Ndugu yangu hii ni amaana mweleze sheikh Ibrahim na masheik wote wa daawah ya kwamba Allah anayo majina ambaye ni mazuri na pia Allah ana sifa katika sifa za Allah imetajwa kwa quran ya kua ana mikono uso macho lakini pia katika Quran Allah anasema "There is nothing like unto him and he is the all hearing the all seeing" Allah anathibitisha ya kuwa anasikia na anaona lakini kabla ya hapo amekana kufanana na viumbe vyake....sasa katika ahlu Sunna wal jamaah tuna thibitisha sifa za Allah lakini tunasema hizo sifa za Allah hazifanani na sifa za viumbe vyake....Allah anapenda Allah anaridhika Allah anakasirika lakini kupenda kwake kuridhika kwake na hasira yake haifanani na viumbe vyake
Mashaalah Joseph leo amepata sindano full doze in Yusuph wambogos words coz hua na kiherehere sana na ubishi mwingi asante sana sheikh wetu kwa kumuelimisha
Allah waxan ka baryaya in u cheicka ka ilaliyo shaydan in u riya ku rido Allah ha hafido ha barakayo imri iyo cibado wanagsan Allah siyo amin amin amin
Waislamu mashehe wako na shida.....anatoa mfano wa serikali na atoi kitabu....watu wanajadili yalioandikwa lakini anaogopa yalioandikwa ndiposa anatumia muda mwingi kupoteza ilmuradi anatoroka hoja ya msingi ...naive
Davistar mata youtube channel inasema uisilamu ni ushetani, na ni dini ya kuzimu na inaendeshwa na uchawi majini na ukitaja jina la yesu msikitini kunalipuka je ni ukweli? @davistar mata channel
Hizo ni propaganda zao tu, kawaida mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, shetani hana nafasi ktk uislamu hata kidogo. Nikuulize swali ni wapi umeona ktk umsikitini na kanisani ukaona wanadeal na mapepo??? Jibu utalipata. Uislamu unamtaka kila muislam ukitaka kufanya kitu chochote cha kheri basi uanze na maneno haya "najikinga kwako Allah (Mwenyezi Mungu) na mashetwani na majini". Hawa mashetwani na majini ni viumbe kama viumbe vyengine, kwahivyo sisi waislam hatuna mpango nao kwasababu wao wapo na mambo yao na sisi binadamu tuna mambo yetu hakuna kuingiliana, ukiona kaingia ktk mambo ya binadamu ni mbaya huyo.
please subscribe like and share..
Please wambie walimu watumie kiswahili ili tuelewe sote I think Africa mashariki wote wanafuatilia
Ndugu yangu hii ni amaana mweleze sheikh Ibrahim na masheik wote wa daawah ya kwamba Allah anayo majina ambaye ni mazuri na pia Allah ana sifa katika sifa za Allah imetajwa kwa quran ya kua ana mikono uso macho lakini pia katika Quran Allah anasema
"There is nothing like unto him and he is the all hearing the all seeing"
Allah anathibitisha ya kuwa anasikia na anaona lakini kabla ya hapo amekana kufanana na viumbe vyake....sasa katika ahlu Sunna wal jamaah tuna thibitisha sifa za Allah lakini tunasema hizo sifa za Allah hazifanani na sifa za viumbe vyake....Allah anapenda Allah anaridhika Allah anakasirika lakini kupenda kwake kuridhika kwake na hasira yake haifanani na viumbe vyake
Walahi my Favourite sheikh since I was a child one ❤ sheikh Ibrahim may Allah grant you to preach years and years to come inshallah Amin 🤲🏾
Alhamdulliah I see my brother r becoming expert in Dawah and specialising in daii.,..thanks to Allah SWT......Muslim brother from India.
My Favorite teacher MashaAllah Allah Akbar Hope amesikia!!!
Sheikh Ibrahim Masha Allah...legend wa dawa'h
Angalia leo Yusufu vile ni mpolee...
