaya5423
      @hadijadamumbaya5423 6 років тому

      Abrahaman Kanji naumia kilanionapo comment zawaliofiwa poleni jamani

  • @hasinaidrissa5447
    @hasinaidrissa5447 7 днів тому

    Allah akurehem mama yangu😢

  • @saniaqutereem3801
    @saniaqutereem3801 2 роки тому

    Allah akurehemu my mom love nakupenda daima akujalie janna fridhaus akusamee dhambi zako

  • @tatumpita6284
    @tatumpita6284 8 місяців тому

    😊dah kweli mama kaniachia kilio nimebaki Sina hata mtu wa kukwambia mambo yangu nimebaki peke yangu inaniuma nakukumbuka mama yangu mwenyezi mungu akupe janat firdaus

  • @jangamagili2601
    @jangamagili2601 6 років тому +4

    bi daima Abdallah huyo, kifo cha mama maliza unanijaa uchungu...... wallahi tulowatanguliza mama zetu mbele ya haki kwa wimbo huu ni lazima tulie. yote haya nikiwaza leo yameshanikuta.......... Allah awape qauli thaabit mama zetu.

    • @hadijadamumbaya5423
      @hadijadamumbaya5423 6 років тому

      Janga Magili pole sana mungu akupe nguvu pia awape imani nyie wote mlioondokewa nawazazi

    • @abuubakarkhair684
      @abuubakarkhair684 5 років тому

      جنة الدنيا أمي

    • @ayubikunga5597
      @ayubikunga5597 5 років тому

      Naam huyu ni bi Daima Abdullah Naye ametangulia mbele ya haki. Allah amsamehe makosa yake.

    • @ayubsalum5594
      @ayubsalum5594 4 роки тому

      Nikweli huyu ni Daima Abdallah naye ameshatangulia mbele ya haki kati ya mwaka 2018 au 2019. ALLAH AMSAMEHE.

  • @saadamohamed8104
    @saadamohamed8104 6 років тому +6

    mama yangu bint said nakumiss sana wimbo huu unaniliza mwwnzenu mama mtamu jamani

  • @jk_swabzuu7688
    @jk_swabzuu7688 7 років тому +13

    very nice song i really like it cant get bored listening to it. reminds me of my late mum.

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 Рік тому +1

    LEO NIMEWAKUMBUKA SANA WAZAZI WANGU ALLAAH AWAREHEMU😭😭😭😭

  • @nasrasaid9940
    @nasrasaid9940 6 років тому +2

    Allah akupunguzie adhabu za qaburi mama angu

  • @hafsakarume8872
    @hafsakarume8872 3 роки тому

    YA ALLAH NAOMBA UWASAMEHE WAZAZI WANGU KWA MADHAMBI YA DHAHIRI NA YA SIRINI. UWAJALIE PEPO YA FIRDAUS WAZAZI WANGU WOTE WAWILI WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI. UWAPE VITABU VYAO KWA MKONO WA KULIA NA UFANYE MAKABURI YAO YAWE NI MOJA YA MASHIMO YA PEPONI INSHALLAH

  • @heriissagombera5168
    @heriissagombera5168 8 років тому +12

    Asante kaka Eddie nyimbo zinaburudisha na kuhuzunisha pia

    • @ishengomakabaka9199
      @ishengomakabaka9199 5 років тому +1

      Amakweli mzazi anauma

    • @kayshanil9195
      @kayshanil9195 3 роки тому

      @@ishengomakabaka9199 Sana...Sana...saaaana.....anauma saaaaana....

  • @latifasalum1166
    @latifasalum1166 4 роки тому +5

    Buriani mama yangu mpenzi 😭😭😭😭

  • @mushken65
    @mushken65 5 років тому

    Hata Mimi huwaza na kuliya nikasema heri baba yangu angelikuwa ingawa sasa miaka 40 tangu katuondokea. Mungu amlinde mama yangu Mumbua niendelee kukuonnanga siku nyingi

  • @MnyorokaAhmadSimba-wk4gr
    @MnyorokaAhmadSimba-wk4gr Рік тому

    Kwakweli mie mama esha mnyoroka yuhai ilahunikumbusha wazazi wamarafiki zangu navurugwa sana tena sana ilakizazi chaarabu Hakina ujumbe wowote

  • @rahhmahassan6777
    @rahhmahassan6777 Рік тому

    Mungu akulaze sehem salama mama angu akupe kauli njema ad tutapo kutana tena😢

  • @fatmaomary83
    @fatmaomary83 9 місяців тому

    Mama yangu alinambia huu wimbo alikuwa akiusikiliza analia sana na leo imekuwa inanigusa mie nkikumbuka maneno yake na leo yamenifika mie Allah tujaalie subra ktk hili ya rabbi😭😭😭😭😭

  • @kuluthumkimoti2183
    @kuluthumkimoti2183 7 років тому +6

    namkumbuka sana mama yangu nyimbo za zamani zinaliza

    • @boazimongi9602
      @boazimongi9602 7 років тому +1

      mungu ailaze roho ya mama yangu annastazia mahali pema peponi amen

    • @hidayamaro8759
      @hidayamaro8759 Рік тому

      Mungu awaweke mahali peponi inshalla

    • @hidayamaro8759
      @hidayamaro8759 Рік тому

      Wazazi wetu inshalla tunawakumbuka kill siku.

