Welcome to yet another song done in a kenyan style! Be blessed and always know that I love all of you. Kwa pamoja tukubali kwamba tumeitwa na tumetumwa kutangaza injili.#nitumemiminitaenda🙏🙏♥️♥️🤍🤍
Wakati nimesikia wimbo huu nimesikia uzuni rohoni mwangu kwani nilikimbia kutoka seminario kuu. Ninakamata decision kurudia kumtumikia Bwana . Aksante sana kwa wimbo huu Anastasia Muema. Mungu akubariki sana na azidi kukubiria sana na sana! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
tangu naaza kuusikia wimbo huu Radio Maria niliupenda sana sasa nimeuchukua nausikiliza mara kwa mara Mungu wa Mbinguni akujalie katika kazi hii ya uinjilishaji kwa njia ya nyimbo Ee/mwenyezi Mungu unijalie roho ya kuvumilia katika kuinjilisha tusikatishwe na mtu bali tuvumilie katika upendo..asante Mungu.
dada yetu nimekupaa siku nyingi saana hongera yangu maana unafanya watu wajisikie vyema saana hasa wanaotamani namna hii, kikubwa atukuzwe Mungu kwa kazii njemaa
Outstanding and fandamagogious always on matters of Christianity. Much love my mentor . Much love always en looking forward to follow ur foot steps@anastanciamuema
Kazi nzuri sana, yaani kila siku huwa nasikiliza nyimbo zako ni nzuri sana tena zenye ujumbe mzuri sana, mwenyezi Mungu zaidi kukuzidishia baraka AMINA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wow, this gospel song is truly uplifting and inspiring! The powerful vocals, heartfelt lyrics, and soulful melody create such a beautiful and moving experience.
Wow!!! What a powerful and sweetest song, thanks Sister Anastacia anf all of her relatives and every who takes part in her songs, God gave good job kf serving him and keep it up we're all proud of you ladieyand gentlemens🙏🏿🙏🏿
What a blessing, what a joy! The content, production, presentation and delivery is just as excellent as we all expected. You have raised our expectations, gal! Now, let's enjoy it, be inspired, share it and take it to 1 million views. We can do it guys.
Kitu kali tena,,,, Waaaaah,,,,,Lets accept the calling of God and go all round the world and preach His gospel to His people,,,,May the Almighty God bless you abundantly🙏🙏🙏🙏🙏Great love and greetings from 254#ukambani# thro' Dan💖💖💖💞💞💕💕😍
To use NITUME MIMI as your SKIZA TUNE send “SKIZA 6985770” to 811
Welcome to yet another song done in a kenyan style!
Be blessed and always know that I love all of you. Kwa pamoja tukubali kwamba tumeitwa na tumetumwa kutangaza injili.#nitumemiminitaenda🙏🙏♥️♥️🤍🤍
Concrats our own blood.. Kenya to the world 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ we love you 😘 muema..... continue blessing us..am proud of you 😊😊😊😊😊😊😊
❤ nice one
Thankyou our dearest sister,,for real Kenyans we are the ones to be
Tamuu🎉
Balaaaa💝😍😍😍😍😍
aaaah aaaaah....noma sana. Barikiweni
Wakati nimesikia wimbo huu nimesikia uzuni rohoni mwangu kwani nilikimbia kutoka seminario kuu. Ninakamata decision kurudia kumtumikia Bwana . Aksante sana kwa wimbo huu Anastasia Muema. Mungu akubariki sana na azidi kukubiria sana na sana! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina.🙏🙏🙏
Hakuna jambo ngumu kwa Mungu wetu. Atatimiza matamanio ya moyo wako!😊😊♥️♥️
Harakisha kuamua na urudi muda ni wako
Kila jambo limepangwa as tuwatekerezaji tu Mungu anapanga tote vema
Sorry kaka,God has a lot to do with ya🙏he still has a plan for you
❤❤❤❤❤❤❤🎉 love my sister Anastacia
tangu naaza kuusikia wimbo huu Radio Maria niliupenda sana sasa nimeuchukua nausikiliza mara kwa mara Mungu wa Mbinguni akujalie katika kazi hii ya uinjilishaji kwa njia ya nyimbo Ee/mwenyezi Mungu unijalie roho ya kuvumilia katika kuinjilisha tusikatishwe na mtu bali tuvumilie katika upendo..asante Mungu.
