Pongezi dear pole pole ndio mwendo utafika utakapo in sha allah amin Msishangae tika sie watoto tunaona wanafanya na kishanuo ambacho ni specially kwa mapishi kama hayo ... Kwa ngu sioni ajabu tumeona tutokapo 😂😂😂
MashaAllah dear friend. ..this is so easy to make and looks very delicious. ..inshallah must try 🌝🌝👍 Warm greetings from us ...have a blessed day 💖💖💖💖💖💖💖💖
Dida nakupenda dada maana wapenda kupika.kama Mimi alafu una confidence mashallah Allah
Nakupenda pia kipenzi and thanks soo much darling..confidence ndio kila kitu katika maisha ❤️❤️
I'm just stopping by to show love and support on your channel I love it i had to support
Thank you soo much love❤️❤️ let me passby your house
I would love that
Nimezupika sasa hivi zimetoka vizuri sana asante
It looks so delicious and tasty. Thanks for sharing. keep in touch Thanks
Thank you❤️
Nape nda Sana unavofundisha nimekuwa nikielewa Sana maandazi nimejifunza kwako nayafurahia sana
Karibu sanaaa
Hi friend its loo so yummy delicious nice recipe thanks for sharing stay connect bless you
Thank you❤️❤️
Nimejarib ise nilikuw siijui kupik vishet bila ya hamira vimekuw vizur saaan nimejarib shape hii pia so 😋
hongera
This snack looks really great and delicious. Tnks for sharing dear
Hata mm shapes ndo hua zanisumbua, lakn ntajaribu recipe yako dear Ma shaa Allah 😋
Ila muhimu ladha mpenzi🤣
Napenda jinsi unavyoelezea Kwa urahisi. Maelezo yako yanafanya mapishi haya yawe rahisi.
Asante sana❤️
Nimependa sana how you explain so well ..hizi ndizo zaitwa visheti pia...my favourite.ebu please tufanyie vitumbua next time.
I will mpenzi❤️ uniombee aki nimekua mgonjwa ila najikaza🤣🤣🤣i hope kiswahili hujasahau
ما شاء الله تبارك الله تسلم ايدك
They look nice, I like the conch shape and look. Thanks for sharing.
Thank you soo much for coming ❤️❤️
They look so yummy and inviting... Wow the recipes are coming through. Kazi mzuri hadija
Sante sana mpenzi vlogmas inaisha🤣🤣tutapumzika
Visheti vya shepu Mzuri sana na tamu pia.
Wooow kotende nakumbuka aunty yangu akituletea zi huwa tamu sana... Kumbe ziko rahisi kutengeza hivi
Sis sio rahisi sana nlisweat🤣🤣🤣🤣🤣
My favourite snack back home, mwanzo saa kumi Na kahawa...utamu tu😋
Hizi tamu Sana😋
Wow they are amazing hope they are healthy coz l need to try this out thanks for sharing my dear
No this is junk
Pongezi dear pole pole ndio mwendo utafika utakapo in sha allah amin
Msishangae tika sie watoto tunaona wanafanya na kishanuo ambacho ni specially kwa mapishi kama hayo ...
Kwa ngu sioni ajabu tumeona tutokapo 😂😂😂
Asante mpenzi wangu yees nimefurahi 😋😋😋 much love
Mashallah... Vinaeza dumu kwa muda gan? Bila kuharibika
inatagemea na sehemu uliopo one week iko sawa
Amazing video 👍
Like 16
Stay connected
Maashallah nzuri Sana hata sauti inasikika vizuri nimependa
Asante sana mpenzi share na wengine
MashaAllah dear friend. ..this is so easy to make and looks very delicious. ..inshallah must try 🌝🌝👍
Warm greetings from us ...have a blessed day 💖💖💖💖💖💖💖💖
Thank you soo much❤️ we have been together since i started my channel. Am soo humbled 🙏🙏🙏
It looks very yummy and delicious
Recipe nzur sana chef mashallah 😍😍😍
Shukran my love usisahau kusubscribe na kushare❤️❤️
Mashaallah
Vishet vya vinane
ok
Kwani hakuitajiki amira
Haziwekwi amira
Natamani kufanya hivyo kama wewe ❤❤😅😊
🤣🤣🤣🤣
Maa sha ALLAH
Iko poa mpenzi
Thanks. Hizi ni zile crunchy ama?
