Asante mwalimu kwasomo zuri na lakufurahisha, nashukuru toka nimeanza kujifunza kwako nimekuwa mtu wa kutoka na nondo sana, kwa kipind cha leo nimefatilia vizuri na nimekuelewa vizuri lakin nimekuja kupotea dakika tatu au nne za mwishon, baada ya kuunganisha staff zetu imekuwaje hayo majina ya pitch zetu hazijawa ktk mtiririko sahihi? kwa mfano kwenye G-clef pitch za kwenye mistari tumezipa majina E,G,B,D na F badala ya F,G,A,B na C? na kwenye pitch za kwenye space vivyo hivyo
Hizi g clef na f cleff kama ni main key, na zile tunazopiga kwenye muziki key(ufunguo) A au B C D E F G nazo zinaitwaje? Naona kama imenichanganya kdg napenda kupata ufafanuzi huu mwalimu masomo yako ni mazuri sana.
Nadhidi kuuelewa Muziki, nyieeee sio Siri....💪💪 Mwalimu anajua kufundisha.
I salute you mwalimu ..hii somo unalifunza ipasavyo.
Nimetafuta mtu wa kunifundisha mziki kwa muda mrefu sikumpata.Namshukuru Mungu kukutana na wewe on utube.You are indeed a great teacher of music
Hakika ubarikiwe sana mwalimu kwa elimu nzuri
Good lessons mwalimu. Liking it
Mwalim Asante kwa mafundisho yako ila sas bado sijaelewa hapo kwenye kupanga nota kwenye Namba
Good teacher! Bravo
Very good teacher
Tuko pamoja sana mwalimu wangu
Asante sir kwa SoMo zuri
Imependa hiyo....
naelewa sana eisee
Ticha uko vzr mno
Be blessed my tutor Alex
Kwann fun
guo Moja inakuwa sehe ya wazi na kwenye mstari
Daa unafndsha vzr ila mm kichwa maj naelew tarab sana kaka
Nice kwene F- cleff kidogo sijaelewa hiyo cleff ikianza kwene F mwisho ni wap
Safi sana
Nashukuru kwa huduma yako imekuwa msaada mkubwa kwangu
Asante mwalimu for the good lessons but kindly naomba sehemu inayoifuata hii hapa
Ubarikiwe
BE BLESSED
Barikiwaaa sanaaaa Mwalimu naweza kupata namba kwa maswali zaid
sielewi kabisa
Kidogo maandishi hayaonekan zooming iwe kubwa
Asante mwalimu kwasomo zuri na lakufurahisha, nashukuru toka nimeanza kujifunza kwako nimekuwa mtu wa kutoka na nondo sana, kwa kipind cha leo nimefatilia vizuri na nimekuelewa vizuri lakin nimekuja kupotea dakika tatu au nne za mwishon, baada ya kuunganisha staff zetu imekuwaje hayo majina ya pitch zetu hazijawa ktk mtiririko sahihi? kwa mfano kwenye G-clef pitch za kwenye mistari tumezipa majina E,G,B,D na F badala ya F,G,A,B na C? na kwenye pitch za kwenye space vivyo hivyo
Asante sana mwalimu Alex....nina swali ....
Je .....staff ina spaces nne au tano?
shukulani kaasomo la mziki kaka naitaji nakwenye wandishi
Sijaelewa kwenye upangiliaji wa hizo herufi...
Nitajuaje wimbo flani umeandikwa ufunguo upi
Mrosso Mlandizi mwal unapatikana wapi
Samahani kipindi cha tano na cha sita mbona sii oni
Hizi g clef na f cleff kama ni main key, na zile tunazopiga kwenye muziki key(ufunguo) A au B C D E F G nazo zinaitwaje? Naona kama imenichanganya kdg napenda kupata ufafanuzi huu mwalimu masomo yako ni mazuri sana.
Naomba unieleweshe hapo hizo ni funguo?
Pia naweza pata namba yako