Dhana mbaya lkn me nisharanda san oman sijawah kuon shimo l choo liko wazi watt wa waarabu ni watundu sana ingekua mshimo yako wazi wangekufa wengi sana Allahu Aalam🙌 Sisi ni wa mungu na kwake tutarejea🙏
Msemaji anaimani na Allah watu wanazusha kwa magrupu mtandaon hawajui kua Allah kadari yake haipingiki tujifunze tukipata misiba kusema Alihamdulillah innalillah wainaillah rajiuni
Innalillah wainah ilaih rajiun poleni sana kwa msiba Allah awape subrah. Inshaalah Allah amjaalie kaul thabit na ampe jannat firdous amsameh makosa yake.
Taarifa ameteleza akitumbukia kwenye shimo mhh baba mdogo hiyo imani au mnajua kilicho muuwa maana mengine tunatumiwa makwetu yatukute tùapo elekea kuuliza ni muhimu alikufa ndani ya shimo au alipo teleza ndiyo akafa hapo hapo 😢
Kwani ubalozi ndy unasafirisha mwili eeh ndege imeondoka Oman ikiwa na Mwili wa marehemu pale wanafaulisha ndege kwahy hofu yakupita na madawa ya kulevya ndy lazima uchunguzwe masaa 24 na wakifika Dar napo lazima wachunguze tena
Poleni sana wana ndugu na roho zake ilazwe mahali peponi . Watanzania msiwe wajinga huyo amesukumwa kwenye chemba Na waarabu waafrika wengi wanakufa uarabuni wengine wanasukumwa kutoka balcony za magorofa.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Why mm nkitaka kujiunga linagoma
Naomba Namba ya dada zali please
MashaAllah nimependa baba ameongea vizuri Mungu atutunze wapambanaji kwenye changamoto zetu
Jamaniiii inauma sanaaa😢 jamani kwenye dua zenu mtukumbuke tulioko huku
Uko wapi
Kifo haikwepeki acheni uoga mtakufa tuu
Poleni sana
@@KhairatiSulemani-t6dwewe haufi eeee komenti gani hio ndugu sema tutakufa tu
Kweli kabisa wote njia moja
Dhana mbaya lkn me nisharanda san oman sijawah kuon shimo l choo liko wazi watt wa waarabu ni watundu sana ingekua mshimo yako wazi wangekufa wengi sana Allahu Aalam🙌 Sisi ni wa mungu na kwake tutarejea🙏
Ni kweli huyu katolewa kafara
Hata mm sijawahi ona kusema chemba uongo kabisa wamefanya yao
Mungu atulinde turudi salama makwetu.🙏
🙏Amen
Allahumma Amiin
😢🤲
Amiinii
Amiinii
Ma sha sllah huyu bb mungu amzidishie imaan
Ni kweli kuna kuuliza ktk maha kama ya allah
Baba mdogo mashaallah umesema marehemu anakudai, mashaallah
Msemaji anaimani na Allah watu wanazusha kwa magrupu mtandaon hawajui kua Allah kadari yake haipingiki tujifunze tukipata misiba kusema Alihamdulillah innalillah wainaillah rajiuni
Hawa ndio watu wa imani sio hyo mizushi kumzulia uwovu maiti.
Baba mdogo ana uchamungu sana .ALLAH AMTUNZE❤❤
Mungu awelipeni fadhila juu ya subira yenu katika mtihani huu uliowafika,
Mungu amlaze mahal pema .bwana ametoa jna lake lihimidiwe🙏
Amiin ndugu yetu asante kwa kutufalij
Innalillah wainah ilaih rajiun poleni sana kwa msiba Allah awape subrah. Inshaalah Allah amjaalie kaul thabit na ampe jannat firdous amsameh makosa yake.
