Bella Kombo - Omba (Live Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 185

  • @bellakombo
    @bellakombo  День тому +143

    MUNGU AKUTENDEE MUUJIZA MKUBWA KABLA YA MWAKA KUISHA, WALE WALE TUNAOOMBA BILA KUCHOKA MUNGU AKUPE HESHIMA NDOA AFYA NJEMA MAFANIKO KATIKA KILA UMUOMBALO 😭🤗🙏🏼
    TYPE AMEN

  • @shikandaemelda3328
    @shikandaemelda3328 10 годин тому +1

    This lady is a blessing
    Such a nice song
    Sauti nayo ulibarikiwa kweli❤️🇰🇪

  • @kadenyikigalu8280
    @kadenyikigalu8280 День тому +20

    OMBA.....AMINA❤❤❤❤.... WA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 TUKO🙌🏿🙌🏿 WAPI LIKE🎶🎶

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 День тому +46

    Instrumentalists walienda group of schools.

    • @kipkiruigillie4332
      @kipkiruigillie4332 День тому +1

      Hakika wako tops...kutoka the MD Elisha Korg, chitete Andrew,hagai makuzo, John wagala,James Godfrey,Gloire kwenye Bass and Frank kwenye percussion...heheeee Love them Soo much huku Kenya 🇰🇪 more loveb

    • @carolelabo1620
      @carolelabo1620 13 годин тому

      😅😅😅😅😊😊😂😂𝑻𝒉𝒆𝒚 𝒓 𝒏𝒐𝒕 𝒋𝒐𝒌𝒊𝒏𝒈😅

  • @JaneKiptum
    @JaneKiptum День тому +11

    Very unique music.Not many Christian singers have come up with such melodies.
    Great piece!!
    Soo beautiful and a great blessing!!!
    Am soo blessed!

    • @bellakombo
      @bellakombo  День тому +3

      Glory to Jesus thank you

    • @danielmzae8005
      @danielmzae8005 День тому +3

      Amen woman of God,,,what a great message the song has,,,be blessed❤❤🎉🎉🎉

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 День тому +17

    Ni hivi kila ukiangalia tunavyoimba duniani na hivi vyombo vyetu vya kawaida imagine kwa Baba yetu aliyetuandalia makao,kwenye vyombo haswaa ilakuaje jmn alafu milele uwiiii🙆‍♀️. Tukazane tusimuache Mungu tukutane ile siku wapendwa okoka hii raha ya milele. Acha nicheze zangu SEBENE💃💃

    • @bellakombo
      @bellakombo  День тому +2

      🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 День тому

      Umenena vema sana... Wacha tuendelee kufanya mazoezi hapa... Show kamili yaja huko mbinguni in Jesus Mighty name 👏👏👏 @brendachibura

    • @isackobadiah484
      @isackobadiah484 День тому

      Ameen Mtumishi 🙏🙏

    • @MuluweNsalamba
      @MuluweNsalamba 23 години тому

      Nimetoa machozi! Nimefikiri itakavyo kua halafu nikasikia hofu

  • @KelKeyzMusic
    @KelKeyzMusic День тому +4

    bassist,Drummist,instrumentalist did it again..everything was well arranged

  • @kipkiruigillie4332
    @kipkiruigillie4332 День тому +7

    Ozazi ozaziiiiiiii heeeee jamani Gloire kwenye Bass hatarii sana ❤ Kenya 🇰🇪 more love

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 День тому +15

    Hii sebene imepikwa mbinguni Bella ameamua kuipakua 👏

  • @joshualusato2099
    @joshualusato2099 День тому +3

    Praying for you Bella... Continue to be a vessel of honor for every good work in the kingdom!!

  • @ShukuruMakasi
    @ShukuruMakasi День тому +3

    Barikiwa sanaah dada Bella, unanibariki sana I wish nikutane na wewe live

  • @Jayjay-d8o
    @Jayjay-d8o День тому +6

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉🔥🔥🔥. Iko motoo

  • @danielbutoyi832
    @danielbutoyi832 День тому +3

    Omba Omba kweli kuomba kunaleta ushindi sana kabisa ubalikiwe Bella.