yes love
Thank you 😊
Will come back for a review 😁😁
Vizuri mno
Asantee
Looks crunchy and delicious :)
Scrumptious 😋😋😋
Kuna maandishi yanazuia picha ya namna unavyofanya haionekani vizuri
Pole sana
Mashalah. Nice
Shukran kipenzi usisahau kusubscribe
Kichanuo! Mnatulisha mengi jamani. Wafanya biashara wakisikia itakuwa tabu
Hakikisha ni kisafi kabla ya kutumia. Ila pia waeza kutumia uma badala yake.
Mamy sjasikia hamira au hiweki
Huweki
Hapo kwa utamu ata kama shape haiko ni kweli😅. I'll share my results nikitengeza
Hahhahaa usisahau mpenzi nasubiria❤️
Ivi kwenye robo kilo ya unga Kuna vikombe vingapi,kwa tusokuwa na vikombe vya vipimo.msaada🙏
Kama viwili mpenzi sijapima samahani okey wakati mwingine nitafanya
Mashacala
❤️❤️
Yaitwa mdalasini. Si abdalasini
Sawa
Kwan lazma kuweka kuweka mdalasin au iliki
Silazima
your video is great and amazing and very good.
This is really looks healthy
Sis this is nit healthy
Hi mamy ni lazima kutumia maziwa kama za biashara
Hapana
Mashallaw dada
Asante
Asante
Karibu
This just came up on my recommendations, I don't know why😂😂😂😂
Hahaha asante sana mpenzi eti i dont know why🤣
Mashaallah unapik vzr san nimependa
Recipe zako ni hatari jamani 💕, they look delicious 😋. Nakufunza mapishi hapa jameni♥️. I am here with my plate 😘🍽️
Karibu sana sis❤️❤️
Naweza nikatumia nazi
Very tasty & healthy recipe 👌
VERY NIC وحصل بالرنه ومشاهدة للتثبيت ورجاء رد الامانه بصدق والتعاون سر النجاح
Yummy
😋
Shukran mpenzi
Swali langu je unga unaumuka au ni kumaliza kukanda na kuanza kukata na kupika?
Kila kitu nimeeleza my love skiza kwa makini
@@HadijaSheban naomb unijibu t huenda sijasikia
Naweza kupat mawasilian yako Mana kunamtu anaitaj kujifunz
Yes ila kwasasa sina mafunzo kipenzi
Njee kama sina maziwa nafanyaj
Usieke
Masha Allah so tasty 😋.
amazing recipe
Super
Mbn nkiviweka kweny hyo shira inachukua mda San hyo sukar kukauka
Je shira ilikua ishayeyuka?
@@HadijaSheban ndio ilikuwa inanata kabsa sema niliipikia kweny kisufuria kdg alfu nkaviwek vishet kweny sufuria kubwa kisha shira ilivyoonesh inanata nikamwagia huku ndo nkapetapeta lkn ilichelew San kukauk lkn wait navipeta nilikuwa nmeshazm moto sa nyingi sa cjui nakosea wapi nisaidie
Viko crunchy????
ndio
Very very nice 👍
yummy
💛💛
Nice recipe 1st like
I would not over crowd the pan while frying and would not darken them so much.
Cool
Abdala sini ndio nini? Ama umekusudia mdalasini maana siku hizi kiswahili kinakuwa na kubadilika.
Yes my love ni hio hio yaani kutamka vitu vingine huwa nitofauti
I love your recipes especially the kaimati one ❤❤
Thanks darling
Can I add yeast
No don't please
Who copy who, we somali call this shu-shu-mow. Lakin thank you
Wlcm
Maa shaa ALLAH
Tabarakallah
Iko poa mpenzi
Asante sanaa🤩
Bass haya
Yummy