Kira la heri, mwenyezi MUNGU awajalie afya njema na uyimara zaidi, awalinde na kuwasimamia katika mechi zijazo, akawaepushe na majeraha akawakinge na damu ya mwanae YESu Christ ameeeeeeeeen
Acha ujinga heshimu Imani ya mwenzako hujui Iman yake inamchango gani katika kuleta mafanikio ya timu ambayo ikifanikiwa hata wewe hufurahia. Hauombi unabaki kukosoa utachelewa sana kufanikiwa.@@khamissehel-jr1cs
Safari njema kila la kheri kwenu nyote MWENYEZI MUNGU awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana shalom
Mwambie Engineer Hersi wote wazawa wa midfield ambao hawapati namba saiv awaachie asajiri wengi wapya wazawa... mtu kama mkude, sure boy na Musonda, wameshazeeka waachie nafasi😂😂😂
Alhamdulillah, tunaanza tena ila nikuombe semaji tuwe makin na mechi zetu zote maadui maadui niwengi wasije wakatufanyia kama walivyotufanyia klabu bingwa, ukitaka kuamini angalia mechi zote tulizoshindaga maadui wetu walikuwaga nchini? Utapata jibu,
Mambumbu mashabiki wa yanga wanachekelea kufeli club bingwa 😂😂😂.yimebaki historia. Mpira wa magazetini Simba matendo tu. Endeleeni kununua mechi ligi kuu ndo maana kwenye msimamo mupo wa 20😂😂
Ww umengia lini robo club bingwa danganya hao mashabiki wako mambumbu. Simba club bingwa kafika mara tano. Ligi mutachuwa Kila misimu maana tajiri wenu kununua vilabu 8 ligi kuu. Sisi tutawaonyesha kimataifa 😂😂😂
Kumbuka yanga ilicheza na mamelodi ilikuwa ishapita robo na ilikuwa inaelekea nusu ndo wakatolewa na mamelodi Kwa penati baada ya goli la Aziz Ki kukataliwa
Msimu juzi Shirikisho fainali, msimu Jana club bingwa Robo fainali na Msimu huu imeishia makundi club bingwa. Kizuri unaweza hata kucheki mwenyewe na kujiridhisha usije ukaonekana haufuatilii boli
Kira la heri, mwenyezi MUNGU awajalie afya njema na uyimara zaidi, awalinde na kuwasimamia katika mechi zijazo, akawaepushe na majeraha akawakinge na damu ya mwanae YESu Christ ameeeeeeeeen
Aamina Inshaallah
ww maombi gani hayooo damu ya mtu toka lini ikatoa ulinzi? unaacha kumuomba mungu unaomba kupitia damu huo ni uzwazwa
Acha ujinga heshimu Imani ya mwenzako hujui Iman yake inamchango gani katika kuleta mafanikio ya timu ambayo ikifanikiwa hata wewe hufurahia. Hauombi unabaki kukosoa utachelewa sana kufanikiwa.@@khamissehel-jr1cs
@@khamissehel-jr1cs😢
Kila la kheri nyote kazi njema MWENYEZI MUNGU awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana Yanga
Aminaa
Mungu azidi kutusimamia Dar Young African Sports Club
We win together....We lose together,A point of No return 🔰
Mungu akulinde na macho ya makolokwinyo
All the best
Mungu atufanyie wepesi wake
KILA LA KHERI INSHAA ALLAH DAIMA MBELE NYUMA MWIKO YANGA BINGWA INSHA ALLAH
Safari njema kila la kheri kwenu nyote MWENYEZI MUNGU awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana shalom
maombi gani yasiyokuwa na baraka hayo ww?
Wananchi wooote vipi lakini apo sugar muwaa good 👍 stuff eeeee thank you so much wananchi wooote 😅
Yanga bingwa 🎉
Tunawaombea snaaaa mungu ibariki Yanga yetu jmn
Daima mbele nyuma mwiko button wananchiiiiiiiii 🟢💚💛
Mungu yu pamoja nasi huu mwaka tutabeba makombe yooote. Nawaaminia vijana pamoja sana.
Kilalakheir kwenye Safari yk Babaa Allah akulinde na Mabaya Inshaallah
Yanga bingwa
Tunaipenda yang yetu
Mwambie Engineer Hersi wote wazawa wa midfield ambao hawapati namba saiv awaachie asajiri wengi wapya wazawa... mtu kama mkude, sure boy na Musonda, wameshazeeka waachie nafasi😂😂😂
😅😅😅 usijali nitafikisha taarifa😅
Utafk mbal bro unajua san, haukj ynga kwa baht mbaya we mwamba ten mwamb kwel kwel
Brand yayanganikubwa
Jitahidini kuwa na siri za tambo hasa kwenye mechi muhimu za maamuzi. Mechi ya Makolo Machi 08,2025 msiweke wazi mipango yenu.