  • @janewawuda6575
    @janewawuda6575 19 годин тому

    I can't get enough of this song! Everything is on point.. You a just a gem in the body of christ.. Keep up the good work..be blessed!

  • @Eva_Kuppa
    @Eva_Kuppa День тому +2

    Bella 🎉❤ Omba Omba . Maombi ,yeye anasikia ,Mungu anasikia,tukimwomba ana kuja Na anatenda. Huyu Yesu simwachi kamwe .
    Neema Bella ❤

  • @annestacy
    @annestacy День тому +5

    Kenyans let's show love🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ReinhardAmukah
    @ReinhardAmukah День тому +7

    Very powerful ❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @DavidNyakuna
    @DavidNyakuna День тому

    Indeed this song is a testimony on it's own. Whatever's you ask for, through prayer is already achieve

  • @swimabanda725
    @swimabanda725 День тому +2

    Watching from Ndola Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @JoshuaMuthama-u8y
    @JoshuaMuthama-u8y 21 годину тому +1

    Your annointing is on another level

  • @TubidyKiza
    @TubidyKiza День тому +2

    Uwezi omba samaki aka kupa nyoka,uwezi omba mkate akakupa jiwe,amen

  • @AmosGuzman
    @AmosGuzman День тому +6

    Bella kama Bella omba tafadhali 😜...sio mimi ni bwana yesu... 🇰🇪

  • @nicholasodhiambo9793
    @nicholasodhiambo9793 Годину тому

    Some touch of taarab♥

  • @Kenyansponser
    @Kenyansponser 21 годину тому

    the introoo😍😍😍😍

  • @BeatriceWambua-j9r
    @BeatriceWambua-j9r День тому +1

    Bella you have the Best producer ever ,,,ELISHA KORGY,,,,,You were ment for each other😂😂😂😂.msalimie sana

  • @allenmtei9096
    @allenmtei9096 День тому +2

    Ozah zii😂😂 🔥🔥🔥

  • @prudencesaghe1459
    @prudencesaghe1459 День тому +1

    Wow! Moto kama pasi 🔥

  • @eliwanzitasospeter3196
    @eliwanzitasospeter3196 День тому

    The melody❤❤

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 День тому +10

    There's something about the songs derived from scriptures.

    • @bellakombo
      @bellakombo  День тому +1

      Byvthe grace of God 🙏🏼

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 День тому

    Ozazii ozazii 💃💃🔥🔥💃. Barikiwa sana mtumishi kazi yako njema

  • @jacksonkariuki6801
    @jacksonkariuki6801 20 годин тому

    Blessed beyond limits sister

  • @birorimuhoza
    @birorimuhoza День тому +3

    Mugu azindi kuwainuwa nakupenda sana bera ❤

  • @goldsonphidel3209
    @goldsonphidel3209 День тому +2

    Instrumentalists weeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josephjackson3922
    @josephjackson3922 День тому +1

    Nafikir kila mara hata mungu atakua anaona moyo wangu nasema tena dada bella umebarikiwa umebarikiwa umebarikiwa Aki ya kwel mungu alijua kama utakua miongoni mwa watu wanaoniopa furaha,hata elimu pia mana kwako najifunza vitu ving sana kuanzia unavyoimba hata actions zako katika kuimba dancing zako pia zinanipaga kitu flan hv,hata najikuta naota niko nawe mara kwa mara nasema mungu si unikutanishe tu na huyu dada moyo uache kuugua,naamini kuna siku nitakuwa pembeni yako kwaajil ya kujifunza meng kuhusu uimbaj,,,,,,
    ❤Nakupenda sana dada Bella Mung azid kukulinda uwe na afya njema mileleeee

    • @bellakombo
      @bellakombo  День тому +3

      Amen mpendwa wangu ❤ nakupenda utuzwe na YESU

    • @josephjackson3922
      @josephjackson3922 День тому

      @@bellakombo Amen siku nitakutana na wewe sijui itakuwaje aaaah😥 nahisi nitakukumbatia kwa uzito sanaaa

