Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
It's delightful. Thanks.
I love it 💕💕😍
Uko vzr mpendwa!
Thanks for teaching us ❤❤❤❤❤
The recipe is really amazing 🤩The food looks tempting 😋Good video 👍❤
Naomba msaada nikipika mm vinaruka sana vinapasuka na kurusha mafuta kiasi kwamba naviogopa kabisa ni nn nakosea na nikiweka shira haviwi vigumu na mm napenda vigumu
Hongera Naomba unitumie aina yaviungo vyake natamani kujua.
Kazi nzuri sn
Mash allah nakuomba uwe unaweka vipimo kwenye description box ingependaza zaid
Naomba kuuliza ukikanda unga unatia sukar au
Haueki sukari
Yummy
Nice
Hayo maziwa yawe ya moto au balidi
Me nmetumia maziwa hatr
Huweki hamira?
Amira je. Unaweka?
Huweki sukari??
Dada kwann nikiweka Shira badae inayeyuka huwa nakosea wapi?
Unga kilo au nusu mamy
Samahani ukisema Mafuta ya Maji hapa kwetu KENYA ni Mafuta ya Taa wanaweza watu wakaweka bora useme Mafuta ya uto samahani si kwa Ubaya
Utii chumv Wala sukar
Visheti havitiwi chumvi wala sukari kipenzi
Hiv vinakaa mda gani bila kuaribika Kama Ni vya biashara
Mbona hujaweka banking
Kwan 500grm ni kg moja??😢
Nusu kilo
Punje za eliki ni za nn naomba msada wa zaid
Harufu na test
It's delightful. Thanks.
I love it 💕💕😍
Uko vzr mpendwa!
Thanks for teaching us ❤❤❤❤❤
The recipe is really amazing 🤩
The food looks tempting 😋
Good video 👍❤