KIKOSI KILIVYOTUA SALAMA MAURITANIA KUELEKEA MECHI DHIDI YA AL HILAL, JUMAPILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 98

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 15 днів тому +11

    Alhamdulillah mmefika salama nawaombea ushindi mnono wapambanaji wetu umakini unahitajika na utulivu pia tumieni nafasi mnazozipata kwa usahihi na msimdharau mpinzani wenu na wachezaji muache ubinafsi pia msikae na mpira muda mrefu maeneo hatari na kujilinda na kukaba vizuri mnaposhambulia pia msiache nafasi nyuma zitakazowaadhibu na kupunguza makosa especially ya kusababisha penati

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 15 днів тому +9

    ALHAMDULILLAH kazi iendelee kila la kheri chama langu ushindi muhimu Inshallah Amiin 🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 15 днів тому +19

    Mungu awatangulie wachezaji wetu na awape nguvu na ushindi katka mchezo huu Amina

  • @gloryngunda9664
    @gloryngunda9664 14 днів тому +1

    Mungu ni mwema chama langu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 15 днів тому +15

    Kila la kheri inshaallah nawatakia ushindi mwema na mafanikio mema daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚

  • @SaidAkili
    @SaidAkili 15 днів тому +6

    Alhamdulilah, Allah awatangulie wachezaji wote Inshallah mtapata ushindi biidhin illah

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 14 днів тому +2

    Allahamdulillah mmefika salama mwenyezimungu awalinde kwa kila hatua mfanikiwe mlicho kifuata In sha Aĺlah duo zote kwenu Aameen pia awalinde na mitihani ya uwanjani nawapenda wote! 💚💚💚💚

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 14 днів тому +2

    DUA ZETU NINYINGI SANAA KWENUU WACHEZAJI WETU ALLAH AWASAIDIE MSHINDE HIYOO MECHI AMIIN🙏🙏🙏🙏

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema 15 днів тому +6

    Mungu ni mwema mmefika salama.

  • @lilianchambua5839
    @lilianchambua5839 15 днів тому +3

    Asante Mungu, utukufu na heshima tunakurudishia ww . Kwa kuwafikisha wachezaji wetu salama

  • @gloryngunda9664
    @gloryngunda9664 14 днів тому +1

    Lazima mpate goal 6 na point 3 muhimu🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @festokazala4645
    @festokazala4645 15 днів тому +3

    Hongeren sana wanajeshi wetu kwa uvumilivu……
    Hoping that you will do the best tunawaamin sana na tuko pamoja na ninyi
    Stay strong and stay focused

  • @suziedward8324
    @suziedward8324 15 днів тому +5

    Tunamshukuru Mungu amewafikisha salama wapambanaji wetu

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 14 днів тому +1

    Mwenyezi Mungu awalinde na kuwapa ushindi kesho kutwa dhidi ya Ally Hilal

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 15 днів тому +2

    alhamdullilah alhamdullilah mungu kawafikishaaa salama basii...sasa kazi ni mojaa tu ni kumpigaa Alhilay inshaallah

  • @Hamidi-m6y
    @Hamidi-m6y 14 днів тому +1

    Hata Mimi nawatakia mchezo mwema daima mbele nyuma mwiko❤❤❤

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 15 днів тому +5

    Mungu awatie nguvu kaka zangu

  • @MagangaJuma-w9d
    @MagangaJuma-w9d 15 днів тому +2

    Mungu ibariki yanga baba zd Al Hilal Mungu ibariki yanga tushinde inshallah tutashinda daima mbele nyuma mwiko naipenda yanga

  • @claratango9262
    @claratango9262 15 днів тому +1

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @jairatu688
    @jairatu688 15 днів тому +6

    Alhamdulillah 🤲🏻 Allah azidi kuwalinda

  • @nelsonkolukwi
    @nelsonkolukwi 15 днів тому +2

    Kila la kheri wapambanaji wetu, tunawaombea Inshallah mkatuheshimishe!🤲🏿

  • @CodeTreyzah
    @CodeTreyzah 15 днів тому +2

    Gusa achia piga ibenge 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 15 днів тому +2

    Allaah Akbar

  • @nyandabusiga5637
    @nyandabusiga5637 15 днів тому +2

    Akhsante sana MUNGU MUUMBA kuwafikisha salama salimini wachezaji na viongozi wetu. Tunaomba wasimamie na tushinde.

