EX WA BEKA AELEZA SABABU ZA KUACHWA "NISINGEWEZA KUMKATALIA HARMONIZE"/ALITUMA MESEJI MBAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 451

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 3 роки тому +8

    Shout out kwa mchaga OG na thisisaaliyaah na refresh kwa ujumla na wasafi media kwa kazi nzuri🤝👏👏

  • @frankfelix5344
    @frankfelix5344 3 роки тому +52

    Huyu ni mjinga sana ndomana wanawake ni nyoka unawezaje kujichukulia maamuzi kuwa vixing na hujatoa taarifa kwa mme wako beka well done

    • @mkobainnocent2368
      @mkobainnocent2368 3 роки тому +7

      Kwani ametolewa mahali? Kama hajatolewa hana uhalali wa kuwa mke ni mzazi mwenzake tuu,,kikubwa yeye apige pesa maisha yaendelee,,kwani huyo beka ana vi chuplichupli vingapi?😁😁😁😁

    • @shadyarif653
      @shadyarif653 3 роки тому

      ua-cam.com/video/tMmrY5XSATY/v-deo.html

    • @shadyarif653
      @shadyarif653 3 роки тому

      @@mkobainnocent2368 ua-cam.com/video/tMmrY5XSATY/v-deo.html

    • @humphreynduye6239
      @humphreynduye6239 3 роки тому +1

      Mkoba huna akili,,, nahx hujaoa ww
      And hujui ,,, nn maana ya mke ,,
      Mwanmke ukikaa nae miez miwil tuu hta kma hujmtolea posa n mkeo halal mkiachana kisheria mnagawana ,,, hta mlivyonavyo

    • @najmahamso8364
      @najmahamso8364 3 роки тому

      @@mkobainnocent2368 alimuoa na huyo dem alislim na wakafunga ndoa ya kiislam

  • @sniperreally9078
    @sniperreally9078 3 роки тому +3

    Kwa waliomuonea huruma bekq let's go 🚶‍♀️

  • @satwanthoogan6746
    @satwanthoogan6746 3 роки тому +9

    Ex- wa Beka,mzuri sanaaaa!😍👍👏

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 3 роки тому +55

    Happy Kwa hakika, umempoteza mume, dadangu

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 роки тому

      Nouma ua-cam.com/video/yKXCNFMSwHg/v-deo.html

    • @MtotowaButere
      @MtotowaButere 3 роки тому

      Much love ua-cam.com/video/Smu7gj2od5Y/v-deo.html true story jamani

    • @chamalawana3606
      @chamalawana3606 3 роки тому +1

      Mungu anakuona we dada

    • @FauritoOmar
      @FauritoOmar 5 місяців тому

      77777 um PB CGD

  • @rogathebarran9944
    @rogathebarran9944 3 роки тому +3

    Pole sana happy mi Bado nakuelewa wasikichanganye watu wa media rogathe bwawani biskuti upsent date kumbuka umejificha sana huko dar wasanii ni kama tu kina lao la usanii kila kitu wanaigiza na kuimba

  • @Maseras.love5
    @Maseras.love5 3 роки тому +4

    It"s so painfull najiskia mawazo yamenizidi..nishawai experience such things kama ni mtu caring na huruma mbona akuache hio inamean kuna kitu ulifanya na ibra😭😭you so cute mamy we men we are not that good as you think utachezewa na uregret badae mnaendana sana na beka aki am ready to give you all kinds of things zenye utataka bora mrudiane na beka sipendi kuona true love ikivunjika beauty pls rudi nyuma.Nimefatilia hii story sana na imenigusa..From lamu Kenya

  • @placidiasilvanus9113
    @placidiasilvanus9113 3 роки тому +6

    Atleast umeeleza mema yake big up

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 роки тому +4

    Alafu Oooh wanaume kwa kununa wanamaindi vitu vidogo sio kununa wala kumaindi vitu vidogo tunaitaji heshma ya dhat na kweli sio heshma ya kuigiza

  • @daudimatelot9339
    @daudimatelot9339 3 роки тому +28

    Bonta alisema Mwanamke mzuri kama hana skills ni sawa na Pete ya dhahabu kwenye poa ya Nguruwe