Hongera!!! Dada unafanya kazi kubwaaaa sanaaaaa kuna Ile ya maisha yangu sasa ndyo kali zaidi
Jamani nyimbo hii imenigusa keli Yesu alitumwa kwa ajili yetu ❤
Be blessed dada Anastasia 🙏🙏🙏🙏 endelea kutupa chakula cha kiroho kupitia nyimbo zako tamu 🙏🙏🙏
Kazi nzuri Anastacia Muema, karibu Tanzania uje kututembelea.
Asante sana. Tanzania ni nyumbani🤗🤗
Hongera sana kwa uinjilishaji,, Hongera kwa nyimbo nzuri mungu azidi kukupa afya njema hakika ktk utume na uinjilishaji cku zote, Amina🙏🙏.
Asante sana Conrad.
Mwenyezi Mungu akubariki🤗🤗🙏🙏
@@anastaciamuema Amina 🙏🙏.
Wow !! Outstanding! Beautifully done. Beautiful melody 🎵 Nitume mimi ! Amen amen! ❤️❤️❤️❤️
Thankyou so much dear.
Amen Amen.
Be blessed!🙏♥️♥️♥️
Fr.Mwova is a vibe when it comes to dance, I remember those days tukiwa noel kalawa msalimie sana. The song is so nice dear.
For sure he is a vibe!🙏🙌🙏😅
Wow... Wimbo unabariki... Mungu akuzidishie zaidi kipawa cha kumsifu
Wimbo mzuri sana aisee mnyonge mnyongeni haki yake mpeni wimbo unabariki sana hongera sana Anne hongera sana production f#rRajo 🔥🔥
Thankyou so much Lawrence.🙏😊
Wimbo huu unatukumbusha kumtumikia Mungu ....aseee wimbo huu umenigusa sana nakaribia kutokwa na machozi Mungu azidi kukubariki Dada anna
Jamaniii!!! Ujumbe huu umenitia moyo wa kuendelea kumuimbia Mungu.
Ubarikiwe sana Zawadi♥️♥️
Wow, our very own Anastacia. Utunzi mzuri sana.
Mungu aliyeianzisha kazi hii nzuri ndani yako na akaikamilishe.
Sister Anastacia nimekubali kutumwa na mwenyezi mungu Asante sana kwa wimbo mzuri🙏🙏💯💯
My first time kukuona kitui last year youth masss kitui ukiimba ❤❤very intresting songs may lord be with yu Anastasia hehehe hle ya arusha❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Beautiful 😍 🤩 outstanding 👏 👌 keep moving ❤❤
Thankyou so much Stella. ♥️
I love your zeal and look up to you!