Allah amrehemu
Allah awajaze subra familia
Baba ana point
Inauma inauma inuma Allaha atujalie tulioko huku tunaomba dua zena . Mungu ampunguzie azabu ya kabri 🤲🤲😚😚
Upande Gani mwenzangu
Rudin makwenu huku mbona frusa zipo kibao mnaish kwa shida hamna uhuru mara msukumwe
Amiina amiiina yaaa raaabi
Inaumiza xnaaaa 😢😢 mungu wa mbinguni atulinde
Alhamdullah tumuachie mungu lkn baba mdogo mungu kamjalia hekma masha allah
Inna lillah wainna ilayhi rajion Allah amsameh makosa yake na sisi Allah atupe husnil hatimaaa
😢tumshukuru Mungu kwa kurudishwa mwili nyumbani 😢
Allah turejeshe salam majumbani mwetu😢😢😢😢 tukiwa salam
Baba nimempenda bure,ana hekma na busara
Maashaallaah baba unahekm sana ba mdogo Allah amlaxe mahali pema peponi
Poleni sana Wana family kwenye hiki kipindi hiki kigumu💔💔
Allah wape subra 😢 innalilah wainnairah rajiun
Jamani mungu ampumzishe mahala pema peponi poreni sana 😢😢😢😢
M/mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mnacho pitia
Poleni Wana familia wote kwa ujumpa
😢😢😢😢😢ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YKE MASKN KAENDA MZIMA ANARUDI MAITI😢😢😢😢
Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote wa marehem mbele yake nyuma yetu
Wallahi inauma kurudishwa umekufa 😢😢
Eeee jmn Mungu wang uturudishe salama majumbani kwetu watt wetu wakafurahie matunda yetu na sio machozi na maolbolezoo🙏🏽🤲
Amiin amiin😪
Ameen
Allaah amrehemu, na pia Allaah awape Subra family
Mashallah ba mdgo ana busara sana polen sana family kwa msiba😢
Allah is the best of provider and best judge of judgement
Ma sha Allah familia yenye imani na hofu ya Allah inauma sana Allah awape subra😢😢
Kweli kaka atamkitaka kutafity amuoni tena 😭😭😭
Tunamuombea mpambanaji mwenzetu Allah ampokee inshaalh inaumiza lakini😢😢
Poleni sana kwa family ya 😢😢mwenzetu mpambanaji😢😢😢 du inauma
Allah amsamehe makosa yake na sis Allah tuliopo huku Allah atuhifadhi na maabaala 🤲🏻😭
Innalillah wainan lillah rajoun, allah ampe kauli dhabit
Aiseeee😢😢😢😢😢😢Inauma Sana Mungu atulinde tu turudi salma 😢😢😢
Ameen
Amiin 🤲 yarabi
😢😢😢Sububuhanaal naumia jamn mungu tutunze tuliopo mbali na nyumban
Innalillah wainalillah rajiun, Yarrabi amfanyie wepes ktk safari yake 😢😢
Taarifa ameteleza akitumbukia kwenye shimo mhh baba mdogo hiyo imani au mnajua kilicho muuwa maana mengine tunatumiwa makwetu yatukute tùapo elekea kuuliza ni muhimu alikufa ndani ya shimo au alipo teleza ndiyo akafa hapo hapo 😢
Polen jmn kwa msiba ...ila nilikuwaga nae Oman natulirudi 2019 hii mala ya pili kwenda
Baba anasema kwanza alienda Baghdad Iraq hakwenda Oman hii ni mara ya kwanza anaenda Oman
Na kweli tumwuachie mungu ndiye mjuzi
Mashallah ba mdogo umeeleza vizuri
Allah awasimamie awape subra ajuae ni Allah
Pole kwafamily mungu awatie nguvu 😭 😭
الله tujalie mwisho mwema
😢😢😢jmn huu msiba unaniuma sana, pole sana family ya marehemu ila musichoke kutuombea jaman uku
Subuhannallah jmn 😢😢Allah ampe makazi mema 🤲🏼🤲🏼inauma sana jmn
Inna li llahi wainna ilaih raajiuun, ba mdogo anaonekana ameshika dini.Alhamdulillah.
