Msikize Dai Mkongwe.. Kigogo wa Daawa, Shkh Issa John Luvanda akijibu swali... Je, Yesu alisulubiwa?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • daawa channel ‪@abassonlinetv‬

КОМЕНТАРІ • 129

  • @abassonlinetv
    @abassonlinetv  2 роки тому +11

    please subscribe like and share

    • @suleymanali431
      @suleymanali431 2 роки тому +1

      Sheikh Abas brother wapi part 2 ya hii clip ya sheik issa john luvanda kwa maana tuona ilikitikia katikati haja maliza bado waadi yake pls tunataka tuone part 2 yake kama hiko

    • @naimaabuualii578
      @naimaabuualii578 Рік тому

      MASHA ALLAH Shekh uko vizuri mungu akulinde

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 роки тому +11

    Mashallah sheikh wetu afazari uwe maskini ufate dini yahaki nakuaca ukafiri kufru

  • @khalidahmed6900
    @khalidahmed6900 Рік тому

    ALLAAHU AKBAR!!! ALLAH awazidishie kheri na baraka katika juhudi hii tukufu

  • @mwalimumlaula6167
    @mwalimumlaula6167 2 роки тому +5

    Aslm Aleikum Kaka,naomba kama itawezekana Sheikh Luvanda akutanishwe na Ndacha katika mada tofauti In Shaa Allah.maana Ndacha anaufahamu ukweli lkn anakuwa akijikwepesha na kuwapoteza wengine.

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 роки тому +4

    Mashaa llah Mzee kigogo hichi sheikh Abbas tupe party 2 usitueke na haku kakaka

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 2 роки тому +5

    Ustadh Luvanda angekaa masiku kadhaa Masha Allah. Raha sana

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 2 роки тому +7

    Ustadh Luvanda Masha Allah

  • @hassansharif9216
    @hassansharif9216 Рік тому +1

    Masha Allah Sheikh

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 11 місяців тому +1

    Mashaa-Allah Allah azidi kukupa stara ya duniya na kesho akheira ndugu yetu katika imaan

  • @user-fy3mh6kx1z
    @user-fy3mh6kx1z Рік тому +1

    Wallahi kuna msiba mkubwa duniani Allah atunusuru awahifadhi mashekhe wetu...hawa makafiri hakuna siku watakuwa na umoja wao hupingana kila wakati,kudhihirisha ya kwamba kinachokosekana kwao ni hidaya...tuwaombee Allah awaongoze katika njia iliyonyooka Amiin

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 роки тому +3

    Mashaalah

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 2 роки тому +4

    Mashaalah sheikh mkweli lakini mbona hakuna maji ya kunywa kwa sheikh wetu jameni ame sema mazuri

  • @HassanAli-lt4xm
    @HassanAli-lt4xm 2 роки тому +3

    Mashallah Sheikh issa luvondo Allah akuridhie

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Рік тому

    Allah akupe nguvu na afya tuuhami Uislamu maana ushoga ndoo huo ushaletwa na wenzetu wadin nyengine wameukubal sijui wanatumia kitabu gan kinacho ruhusu ushoga

  • @smadon5638
    @smadon5638 6 місяців тому

    Mashallah dherkh

  • @leilaekesa3394
    @leilaekesa3394 2 роки тому +2

    Mashallah sheikh Luvanda

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 роки тому +4

    Masha Allah Ustaz Sheikh Luvanda.

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Рік тому +1

    Mashaallah mungu akulipe sheikh luvanda

  • @zeinyomar2460
    @zeinyomar2460 2 роки тому +3

    Ma sha Allah mungu akuweke sheikh wetu

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +1

    Sheikh Luvanda kiboko mashaAllah

  • @araabkhan4881
    @araabkhan4881 2 роки тому +2

    MASHALLAH

  • @amisibilly5084
    @amisibilly5084 2 роки тому +2

    Congratulations sheikh

  • @mohamedahmed-jf3bm
    @mohamedahmed-jf3bm 2 роки тому +1

    Masha allah shaikh luvanda

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 2 роки тому +2

    Masha'Allah ❤

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 2 роки тому +2

    Kikubwa bado unamtangaza Mungu basi endelea tu

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 роки тому +3

    Wow 😍😍😍😍

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +3

    Hahaha eti malaika wanadanganywa na damu. Kweli wakristo hamujielewi

  • @athumanzahir8316
    @athumanzahir8316 2 роки тому

    Yesu alikufa na akafufuka ili tuwe na imani kwamba sku ya mwisho na tutafufuliwa na mungu