    • @MtotowaButere
      @MtotowaButere 3 роки тому

      Much love ua-cam.com/video/Smu7gj2od5Y/v-deo.html true story of

    • @shadyarif653
      @shadyarif653 3 роки тому

      ua-cam.com/video/tMmrY5XSATY/v-deo.html

    • @vummyjulias6951
      @vummyjulias6951 3 роки тому

      Unamakosa razma ungempa taarifa mwenzaako

    • @vummyjulias6951
      @vummyjulias6951 3 роки тому

      Dah naomba beka msamehee 2 uyu mdada Mana nimzur sana

    • @daudimatelot9339
      @daudimatelot9339 3 роки тому

      @@vummyjulias6951ana tamaa sana uyo dada

  • @philbertemmanuel7630
    @philbertemmanuel7630 3 роки тому +26

    Unaitwa tu hovyo kushoot wanakuona we danga wenzako huwa wanaandaliwa

    • @stevenchenga1978
      @stevenchenga1978 3 роки тому +5

      Si ndio apo vixen huwa anaitwa na anaandaliwa kwa kupewa maudhui ya video jinsi itakavyokua na sio kukurupushwa Kama ww unavyosema...kweli walimuona ni cheap prostitute ndomaana

  • @isackwsmithwsmith9027
    @isackwsmithwsmith9027 3 роки тому +8

    Teacher konde 🔥😍🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 3 роки тому +21

    Acha jeuri za kiiraki dadangu, mtafute Beka ndugu yangu, achana na wazugaji hao, wewe ni mtoto wa kike Una muda mchache sana wa kuondoka kwenye chat

  • @jastinmollel5502
    @jastinmollel5502 2 роки тому

    Unaongea vzr had raha mnapendana sana ubarikiwe madam

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 3 роки тому +7

    Happy una lugha za kubadilika. Ulisema unamjua beka ukimuaga hawezi kukuruhusu leo unasema ulikurupushwa. Hakuna mwanaume anaweza kukubali eti itokee kwa video bila kumshirikisha ulikosea sana.

  • @chamalawana3606
    @chamalawana3606 3 роки тому +7

    Hii ndio aina ya wanawake wengi tulio waoa eee h mungu tusaidie

  • @mariamubonifac3775
    @mariamubonifac3775 3 роки тому +2

    Kwahiyo beka Yuko singer🤣🤣🤣🤣wooo nitajimilikisha na mim

  • @azzizazizion5056
    @azzizazizion5056 3 роки тому +8

    siongei kwa ubaya ila wanawake weng walojaliwa uzur bas wanahis kutulia na mwanaume mmoja watachelewa kimaisha so wanatumia uzur wao kama fimbo ndio mana weng wanaishiwa kudanganywa kwa kupewa pewa vijihela lakin mwsho wa cku watu wanapiga kisela wanasepa tumien akil

  • @peter_paulofficialy
    @peter_paulofficialy 3 роки тому +8

    She is so cute....i love her💕

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 3 роки тому +2

    Naungeomba kutombwa ungetombwa kwanza ndo umuombe mume wako ruhusa ya kuchepuka. Ulifeli dadangu just respect your husband before everybody.

  • @embeteidi5023
    @embeteidi5023 3 роки тому +26

    Shida ya wanawake wa bongo wanaweka pesa mbele kuliko mapenzi

    • @lightnessdominick6887
      @lightnessdominick6887 3 роки тому +6

      Nyie ndo mnataka iwe hivyo

    • @fathers19991
      @fathers19991 3 роки тому

      Wende jaza mimba

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 роки тому +2

      Tafuta pesa utapendwa hadi na chawa

    • @johnjoseph763
      @johnjoseph763 3 роки тому

      Kwa kifupi Wanawake walio wengi ni tatzo sn na uwa hawajui km kuna kesho hyo ndio shda na wanajifanya wajuaji sn ndio maana wanaishia kuzaa zaa ovyo tu na hata uwaambie nn yanapita huku yanatokea huku

    • @salamaseif4183
      @salamaseif4183 2 роки тому

      Kweli

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 3 роки тому +9

    Mimi nakushauri fanya ufanyavyo, mtafute Babu Tale au Fella waongee na Beka

    • @oyay2821
      @oyay2821 3 роки тому +1

      Kama ashaonjwa Beka hawezi mkubali kabisa

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 3 роки тому +3

    Alikosea sana kwa ufupi mwanamke hasomuheshimu mumewe hafai honestly...

