Msafara wa Maaskofu Kuingia Kanisani: Masifu ya Jioni; Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Augustino Shao

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
    Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
    Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
    KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
    KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
    Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

КОМЕНТАРІ • 33

  • @mamasara7587
    @mamasara7587 2 роки тому +13

    Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume.
    Najivunia ukatoliki wangu.
    Ahsante Mungu kwa zawadi ya Jubilei ya Askofu Shao.

    • @kristofuraha3369
      @kristofuraha3369 2 роки тому

      Unajivunia ukatoliki😠
      Mi nadhani unajivunia kuwa mwanafunzi wa Yesu Kristo, kuwa mwana wa Mungu🤔
      Dini nakuchukia sana aisee!😠

    • @ibraahngula2449
      @ibraahngula2449 2 роки тому

      pole sana mbinguni hawaingii wakatoliki bali walio na Yesu na atakatifu Ebr 12:14

    • @ibraahngula2449
      @ibraahngula2449 2 роки тому

      @@Fm-MornStar2014 Unachoongea huelewi.hatujivunii dini ila kristo na utakatifu.acha ulevi wewe na kuabudu sanamu.

    • @ibraahngula2449
      @ibraahngula2449 2 роки тому

      @@Fm-MornStar2014 acheni pombe na sanamu kwa jina la Yesu.

    • @ibraahngula2449
      @ibraahngula2449 2 роки тому

      @@Fm-MornStar2014 Unalijua kanisa wewe! ni wapi imetajwa katoliki kwenye biblia.kama walevi ndio kanisa basi mbingu haipo.

  • @manyangagrace4342
    @manyangagrace4342 2 роки тому +11

    Kanisa katoliki hili ndo kanisa safiii sana

    • @kristofuraha3369
      @kristofuraha3369 2 роки тому

      Mengine ni machafu!😠
      Acha upoyoyo wa dini wewe!

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 2 роки тому +1

      @@kristofuraha3369 😂😁
      Kweli presha itakupanda!

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 роки тому +1

    Hongera sana

  • @linahmushi6358
    @linahmushi6358 2 роки тому +1

    Mungu aendelee kukulinda Baba yetu kipenzi Shio

  • @user-sy9ig2sp1s
    @user-sy9ig2sp1s 2 роки тому +2

    Baba hongera

  • @estelawilomo423
    @estelawilomo423 2 роки тому +2

    Furaha iwe na mipaka,huo unenguaji mpaka analala chini,mbona siyo za utukufu kwa Mungu.hajaona mazingira?

  • @isayakahemela4881
    @isayakahemela4881 2 роки тому +1

    Daah! Hizo nyimbo sasa😇

  • @frankrwegoshora4705
    @frankrwegoshora4705 2 роки тому +2

    Asante kwa kutuhabarisha. Ila picha haziko clear hasa huku mwanzo. Macho hadi yanauma. Jugo jitahidi kurekebisha hilo maana ikisharuka youtube inakuwa international hyo.

  • @Karolinendinda
    @Karolinendinda 2 роки тому +2

    Amen God bless you all

  • @Sebastian-to4qd
    @Sebastian-to4qd 2 роки тому +2

    Amina

  • @theonasprotas3211
    @theonasprotas3211 2 роки тому +3

    Hongereni mababa askofu

  • @roselaswai628
    @roselaswai628 2 роки тому +1

    Life worthy lived! We celebrate God's fidelity in your life

  • @paulpetro6666
    @paulpetro6666 2 роки тому +1

    Yesu wawiza wawiza eeh wawiza

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 2 роки тому +4

    Sijahi shikana mkono na Askofu jamani mmoja anialike ata kanisani anibariki tu na aniwekee mikono ya baraka

    • @raymondlaurent9403
      @raymondlaurent9403 2 роки тому

      Uko jimbo gani tukupe utaratibu wa Kumuona Askofu wako? Kwa sada Maaskofu wengi kama siyo wotr wanafikika mpk kwenye makazi yao.. ukienda kwa nia njema utaongea naye na atakupatia baraka za kichungaji kabisaaaa

    • @palokuthereza2555
      @palokuthereza2555 2 роки тому

      @@raymondlaurent9403 oh asante kwa sasa nipo Kilimanjaro kaka yangu

    • @bonifasemmanuel4700
      @bonifasemmanuel4700 2 роки тому

      Wewe ni kippofu asikofu ni nani

    • @palokuthereza2555
      @palokuthereza2555 2 роки тому

      @@bonifasemmanuel4700 Don't get you man

    • @sarafinafranci8481
      @sarafinafranci8481 2 роки тому

      @@bonifasemmanuel4700 pole sana, anajua ndiomana kasema, askofu nikiongozi mwenye mamraka ya Mungu kuwaelekeza wanadamu kwa Mungu.

  • @baruaninombo291
    @baruaninombo291 2 роки тому

    Roman katolik Kanisa lizuri jamani na nilakwel wanaimba vizuri Canada pia