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 Рік тому +1

    😂 Ramadan kuria bin kaguo Kwa mara ya kwanza nakuona huku Masha Allah mungu awabariki

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 роки тому +2

    Allah Akbar

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 Рік тому

    Maasha Allah

  • @hakimabdul7494
    @hakimabdul7494 Рік тому

    Mashallah

  • @rashidalfan8274
    @rashidalfan8274 2 роки тому +2

    Allahu Akbar

  • @servantofjesuschrist839
    @servantofjesuschrist839 2 роки тому +2

    YESU NDIO UKWELI NJIA NA MAISHA

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому +2

      Lakini mnampinga na mafundisho yake hamuyafati

    • @servantofjesuschrist839
      @servantofjesuschrist839 2 роки тому

      @@samxx411 Hatumpingi na mafundisho yake Yesu ni Mungu aliye ju ya Mungu yeyote
      Muhammed alimuoa mtoto wa miaka 6 unaeza oa mtoto wewe??

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 роки тому +2

      Ni 9 sio 6 ndio alioa kweli lkn aliishi nae mpaka alipofikia umri wa utu uzima wake ndio mambo mengine yaliendelea lkn sio kwa upto wako ww.

    • @servantofjesuschrist839
      @servantofjesuschrist839 2 роки тому

      @@mwawekomiuda9779 Narrated `Aisha:
      that the Prophet (ﷺ) married her when she was six years old and he consummated his marriage when she was nine years old. Hisham said: I have been informed that `Aisha remained with the Prophet (ﷺ) for nine years (i.e. till his death).
      حَدَّثَنَا مُعَلَّى بْنُ أَسَدٍ، حَدَّثَنَا وُهَيْبٌ، عَنْ هِشَامِ بْنِ عُرْوَةَ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، أَنَّ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم تَزَوَّجَهَا وَهْىَ بِنْتُ سِتِّ سِنِينَ، وَبَنَى بِهَا وَهْىَ بِنْتُ تِسْعِ سِنِينَ‏.‏ قَالَ هِشَامٌ وَأُنْبِئْتُ أَنَّهَا كَانَتْ عِنْدَهُ تِسْعَ سِنِينَ‏.‏
      Reference : Sahih al-Bukhari 5134
      In-book reference : Book 67, Hadith 70

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 роки тому +1

      @@servantofjesuschrist839 so what????

  • @user-fy3mh6kx1z
    @user-fy3mh6kx1z Рік тому +1

    Bonge la mtu kweli...jemedari..simba wa Allah..Sheikh Issa Luvanda...Allah akunusuru..

  • @user-fy4op1sw2f
    @user-fy4op1sw2f 4 місяці тому

    😂😂😂Lamba sheikh ham ham ham😂😂😂😂😂

  • @issaally7928
    @issaally7928 2 роки тому +1

    Apo pazuri apo atakua kasurubiwa simoni akuna sehemu yesu alirudishiwa msaraba napawazaga kipande icho

  • @user-wp8yn9uw9e
    @user-wp8yn9uw9e Рік тому

    Oliva mutukuz
    3:02 😊

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 2 роки тому +2

    🤔Watu ni wamoja, dini ni moja, Mungu ni mmoja. Tafuta elimu ujue nini ni ukweli.