  • @aboubakarykitemi3721
    @aboubakarykitemi3721 3 роки тому

    Sasaiv ana sura nzuri bdo umri ngoja afike miaka35 tu uone km utaitwa kwen izo shooting pumbv ww yni kisa konde ni msanii mkubwa ndo ufnye utkcho bila mumeo! wnawke wa ckuiz dawa yao kuwachfua tu afu unasep zako mamae kbsa

  • @isackdalushi2255
    @isackdalushi2255 3 роки тому +9

    Beka fleva yuko sawa kumwacha huyu dem maana hajielew wee unaishi na mme wako ushindwe kumpa taarifa wanaume hatupend hayo mambo

  • @rachelkihaka9204
    @rachelkihaka9204 2 роки тому +1

    Aaah weeee ulishindwa kumheshimu mumeo kwa sababu ya pesa kwani Becka pesa alikuwa hakupi? Kwahiyo hapo ulipo umeridhika kabisaaaaaa na hayo madanga yanayokupa kiburi eti ingekuwa ni mwanamke uliyekamilika ilikupasa kabla ya mwaka mpya kuanza ungeomba radhi kwa mumeo

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 3 роки тому +4

    Tatizo lenu no nizamu
    Hiko ndicho kilichokuwa kipimo kwako kwake sio jambo dogo kama unavyochukulia jifunze kitu hapo hili husije kuludia kwa mwanaume mwingine.
    Hata ningekuwa Mimi nisinge kuhuliza maana hulishajichukulia maamuzi mikononi mwako.
    No Matt unaenda kuonana na nani taarifa kwanza.

  • @emmanuelkato9122
    @emmanuelkato9122 3 роки тому

    Acheni upumbavu wazazi wenu mbona awa ongelei mapenzi mnajifanya mna yajua sitaki like

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 роки тому +8

    Huyu bint mwanzo nilikuwa na muelewa ila Kadri siku zinavosogea namuona chenga. Et Leo hii anasema beka anajari Sana na huku interview zilizopita anasema Becka hajari. Inaonesha kabisa yy ndio ako na matatizo Ndiomaana Becka kagoma kukarudia na uzuri wote huo kabak kuhangaika ktk media😂😂

  • @mzalendoonlinemedia7170
    @mzalendoonlinemedia7170 3 роки тому +1

    Tamthiliya ya PAZIA mmeipotezea Wabongo. mnakwama wapi!?

  • @saleheabdallah5461
    @saleheabdallah5461 3 роки тому +11

    We acha kijishusha thaman kwa kushobokea ustar mume wako ndo amekufisha mpaka hapo ulipo alaf unakuja kufanya vitu bila kumshirikisha huna stara ya kuwa mke wew..

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 роки тому +2

    Myaka mi 8 mtu amekuvumiliya vingi uka mu ache kwa message ? Beka hajawahi kukosea? Huu dada haku msameh!!!??? Wanaume huruma yenu finyuuu kabisaaa🤮🤮🤮 Happy Mungu akupe mwenye kheriii zaidi
    Nawe mara nyingine umsaminishe utakaye kuwa naye na usikubali kukurupushwa👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

    • @asmaameir3663
      @asmaameir3663 3 роки тому +1

      Ndo wale wale

    • @chrispinkilasi1648
      @chrispinkilasi1648 2 роки тому

      Wanaume huruma yetu finyuuu kabisaaa? Sawa je unaesema atampata mwenye kheri atakuwa mwanamke?? Kubali tyu wanaume tuna wivu mkali hivyo shemeji alikosea kufanya maamuzi mwenyewe

