LIVE: BEKA NA MZAZI MWENZAKE WANAFUNGUKA MUDA HUU CHANZO CHA UGOMVI WAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 647

  • @mummyomoze242
    @mummyomoze242 3 роки тому +5

    Beka yupo Sawa kabisa. Na wanapendana hawa tumwachie Mungu afanye kazi yake. Na wewe Beka funga ndoa haya hayataendelea

  • @asifiwekasege4662
    @asifiwekasege4662 3 роки тому +1

    anae muonaa bekaa anavoongaliaa kwa aibuu gonga like

    • @kisokakasuku2137
      @kisokakasuku2137 3 роки тому

      Ukiona mwanaume hajiamini kwa mke ,jua nayeye nimchafuzi

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 3 роки тому +7

    media za bongo zinapenda sana kuanika hadhalani mambo ya ndani bila taadhali. kushauriana ni jambo zuri sana haswa wana ndoa.

  • @fidelisvenance6431
    @fidelisvenance6431 3 роки тому +14

    Beka oa acha kuzingua..kauli ya mwanaume inakua na nguvu ukiwa kwenye ndoa ..AMINI NAKUAMBIA🤗

    • @nyamkamawanjara29
      @nyamkamawanjara29 3 роки тому +2

      kuoa sio tatizo kama hajaacha ujinga wake atamsumbua tu dada wa watu

    • @fatmann6341
      @fatmann6341 3 роки тому

      Umenena hasaa beka oa yote hayo nihiyo dada amechokaa hasira zake hasa nindoa mbonaa atakusikiliza vizurii tuu

    • @piumagoha
      @piumagoha 3 роки тому +1

      Huyo cyo mwanamke wa kuoa. Ushauri wangu tu Beka atafute mwanamke mwingine wa kuoa. Huo ujinga aachane nao

  • @kazumaryussuph1641
    @kazumaryussuph1641 3 роки тому +12

    Yaan nlichogundua beka flavour ana wivu saana

  • @fredyfundi6
    @fredyfundi6 3 роки тому +7

    cha msingi brooo punguzen matangazo na cha msing tambua mahusiano ni uwanja mpana saaan BEKA ....ko jaribu kujua kuwa huyo ndio mke wako wa dhat ikiona kiza kinakuwa kinene ndo kunakucha mpende mke wako......afu jaribu kuangali kuwa asiyekosa ni mungu

  • @tibubandar413
    @tibubandar413 3 роки тому +3

    Ushauri wangu Beka huyu dem hakufai....hawezi kunukuu maneno ya konde eti "Bwana ako kanijibu upumbavu"

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +12

    Safi sana Happee, Nimekupenda sana, umeongea point my love 😘😍

    • @kisokakasuku2137
      @kisokakasuku2137 3 роки тому +2

      Beka anajisahau kumbuka uyu ni mwanamke, ukisema chann wenzio wasema watakipata lini

    • @albertdoherty9394
      @albertdoherty9394 3 роки тому +1

      Kabisa hata mm nimemuelewa

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 3 роки тому +7

    Nimefurah kuona mmeludiana Mungu awabariki

  • @lilianjohn2077
    @lilianjohn2077 3 роки тому +5

    Happy Reuten you're so cute🥰🥰🥰🥰🥰.......love you moreeee ❤❤❤❤❤

  • @graceamadi2141
    @graceamadi2141 3 роки тому +3

    Go gal you are right that's your right stand firm

  • @umutoni-roussel5233
    @umutoni-roussel5233 3 роки тому +3

    You fighting for your love
    And I believe harmo understand this

  • @gibsonntamamilo490
    @gibsonntamamilo490 3 роки тому +1

    Beka yuko sawa. Huyu dada hajitambui. Ukishakuwa kwenye mahusiano na mtu huwezi kufanya hayo na mwanaume mwingine bila kumtaarifu. Hata mimi lazima ningeliamsha dude tu. Usipokuwa na wivu kwa mpenzi wako basi unazuga naye. UKWELI UBAKI KUWA UKWELI HUYU BEKA NI MWANAUME A.K.A BABA ASIYETAKA UJINGA.

