Dr. Chris Mauki: Siri Za Wapenzi Wanao Dumu Pamoja

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @JENITHANESTORY-xk4lp
    @JENITHANESTORY-xk4lp 2 місяці тому +3

    Asanteeee sana nmejifunza Mambo mengi kutoka KWako doctor , Mungu akazidi kukubariki sana na akuinue ili ukawahudumie watu wengi zaidi

  • @GraceMsomah
    @GraceMsomah 4 дні тому

    Ahasante sana nashukuru

  • @BechoullaVanina
    @BechoullaVanina 12 днів тому

    Asante san😢😢😢😢😢😢

  • @StellaStella-z4e
    @StellaStella-z4e 2 місяці тому

    Mashaallah shukuran cna

  • @AhamedAl-y4b
    @AhamedAl-y4b 2 місяці тому

    Nashukuru kwa somo lenye mashiko kwa kweli daa

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 2 місяці тому

    Nakukubali sana mwalimu wangu

  • @angelmunuo
    @angelmunuo 2 місяці тому

    Asantee dr

  • @JulithaGasper
    @JulithaGasper Місяць тому

    Asante sana dr mauki mungu azidi kukubariki

  • @monicaawino3916
    @monicaawino3916 2 місяці тому +5

    Niko darasani mwako,lli niweze kudumu na Mme wangu

    • @ChristinaPaulo-z5i
      @ChristinaPaulo-z5i 2 місяці тому +7

      Yaan apa lazm na yy ajifunze huez Fanya Kila kitu ww au Kila cku usem ww hainogi na utachoka

    • @gellefaroolemahamed8964
      @gellefaroolemahamed8964 Місяць тому

      😂mwaka wakumi sijaambiwa nakupenda na najihisi umpweke😢😢😢 siko mke niko niko ti

    • @ChristinaPaulo-z5i
      @ChristinaPaulo-z5i 5 днів тому

      @@gellefaroolemahamed8964 Amna namna ukitaka mtu akupende jipende ww kwanza af ucmfatilie fanya mambo Yako yaan atarud mwenyew

  • @RahimMduwile
    @RahimMduwile 2 місяці тому

    Daaaaa umetisha San mwalim

  • @MwanahamisiMatimbwa-i8j
    @MwanahamisiMatimbwa-i8j 2 місяці тому

    Dah basi tu❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @JosephaKigava
    @JosephaKigava 2 місяці тому

    Asante

  • @ChristinaPaulo-z5i
    @ChristinaPaulo-z5i 2 місяці тому +5

    Atakae soma sms nakuambiaje kam unaakili timamu njoo tufanye haya anayoyasema chriss maana ni ya kwel ila wanaume wengi hawayafanyi

  • @Dorcusmosha
    @Dorcusmosha 18 днів тому

    Mafundisho mazuri

  • @NZAMUYEJoseph
    @NZAMUYEJoseph 2 місяці тому +1

    Wao

  • @Mnyalu94
    @Mnyalu94 2 місяці тому +13

    Mimi nilimuuliza kwanin amepunguza kuniambia ananipenda, akaona namletea utoto.. madhara yake yalizidi kuwa makubwa hadi sasa tumeachana 💔😂

    • @filomwageni4333
      @filomwageni4333 2 місяці тому +1

      😅

    • @Mnyalu94
      @Mnyalu94 2 місяці тому

      @@filomwageni4333 mapenzi bhana we acha tu 🤣

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 2 місяці тому +1

      Oh! Pole aisee dah! Wengine wanasemaga mapenzi hayana formula.

    • @rosemichael7287
      @rosemichael7287 2 місяці тому +3

      Tulioachwa baada ya kuuliza unanipenda 😂😂😂

    • @Mnyalu94
      @Mnyalu94 2 місяці тому

      Yaani, ni huzuni kwakweli 🤣

  • @annajackson5245
    @annajackson5245 2 місяці тому

    Mungu ani saidie, nilikuwa hivyo kwa mume wangu aka nambia me napenda mapenzi sana kukiko kazi yake. Nyie kwenye vyote hivyo hata kimoja hakuna kati yetu😢😢. Najitahidi kufanya kama mke ila naonekana msumbufu. Juma tatu ha ijumaa anaweza ondoka asubuhi saa 2 asubuhi kurudi saa 4 usiku. Weekend sasa anatoka saa 4 asubuhi kurudi ni saa 6,7,8,9 usiku. Aiseee nashindwaga kumuelewa. Nyie acheni ninyamaze. 😢😢

  • @faridapetro
    @faridapetro 2 місяці тому +1

    Hizo ni pointi za wazunguu!!

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 2 місяці тому

    Assntee nimejufunza

  • @joycemsangi
    @joycemsangi 28 днів тому

    Docta upo wp

  • @eliastanda9825
    @eliastanda9825 Місяць тому

    Vtu vyote navifanya kwa mpenzi wangu ila nilikua sijui

  • @devothangelezya7029
    @devothangelezya7029 2 місяці тому

    Umenifundisha mengi nakukubalu

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 2 місяці тому +5

    😂😂 bas huyu kiumbe wangu ni kwa siku anaeza sema ata mala 100 adi nilikuwa naona huyu tapeli kumbe ni sahihi woiiiii😢 wacha nijilekebishe sasa maana mtto wa watu anajitahid jaman mim sasa mmmmh 😂

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi 2 місяці тому

    Nime mwambia nampenda atulie akisafir kikaz tu akafika alipo sms anijibu nikisema nakupenda hajibu Teena , alikua anatuma sms ucku ata akistuka usingizin , ila kwa sasa akisafir kikaz huko mkoan ajibu akiwa njian kurud ndo anjisemesha Mke narud Mke mke😢 ., nampenda ila mmmh nais kapata aliemtaka mi ilitokea tu , kaka Mauki mmh nime chemka

  • @RebeccaJoseph-sd4kh
    @RebeccaJoseph-sd4kh Місяць тому

    Nahitaji kitabu

  • @RaheliPaskali
    @RaheliPaskali 2 місяці тому

    sas mbn mm namutafuta ila yy hanipigii ukipiga sm hapokei kwa wakati na nina miaka kumi na nane

  • @gabrielygodfrey7815
    @gabrielygodfrey7815 2 місяці тому

    Mwl nipo nawew

  • @WitnesMaiko
    @WitnesMaiko 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @janenkhwazi2457
    @janenkhwazi2457 2 місяці тому

    Huyu ndinayo anavuta bangi na sigala na pombe kwangu nilishampiga marufuku kunipa kiss

    • @khadijaacute
      @khadijaacute 2 місяці тому

      Uwiiiiiiii🤣🤣🤣hutaki kiss of love😮😮

  • @priscerjohn5788
    @priscerjohn5788 2 місяці тому

    Yote hayo alipata lakin ego yake ikawa juu sana.plus magonjwa Yale aaaaah nkapak gari kando ya Barbara

  • @Tadeo-s4h
    @Tadeo-s4h 2 місяці тому +3

    Siku zote vitu vidogo vidogo ndo huwa vinadumisha mahusiano tatizo wajinga wengi hawaelewi hilo

    • @gellefaroolemahamed8964
      @gellefaroolemahamed8964 Місяць тому

      Kweli mimi hayupo romance hata kidogo ndoma nikiambiwa umependeza na mume mwingine mwili unasisismuka😅😅😅kwasababu wangu hasemi ivo ndoa mwaka wa 10 sasa