    • @hamissuche6576
      @hamissuche6576 2 роки тому

      Uwongo, dini sio moja wala mungu sio mmoja,. Waislamu mungu wetu anaitwa Allah, ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa wala hajafanana na chchte asiye fikwa na umauti,. Kinyume na mungu wa wakristo aliyekufa msalabani

    • @amourmtungo623
      @amourmtungo623 2 роки тому

      @@hamissuche6576 Mzalendo wewe unaamini na kuabudu kitabu na Mungu yupi? Watoto wa Adam na Hawa hawawezi kuwa na dini mbili kama Mungu wao ni moja. Rudia kwenye masomo kuna dini ngapi kwa mujibu wa Mungu na sio kwa mujibu wa watu

  • @athumanzahir8316
    @athumanzahir8316 2 роки тому +2

    Shehe biblia hujasoma na huielewi

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 8 місяців тому +1

    Hizo mbwembwe ndacha hatazimaliza na utakimia

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 8 місяців тому

      Ndacha anawalisha matango pori anaweka viraka kutumia vitabu vya ovyo na tafsiri za ovyo ambazo ni za makafiri kwa ajili tu ya kuchafua lkn ukwei mungu wa kubadilika badilka mara mungu mara mwana wa mungu mara nabii mara binadamu mtihani

    • @jumarobertonyancha8605
      @jumarobertonyancha8605 8 місяців тому

      Waislamu Quran inawaruhusu kudanganya

  • @mtesigwasemba2456
    @mtesigwasemba2456 2 роки тому +3

    Sheeeee pigaaa hy makafiriiiii

    • @athumanzahir8316
      @athumanzahir8316 2 роки тому

      Nyie waislam mnaroho mbayaaa sana

    • @kiangurajason1183
      @kiangurajason1183 2 роки тому

      Kafiri na mamako takataka wewe. Hiyo din yenu inayoenezwa na mauaji ni fake. Terrorists.

    • @hamisimuhammad6225
      @hamisimuhammad6225 2 роки тому

      @@athumanzahir8316 Kama matako yako

    • @athumanzahir8316
      @athumanzahir8316 2 роки тому

      @@hamisimuhammad6225 njo kwa yesu ili uwe na heshima uache matusi

    • @athumanzahir8316
      @athumanzahir8316 2 роки тому

      @@hamisimuhammad6225 unajiita Muhammad na huna busara Kama sio mmetawaliwa na masheatani ni Nini sasa

  • @HusseinTofikihussein
    @HusseinTofikihussein 9 місяців тому

    Acha kuwapoteza watu ww utaulizwa na Allah

  • @magesamatiku7506
    @magesamatiku7506 Рік тому

    Nenda kamfate mtume mbakaji wa watoto mudi

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 роки тому

    Nikodemu nae alisoma.lakin.hakujua kusoma so tija

  • @samoramussa5336
    @samoramussa5336 2 роки тому

    Mpinga kristo yupo tu, mwisilam na mkristo hata mbigu nitofauti kwenu kuna madem bikra zao haziishi mkalio mita 80 titi linachoma kama msumari, mkristo mbinguni kwetu hakuna kuoa wala kuolewa tutaishi kama malaika.

  • @magesamatiku7506
    @magesamatiku7506 Рік тому

    Umeenda kupulizwa matakoni

  • @athumanzahir8316
    @athumanzahir8316 2 роки тому

    Hajielewi huyu mbwa mada za kitoto

  • @mesharktopuru8494
    @mesharktopuru8494 2 роки тому

    Mnangoje ndacha atoke ndio muanze sarakasi

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому

      Hugo ndacha ameanza kuubali uislam, anakubaliana na uislam hakuna utatu na anadebate na wakristo wenziwe kuhusu utatu ambao haupo

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 Рік тому

      Ndacha anakuo hopea ww usiejua bible

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 2 роки тому +2

    Huyo ustadh ana hoja nyepesi sana aise yani namkalisha mapema sana na kwa bahati mbaya anakutana na watu wasioijua biblia, kama alikuwa mchungaji basi hakustahili...hakuna kitu kelele tu