  • @hassanjr5318
    @hassanjr5318 3 роки тому +1

    ila haka kademu fresh sana 😀😍❤️

  • @issahussein9224
    @issahussein9224 3 роки тому +2

    Bro Beka pls muowe mtoto ...mstarabu uyooo kwakumskiya uyooo....mipango hali tena iyo nahunahishi naye bro Beka

  • @ahmedsalim4930
    @ahmedsalim4930 2 роки тому +1

    Best advice keep it up babie girl🍹👍🏽👍🏽

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 роки тому +38

    Jamani Jamanii kabinti kazuri Mashaalah Mume mtihani.

    • @salimdzuya5480
      @salimdzuya5480 3 роки тому +3

      Uzuri Wa mwanamke sio sura tu,Tabia muhimu zaidi ,kama jamaa hataki dem wake awe Vedio vixen yeye analazima gani yeye afanye?

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 3 роки тому +1

      Wazuri ndugu yangu wengi nandio wanaongoza kwa umalaya na kudanga uyo mwanamke mumshauri atulie

    • @victormushi6641
      @victormushi6641 3 роки тому

      WAKO HANA MTIHANI?

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому +1

      Umeona eee🤔🤔

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 роки тому

      @@salimdzuya5480 aaaah www nan kakwambia hayo maneno tu broo ata kwa khanga yapo

  • @geomangi6123
    @geomangi6123 3 роки тому

    kiukweli ukiona mwanamke anaomba ndoa jua kaamua kunsettle. beka akomae kiakili amuoe binti. happy marriage guys.

  • @karimujuma6595
    @karimujuma6595 3 роки тому +10

    Ukiwa na mwanamke mzuri ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule umia tu beka ulimtangaza Sana

  • @winfridahubert4072
    @winfridahubert4072 3 роки тому +6

    BEKA ACHA MANENO YAKO MUOE MTOTO WA WATU ACHA KHMUWEKEA MASHARTI KAMA VILE UMEMUOA....BINTI ANAKUPENDA HALAFU NI MCHAPA KAZI LAKIN UNAMZIBIA NA KUMUHARIBIA MUOE KAMA HUTAKI HAPPY MOVE ON KUWA NA MTOTO SIO KIGEZO CHA KUMFUNGA MTOTO WA WATU😏

  • @qatarqqt8013
    @qatarqqt8013 3 роки тому +14

    happy wewe ni 🔥🔥🔥😁😁

  • @rashidywadobwa2792
    @rashidywadobwa2792 3 роки тому

    Akuna kufanya vidio safi becka

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 3 роки тому

    Beka mtoto mzuri huyo unasubir Nini kufunga ndoa, Kama mapungufu kila binadamu anayo nikuelekezana tu pale mmoja anapokosea

  • @netlity5532
    @netlity5532 3 роки тому +30

    Jamani yote Kwa yote vijana wenzangu tutafute hela...siongei Sana mwenye kuelewa kanielewa

    • @junioryasin5306
      @junioryasin5306 3 роки тому +3

      Kwakwel tuachane na mademu yanatupotezea muda tu hayana maana

    • @josephatjordan5560
      @josephatjordan5560 3 роки тому

      Tutafute hela tuachane na mademu!!!Ukiwa nae akizngua chapa mbele hamna kujenga kibanda

    • @junioryasin5306
      @junioryasin5306 3 роки тому +1

      @@josephatjordan5560 off course

  • @thisiszai2045
    @thisiszai2045 3 роки тому +12

    Happy shikilia kwenye msimamo wako wa ndoa, Mungu akuongoze

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 роки тому

    Happy nakupenda Bure dear jaribu kua na msimamo wako love mwanaume asikuzoe sanaaa

  • @yusramadodo8269
    @yusramadodo8269 2 роки тому

    Wanawake tunatolewa mbali sana halafu tunajisahau mheshim sana beka kakutoa mbali na beka nimuelewa San pia toka kwenye mahusiano tunawafuatilia San pia dada tunakupenda San na pia jichunge San dada dada beka anakupenda sana utakuja kujutia

  • @prospermaturo2378
    @prospermaturo2378 3 роки тому

    We msikilize mumeo acha kiburi cha fedha. Beka upo sahihi broo sharaut

  • @jojininga1780
    @jojininga1780 3 роки тому +4

    Nimempendasana dada kahongea ukwelisana hanajitambua Sana uyodada

  • @Sppah697
    @Sppah697 3 роки тому +5

    Happy, she is so sweet!