  • @kilosa2000
    @kilosa2000 5 років тому +1

    Tafadhali tuwekee ile ya KILIO CHA BABA nimekuwa nikiitafuta sana

  • @saidsaleh4086
    @saidsaleh4086 6 років тому +1

    Ahlu Zzaman maskini.. Radio Tanzania kipindi hiko inapigwa... Naomba pia ututaftie nyimbo ya Mazao bora shambani.. Shukran l Jazeer al alkhy..

  • @leylatotty3181
    @leylatotty3181 2 роки тому +1

    Allah Amraham mama yangu hua nilikua nikisikiza nalia aana tokea mama haja fariki nakambuka zamani sana 95 ikiimba nalia Sanaa na mpk mama anafariki imeIdi kunilza😭😭😭😭😭😭mungu amlaze pema mama yangu

  • @REHEMAMATHEW
    @REHEMAMATHEW Рік тому

    Nikumbuka mbali sana dada kipenzi pumzika

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d 9 місяців тому

    Ya karim wasamehe mama zetu ishaallah

  • @MnyorokaAhmadSimba-wk4gr
    @MnyorokaAhmadSimba-wk4gr 7 місяців тому

    Poleni sana wafiwa nawahusika wahaya tupo nanyie ktk hayo majonzi yawazazi

  • @jkswabzuu4830
    @jkswabzuu4830 6 років тому +2

    Allah warehemu mama zetu walotangulia!!!

  • @maryamkisaka8437
    @maryamkisaka8437 5 років тому +2

    Mama aliniimiza niolewe kumbe alijua kam anataka kuniachia watoto ,huko wap ammy angu pumzika kwa aman pengo lako alizibiki

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 роки тому

    Wote wapendwa tulio fikwa na misiba mama zetu Allah atupe nguvu na tusisahau kuwaombea Dua wapendwa wazazi wetu (amin)

  • @basilsaprapasen9914
    @basilsaprapasen9914 8 років тому +9

    one of sub sahara's best melidies, a humbling tune and heart bleeding words. unpreceded.

  • @shabanikipulu1958
    @shabanikipulu1958 3 роки тому

    Bi daima abdalah huyo akiwa na kundi la zamira music club.

  • @janealoyce3866
    @janealoyce3866 3 роки тому +1

    Mama yangu ni vigumu kusahau japokuwa yapata miaka kumi na tatu toka utwaliwe katika makazi ya milele,wote waliotangulia wapumzike kwa Amani ,si rahisi ila mapenzi yake yatimizwe.

  • @mwalimumohamed1253
    @mwalimumohamed1253 8 місяців тому

    Hakika ni taarab niipendayoo

  • @RamadhanNyanga
    @RamadhanNyanga Рік тому

    Ni kweli tuwaombee mema uko waliko inauma sana

  • @zabibuhassan1869
    @zabibuhassan1869 7 років тому +8

    pumzika kwa amani mamayangu.

  • @forlorngreen
    @forlorngreen 4 роки тому +1

    this is one of the most beautiful songs. i hope you have more old treasures like this to share

  • @nyagawadommy2535
    @nyagawadommy2535 2 роки тому +1

    Nakumbuka mbari sana hii nyumba

  • @jacklinedavid458
    @jacklinedavid458 7 років тому +3

    wimbo huu unanikumbusha mbali sana asante

  • @naimandibalema3450
    @naimandibalema3450 2 роки тому

    Nakukumbuka kila itwayo leo ,na jana ndo umetimiza mwaka,😭😭😭😭😭😭😭

  • @neemajuma8303
    @neemajuma8303 3 роки тому

    Yaraab mrehem mamayangu yaarab
    Mpe pepo yenye daraja mamaangu
    Yaarab mpe mwangaza mamaangu
    Yaarab mpe mdomo wakujibu majibu kwako😭😭😭😭😭

  • @auntydotty7821
    @auntydotty7821 6 років тому +1

    mungu akuweke mahala pema mama angu

    • @bakarikijumu6933
      @bakarikijumu6933 6 років тому

      hiinyimbo ziliimbwa mmbili mama nayababapia kama waweza ipata nitumie zote 0658600508

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 8 років тому +4

    mashaallah beatiful song na machozi yanatoka..

  • @salmamussa8213
    @salmamussa8213 4 роки тому

    Kazi ya Mungu haina makosa!

  • @mwinyiomary7163
    @mwinyiomary7163 6 років тому +1

    Huu kifo Cha Mama bado kifo Cha baba utuwekee

  • @nasrasaid9940
    @nasrasaid9940 6 років тому +1

    Allah akujaalie kauri thabiti mama angu

  • @amriomarymtabazi5419
    @amriomarymtabazi5419 3 роки тому

    Hakika siotu kuwa ni mafundisho balipia ni ibadatosha manenohaya kwakila alokuwa na mama au baba alotangulia mbele ya haki, tuwaombee kilajema mola awapemsamaha,na atujaalie mwishomwema!