Good Annastacia, sote tumeitwa kuhubiri neno na wala si kasisi si mtawa ila ni as sote, hongera sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amina🙏🙏
Ubarikiwe sana Aggy♥️
💃🏻💃🏻💃🏻 huuu!! Jamani dada, barikiwa sana mtoto wa Mungu, sina neno lakusema mwenyezi Mungu aendelee kukutumia.🙏🙏🙏🙏
Amina🙏
Mungu akubariki sana😌😌
Hongera sana Anastacia... Mungu akubariki sana sana kwa kutuinjilisha kwa njia ya uimbaji👏👏
Nimependa ulivyotoa maoni yako kwa lugha ya kiswahili
Umeeleweka mno💯
ujumbee mzurii hakikaa, pia Hongera kwa mwana mziki kwa mtindo yenye mvuto, ila mwonekano ya picha/video so angavuu
The start has it all. Nitume Mimi bwana badala yako nikahubiri❤
dada yetu nimekupaa siku nyingi saana hongera yangu maana unafanya watu wajisikie vyema saana hasa wanaotamani namna hii, kikubwa atukuzwe Mungu kwa kazii njemaa
Am not a Catholic but I swear this song has really blessed my soul🥺🙏more grace Anastasia
namshukuru mungu kwa siku ingine njema nikibarikiwa na wimbo huu wake Anastacia nikimwomba mungu amshidizie baraka tele
Amina.🙏
Ubarikiwe sana James🥰
Outstanding and fandamagogious always on matters of Christianity. Much love my mentor . Much love always en looking forward to follow ur foot steps@anastanciamuema
Huu wimbo ni wimbo kamili ninapousikiliza napata kuuhisi. Hongera dada
wow wow Fr. Mwova and sr.lucy there...i feel it yes the song is touching😘💓💞💞❣wooi tears flowing ,
Ameeen🙏. I’m glad the song has touched your soul!🙏♥️♥️🙏
Sister nice song ....... catholic forever
Very inspiring song, God bless you Sr. Lucy and your friend Anastasia.
Once again my neighbor Ann has done it again... Nitume Bwana nikaubiri🙏🙏🙏 blessing to many🙏thank you Lord
Kazi nzuri sana, yaani kila siku huwa nasikiliza nyimbo zako ni nzuri sana tena zenye ujumbe mzuri sana, mwenyezi Mungu zaidi kukuzidishia baraka AMINA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
OMG.. This video is world class! The lyrics are pure Gospel! The voice of our daughter is HEAVENLY! THANK YOU SO MUCH!
Sure may God put her through
Thankyou so much my friend Tati Chris.
Be blessed!❤
@@essykasina688Amen🙏
Waow,,nice one,,your still for fulfill the promise your made in the radio thome
Wow! So wonderful. Nitume Mimi
Wow!!!! Ann keep the fire burning, praise God every time my sissy
Thankyou. I will always try my best!
Be blessed dear, Much love from 🇺🇬🇺🇬 ug and very pleased to be catholic. Keep shining and using your talent for the glory of God
Thankyou so much. Say hi to your country people.🙏🤗🤗♥️♥️
My song walai God bless your vocals,and nice to see youths in this praise song.❤
What a melodious voice. A day can't pass without me listening to your songs. Praise Him through music
Ooh my! Fr. Cosmas Mwova there
Thankyou so much Kisang for that wonderful feedback. Be blessed!♥️
let's stand firm until we make it as we wanted👌@@anastaciamuema
Wimbo mzuri saana, hongera kwa utume na kipaji cha sauti nzuri pia utunzi mzuri,,
Wow, this gospel song is truly uplifting and inspiring! The powerful vocals, heartfelt lyrics, and soulful melody create such a beautiful and moving experience.
Amen Amen. Thankyou so much for your compliment. God bless you!🤗🤗🥰🥰
Wimbo hii inanipa judi ya penda uwito wangu. Aksati sana dada.
Wow!!! What a powerful and sweetest song, thanks Sister Anastacia anf all of her relatives and every who takes part in her songs, God gave good job kf serving him and keep it up we're all proud of you ladieyand gentlemens🙏🏿🙏🏿
I’m humbled by your good comment. Thankyou so much and may the good Lord bless you Manuel.🤗🤗🥰♥️
Hi@@anastaciamuema
@@anastaciamuema❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana,na farther kacheza vizuri sana.
Am not a catholic but all your songs Anastacia have a great message for our beloved Christ. Be blessed
Thankyou so much and karibu to this channel. Feel at home❤
I'm much humbled by the lyrics and video mixing, God bless you Anastasia.
Wow wow wow consistency is the key🙏keep it up
Thankyou Stephen. Stay blessed!❤
Hongera Annastacia ,you've sung well with a melodious and angelic voice. I love the song with inspiring message to me. Amina Nitume yesu
Asante sana dear Sarah. Ubarikiwe sana.