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 2 роки тому

      @@chrispinkilasi1648 labda😡😡😡

  • @aminahhill1277
    @aminahhill1277 3 роки тому +11

    Waw I like the way she’s talking

    • @MtotowaButere
      @MtotowaButere 3 роки тому

      Much love ua-cam.com/video/Smu7gj2od5Y/v-deo.html true story jamani

  • @babuunavaz9843
    @babuunavaz9843 3 роки тому +27

    Ukiona demu anakuelezea kwa uzuri hivyo ujue kurudiana naye sahau 😂😂

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 3 роки тому +28

    Ulimthaminii msanii mkubwa Harmonize..... Baada ya kuachika kakusaidia nini?
    Umeulizwa beka ni mwanaume wa aina gani?Umesema vizuri...mwanaume mwenye kujali sana na huruma ..Heshima...
    Umeulizwa tena kama unajutia ulichokifanya ni kitu kibaya?
    Anasema haujutii
    Wewe Dada unafeli sana..Kumbuka mambo ya anasa ni ya kupita tu..Istoshe unamtoto anateseka kwa ujinga wako na tamaa zisizo na mpaka....
    Ushari wangu rudi kwa mungu wako piga magoti muombe radhi mume wako mrudiane mlee mtoto wenu..Jeuri ya kijinga haina faida....Mwenyezi mungu akufanyie wepesi....

  • @martinkinyua7650
    @martinkinyua7650 3 роки тому +7

    For sure this lady loved beka so much but beka sometimes he is non understandable.

  • @mathiaslaurent756
    @mathiaslaurent756 3 роки тому +11

    Huyu dem ni mjinga na ndio tabia nyingi za wanawake, anajiona mzuri na kuanza kusikiliza maelekezo ya wanaume wengine fikiria anasema ni msanii mkubwa nisingeweza kumkatalia dah!

  • @isibanianews1329
    @isibanianews1329 3 роки тому +6

    Wewe ni mshobokaji tu,lazima wawe walikuwa wanafanya na mengine.

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 роки тому +7

    Saiv wasafi bila kumzungumzia jeshi hamsikiki mjini khaaaa

    • @olipambwilo6055
      @olipambwilo6055 3 роки тому +1

      Mabinti wengi wanasahau ni kuchanganya mapenzi na kazi

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 роки тому +2

    Mmmh pole ndugu apo ulifeli, kabra ujaenda ungemuambia mwenzio, lkn umejiamulia tu.... Kaona umemzalau sio vzl my dear, cjui ulimuona jinga kumbe mwenzio ana msimamo wake

  • @barakanassari700
    @barakanassari700 3 роки тому +1

    Na hiyo ndo point Dada kuongea kwamba yeye kwake ni upendo 2 vingine havimsumbui

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 роки тому +15

    🤣🤣🤣🤣🤣 chezea pesa wewe wanawake heshimuni mlioko nao kwenye mausiano

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 3 роки тому +12

    Wanawake wa Dar kwa kupenda Kiki duh mpo Vzr aisee mnapenda san maixha ya Mtandaon kumb Njaa tu, kiukwel hauna Maajab

  • @abdulishaban7795
    @abdulishaban7795 3 роки тому +3

    Wana wake wabaya saana wana wake yaaan cyo kabsaa yaaan mwanzon una muona mtu lkn tamaa aiseeeee tamaaa

  • @bornfaceisaalivisonisaa7495
    @bornfaceisaalivisonisaa7495 3 роки тому +5

    Hizo dharau hata mm ningekuluhusu uchanganye mbarigaa wende

  • @happyelias9465
    @happyelias9465 2 роки тому +1

    Eti mke wa beka 😏, mtu hajakuoa alafu anataka kukupanga mjinga nini dada fanya mambo yako , kama angekupenda angekuoa mfungu ndoa hapo unakuwa na uhakika na unachovumilia

  • @tonnykenga9468
    @tonnykenga9468 3 роки тому +2

    Nonsense huyu mjinga bado anatafuta umarufu kilazima..mwka mzima story ni hio hio tu