@@abassonlinetv wacheni bid'ah nyinyi wazeep
Mashaalah Joseph leo amepata sindano full doze in Yusuph wambogos words coz hua na kiherehere sana na ubishi mwingi asante sana sheikh wetu kwa kumuelimisha
Wooow Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masha Allah sh Ibraahim may Allah bless you ❤❤❤❤❤❤❤
I last saw this sheikh simba in early 90s he was really young by then and well into religious debares ❤
Allah waxan ka baryaya in u cheicka ka ilaliyo shaydan in u riya ku rido Allah ha hafido ha barakayo imri iyo cibado wanagsan Allah siyo amin amin amin
MashaAllah Mashelhk wetu Mungu hawape afya njema na umuli mrefu lnshaallah
MashaAllah tabaraqaAllah ant mwambiye bai bai 😂😂😂
Karibuni masheikh ❤❤❤Mashallah Allah
Mansha allah❤
MashaallahsheikhIbrahimmayGodblessyouandothersheikhs
Masha Allah sh Ibraahim ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ma Sha Allah ya sheik Ibrahim
Jazaka-Allah
I like this ustadh wallay.
Mashaallah masheikh wetu mungu awalinde
Aamin
Sheikh ni Mkali ayyy🥰🥰
Masha-Allah
Ameen sheikh wangu
Masha Allah first one to watch it
Mashaallah...
Uislamu rahaaaa japo watanuna wale wapinga kristo
Maasha allah
MashaAllah
Mashallah Mashallah
Mashallah Allah
Hilo jizee la miwani huwa lina ushindani cjui kwanini wako hivi wa pagani
Waislamu wabishi mbona hataki andiko lisomwe?? Tena Kuna maana ya ndani na maana ya inje sasa wewe wasubilia uione mkono wa serikali jamani???
Mashallah
Assalam alleykum
Mashekhe zangu huyo Josee anawspotezea mda ili musifundshe watu wakasilimu tafadhali mumuulize nayeye kuhusu huo ukristo wake na wala hana majibu
My brother and sister the only way to God is only Christ 🙏🙏🙏🙏
Msomaji leo kanimaliza na suti🤣🤣
saa zingine inatakikana hivyo
Assalamu alyakum warahmatullaahi wabarakaatuh
M.a
Hishara shee
Hivi ndio waislamu utoroka wakishikwa na hoja ya msingi....they are ashamed with disgusting truth
Waislamu mashehe wako na shida.....anatoa mfano wa serikali na atoi kitabu....watu wanajadili yalioandikwa lakini anaogopa yalioandikwa ndiposa anatumia muda mwingi kupoteza ilmuradi anatoroka hoja ya msingi ...naive
why is Ibrahim runnig away from his own Quran?
Bid'ah
Davistar mata youtube channel inasema uisilamu ni ushetani, na ni dini ya kuzimu na inaendeshwa na uchawi majini na ukitaja jina la yesu msikitini kunalipuka je ni ukweli? @davistar mata channel
Hizo ni propaganda zao tu, kawaida mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, shetani hana nafasi ktk uislamu hata kidogo. Nikuulize swali ni wapi umeona ktk umsikitini na kanisani ukaona wanadeal na mapepo??? Jibu utalipata. Uislamu unamtaka kila muislam ukitaka kufanya kitu chochote cha kheri basi uanze na maneno haya "najikinga kwako Allah (Mwenyezi Mungu) na mashetwani na majini". Hawa mashetwani na majini ni viumbe kama viumbe vyengine, kwahivyo sisi waislam hatuna mpango nao kwasababu wao wapo na mambo yao na sisi binadamu tuna mambo yetu hakuna kuingiliana, ukiona kaingia ktk mambo ya binadamu ni mbaya huyo.
Yesu ni mtume wetu pia na tuna mu ita issah
@@dakirhashi6894
Mbona hamyakubali mafundisho yake kama mnamkubali acha kudanganya
Mashallah