Koko media group
Koko media group
  • 9
  • 2 134 187
PENZI LA SHEMEJI (saliboko) epsod 5
Kumuamini mtu asiekuamini ni kupoteza uwaminifu wako, staering KOKO SUNGURA, MARY, NICOLETY, TAKADIRI
@Harmonize255 @dplatnumz @bodiyafilamuonlinetv1999 @millardayoTZA @azamtvtz @alikibaOfficial @officialzuchu @Rayvannychui @DstvOfficial @Zamaradi100
Переглядів: 3 306

Відео

PENZI LA SHEMEJI (saliboko) epsod 4
Переглядів 3,2 тис.Рік тому
Mapenzi ni kitu kidogo sana kisichogharimu chochote lakini ni ngumu sana kukipata. wengi tunataman kuishi na tunaowapenda ila tunajisahau ili udum kwenye mahusiani inakubidi uwe na mtu anaekufaa na sio unaempenda @diamond @alikiba @harmonize @koffi olomide @werrason @zuchu
Penzi la Shemeji (saliboko) epsod 3
Переглядів 4,5 тис.Рік тому
Mapenzi ni kitu kidogo ambacho kinaweza kukufurahisha na kukuhuzunisha kupokea ushauri sahihi unaoumiza ni sawa na kupoteza kitu ukipendacho na kutokukiona tena @dplatnumz @alikibaOfficial @azamtvtz @DstvOfficial @Zamaradi100 @Harmonize255 @officialzuchu @kazinginitv2005 @NeyWamitego. @Mbossokhan
PENZI LA SHEMEJI (saliboko) epsod 2
Переглядів 5 тис.Рік тому
baada ya shabiusi Sasa Ni penzi la shemeji SALIBOKO Mapenzi ni kitu kidogo sana ambacho kinaweza kumuumiza mtu na kumfurahisha pia. Yote hayo mawili yamenipata katika story hii inayoelimisha na kufundisha jamii bongo movies wote wapo Koko sungura nawengine wengi......... enjoy #kazinginitv #hollywood #bollywood #film #enjoy #marioo #azamtv #bongomovie #diamond #alikiba #harmonize #simbasc #simb...
PENZI LA SHEMEJI (saliboko) epsod 1
Переглядів 4,7 тис.Рік тому
#bongomovie #azamtv #diamond #diamondplatnumz #zuchu #moladin #harmonize #rayvanny #simbasc #yanga #marioo baada ya shabiusi Ni penzi la shemeji SALIBOKO Mapenzi kitu kidogo sana amabcho kinaweza kikamnyima mtu furaha na kikampa furaha yote hayo utayapata katika story hii ya SALIBOKO inayo elimisha na kuburudusha jamii wakali wote wamo Koko sungura nawengine wengi ...... enjoy love
PENZI LA SHEMEJI
Переглядів 5 тис.Рік тому
#saliboko #bongomovie #azamtv #cardo
WEMA SEPETU MCHAWI MOVIE SHABIUSI❤ PART 2
Переглядів 1,1 млн5 років тому
Bongo Movie New Film SHABIUSI Part Two 2 Full HD video OG,Washiriki KOKO BYANKO,WEMA SEPETU,BUMPU KIMAZI,JAQLINE WOLPER,MAMA KANUMBA Na Wakali wengine kibao Ktk FILM Hii Kali...Pata UHONDO Na ujifunze kuhusu WACHAWI Wanavyo ingia mikataba na MAJINI Na jinsi wanavyotoa SADAKA ZA WATU KICHAWI,PIA UTAJIONEA MAPENZI YA MTU NA JINI ,USALITI,MIGOGORO YA KIFAMILIA INAYOTOKANA NA UCHAWI,Pia utapata kuj...
WEMA SEPETU MCHAWI SHABIUSI❤️ PART 1
Переглядів 1 млн5 років тому
BONGO MOVIE New Film SHABIUSI Part One Full HD video OG...Washiriki KOKO BYANKO WEMA SEPETU BUMPU KIMAZI,JAQLINE WOLPER,MAMA KANUMBA Na wakali wengine wengi wamo ktk Film Hiii Ya SHABIUS pata uhondo Kwa Maumivu ya mapenzi,Ubaguzi Na Siri Za WACHAWI na MAJINI Na ROHOI Za Watenda Mabaya kufichuliwa na ECHUPEE MTU WA MUNGU Katika FILAM Hii Ya SHABIUSI ENJOY👍👍👍🔥🔥🔥 from Tanzania vijana wa magufulu F...