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 3 роки тому +2

    Heri kuoa demu mwenye sura kaa lori ya jeshi but hivyo hivyo atarukiwa tu

  • @musason1680
    @musason1680 3 роки тому +56

    Hapa ndo utaona jinsi walivyo wajinga ety nimekurupushwa na msanii mkubwa ko siwez mkatalia ni bora afanye dhen Amwambie akili za kijinga sana hawa wanawake wa mjin ni WA kudate nao maisha mengne ttatafta watu wengne wa kufanya nao maisha ujuaji mwingi

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 3 роки тому +2

      Yes ni mjinga kweli huyu dada

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 3 роки тому +3

      Sahihi uzuri bilaa akili ni kasha kabisa

    • @frankbizatv6023
      @frankbizatv6023 3 роки тому

      Upo sahihi

    • @stevenchenga1978
      @stevenchenga1978 3 роки тому +6

      Huyu msichana ni mjinga Sana ata ambavyo anaongea..ety nilikurupushwa na msanii mkubwa so siwezi mkatalia afu msanii mwenyew Harmo mweny tamaa ya wanawake dah! Afu aliliwa kabisa siku iyo sio bure mpaka Beka akamaind

    • @AliMohammed-df7iz
      @AliMohammed-df7iz 3 роки тому +4

      Wallah hujielewi mumeo utuambie msanii mkubwa

  • @AbuBakar-fu9ov
    @AbuBakar-fu9ov 3 роки тому +4

    Et harmoniz mtu mkubwa🤔🤔beka hajakosea. Kukutema fara ww kwahyo beka hana heshima ya kuheshimiwa kama harmoniz👹👹

  • @wapotionline1421
    @wapotionline1421 3 роки тому +2

    Dada wewe ni mbaya dada Kuna wanawake warembo bila mekap ,,,,ila pia ni mwanaume mjinga tu angeweza kuvumilia huo upumbavu wako hata mimi siwezi

  • @skythugblackmonster9041
    @skythugblackmonster9041 3 роки тому +1

    hakuna mwanaume yeyote yule ambae anakubali kufeli, huyu demu alim- undervalue mshikaji huwez kua kwene mahusiano afu unajiamulia vile unatak, she z not serius mazee ni sawa na mke wako amuheeshimu boss wako zaid ya anavokuheshimu ndo kitu kilichotokea.

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 роки тому +5

    Mmewako hutakiwi kufanya vitu kama hivyo bila ruhusa yake unaonekana tu mdangaji unapenda maisha ya utandawazi hufai kuwa mke wa nyumbani bali wakula nae maisha ya anasa

  • @sarahbraison417
    @sarahbraison417 3 роки тому +3

    Wanaume wengine wababaishaji tu hapo bdo alikua hajakuoa kwahiyo una Uhuru wa kufanya lolote chamuhm heshima tu

    • @juliasmihwela1326
      @juliasmihwela1326 3 роки тому

      Hapana watu hubarika wakiingia ndani sasa yeye hata hajaolewa anafanya mabaya je akishaolewa ingekuaje huyo usimtetee hana adabu tu na licho fanyiwa ni haki yake

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 3 роки тому +3

    Wanawake wengi wanaojiona wazuri wametenganisha malezi ya baba na mtoto kisa tamaa zao,Kingne nimejifunza hata Kama unampenda na kumjali mwanamke ambaye bado hujamuoa usimuoneshe upendo huo atakupelekesha na kuona hata akukosee vp huwez muacha kisa umezaa nae

    • @ibrahscharo2703
      @ibrahscharo2703 2 роки тому +1

      Nakubaliana na wew Kakangu hili n somo kubwa sana kwangu.

  • @venancekavishe9823
    @venancekavishe9823 2 роки тому

    Mwanamke ambae hana Akili basi sehemu zake za Siri zitapata tabu sana mamae

  • @rashidyhongo1077
    @rashidyhongo1077 3 роки тому

    Aiseeh sijui

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 2 місяці тому

    Huyu dada anakili kwel Sasa linamsifia mtu wakat huyu anaemsifia kuwa anajali ndo kashamuacha alafu anasema mastar wote beka ndo anajali yanikama kashalala nawote 😀😀😀😀

  • @jumaasalim1008
    @jumaasalim1008 2 роки тому

    Namsapoti beka sana cz huyo mwanamke nimshamba2 hajui mana ya ndoa

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 3 роки тому +10

    Ukitaka kuachana na mwanamke wako mjali sana. Ila kama mnataka kudumu mpelekeshe kama gari bovu. Yani mpe mikiki mpaka ajute kuzaliwa hapo mtadumu milele.