  • @Mariamustephanie408
    @Mariamustephanie408 3 роки тому +1

    Beka my brother.mbona unakataa Happy kuonekana kwa vidio na wakati anavaa nguo nzuri.ila wewe unacheza wimbo na wanawake wakivaa nguo za aibu naukiwashikashika.I love you Happy,uko dada mzuri sana.

  • @ClaireHappy
    @ClaireHappy 3 роки тому +9

    Safi sana Happy🔥🔥🔥❤️

  • @everlynwafula6891
    @everlynwafula6891 2 роки тому

    I support you sis , 💯

  • @sarahlimbu706
    @sarahlimbu706 3 роки тому +8

    i feel you happy na uko mjeuri km mimi😂😂🤣😍

  • @mlasiapolina7774
    @mlasiapolina7774 3 роки тому +2

    Yahani wewe Dada big up ni mekupenda bureeeee ni mwongo huyo

  • @gloryprotas1043
    @gloryprotas1043 2 роки тому

    Nimeipenda hyooo jaman duuh dada kaongea point

  • @ramadhanikibenga6317
    @ramadhanikibenga6317 3 роки тому +1

    SAFI SANA BINTI AKUOE KWANZA NIMEKUKUBALI SANA BINTI SHIKILIA HAPO HAPO SAFIIIIIIIIII

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 3 роки тому

    MUNGU awafanyie wepesi waowane Beka kapata mke mrembo sana na wanapendana

  • @halimafazeli52
    @halimafazeli52 3 роки тому +2

    Dada umenikuna panapo washa ww njoo unywe soda kwaza😍 Kam ajakuwowa unafanya kazi

  • @superwomen6506
    @superwomen6506 3 роки тому +6

    Ssafi happy akuowe shida ni nn tunataka ndoa 😊😊😊😊😊

  • @shadowmedia7644
    @shadowmedia7644 3 роки тому

    Kwenye ndoa kuna mengiii Sana Basi naomba Usisahau kusubscribe like share comment katika channel hii 🙏🙏🙏🙏🙏💪🔥👆

  • @patrickjacksoni5393
    @patrickjacksoni5393 3 роки тому +1

    Nimekuelewa sana beka

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 роки тому

    Hello wivu nao❤❤🇪🇭🇪🇭🤣🤣 ndoa lazma bro

  • @amankachira
    @amankachira 3 роки тому +1

    Jamani kwanza tambueni kwamba kufunga ndoa ni kujiweka kifungoni,Beka ni msanii mkubwa kwahio anaogopa akifunga ndoa atakua amejimaliza maana mwanamke anaweza akaamua leo muachane na mkaachana huku mkigawana nusu kwa nusu kila kitu.

  • @abdulkihanza4431
    @abdulkihanza4431 3 роки тому +1

    Bw Beka huyo bint anakupenda Sana Sana, hivo usifanye utani utamkosa, fanya uwezavyo umuoe mtoto mashallah

  • @vitalresspeter7295
    @vitalresspeter7295 3 роки тому

    vizuli sana zingatia uwo msimamo benka binafsi tunawajua jisi walivyo binafsi nakupa hongera tu

  • @nasrahsamwely6871
    @nasrahsamwely6871 3 роки тому +3

    Anachekesha uyu bint 😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️💖💖💖💖

  • @mkundegift6097
    @mkundegift6097 3 роки тому +1

    😂😂😂🔥🔥dah yn happy anaongea jmn lkn safi dada ake umejitetea vzr mno

  • @erickgulayi2089
    @erickgulayi2089 3 роки тому +1

    Bekha anazingua! mwanamke yuko tayar kwa kila kitu.