I’m glad you love the song. May it be a blessing to you!❤❤🎉🎉
I have no comment but extremely excellent ,Iam proud to be a Catholic
Thankyou for watching . Be blessed!🤗🥰
Kama Jana Leo pia Ann kafanya Ile kitu 😊 kudos Mamaa 🎉such an ephobious voice 🎉🎉
Hii ni Ile ya kuleta wote kwa Mungu Sasa 💪💪Kudos once more Mamaa
What a song! 🎉
You have truly revolutionized Catholic Songs!
Choreography - perfecto
Vocals - perfecto
Message - Amazing 🎉
God bless 😊
Wow! Thankyou so much for this beautiful compliment. God bless you.🙏🙏♥️♥️♥️
Wimbo mzuri sana endelea kumsifu mungu kwa nyimbo tamu
Beautiful song, beautiful voice nice caption ..proud to be Catholic.🙏
Thankyou so much Dennis.🙏🙏♥️♥️
Much welcome Anastacia ❤️❤️❤️
That my darling siz,may God keep on blessing you,thanks for always giving us the best.
Thankyou so much MaryJoan🙏♥️♥️♥️. Be blessed🎉
❤❤❤ very nice one...always giving amazing work🌹🌹🌹. Am happy to see my very Sr.Lucy fixtured in..keep it up with good work Anastacia, Kudos 👍👍
Thankyou♥️♥️🙏🙏
@@anastaciamuema much welcome
Hongera sana kwa sauti nzuri 🎉
I am proud to be a Catholic..be blessed Anastacia🙏
Amen. Be blessed too♥️
Nice melody and rhythm Anastasia.....my God bless you so much...kweli mungu azidi kukutumia kama chombo Cha kuhubiri neno ......
Amina. Ubarikiwe sana Victor🤗🤗
God bless you and your wonderful choir. Well done. 🇺🇸
Thank you very much! Be blessed too!
Nitumie mimi Bwana kama chombo nikuhubiri forever 🥰🥰🥰 proud to be a nun...
Congrats 🎉🎉 keep ahead and God bless you 🙏🙏
Kuna wimbo uliimba na despina unaoitwa Jina lako mungu,uko wapi?
Hongera sana dada anastansia na waimbaji wote mungu awabariki
Eeeish! This song is so nice,Kenya all the way up 🇰🇪🇰🇪
I'm proud to be a Catholic ❤️🔥🙏
Amen Amen. Proudly catholic💪💪💪
We move on sister@@anastaciamuema
Umeupiga mwingi sana dada wewe ni shidaaaaaa barikiwa sana
Shukran sana Pius🙏🙏🤗🤗
Weuh...so amazing melody...the euphonious voice it's so lovely 🥰🥰 congratulations dadaa🤗🥳🥳
Thankyou so much Nancy. Be blessed!❤❤
Waooooh what a beautiful production...nitume mimi Bwana...God bless you always and your team 🙌🙌🙌
Thanks a million!
Be blessed Caroline🤗🤗🥰🥰🥰
Once a Christian always a Christian 💯💯 ...It's a wonderful song ❤️❤️ thank you alot 🙏🙏
Thankyou so much🙏🙏♥️♥️♥️
Be blessed!!🎉🎉🎉
Ndio utumwe na bwana. Anastasia continue praising God 🙏
Another banger, I knew you can never disappoint
Thankyou so much🙏🙏
You are just. A blessed woman of God I can't put it better than this your message well put .May God continue to work through you
Amen! Amen! Amen!🙏🙏🙏♥️♥️♥️🎉🎉🎊🎊🎊
Another hit after another!!you are an epitome of grace🙏🙏,super proud of you!!keep soaring high🎉🎉
Anastacia muema Mungu Akubariki Zaidi Ya Apa Nyimbo Zako Zina Ujumbe Sauti Tulivu Haichoshi Ata uskilize Siku Nzima Video Hd Hongera Sana🥰🥰❤️🙏🙏
Never disappoints
The choreography is top notch
Sound effects is a top notch
Message is also top
Good work in serving God
Thankyou so much Oliver.