КОМЕНТАРІ

  • @NAOMIMSNAOMI-s3m
    @NAOMIMSNAOMI-s3m 10 днів тому

    Tunaoangalia 2025 tujuwane

  • @JamesJohnkitwika
    @JamesJohnkitwika Місяць тому

    Kunda chps nakuku😂😂😂

  • @OdetteRita
    @OdetteRita Місяць тому

    Mnatufunza nini?? 8:45

  • @ShurweRinah-bc1ix
    @ShurweRinah-bc1ix Місяць тому

    Jamn😳🇧🇮🥹

  • @Journalistsaulke
    @Journalistsaulke 2 місяці тому

    movie yenyewe nzuri labda mbona haina sauti??????

  • @LinahKahemele-w5s
    @LinahKahemele-w5s 2 місяці тому

    Yan wachawi siwapendiiiiiiiiii

  • @CeciliaSiima
    @CeciliaSiima 2 місяці тому

    Kama move hii ndo una analia 2024 gonga like apo

  • @VickyJoseph-x6f
    @VickyJoseph-x6f 2 місяці тому

    Tunaoangalia 2024 gonga like apa😊

  • @loynational
    @loynational 2 місяці тому

    Very nice like waaooh❤❤

  • @AdidjaYussuf
    @AdidjaYussuf 2 місяці тому

    Kibaba kichafu icho ki Omar

  • @AdidjaYussuf
    @AdidjaYussuf 2 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @Officialsamiahassan
    @Officialsamiahassan 3 місяці тому

    Kweli kikulacho kinguoni mwakoo😢

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 4 місяці тому

    Congratulations keep it up good job 👏👍

  • @AnethJames-h6l
    @AnethJames-h6l 4 місяці тому

    Mi nimejifunza mkuu wa wachawi maneno aliyokuwa akiwambia wenzake kuwa mchawi anatakiwa kuwa mnafki, tofaut kati ya mizim na misukule, nk, kiukwel inafunza mengi sana move hii

  • @HashimAli-p1u
    @HashimAli-p1u 4 місяці тому

    Wema Bora Shep hii 🎉🎉

  • @AbduliSwamad
    @AbduliSwamad 4 місяці тому

    Namim kwel.mouvie iko pow nilidhan mmchez wa mjomb umefaulu mjinga yule kumb yupo zaid yke😮😮

  • @KajoyShanel-h6g
    @KajoyShanel-h6g 4 місяці тому

    Mbona itaki kuingia kwa downloaded

  • @veronicaboniphas7852
    @veronicaboniphas7852 4 місяці тому

    Bongo move nzuri lakini hazi danldiki sijui tatz nn tunataka tuzichukuw Tue tunaangaliaga hata Kama huna em bii unangalia lakn hamnag iyosijui kwann