PUMZIKA KWAAMANI MPAMBANAJI MWENZETU
Poreni sana wote familia mwana vuwa
Innalillah wa inna ilaihi rajiuun Allah amrehem na awape subrah wanafamilia
Kiukweli gombo mungu awabariki sana
Poleni sana wana familia wote
Yaani maiti inaletwa tu bila maelezo ya sababu ya kifo ilitokea vipi Na serikali kwa Nini isiulize kifo kimetokea Nini
Baba mdg ana point sana mauti yameumbwa tumuachie mungu ndo mjuzi Inna lillah wainna ilayhi rajiuun
Poleni San wana familiy 😭😭😭😭😭
Innalillah wainalillah rajuun pole yake Yuma nyetu Allah ampe kauli thabit amiin😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
Mhh mtu anaokoaje mwili bila police nyieee mungu anawaoba wallah kilamtu anamaswali ya kujib kwa Allah ☝️
Kabisa huyu anaongea kwa kuwa sio Mama wa huyo Binti. Hii inanionyesha ni kitu kipo hao wanaroho mbaya sana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭naumia jamani mungu tusahidie pumzika kwahamani
Innalillah wainna lillah raajuun poleni wafiwa Allah awape subra ktk hili Amiiiin
Baba mdogo analmani sana Allah akulipe ba mdogo
Innalilah wainnalirajum Allah atunusu jamani tulobak uku tulud salama
Baba mdogo mjuaji hatari sana halafu mbona hiyo bosi wake hajui kiswahili unaipigia sana mstari?
Duh kweli mjuaji kupitiliza
Baba kiarabu anakijua inavyoonekana hata lafudhi yake ya kiarabu
Innalillah wainaillah raajiun 😢
Alisukumwa huyo waarabu ni washenzi sana makafiri hao nguruwe
INNA LILAH WAINA ILAYH RAJIUN
Mungu ampe kauri thabiti
😢 mtihani wallah Muslim akifa azikwe Wallah unauma sn 😢
Qatar vip jamaniiii 😢😢😢😢😢 kwani hapakua na ubalozi hadi uende Qatar
Si Amepandishwa Qatar are ways... lazima ukitoka Omana to qatar Wanafaulisha pale To Tanzania
Kwani ubalozi ndy unasafirisha mwili eeh ndege imeondoka Oman ikiwa na Mwili wa marehemu pale wanafaulisha ndege kwahy hofu yakupita na madawa ya kulevya ndy lazima uchunguzwe masaa 24 na wakifika Dar napo lazima wachunguze tena
Hao Mbwa walimuua wakamtupa humo kwenye shimo ilikupoteza ushahid Mashetan wakubwa hao ,af wenyewe wakija huku wanajiachia nakuish Wanavyo taka ngoja yakija saiz na sis ntuanze kuya sukuman yaanguke barabaran R..I .P Mwamvua
Bamdogo kama ajaumia ivii daa mungu tusaidie sisi turioko njee
Imani ndugu
Hawezi kuwa na uchungu maana sio Mama wa huyo Binti
Inna Lillah wainailah Rajiun. 🇴🇲😭😭
Ishallah tuwe pole wafanya kazi nawanafamilia wote kwaujumla
Innalilah wainnalillahi wainnaillahi rajiuna allahuma ghalahu waruhamaha
Allah awape nguvu inshaallah
Poleni sana wana ndugu na roho zake ilazwe mahali peponi . Watanzania msiwe wajinga huyo amesukumwa kwenye chemba Na waarabu waafrika wengi wanakufa uarabuni wengine wanasukumwa kutoka balcony za magorofa.
Poleni wanafamilia😢
Inalilahi waina ilahilajiun😭😭😭😭😭 Allah ampokee🙏
Poreni Sana wafiwa
Mungubbawaongoze
Majibu sahihi ya uchamungu
Innallillaah wainnaillah rajion mbele yak nyuma yetuu allaah ampe kauli thabit
ukiwa msemaji lazima utabasamu?
Apo sasa
Sasa awe na hasira
Inna lilah waina ilah rajiuun
Pumzika kwa amani ,mpambanaji.
Inna Lillah wanna ilayhi rajion
Inshaallah wainna ilaihi rajighun 😢😢😢
Baba ana imani WA LLAH
Raha ya Milele umpe ee Bwana na mwanga wa Milele umuangazie apumzike kwa aman, emen mapenzi ya MUNGU yatimizwe.
Baba ana busara sana na hapendi drama
Kwanini wazuwiye vitu vyake jamani
Baba mdogo mwaminifu ubalikiwe
Kwann wasikate oman air jmn
Inallillah wainnallillah raajiuna
Inallillah wainaillah rajioun Polen sna wanafamiliy Ila zana mbaya. Tuache 😢