  • @SalmaKhalifa-lz9ol
    @SalmaKhalifa-lz9ol 15 днів тому +2

    Inshallah ikawe kheri

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 14 днів тому

    Mungu ibariki young Africans daima mbele nyuma mwiko

  • @MlimawaMungu-b6m
    @MlimawaMungu-b6m 14 днів тому

    Asanteh mungu kwa kuwafikisha salam wan̈ajeshi wetu salam

  • @upendokwaya8043
    @upendokwaya8043 15 днів тому +2

    MUNGU MKUBWA ATATUPA USHINDI

  • @ZeyanaAbdi-m3g
    @ZeyanaAbdi-m3g 15 днів тому +2

    Mungu awatangulie

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 14 днів тому +1

    Mungu mwema kila siku

  • @RachelKennyWatson
    @RachelKennyWatson 14 днів тому

    All de best my team 🔰🔐🙏

  • @AllyGeoffrey
    @AllyGeoffrey 15 днів тому +2

    E mungu sikia saut ya wananchiii

  • @emmanuelsimpamba80
    @emmanuelsimpamba80 14 днів тому +1

    Kila laheri Al hilal

  • @OmaryMajivuno
    @OmaryMajivuno 15 днів тому +1

    ❤❤❤ good 👍👍👍

  • @RashidiHiyana
    @RashidiHiyana 14 днів тому +1

    Kila la kher wananchi❤❤

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 15 днів тому +2

    Mudathir tufanyie jambo bas

  • @sadokimtondoabahenya31
    @sadokimtondoabahenya31 14 днів тому +1

    Tupo pamoja na timu yetu popote ilipo ❤❤

  • @DesirechristianMwambajames
    @DesirechristianMwambajames 14 днів тому

    Mungu amijalie afya njema

  • @TegemeaMwangungulu
    @TegemeaMwangungulu 14 днів тому +1

    Kila la heri na Mungu aww nanyi

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 15 днів тому +2

    Mungu tusaidie

  • @sideally35
    @sideally35 15 днів тому +1

    Mungu ajarie kheri 2pate ushindi

  • @VicysebaNyambeta
    @VicysebaNyambeta 15 днів тому +2

    Kila la kher timu yangu Mungu awatangulie kwa kila hatua

  • @SaimonJonh
    @SaimonJonh 14 днів тому

    Point 3 mhim mungu ibaliki yanga mungu ipaliki tz.

  • @MonicaSimon-py3nx
    @MonicaSimon-py3nx 15 днів тому +1

    Nawatakia kilalaheri mashujaaa wangu nawaaminini nyie sana mtarudi na pointi 3 mhimu inshallah

  • @Maysam470
    @Maysam470 14 днів тому +2

    LUDO🎉❤

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 15 днів тому +1

    Mungu atatnda liujiza yke

  • @victormwampeta2896
    @victormwampeta2896 14 днів тому

    Mungu atatusaidia kushinda mchezo huu🙏

  • @johnvedastus3079
    @johnvedastus3079 15 днів тому

    Mungu mwema sana. Hongera kwa kutua salama, tunawatakia kila jema mshinde j2 . Tuko pamoja na nyie popote mlipo

  • @josephassey3450
    @josephassey3450 15 днів тому +1

    Mungu atawaongoza mtashinda

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 14 днів тому +1

    Mungu awalinde na mrudi na ushindiiii ndi

  • @AliKitogani
    @AliKitogani 14 днів тому

    Mungu awajaalie ushindi wa kishindo siku ya j2

  • @NassorSalum-m7r
    @NassorSalum-m7r 15 днів тому

    Mtangurizeni mungu kwakira jambo

  • @RuthDaffa
    @RuthDaffa 15 днів тому +1

    Mungu awatie nguvu point 3 muhimu

  • @julianamlekwa
    @julianamlekwa 14 днів тому

    Tunamshukuru mungu mmefika sarama tunaomba ushinditu

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 15 днів тому +1

    Ee baba mungu tuna kuomba tunakuomba tupate point 3 kwa al hilal

  • @asifznz
    @asifznz 14 днів тому +1

    MBALI SANA, KUKAA TU KWENYE NDEGE MIGUU HUVIMBA SIO KITU KIZURI

  • @rajabukamis9411
    @rajabukamis9411 15 днів тому

    Dua saana ✨🙏

  • @salummasenga5030
    @salummasenga5030 15 днів тому +1

    Hapa sawa.... Au ulikuwa na usingizi?? Ila polen Kwa safar

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 15 днів тому

    Mnyazi mungu awajalie mludinaushindi.

  • @emmanuelcharlesshija2044
    @emmanuelcharlesshija2044 15 днів тому +3

    wananchi kauli ni moja tu gusa achiaaa..........

  • @DeusKileo
    @DeusKileo 15 днів тому

    Tunashkuru tumewasili Mauritania salama dua zenu 🎉

  • @nseyantemi
    @nseyantemi 14 днів тому

    Mungu ibaliki timu yetu ikashinde

  • @MwajabuMatebe-x4b
    @MwajabuMatebe-x4b 15 днів тому

    Gusa achia twend kwao mungu awatangulie wananchii jmn 2nahitaj ushindi

  • @acariusamos6228
    @acariusamos6228 15 днів тому +2

    Hoi point 3 mhimu sn dk za mwanzo ibenge awe anajikuna kichwa

  • @denson.d.johnmsabi3194
    @denson.d.johnmsabi3194 15 днів тому +1

    Namba 6; Al Hilal ale nyingi

  • @amosmchuma-t5p
    @amosmchuma-t5p 15 днів тому +1

    all the best

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 15 днів тому +1

    Kila la kheri

  • @jacksonmaximilian7495
    @jacksonmaximilian7495 14 днів тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @MarthaKabwe-k1u
    @MarthaKabwe-k1u 15 днів тому

    Mungu awatanguliye wachezaji wetu awape nguvu na ushindi mkubwa

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 15 днів тому +1

    Katika watu wanaokula bata ni wachezaji du!