Aly kamwe ndo mana hunenepi una maneno mazito mno 😂😂😂😂
Alhamndulilah
Team hii naipenda sana nitashuka na ww
Mmetuzingua bwana mmeshindwa song na marefa hamjuwi kilichotumika na mamerod na sisi tumeshindwaje
Jamani mkae mkijua moto wa Yanga safari hii kwenye Ligi utakuwa balaa. Mark my word kuna timu zitalalamika sana
Mungu ibariki Yanga tunaanza ukurasa mpya
Kila la kheri msemaji wa dunia 😊
Daima mbele nyuma mwiko
Yanga Africans
Yanga bingwa💯
💛💚💛💚💛💚💚
Kwakweli maumivu jama langu ila hakuna namna nikushukuri kwakila jambo inshallah mwaka ujao kwama jaliwa yamwenyezi mugu
Kila la heriii❤
Mungu awatangulie
Mola awe nanyi matokeo mazuri inshallah
Kazi njema
Kila la heri, Wananchi
Allaah Akbar
Kuhusu yanga bingwa Hilo haipingiki kabsa
🎉🎉💚💚💚💛💛
Kilichobaki ni kuchukua makombe YOTE ya ndani na kumfunga Simba goli zaidi ya 3 kwenye derby inayofuata,
Inshallah
Kamakawaida yanga bingwa
Alhamdulillah, tunaanza tena ila nikuombe semaji tuwe makin na mechi zetu zote maadui maadui niwengi wasije wakatufanyia kama walivyotufanyia klabu bingwa, ukitaka kuamini angalia mechi zote tulizoshindaga maadui wetu walikuwaga nchini? Utapata jibu,
Mbona wachezaji wengine hatuwaon jamani wako wapi nawale wapya
Neema ya ushindi ikawe juu yetu tutetee makombe yetu.
Leo umesahau kusema gusa ondoka Rudi kucheza na vitimu vya daraja la nne😂
msemaji wenu mshamba..bora manala😂
huyu bado anashangaa business class..hahahahaaha
Kila la kheri
Endeleeni kuwakuwadia wachezaji Malaya halafu mkiambiwa mnasema tunawaonea wivu halafu Kama tutapata ubingwa wowote msimu labda hizo Tabia hiyo muache
Hayo malengo hayatakikani mdomoni twataka miguu ndio ifanye kazi ata kutoka nje nashindwa 😢
Vile vindundu vinapendaga KUJITEKENYA vikolo
Hayituhusu sisi wanasimba munajifaliji . Sikwiizi ni achiaa twende makumbusho 😂😂😂
Rudi shule,hujui kuandika mvunja viti fc dunduka mmoja chomoa kama imekuuma
Ali kamwe usiongee sana tusije tukadhalilika
NI mbele tu hatupotezi kizembe
Aliywewe nibingwa hufananinahaotuliababa
Ujaondok
Mpare bwana, business class naona ni mara yako ya kwanza
Kimyaa
Mambumbu mashabiki wa yanga wanachekelea kufeli club bingwa 😂😂😂.yimebaki historia. Mpira wa magazetini Simba matendo tu. Endeleeni kununua mechi ligi kuu ndo maana kwenye msimamo mupo wa 20😂😂
Simba ndo wanaongoza kutuuzia mechi kama. Ubingwa tumeupata baada kuwafunga 5-1 raundi ya Kwanza na 2-1 raundi ya pili yaani goli 7 na point 6
CAF kwenda kuiangalia Simba ikipangiwa Makundi 😂
Pole NI afcon
ua-cam.com/video/ZgX20GfyacA/v-deo.htmlsi=qLYe8PWs2uZHXjtG
Ww umengia lini robo club bingwa danganya hao mashabiki wako mambumbu. Simba club bingwa kafika mara tano. Ligi mutachuwa Kila misimu maana tajiri wenu kununua vilabu 8 ligi kuu. Sisi tutawaonyesha kimataifa 😂😂😂
Kumbuka yanga ilicheza na mamelodi ilikuwa ishapita robo na ilikuwa inaelekea nusu ndo wakatolewa na mamelodi Kwa penati baada ya goli la Aziz Ki kukataliwa
Alafu unajisahaulisha vipi nawakati nimsimu huu uliopita
Msimu juzi Shirikisho fainali, msimu Jana club bingwa Robo fainali na Msimu huu imeishia makundi club bingwa. Kizuri unaweza hata kucheki mwenyewe na kujiridhisha usije ukaonekana haufuatilii boli
Nenda shule kajifunze Kwanza kuandika ndio uje huku
@lucymsheshi5871 😂😂😂 kenge ww umevamia msafala wa mamba kumbe kenge