  • @Shadyfancy7
    @Shadyfancy7 День тому +1

    Wonderful💯🔥🙏

  • @Sadockjosasadockjosa
    @Sadockjosasadockjosa День тому +1

    Wajua navyo kukubali dada jmni wewe unajua kumfrahisha Mungu na Jo hapa haa😂😂❤

  • @Oluchirimusicgroup
    @Oluchirimusicgroup День тому

    You are the Queen of live Gospel

  • @juliethmwinyi2993
    @juliethmwinyi2993 16 хвилин тому

    Mungu na akubariki sana BellaKombo

  • @gideonkivunzya1378
    @gideonkivunzya1378 День тому +10

    LEAVING THIS COMMENT SO THAT EVERY TIME SOMEONE LIKES IT I WILL LISTEN TO THIS SONG AGAIN❤❤

  • @vannapple1
    @vannapple1 День тому +1

    Wapi maestri...hii ingemfaa saaaanaaaaaa

  • @sarahkioko
    @sarahkioko День тому +2

    We're here👏👏

  • @elkemmy
    @elkemmy День тому

    Mimi ni shahidi .... anaweza Yesu...🙏

  • @Raizy_mwihaki
    @Raizy_mwihaki День тому +2

    this is the type of song that is birthed in prayers

  • @abedgreizman4700
    @abedgreizman4700 День тому +3

    Ameen

  • @victoriousinspiration3651
    @victoriousinspiration3651 День тому +1

    Nice one nice one. Beautiful. Jesus Christ The Reigns.

  • @BeatriceWambua-j9r
    @BeatriceWambua-j9r День тому +3

    Good job

  • @AddahB-m4v
    @AddahB-m4v День тому +3

    amen 🙏

  • @Johnny-s5x8d
    @Johnny-s5x8d День тому +1

    Bella kombo you are anointed Please can i be part of your band am from Kenya

  • @sophiekanze6332
    @sophiekanze6332 День тому +3

    Instruments ❤

  • @Sheryljaka
    @Sheryljaka День тому +2

    Fireeee

  • @GodlistenMoses
    @GodlistenMoses 10 годин тому

    Bella kombo big mind

  • @irenewayua282
    @irenewayua282 16 годин тому

    Kenyans woyee🎉🎉🎉

  • @david_3979_ke
    @david_3979_ke 21 годину тому

    Mimi nataka mke kutoka kwa hii backup 😂,,,❤❤❤❤,,,,,,❤❤❤❤,,,❤❤❤❤

  • @sophiekanze6332
    @sophiekanze6332 День тому +2

    ❤❤❤

  • @chemutaijaneth568
    @chemutaijaneth568 День тому

    Wow❤

  • @ritchiefelix9725
    @ritchiefelix9725 День тому +2

    Eeeeeeiiish wozaaa🎉🎉🎉🎉😂

  • @BensonMacha
    @BensonMacha День тому +3

    Amen

  • @Chayahtv
    @Chayahtv День тому +3

    AMEEEN

  • @lindahjepkosgeitv8541
    @lindahjepkosgeitv8541 День тому +2

    Omba eeh ombaaa

  • @jordanmweluka5490
    @jordanmweluka5490 18 годин тому

    Am happy with you my sister

  • @SAMUELGikonyo-c5i
    @SAMUELGikonyo-c5i День тому

    OZAZI PRAISE 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉. GLORY BE TO GOD

  • @ElizabethBunga-y8p
    @ElizabethBunga-y8p День тому

    Mungu akuzidishie na akupe haja ya moyo wako

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 День тому +1

    ayayaya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @YvonneKiza-s4j
    @YvonneKiza-s4j 19 годин тому