  • @fredyfundi6
    @fredyfundi6 3 роки тому +4

    hao wanapendana but POINT NI KUSIKILIZANA TUU

  • @muzneali387
    @muzneali387 3 роки тому +2

    Kweli kabisa dada SHIKA msimamo wako

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 роки тому +1

    Nikwli lakin dada yang ulivo fanya kwnn wazoni hakum abiwa usirudie tena dada yang lida ndowa yako achana Allah awalide beka naoba umuowe ❤🇴🇲😅

  • @sarahsimon8060
    @sarahsimon8060 3 роки тому +6

    Huyo mwanaume anataka kumpotezea muda halafu amwache

  • @jitulakaleboymastr6477
    @jitulakaleboymastr6477 2 роки тому

    Pole sana beka wenijembe ingekua mimi ningepga mtu panga

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 роки тому

    Mwanamke mzur adi rahaaa wwecheusi mangara mwezangu owa my PONIPONI

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 3 роки тому +1

    demu anajuwa haki yake lkn wamefanya makosa kuweka mambo hadharani.lkn ni biashara zaidi

  • @amansetembo4672
    @amansetembo4672 3 роки тому

    Me namwelewa sana beka yy ndio anaish nahuyo dem hata kama nimzur anahtaj muda kuitafakar hyo ndoa maana ishaonekana mahusiano yao yana mambo mengi

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 3 роки тому +1

    Kaliwa mtoto nzuri acha ushamba beka video vixen ni kazi wanalipwa dolla or pound 200-300 acha mtoto nzuri ajipatie ridhiki mjini hapa usimbanie na wivu wako hizo ni stress za muziki

    • @kisokakasuku2137
      @kisokakasuku2137 3 роки тому

      Exactly ndugu ile ni kazi halali Kama kazi zingine cio kweri kuzarau vixien ata akilipwa laki 2 ninyingi Sana kwamaisha yasasa.Beka cio Kama hataki Bali wivu tu umemjaaa hajui mjini nikujiongeza,Kama vipi aache uyo mke asimzuie riziki wanaume tupo.

  • @saneathanas8547
    @saneathanas8547 3 роки тому +2

    Happy nikikuangalia wewe ni mrembo,unaheshima na nimwanamke ambae ni ndoto ya kila mwanamme.why huyo kijana akusumbue hivyooo?hebu tulia Mungu akupe mwanamme sahihi kwako

    • @nivicaspect3597
      @nivicaspect3597 3 роки тому

      POINT!!!

    • @richardjuma6405
      @richardjuma6405 3 роки тому

      U Kuma nn ebu acha kushauli utumbo kwenye hamna afu nakuomba uelewe ujinga n hasara nyooooooooooo

  • @nurahyusuph9771
    @nurahyusuph9771 3 роки тому +12

    Nakupenda happy Wang jamani 💯❤

  • @adamfundikira742
    @adamfundikira742 2 роки тому

    Mimi binafsi nimemuelewa vizuri sana beka ni mwanaume anaejielewa

  • @keffasschone9853
    @keffasschone9853 3 роки тому

    Beka nyimbo napendaa but umeongea utumbo sanaaa,

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 3 роки тому +10

    Happy kuwamakini kwamaoniyangu husiyo muowaji mtaniambiya mbelenihuko 🤣wemzuli jiwongeze fanyakazi popotepale babamtotowako anaonekanajeuli😂nawakati hajakuowa Be free🥰😂

    • @coletashirima2193
      @coletashirima2193 3 роки тому +1

      S anafanya kazi kwani

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 роки тому +1

      Kabisa yaan beka sio muoj uyu anamuumiza tu happy wa watu.

    • @mussamayele3134
      @mussamayele3134 3 роки тому +2

      beka mpe kazi ya maana mkeo izo kz ambazo uzitaki . daa pumbavuuuu beka kumbe hujamuowa kumanyoko we beeka

    • @mussamayele3134
      @mussamayele3134 3 роки тому +1

      beka msenge uyo demu mzr angalia utapokonywa watu wanaona na mate yanawadoka ujue

    • @piumagoha
      @piumagoha 3 роки тому

      Hayo yote mnayomshauri mwanamke mwenzenu mjue mila nazo zipo. Mwanamke anayejielewa awezi fanya huu ujinga anaoufanya. Kwani kumwomba tu ruhusa nayo ni shida? Kama hawezi aende tu. Nipo upende wa Beka 100%

  • @albertdoherty9394
    @albertdoherty9394 3 роки тому

    Asante dada akuoe ndo masharit yakamilike

  • @adbashtv6701
    @adbashtv6701 3 роки тому +3

    Huyu demu boya sana unawezaje kufanya vitu eti acha nifanye nitamwambia nyumbani. Hata kama ni wewe lazimauzingue

  • @amirijr
    @amirijr 3 роки тому +4

    Yaani mahusiano ya wasanii bwana, bora hawa wa kwetu kina Mwajuma ndala ndefu na Aisha mashuzi hawana mambo mengi.