  • @omarimhd7716
    @omarimhd7716 4 місяці тому

    Nish tafuta machupachupa hadi nachok

  • @IrineKahamba
    @IrineKahamba 5 місяців тому

    Weeee kaduguda weweeeee😅😅😅😅😅

  • @ZulfatOthman
    @ZulfatOthman 5 місяців тому

    Mama sakina kapatia mpka kapatia tenaa hongera mom❤❤😂

  • @EdnaJohn-c5x
    @EdnaJohn-c5x 5 місяців тому

    Jamani sauti ni simu yangu mbovu au

  • @ConfusedCabin-rt6ud
    @ConfusedCabin-rt6ud 7 місяців тому

    Hii movie iko poa

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 7 місяців тому

    Kwan sauti ilimezwa pia

  • @ميرال-ن4ك
    @ميرال-ن4ك 8 місяців тому

    I like this movie ❤❤

  • @MwanamisiHassan-xh5fn
    @MwanamisiHassan-xh5fn 8 місяців тому

    MashaAllah ❤❤❤❤ 46:03 46:06

  • @amanithuva-do6ky
    @amanithuva-do6ky 8 місяців тому

    Niliona taar

  • @OrnellaNgoyi-q1f
    @OrnellaNgoyi-q1f 8 місяців тому

  • @mpeliibrahim398
    @mpeliibrahim398 9 місяців тому

    Saut inazngua

  • @GloryMasaki
    @GloryMasaki 9 місяців тому

    Movie mbaya sanaa saut inakata kata

  • @TabiaAbdallah-zp9eu
    @TabiaAbdallah-zp9eu 9 місяців тому

    Sauti inazingua

  • @Daima-ik1cf
    @Daima-ik1cf 10 місяців тому

    Who watching this movie 2024

  • @TusaMwasa
    @TusaMwasa 10 місяців тому

    Tujuane kama kwanza kuangalia move 2024

  • @RahimJuma-d2y
    @RahimJuma-d2y 10 місяців тому

    Big up to Mamy skn❤

  • @dominicphilip236
    @dominicphilip236 10 місяців тому

    Mimi ni mkenya Ukweli wema, lulu , Patrick, Jennifer na wengine mungu Hawa bariki sana kwa kushikiria bong movie baada ya kanumba kufariki

  • @PacifiqueGanishuri
    @PacifiqueGanishuri 10 місяців тому

    What a good movie ❤

  • @eliviusrichard9885
    @eliviusrichard9885 11 місяців тому

    Aise ni hamsha tunaitaj mwendelezo jaman

  • @AminaAmimu-gp9po
    @AminaAmimu-gp9po Рік тому

    Mbona sauti inakata

  • @MwanamisiAlii-g2s
    @MwanamisiAlii-g2s Рік тому

    nlikua wapi mimi jamani! eti ndo naiona 2024

    • @lepodinaff7752
      @lepodinaff7752 11 місяців тому

      Imagine 28/2/2024 ndo mwanzooo naiona ❤

    • @FaimaMamyy-gi8qt
      @FaimaMamyy-gi8qt 10 місяців тому

      Tupo mm pia 2024 treh 20 ndo naiyona😅❤

  • @JosephNassari
    @JosephNassari Рік тому

    Iko pw sana

  • @ashamkindwi1146
    @ashamkindwi1146 Рік тому

    Naona mwisho atajitambuwa

  • @OmarKadidi
    @OmarKadidi Рік тому

    Jmn movie zuri sana lkn saut hamna

  • @Ssr.0
    @Ssr.0 Рік тому

    Movie nzuri lakini kwanini inamatatizo sana ya sauti

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 Рік тому

    Subhanallah wachawi wabaya

  • @consolatamakonjo3271
    @consolatamakonjo3271 Рік тому

    Majini wanamtegemea mungu ambaye aliwaumba viumbe vyote vimtukuze mungu na watu wote waseme amina. Movie nzuri yenye mafunzo mazuri

  • @senatormatemu2780
    @senatormatemu2780 Рік тому

    Wema ametisha Senator from USA

  • @Necha_boy
    @Necha_boy Рік тому

    Nimependa jamani ni elim tosh kwa watu wenye Mila potofu

  • @زهرةكيني-ث3ل
    @زهرةكيني-ث3ل Рік тому

    Wema umetisha p❤❤p

  • @ZawadHassan-x8b
    @ZawadHassan-x8b Рік тому

    Asante kw move nzur