    Ndugu zangu Wakenya tuombe bila kuchoka Mungu wetu si mchoyo tuombe jamani

  • @marykaky469
    @marykaky469 День тому +1

    Naomba naomba milango ya gereza funguka .....kama unaamini nope like

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 День тому

    Melod kali sana hio ndio gospel inapaswa kupigwa live band ,,,video kali

  • @Kokonya-j9x
    @Kokonya-j9x День тому +2

    ❤❤

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 День тому +7

    Ozazi ozazi ozazi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂

  • @wilsonlevayoni2361
    @wilsonlevayoni2361 День тому +4

    Bassist ni kamà yupo pekee yake yupo vizuri sanaaaaa

  • @mixbytamie
    @mixbytamie День тому +1

    OZAZI...👏

  • @duncanwasaka
    @duncanwasaka 23 години тому

    🇰🇪 NAOMBA LEO MILANGO YA GEREZA....

  • @babyjojo4670
    @babyjojo4670 День тому +1

    AMEN AMEN 🙏🏾

  • @gladysmwendwaofficial4997
    @gladysmwendwaofficial4997 День тому

    This is deep

  • @mayungaj45
    @mayungaj45 День тому +4

    1:37 I see you becky

  • @faithkhavere8115
    @faithkhavere8115 22 години тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @SAMUELGikonyo-c5i
    @SAMUELGikonyo-c5i День тому +1

    Ozazi dance 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @glorianyambua1348
    @glorianyambua1348 День тому

    I love the song....wapi my brother wa agape anaitwa victor

  • @valeriandunge3976
    @valeriandunge3976 День тому +1

    Hata kwangu milango itafunguka🎉

  • @GIFTSYLIVESTER
    @GIFTSYLIVESTER День тому +4

    Ozaziiiii

  • @PhonieGrant
    @PhonieGrant День тому +1

    Ayayaya🔥

  • @paulboniface5809
    @paulboniface5809 День тому +2

    ❤😊😊

  • @aroundtheglobe8041
    @aroundtheglobe8041 День тому +1

    Nimetoka kwa Maestro na Clement sasa niko hapa, hii wiki ni Sebene tu tunacheza hadi kieleweke😂

  • @evakarumi1056
    @evakarumi1056 День тому +3

    Amen JESUS!❤🎉🙏🙏

  • @faithmusyoki5998
    @faithmusyoki5998 День тому

    ❤❤❤❤😊

  • @steveclarence7069
    @steveclarence7069 День тому +3

    SASA MBONA MDA HAUFIKI JAMANI

  • @georgesunday4278
    @georgesunday4278 День тому +2

    Amen🎉

  • @orwajoseph932
    @orwajoseph932 День тому

    Amina

  • @davidmalila9221
    @davidmalila9221 22 години тому

    Niceeee

  • @SamwelKalyege
    @SamwelKalyege 15 годин тому

    Mungu akutunze

  • @PAULINEAWUOR
    @PAULINEAWUOR 4 години тому

    kama vile jacob sitoki hapa hadi atende Mungu.

  • @saidanasra
    @saidanasra 23 години тому

    This song is giving a Debra LUKAlu's vibe

  • @ELISHAONLINETV
    @ELISHAONLINETV День тому

    Hii nyimbo ungemshirikisha Victor maestro ila kwasababu ya kusudi la hii nyimbo na ufunuo uliopewa haina jinsi ila umenibariki Sana

  • @Joshuandauka
    @Joshuandauka 3 години тому

    Mmetuamulia🎉❤

  • @MichaelDanieli-r4o
    @MichaelDanieli-r4o День тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @zachariahjuma5330
    @zachariahjuma5330 21 годину тому

    What happened to the video frame

  • @bennietemmie5660
    @bennietemmie5660 21 годину тому

    Ozazi ozazi,,

  • @jamesmumo9863
    @jamesmumo9863 13 годин тому

    Huyu ni mkenya.......ni kuuliza tu???

  • @lumadedem.imeldanyarengine3591

    What is Wozazi?😮

  • @DavidCharles-f4e
    @DavidCharles-f4e День тому

    Mmefika mbali MUNGU Gani huyo hayo ni machako wapendwa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 День тому

      Una maana gani? Sijakuelewa

  • @nicemara12357
    @nicemara12357 День тому

    😍🔥🔥🔥🙌