God bless you!🙏🙏🤗🤗
@@anastaciamuema
Most welcome
Let's evangelize 🙏
Will I get used of this song surely?each and everyday this song is new for me.Nitume Mimi BWANA
Amina! 🙏🙏♥️♥️
I am proud to be a Catholic. Mob love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊😊
Proud to be a Catholic🙏🙏🤗🤗♥️♥️
Be blessed Anastasia, your songs always comfort me,nice songs ever na sauti nyororo I really love
Thank you so much Sister. May God Almighty reward you for the great work you are doing. "Growing together as one in faith"🙏 Be blessed.
Wow wow..am proud of you..this song is a blessing and wornderful
Thankyou so much dear. Be blessed❤❤
Am proud to be a catholic l love it good job
Thankyou so much🙏🙏🥰🥰
Congratulations.... Anastacia. Mungu azidi kukubariki katika... kazi Yako njema ya uimbaji....🎉🎉
Shukran sana Fides🙏🥰
Am proud to be catholic, be much blessed Anastasia ❤
Thankyou so much Felix. Be blessed!❤❤
Congratulations Ann,nice song with a good message,am happy for you girl may God continue blessing you
Thankyou so much Juliana. Be blessed!♥️
What a blessing, what a joy! The content, production, presentation and delivery is just as excellent as we all expected. You have raised our expectations, gal! Now, let's enjoy it, be inspired, share it and take it to 1 million views. We can do it guys.
Thankyou so much Stephen for your compliment. We should hit 1M views on this one, for sure!😊😊🙏♥️♥️
Iko sawa kabisa.Keep it up.
Asante sana🙏🙏
Your voice gets better with every song Stacia🎉❤.
I love this one 🎉
Aaaawwww… thankyou so much Beatrice🙏🙏♥️♥️
Wow❤ Gorgeous sister👍🥳🥳🥳indeed he has sent you🙏🙏🙏
Proud to be A CATHOLIC ! 🥰😍😍
BEAUTIFUL SONG ! 🎵
Thankyou so much Marcelino🙏🙏🥰🥰🥰. Be blessed!!
Wow..NYC one" NITUME MIMI" #anastacia Iko 👍👍👍
Shukran sana John🙏♥️
Kitu kali tena,,,, Waaaaah,,,,,Lets accept the calling of God and go all round the world and preach His gospel to His people,,,,May the Almighty God bless you abundantly🙏🙏🙏🙏🙏Great love and greetings from 254#ukambani# thro' Dan💖💖💖💞💞💕💕😍
Ameeen🙏. Let’s all listen to His voice and do what He commands us to do.
Be blessed Dan♥️
Sauti n tamu ❤ lakini cleavage iko inje
Asante kwa kutazama!
Hehe iko wapi?
Hongera mno nyimbo zako huwa zinanibariki mno. Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu sana 🙏♥️
Aminaaa!!! Asante sana kwa sapoti. Ubarikiwe sana♥️♥️🤲
Kazi safi 👏 👏 👏
Ivi kweli anasitanzia apasoma pongezi hizi zote😊
Ooooh God my dear Stacia may God continue using you to bless us with the songs I just love everything 💓💓
Thankyou so much Mumbi🙏♥️
Nintume mm Bwana 🙏🙏
Song so sweeet THANKS TO GOD❤❤❤
Waooo nyimbo imetulia penda Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Be blessed with the tarent and may the Almighty God give you more songs to nourish our souls.
Ni wimbo mzuri sana Mungu akuzidishie icho kipaji uzidi kubariki watu hogera Anastasia umeenda atua
Amina. Ubarikiwe sana kwa kutazama♥️♥️
Ningependa kuwe na sauti zenye nguvu na mdundo wenye sauti zenye mdundo mkubwa. Vingivyo your excellent.