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 роки тому +1

      Huyo alikua mkatolik

    • @HusseinAli-fx1ld
      @HusseinAli-fx1ld 2 роки тому +1

      Wew wajua nn, lete maandiko. Usihubiri mambo kwa kichwa chako

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 роки тому +1

      @@HusseinAli-fx1ld mandiko yko kwa hicho kitabu chenu acheni kupotosha na mashekh wenu wamwambie ukweli mtoko kwenye usingizi

    • @HusseinAli-fx1ld
      @HusseinAli-fx1ld 2 роки тому +2

      @@aiahadoha4550 uzuri kila siku mapastor padri na wachungaji wanaslimu🤗

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 роки тому

      @@HusseinAli-fx1ld
      Kawaida ya mtu aongozwae na shetani namajini hutembea kama maiti kwamaaana hajui aendako Wala afanyacho uziri nikwamba neno la MUNGU wa mbinguni litadimi milele hayo yote ni matambiko na na gasia na vinapita wapi mnaelekea shetani aliwakamata sawa sawa poleni sana Kisha sana MUNGU awaongoze mjielewe

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 2 роки тому +1

    Jesus is Lord

  • @moreenikutwa2767
    @moreenikutwa2767 2 роки тому

    Laiti ungelijuwa huwezi ongea hivyo ilinlazimu mungu azaliwe katika mwili huu Ili aje atuokoe mm na ww unaposema yesu hakufa ww nimpinga kristo na yesu alikufa akafufuka Kwa ajili ya dhambi zako

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 2 роки тому +2

    Hahahah. Porojo tuuu ulikuwa mchungaji feki. Ulifuta madhambi kutumia kifutio ngani

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 роки тому +1

      Kua mkatolik shida sana sai wadanganya watu duuuuuh ongeeni huyo kafiri wenu alie fanya kutafsiriwa qoran ilio andikwa na mtu mnayesema jibril kumbe mwebeania hii tabu

    • @HusseinAli-fx1ld
      @HusseinAli-fx1ld 2 роки тому +1

      Mchungaji ndie anawafutia madhambi

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 роки тому

      @@HusseinAli-fx1ld naona atanza na yye mwenyewe amalizie na waislamu wanaongozwa na kitabu kilicholetwa na jibril mwanadamu wakiendelea kudanganya na kutanganywa na mashekh wao kutokuwambia ukweli ilimzidi kupoteza

  • @joshuamagondu
    @joshuamagondu 2 роки тому

    Mbona usitafute walimu wakikristo..tuna walimu stadi watakaokunyamazisha uwache kuhangaisha vijana..moto inawangoja nyie waislamu

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u 2 роки тому

    Nani kasema wachungaji wana futa ma zambi? Kwanini una wadanganya wa islam
    Muhammad unaye mfuta alihowa mtoto wa miaka 6 uyo sio example au mfano wakuigwa na alisema watu weusi walihumbwa kwenda motoni jifunze na acha kudanganya watu

    • @onedawo9531
      @onedawo9531 2 роки тому

      Wewe ni mkafiri kwanza jifunze kiswahili yako shida Kubwa

    • @kilimanjaro695
      @kilimanjaro695 2 роки тому +1

      Gospel usiwe too emotion kujibu au kusema jambo. Sehemu gani au Aya gani imesema watu weusi wameumbiwa kwenda Motoni? Wakati hotba ya Mwisho ya Mtume wetu Mohammad S.A.W. Alisema kuwa Hakuna rangi ( Race) iliyokuwa superior. Mwarabu si Mbora zaidi ya Asiyekuwa Mwarabu. Mweusi ( Mtu mwenye Asili ya weusi) si Mbora kulikoni Mwarabu. Kwahiyo is common sense, kitu kama hicho hakuna, Labda proves me wrong.

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 Рік тому

      biblia Inasema Kanisani Kuna kiti Cha Enzi Cha Shetani...Acheni kumtusi Nabii muhammad.s.a.w..ikiwa wewe nimfuasi wanabii yesu kwanini unaoa bibi.nabii yesu hakuoa

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 8 місяців тому

      Adam kaoa mtoto wa siku moja

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 2 роки тому +2

    Maashaallah