JUMA MAGOMA kayakanyaga " ni MCHAWI, hatutaki KUSIKIA/ RAIS Injinia Asiyumbishwe TUTAMPOTEZA MAGOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

КОМЕНТАРІ • 19

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Місяць тому +2

    Yaaani huyo magoma sijui kajifungia ndani sipati picha kalikologa sijui nani kamdanganya

  • @JustinKazimoto-dt4hn
    @JustinKazimoto-dt4hn Місяць тому +2

    Uyo mzee njaa tu kwayanga hii mbona ameyakanyaga

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 Місяць тому +2

    Mzee mangoma alijua wazee wayanga ni wa simba yanga wenyewe wanamsemo wao kuwa daima mbele yuma mwiko

    • @SaidiMkome-qq7hy
      @SaidiMkome-qq7hy Місяць тому

      Nyuma mwiko mtu kashinda kesi mahakama😁😁🏃🏃😁

  • @maryfides591
    @maryfides591 Місяць тому +1

    Lipotezeni iro mwisho wa ubaya ni haibu

  • @musapfute6608
    @musapfute6608 Місяць тому +1

    Kavamia mtumbwi wa vibengwo😂😂😂

  • @user-fi6hb3lp5y
    @user-fi6hb3lp5y Місяць тому

    Mnae uyo mtasema weee lakini huyo mnaee

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 Місяць тому +1

    Atatafuta pa kuyapigia magoma yake

  • @doreenkweka3869
    @doreenkweka3869 Місяць тому +1

    Tuandamane mpaka kwake

  • @maryfides591
    @maryfides591 Місяць тому +1

    Kajichimbia kaburi mshenzi uyo

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 Місяць тому

    Wewe na mahakamaaa nanimkubwa

  • @ToyoboAndrea-he8fv
    @ToyoboAndrea-he8fv Місяць тому

    Mzee magoma tunampakia mkongo kayakanyaga,

  • @ChijaKisenya
    @ChijaKisenya Місяць тому

    Anataka Kifo

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Місяць тому

    Magoma anatafuta makubwa huyu

  • @radhiaibrahim2951
    @radhiaibrahim2951 Місяць тому

    Ekizatrii🤣🤣🤣🤣

  • @athumanhusen6008
    @athumanhusen6008 Місяць тому

    Wabongo wasenge xanaaa,magoma ana kosa gani?kufata Sheria ni kosa ?hersi ndio ana njaaa

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 Місяць тому

      Huko dodoma umerudi umepona au homa imezidi Imezidi?

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 Місяць тому

    Sasa wewe uliekaa kijiweni kupiga porojo sio mwenye njaa?umri na nguvu ulizonazo unazipoteza bureee kweli mwiko nyuma mpaka uje utoke kama kimeshafika.ila aliesema yanga wenye akili ni watatu ni mkweli Mzee magoma kalithibitisha kwa hoja ya katiba.nyinyi wengine endeleeni kudanganyika na engener hersi ipo siku mtamshikia mapqnga 😂😂😂

  • @Tassyomy
    @Tassyomy Місяць тому

    𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐑𝐀𝐓𝐈𝐁𝐔 𝐖𝐀 𝐌𝐈𝐂𝐊 𝐍𝐃𝐔𝐆𝐔 𝐌𝐓𝐀𝐒𝐀𝐍𝐆𝐀𝐉𝐈..𝐒𝐀𝐔𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐕𝐈𝐃𝐄𝐎 𝐈𝐍𝐀𝐊𝐔𝐀 𝐀𝐈𝐍𝐀 𝐐𝐔𝐀𝐋𝐈𝐓𝐘..!!