AIC SHINYANGA CHOIR/ KAA TAYARI/ ZILIZOPENDWA AFRICA MASHARIKI.
Вставка
- Опубліковано 9 чер 2020
- #MsalabaMEDIA #DirectorAbson #MsalabaSOS #TanzaniGospleMusic #UpendoUpatanishoUkombozi
©2020 Administered Msalaba MEDIA
+255767957191 /+255 710 132 291
Msalaba SOS & MEDIA
Forward We Go 🚶🚶🏃🏃💪
Efeso 2:16. 2Wakoritho5:17-19.
WITO (Isaya 49:1-26.)
(A-Kurudisha Sauti Ya Mungu tuliyoipoteza
(B-Kutufanya Silaha
(C-Jina la Yesu Kutukuka kupitia Sisi
(D-Kuwarudisha Waliopotea Kwa Mungu
(E-Wafalme, Watawala Na Wakuu Kusujudu kwa Mungu
(F-Kufanya Agano Na Mungu
(G-Kanisa kutembea ktk nguvu za Mungu
(H-Ardhi Kupatanishwa Na Mungu
(I- Ulimwengu kuinuliwa Upya
(J-Kurithishwa Urithi tuliokuwa tumeibiwa
(K-Uhuru Kwa Wana wa Mungu
(L-Giza kuwa Nuru
(M-Walio Na Njaa Kushibishwa
(N-Kutokusahaulika Na Mungu
(O-Ongezeko La Haraka
(P-Kutoonewa Na Shetani
KUSUDI (Mathayo 28:19-20.)
UTUME - Enendeni
UALIMU - Mkafundishe
MISSION
Zaburi 24:7-10
Waefeso 6:10-20
2Wakoritho 10:3-5
MFUMO
Mitume
Manabii
Walimu
Wachungaji
Wainjilisti
Waimbaji
Jicho
Karama.
Uhusiano & Taarifa.
#Msalaba SOS For the Peoples.
Still watching 2024
Aki jamani ujumbe mzuri sanaaa nawapenda Wana AIC shinyanga❤❤
Still 2024 watching
Huu wimbo unanibariki Sana na haujachuja mpaka sasa
Thanks am watching from Kenya
2023 still watching
I watched it back in 2012 and up to date I recall this amazing song. Praise God. 2023
Am here 🙋🥳🥳
Still watching 2024... I love song leader she is vibe
Still watching2024
Kweli Kwa ujumla mko vizuri katika nyimbo zenu zote. Mungu awa zidishie vipawa na vipawa zaidi waimbaji wenzangu.
Huwa unanifundsha sana huu wmb
Nilikuwa na miak 17 ndy nilisikia hiyo nyimbo ❤
Amen
Nice song
Wimbo huu mi naukali Sana Huwa nausikiliza zaidi naschoki kuusikiliza MUNGU awabaliki
Dah Masanja 🙌🏼
Its 2023 God is great!
Aaaaa wanibariki kutoka siku hii hapa athi river
Ninabarikiwa na hio wimbo Niko hapa Umoja 2
Mubarikiwe sana nawapenda muendelee mbele na injili
Very touching gospel
Mko vizur sana kwa nyimbo
2024 again
Winbo mzuri
Nyimbo nzuli sana !!Tunawapenda sana
Amen 🙏 to God
Kweli tuwe tayari
Wimbo mzuri sana,bwana anahuruma
Congratulations
Jamani Nyie 🥰🥰🥰🥰🥰
Be blessed amen
Wimbo mzuri
🔥🔥🔥🔥🔥
Wengine wakumbatia maovu mbarikiwe kwa kwa uimbaji
2023🎉
Still watching 2024❤🎉
❤
Umekumbusha ezi hizo jumamosi na jumapili kwenye kumbi za video zanaapa gospo kwnza ndio inafata movie
Unakumbukumbu sana, that moment ilikuwa raha sana. Kuliko sasa unaangalizia home au kwa simu.
𝕚𝕟𝕜𝕨𝕖𝕝𝕝 𝕒𝕥𝕒 𝕕𝕚𝕖 𝕞𝕖𝕖𝕥𝕚𝕟𝕘 𝕚𝕝𝕚𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕟𝕠 𝕀𝕧𝕠𝕣𝕪 𝕀𝕧𝕠𝕣𝕪 tu
2022
mage ulienda wapi kwani
Yaani hata mm huwa natamani kuwa hii choir combination basi ipo au ndo digitali ilishawasambaratisha?
Mage yupo anaimba na kwaya ipo inafanya vizuri tu
Mage bado yupo mpendwa
nipo jamani😂❤
Amen good song huu wimbo ni mtamu.
Aye baba
❤