S01E15 | UUNDAJI WA NGAZI KATIKA MUZIKI (SCALE) | KIPINDI CHA MUZIKI | Mwl. Alex Manyama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @suorgisellasuormaria357
    @suorgisellasuormaria357 Рік тому

    Grazie mille maestro IL SIGNORE TI BENEDICA nimefurahia mafundishoyako nakiwa Italy ahsante saaana.

  • @LUKAMdete
    @LUKAMdete 6 місяців тому

    Nashukuru sana mwalim naomba unisaidie nijue mungu atàkuongozap

  • @patriciandunge9777
    @patriciandunge9777 Рік тому

    I'm happy flats na sharps zilikuwa mzigo lakini sasa nakuelewa kabisa ..nashukuru sana

  • @revocatuskapalata
    @revocatuskapalata 5 місяців тому

    Mungu akubariki Sana mwalimu

  • @suorgisellasuormaria357
    @suorgisellasuormaria357 Рік тому

    Nimekuelewa saaana mwalimu

  • @DonathDusengumuremyi-yj8gm
    @DonathDusengumuremyi-yj8gm Рік тому

    Sawa👍

  • @MistaToo
    @MistaToo 28 днів тому

    Somo lililo na manufaa mno kwa wanaokuza mziki

  • @patriciandunge9777
    @patriciandunge9777 Рік тому

    Hii gazi ya f# nikama gumu kidogo nimeona mawingu meusi hapo aki mwalimu😂.wa😮

  • @josephmassawe161
    @josephmassawe161 2 роки тому +1

    Ni masomo magumu ila ni raisi tuwape hongera wacheza hi maneno vinanda

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 3 роки тому +1

    Sawa, Asante sana

  • @charlesjulius5715
    @charlesjulius5715 Рік тому

    Mwalimu mimi nataka kuanza kusoma kinanda itakuaje

  • @patriciandunge9777
    @patriciandunge9777 Рік тому

    Na nikama mwalimu hapatikani Kwa hii zone ...watu wako na maswali but hatunpati Kwa hii flat form aki😢

  • @aidanwealthclub6288
    @aidanwealthclub6288 3 роки тому

    Nadhani hiki ni kipindi cha 15 maana cha 14 tulikiona wiki iliyopita