  • @shamsakiobiya2526
    @shamsakiobiya2526 3 роки тому +1

    Huyu happy kafika mjini kajisahau amesahau alipotoka na beka,wasichana wa Arusha hawajatulia

  • @Sppah697
    @Sppah697 3 роки тому +14

    Happy umechemka! Umeona mwanaume wako hafai ukaina Harmanise/ Ibra ni zaidi siyo!

  • @jastinefaustin9982
    @jastinefaustin9982 3 роки тому +1

    Leo umevaa vizur halaf umependeza Ndugu mtangazaj

  • @mwangekatabia9136
    @mwangekatabia9136 3 роки тому +8

    Sai ao waliomkurupuaha kufanya video wako wapi

  • @jizzomonster
    @jizzomonster 3 роки тому

    Asa ww Dada tamaa mbaya itakuponza huwez kuacha kumuaga mmeo kosa kubwa hilo

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 3 роки тому +5

    Waiting 🔥🔥🔥

  • @janemhango5884
    @janemhango5884 3 роки тому +1

    Mimi kwa mawazo yangu tu huyu mwanamke kaona kapata vipesa kaanza kiburi wanawake wapole ni nyoka lakini atakuja kumkumbuka Beka kila mtu anakuwa na wivu kwa mtu ampendae hata wakiishi bila ndoa inatakiwa amsikilize huyo bwana ake

  • @musason1680
    @musason1680 3 роки тому +9

    Ety anipende kulko navompenda unawajua wanaume ww 😅😅😅 utapendwa na atakujali akishazagamua ndo utajua walivyo

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 3 роки тому

      Hajawajua vizuri huyuuu😀😀😅Subiri limfike

    • @musason1680
      @musason1680 3 роки тому +1

      @@boyochu1308 hajui neno mwanaume hiyo me ina maana gan hapo mbela 😂

  • @franklinkessy586
    @franklinkessy586 3 роки тому +3

    Kunde Gang ni kikundi flani cha wahuni ambao hawana adabu wala heshima kwa wake za watu pumbavu kabisa

  • @luckyyusto8159
    @luckyyusto8159 3 роки тому +7

    Fala Sana huyo msanii mkubwa yupo wapi? Na anakusaidia Nini!! Malaya wewe

    • @samwelmassi1932
      @samwelmassi1932 3 роки тому

      Hafaiii kuwa mkee ila ni kwamatumiz anafaa etioi ila sifa za mkee hakunaa hata chembee

  • @sannycpaul9423
    @sannycpaul9423 2 роки тому +1

    Huyu majibu yake ukiwa karibu lazina umtie mabanzi,yaani mwanaume upewe taarifa sio uombwe ruhusa pumbafu sana.

  • @kasrajymatimbwa6755
    @kasrajymatimbwa6755 3 роки тому +1

    For sure ww ni mpuuzi mwanaume atakaeweza kuvumilia ni hanisi 2 na c mwengne

  • @erickthomas3436
    @erickthomas3436 3 роки тому +4

    You can't decide and then ask for advice, about making decisions, he also knew that Beka would not agree with those decisions nor was it time to explain it to him, as that is the responsibility of the family

  • @daudidisu6703
    @daudidisu6703 3 роки тому +1

    Wambulu kaa nao mbali nimalaya wa kutupwa yani arusha uku wame shindikana beka kakosea cana huyu mwanamke mmbulu ninoma

  • @luthermbio7581
    @luthermbio7581 3 роки тому

    Hawa viumbe hawa🙋🙋

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 3 роки тому

    We dem mujinga sana hauwezi kufanya ujinga wa maamuz hayo, duh tamaa mbaya sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 роки тому +2

    Dada alikuwa natafuta ela

  • @kapopaelisha6406
    @kapopaelisha6406 2 роки тому

    bien sana

  • @chalodavid4537
    @chalodavid4537 3 роки тому +1

    maybe kwa interviews za awali but kwa hii moja tu mwanamke anaonekana ako very smart kichwani na anajutia.

