VISHETI VYA NAZI/ VISHETI VYA NAMBA NANE/ COCONUT DOUGHNUTS: Jinsi ya kupika visheti vitamu sana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • INGREDIENTS
    3 cups flour
    1 cups gratted coconut
    2 tblspoons sugar
    1 n half tblspoon yeast
    1 n half cup water
    cardamon powder
    for sugar syrup
    1 cup sugar
    1 cup water
    pinch of saffron
    cardamon

КОМЕНТАРІ • 48

  • @VictoriaTesha-t8u
    @VictoriaTesha-t8u Місяць тому +1

    Mungu akubariki dada unafundisha vizuri saanaa

  • @LatifaRashid-b4c
    @LatifaRashid-b4c Місяць тому +1

    Nice❤

  • @hashimissa2449
    @hashimissa2449 3 місяці тому +2

    MaashaAllah another Zanzibari special donut a common delicious sweet bites

  • @user-xq2fy9ht2u
    @user-xq2fy9ht2u 3 місяці тому +2

    MashaAllah delicious😋😋😋

  • @a.856
    @a.856 3 місяці тому +3

    Jazakallah khayran

  • @user-fu7re9ly4g
    @user-fu7re9ly4g 3 дні тому +1

    Umetumia samli gan

  • @LilianNelima-ij9yb
    @LilianNelima-ij9yb 3 місяці тому +2

    Yummy Yummy

  • @NuruNuru-z6b
    @NuruNuru-z6b 27 днів тому +1

    Asante kwa pishi ila mm hakwenye shira nipate ujuzi zaid

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  27 днів тому +1

      Ni muhimu kuiacha shira yk mpk ifanye povu na ukiona imeanza kuganda pembezoni mwa sufuria yk basi ipo tyr hy kuweka visheti vyako

  • @MaryamYussuf-yu9tf
    @MaryamYussuf-yu9tf 3 місяці тому +2

    Mashallah nimependa ❤

  • @FatmaMohamed-mf9kx
    @FatmaMohamed-mf9kx 2 місяці тому +1

    Thank you ❤

  • @zainabissa2433
    @zainabissa2433 3 місяці тому +2

    Maashallah very nice

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  3 місяці тому

      Thank u maa 😘 💓 😘 💓

  • @saeemaabdulatif13
    @saeemaabdulatif13 3 місяці тому +2

    chef kiss🤌🏻💋

  • @kazijaameirussi2884
    @kazijaameirussi2884 Місяць тому +1

    Ahsant nielienda pish lako mm nahitaj vipimo Zaid ukitumia unga kilo 1 ,1 unusu ,2 na kuendelea please naomba vipimo pamoja na utumiaji wa sukar

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  Місяць тому +1

      Asante kwa suali lako kipenzi.. tayari nimeshajibu kuhusiana na vipimo vya kilo moja naomba some comments ili uweze kuona jibu.. asante

  • @kazijaameirussi2884
    @kazijaameirussi2884 Місяць тому +1

    Nahitaji unipatie vipimo kikamilif pmaja na upikaji wa Shira vpimo vyake kwa kila saiz ya unga mfano kilo moja

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  Місяць тому

      Asante sana my dear hili suali tayar nimelijibu kwenye comment plz naomba usome comment utaona jibu la maswali yako yote.. shukran hbbty

  • @SaumuMsuya-pj6hl
    @SaumuMsuya-pj6hl 3 місяці тому +1

    Nimempenda darasa lako

  • @joycechando100
    @joycechando100 Місяць тому +1

    Naweza kuvikanda bila sukari nije kutumia shira tu

  • @Mariam-ln7pd
    @Mariam-ln7pd Місяць тому +1

    Nikikosa nazi naweza tumia ata maziwa ama

  • @user-fp1pk1jc9k
    @user-fp1pk1jc9k 2 місяці тому +2

    Asante dada nimelipenda pishi lako la visheti vya Nazi je kilo Moja ya unga wa ngano ntatumia sukari kiasi Gani ? Napia hapo kwenye kutengeneza Shira sukari itakuwa kiasi Gani na hamira kiasi Gani kadhalika maji pia Mimi Hanzla natoke Dar

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  2 місяці тому +2

      Asante na wewe pia kwa suali lako.. mm nimetumia kipimo cha vikombe vya kupimia vya jikoni yaani measuring cups na nimetumia vikombe vitatu ambavo havijatimia nusu kilo. Nusu kilo ni vikombe vinne kwahy kwa unga wa kilo 1, utatumia sukari vijiko vikubwa 4 mpk 5 na hamira utaweka vijiko vitatu vikubwa. Kwa upande wa shira sukari weka vikombe viwili na nusu na maji pia vikombe viwili na nusu. I hope nimekujibu

  • @EmmanuelPaul-iq2wr
    @EmmanuelPaul-iq2wr 3 місяці тому +1

    Nitajalibu

  • @AsnatMfaume
    @AsnatMfaume 2 місяці тому +1

    Habar kama unga wa ngano kr 2 naweka vichanganyio kiasi gani

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  2 місяці тому

      Salama. Asante kwa suali lako.. mimi nimefanya vikombe vitatu vya unga ambao haujatimia ata nusu kilo.. nusu kilo ya unga ni sawa na vikombe vinne kwahy kilo 2 ni sawa na vikombe 16 vya unga ambayo ni sawa na mara 5 ya vipimo nilivotumia mm. Kwahy utafanya mara 5 ya vipimo nilivoweka mm km ni nazi kikombe kimoja basi utaweka vitano na vipimo vengine naomba uangalie kwenye description na utaweka kwa idadi ya mara 5 yake.. I hope nimekujibu

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  2 місяці тому

      Na pia nakukumbushia kua nimetumia vikombe vya kupimia vya jikoni ( measuring cups)

  • @user-kh3hr8si2j
    @user-kh3hr8si2j 3 місяці тому +1

    MashaAllah ❤hebu munisaidie jamani 😢mm sijui huwa nakosea wapu because time ya kueka shira huwa vyakatika nisaidieni please ni wapi nakosea😢

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  3 місяці тому

      Ok dear wakati wa kuviweka shira hakikisha visheti vyako vimepoa kabisa ili kuepusha kukatika kwa visheti vyako pia pendelea kuvipeta na sio kuvikoroga sana na ata ukivikoroga basi ukoroge kwa utaratibu na uangalifu pia

    • @user-kh3hr8si2j
      @user-kh3hr8si2j 3 місяці тому +1

      @@RuhysKitchen shukran dear🤗acha leo nijaribu inshaAllah

    • @RuhysKitchen
      @RuhysKitchen  3 місяці тому

      @@user-kh3hr8si2j sure dear nasubir feedback 😃 😊

  • @hurbaisadick128
    @hurbaisadick128 3 місяці тому +1