  • @emmanuelsimpamba80
    @emmanuelsimpamba80 14 днів тому

    Robo Fainal hamuwezi kwenda🐸🐸

  • @SevarinijrChitanda
    @SevarinijrChitanda 14 днів тому

    Born voyage

  • @emmanuelsimpamba80
    @emmanuelsimpamba80 14 днів тому

    Naitakia Al hilal ushindi

  • @AbuuRumaytha
    @AbuuRumaytha 15 днів тому

    Tupo pamoja mwanzo mpk mwisho

  • @FroliantresphoryKamgisha
    @FroliantresphoryKamgisha 15 днів тому

    Naamini mtatuludishia fraaa kubwa wananchi

  • @SwabrahAyoub
    @SwabrahAyoub 15 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @JohniwellSinkonde-h2e
    @JohniwellSinkonde-h2e 13 днів тому

    Nawatakia mchezo mwem a timu yangu

  • @Yuzzowgrapher
    @Yuzzowgrapher 15 днів тому +1

    Muarabu mweusi lazima afee

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 15 днів тому

    Bravò

  • @hassanially1773
    @hassanially1773 15 днів тому

    In sha Allah Al hilal 3 -0 yanga

  • @julianamlekwa
    @julianamlekwa 14 днів тому

    Tunawaombe ujasi nguvu na kujituma ushindi ni jangwani tu mungu lbariki yanga yetu mungu wabariki wachezaji wetu wote naviongozi wote warioko uko ssitunategemea kupperusha benderatu yanga Oyeeeeeeeeeeee naomba muwa onyeshe nani ma ana ya gusa. achia twende kwao Ebu waonyeshini hao

  • @JamesMaruwa
    @JamesMaruwa 15 днів тому

    KILA LA HERI TIMU YA WANANCHI

  • @Mrteetee-o7t
    @Mrteetee-o7t 14 днів тому

    Safali njema wanaichi

  • @joshuachimwejo5892
    @joshuachimwejo5892 15 днів тому

    Zamu hii tumpigeni huyo Al Hilal, naona kashatuzoea na magoli yake ya kuvizia. Akitufunga hapa tutakuwa tunampa kichwa Ibenge.

  • @mabula-e2r
    @mabula-e2r 15 днів тому

    Kilalaher yanga yetu tz

  • @allydaud612
    @allydaud612 14 днів тому

    Chama langu slogan ni ileile gusa achia robo final

  • @YusterMakweta
    @YusterMakweta 15 днів тому

    Hiyo ndiyo gusa achia

  • @henelckneatunga2720
    @henelckneatunga2720 15 днів тому

    INABIDI TUMUONYESHE IBENGE KUWA WACHEZAJI WALIKUWA MAJERUHI SASA TUPO FIT APIGWE HADI PAOZE,,MWAMBIE AZUZ HAPUNGUZE KULEMBA PATA INUA MACHO TOA.NB TUNAITAKA SANA ROBO

  • @salumutilla7672
    @salumutilla7672 15 днів тому

    Tashinda kwa uwezo wa MUNGU

  • @AnnaMtewele-zd2bb
    @AnnaMtewele-zd2bb 14 днів тому

    NAWATAKIA USHINDI MNONO YANGA NAAMINI POINT TATU NI ZA KWETU

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 15 днів тому +2

    haly hilall anakufa 3 kwa moko amtoa amini LABDA WASHAMBULIAJI WETU WAZINGUE LKN WAKIJITUMA WASICHEZEE NAFASI KAMA MWANZO MBONA HAO KWETU MBOGA TU

    • @DENISMAKALA
      @DENISMAKALA 15 днів тому

      Al hilal hawapati goli hata moja mm nimeona nne

  • @WizkidJomba
    @WizkidJomba 15 днів тому

    Io ndo yanga tuna rudi kwa furaha tanzania

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 15 днів тому

    Yani airport hakuna waandishi??
    Ingekuwa kwetu pangejaa

  • @Mwalimjoshua
    @Mwalimjoshua 15 днів тому

    😅😅😅

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 15 днів тому

    Tupate kufuzu kwa kishindo

  • @BUZAFILAM
    @BUZAFILAM 14 днів тому

    ua-cam.com/video/GqIfHfGcs6A/v-deo.html