  • @charleslwanga6317
    @charleslwanga6317 2 роки тому

    Mama eeh hamunaga fimbo ilitembea...

  • @sinirdot1705
    @sinirdot1705 3 роки тому +4

    Mwana mke ndo mwenye ttz kumbe 😏 nilifikiri Beka ndo mjinga kumbe ni mwanamke ndo mjinga, Unahanza je ku shoot video bila kumtaharifu mumeo eti Harmonize ni Msani mkubwa ujinga kbs

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 3 роки тому +1

    Hta,, mm ngemuacha tena nsngemrudia beka fresh kbxa,,,,
    Tena uxmfkilie huyo mwanmke ujichkulie maamuz,,, binafx ,, a wap halina heshima hlo,,, achana nalo ndyungi hilo

  • @neemakapinga7224
    @neemakapinga7224 3 роки тому +1

    Watarudiana coz kupata a star or mtu fulan amaizin ukiwa na mtoto utasubir sana, labda ujipange kuzoa yoyote ka unavyosema,no man want to raise another guy kid

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 3 роки тому +2

    Wasafi habari zikiwa za kondegang wanavalia njuga washenzi nyie

  • @hassanchauluwa7308
    @hassanchauluwa7308 3 роки тому +2

    Yani unakunywa sumu alafu unategemea maziwa.

  • @athumanmbululo3980
    @athumanmbululo3980 3 роки тому +2

    Njoo kwangu

  • @levocatusgatu4295
    @levocatusgatu4295 3 роки тому +1

    Duuuuhhh et siwezi kataa kondeee sio mtuuuu mzuriiii

  • @ashellyshadrack6964
    @ashellyshadrack6964 2 роки тому +1

    Pumbavuuu sanaaaa wew

  • @alira6789
    @alira6789 3 роки тому +10

    Nimependa nilipoona kipande cha wimbo wa ibra..huu ndo upendo wadau

  • @qassimmwalimu2771
    @qassimmwalimu2771 3 роки тому

    Walai ulimdhilalisha mwenzio,aki so poa ulivomfanyia afu naamini bado mwapendana ila mnaona aibu jamii utawasemaje,hasa hasa kwa beka..harmonize na watu wengine watamringia sanaa,haezi tena jivunia mama mtoto wake tena mbele za watu, anyway that's is your destiney

  • @Gody360
    @Gody360 2 роки тому +1

    📢📢

  • @danielmwaisaka2330
    @danielmwaisaka2330 3 роки тому

    Was a nice

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 роки тому

    Uyo mwanamke ajielewi na atopata mume Kama beka amezalauliwa Sana na walimwengu ulipata mume unaangaika Kaa na uzuri wako

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +3

    Mdada mzuli mashaallah

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 3 роки тому

    Ukweli huyu mama ni...m

  • @gentilsafarikacheranga3025
    @gentilsafarikacheranga3025 3 роки тому +1

    Mbona hataivi, harmonize si mrembo kama bekawako?
    Ona vile munavyo ji letea aibu.
    Hebu nenda kumuomba masamahaaaa.
    Hâta ivi, si vema kushuti n'a msani mwengine kama unajuwa mpenzi wako naye ni msani mkubwa.

  • @billymateo5005
    @billymateo5005 3 роки тому +1

    Yan Kaona Ku-Shoot Video Ni Bora Kuliko Kumjulisha Mumewe Na Anasema Hakupata Muda Wa Kumjulisha Mumewe

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 3 роки тому +1

    Kama Beka anaheshima mbona hukumueshimu ?? Ulikosea mwombe msamaha, ninyi ni wazazi

  • @agusmileofficial2845
    @agusmileofficial2845 3 роки тому +1

    Ukipata anaye kupendaaa nenda naye kwa mpalangeee nyie uyo dad hata mkumbuka beka wadau nipeni support kwa channel yang

  • @bushsutimeline766
    @bushsutimeline766 2 роки тому

    Hum