  • @fatumamakono6827
    @fatumamakono6827 6 років тому +2

    Mmenikumbusha mbali pumzika salama mama yangu kipenzi Mama Mrisha(Sabitina Rashidi)kifaru mwanga

  • @rashidmaryamfatma4861
    @rashidmaryamfatma4861 7 років тому +2

    Walah nalia kwa uchungu sina jinsi

  • @arafabdul6510
    @arafabdul6510 6 років тому

    Nilushie hii video kilio cha mama naipenda namkumbuka mama angu

  • @ufc-ultimatefightingchampi8456
    @ufc-ultimatefightingchampi8456 6 років тому +3

    R.I.P best mom in the world those are had gone, God bless

  • @mototv1599
    @mototv1599 7 років тому +5

    *machozi yanitoka kila nikisikiliza huu wimbo wallah*

  • @binkeyadachidachi4994
    @binkeyadachidachi4994 4 роки тому

    hizi ndio taarab kweli kabisa

  • @charlesmpunga1161
    @charlesmpunga1161 2 роки тому

    Bashir yuko sahihi zaidi kwa kali yake.Leo hii maji hayatoki umeme shida vyakula bei iko just halafu wewe unasifiwa unafanya vzr.Hujitambui kuwa wanakubeza

  • @nyagawadommy2535
    @nyagawadommy2535 2 роки тому

    Nakumbuka mbli sana

  • @khamisnawab5738
    @khamisnawab5738 2 роки тому

    Pumzika kwa amaani mama yangu

  • @hamisking595
    @hamisking595 4 роки тому

    Nmekukumbuk sana mama yangu na baba yangu

  • @MrMsomali
    @MrMsomali 8 років тому +11

    Dear Eddie,shukran,this is really touching.MaanshAllah.
    Tafadhal,sasa tuletee `kilio cha baba` by Egyptian Musical club,kama sijakosea by Abas Mzee.
    Warm greetings toka kwangu hapa England.
    Thanks for your dedication.

  • @kagimbomshenyi149
    @kagimbomshenyi149 3 роки тому

    Nilikua namkuli sana

  • @abdirajabu7852
    @abdirajabu7852 3 роки тому

    Sina la kusema..speecless...

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 8 років тому

    eddie we tisha mbaya sana, karibu berlin germany tukuone mtu hatari wewe

  • @tuphujekumuhkunonyiile3739
    @tuphujekumuhkunonyiile3739 6 років тому

    Nilikua nausaka uhu wimbo janani unaniliza kweli nasiuwachi kuusikiliza

  • @kilosa2000
    @kilosa2000 4 роки тому

    Tunaomba pis ule wimbo wa NINA KILIO CHA BABA

  • @QOOQ8808
    @QOOQ8808 8 років тому

    Bw. Nassor you are the MAN !

  • @abdallahhancha5756
    @abdallahhancha5756 8 років тому

    bado wa kifo cha baba. na viva msumbiji

  • @steppingstone4intern68
    @steppingstone4intern68 7 років тому +1

    lovely and emotional at time. love it, love it, love it.....

  • @kumpangabenigno6967
    @kumpangabenigno6967 2 роки тому

    Hizi nyimbo ni dhahabu

  • @agnesshayo9371
    @agnesshayo9371 3 роки тому

    Pumzikeni kwa Amani Mama zetu wote mlotangulia mbele ya haki!

  • @kilosa2000
    @kilosa2000 7 років тому +2

    Tafadhili Eddie tutafutie ule wimbo NINA KILIO CHA BABA nimeutafuta sana sijaupata

    • @saidmohamedi3229
      @saidmohamedi3229 6 років тому

      Hakika inahuzunisha kwa wote tuliofiwa na mama zetu MUNGU awarehemu Aam

    • @ahlamsalim4064
      @ahlamsalim4064 6 років тому

      Kwel tunaomba ututaftie ule wimbo..kilio cha baba

  • @Mohamedsilahaally
    @Mohamedsilahaally 6 місяців тому

    Zilipendwa❤❤❤

  • @SaidiKilobo
    @SaidiKilobo 6 місяців тому

    ❤❤❤ miss uu momy

  • @dullahmmebela5624
    @dullahmmebela5624 Рік тому +1

    ❤ to Mama 🙏 rip!!!

  • @hajiwaziri3293
    @hajiwaziri3293 8 років тому +3

    Sante sana wimbo huu nilikuwa nikiusaka sanaa

    • @niyihjji2565
      @niyihjji2565 8 років тому

      haji waziri haji.mambovp. kmunaohuwimbonaombaunitumie

    • @hajiwaziri3293
      @hajiwaziri3293 8 років тому

      Naomba namba yako ya watsapp ntakutumia.. Au tuwasiliane 0752048369

    • @niyihjji2565
      @niyihjji2565 8 років тому

      haji waziri mambo. ehiyonamba yangu +255778333840