    • @salamafulu2185
      @salamafulu2185 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣nimecheka Kama Sina akili kiukwel

    • @agaowajouniar
      @agaowajouniar 3 роки тому

      🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐

    • @rosejulius7597
      @rosejulius7597 3 роки тому

      Beka Shemeji yangu mrizishe mdogo wangu nawapenda hote

  • @peninnahjohnson8695
    @peninnahjohnson8695 2 роки тому

    Wow wander full

  • @mobbael9473
    @mobbael9473 3 роки тому +13

    No reason 4 breakup,
    Settle your things to spare your relation.

    • @chainbre275
      @chainbre275 3 роки тому +1

      But the lady want to be officially married but seems beka isn't serious about marriage and this will make beka kumpoteza this humble lady

    • @eddymsese8747
      @eddymsese8747 3 роки тому

      We mnafiki beka bint kaxania msimàmo wako mpe muda was ndoa akizingua ukimpata was kukuoa olewa asikupotezee muda na usirud mpaka ndoa

  • @adamsaga6700
    @adamsaga6700 3 роки тому +4

    Kanyagia Dada umenipunga mno amekuzini miaka minane akuowe big up happy

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 3 роки тому +1

      Good point

    • @mrkje4727
      @mrkje4727 3 роки тому

      Beka simamia msimamo wako ww mtoto wa kiume hongera sana

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 роки тому +1

    Hongera Sana kwa kuka nakutafakari kua haya nimaisha na baada yahaya Kuna mengine

  • @khadijaali4620
    @khadijaali4620 2 роки тому

    Hey beutefull don't west ur time u still Yung sioni love hapo kwa huyo jamaa

  • @halphanhamisi1795
    @halphanhamisi1795 3 роки тому

    Sahihi br beka sikupng

  • @nicksonhelman3436
    @nicksonhelman3436 3 роки тому +5

    Ila pisi Kali du vijana sijui tunataka nn baadaye tutaowa waganga sasa

  • @janewashe7276
    @janewashe7276 3 роки тому +1

    Happy umeongea point 👏👏👏👏👏👏👏afunge ndoa basi

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 роки тому +3

    Huwezi ukamlimiti mkeo kwa mtindo huu huo ni ushamba, na wakati mwinzio yupo kazini we mbona humpi hata elfu kumi za matumizi,

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 роки тому +2

    mdada mzuri maashaallah

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 3 роки тому +1

    Uko sahihi becca

  • @raykim6420
    @raykim6420 3 роки тому +1

    Beka flavor uko good sana & uko wise👍👍 huyo dem ni Jezebel

  • @mziwanda_empire4033
    @mziwanda_empire4033 3 роки тому

    Beka nimekuelewa Sana bro huyo korosho. Ana jeuli Sana pumbavu zake huyo haraf huyo bibie Ana kajeuri frani

  • @gwamakakrizza4393
    @gwamakakrizza4393 3 роки тому

    Hapo Beka mke huna bora ufanye ustaharabu mwingie

  • @fatumakassim64
    @fatumakassim64 3 роки тому +17

    Sawasawa mwanamke mwezangu taka ndoa

  • @calvinkasaje1938
    @calvinkasaje1938 3 роки тому +2

    Kama mwenzio unamwamini masharti ya nn! Hayo masharti yatafanya uchelewe zaid kuoa, coz yanapunguza mapato. Unajibebesha zege

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 роки тому +10

    Mm mwenyewe naona beka hayuko tayar happy mwambie ndoa kwanza kuzini ni dhambi na yeye anajua

  • @abelmchenga50
    @abelmchenga50 3 роки тому +2

    Toa mahali beka mbona mwanamke mzuri tu achana na mawazo ya kuwaza mwanamke mwingine hayo yote hayana faida yoyote nakusihi kaka shemeji yetu anakupenda nenda katoe mahali. Uschelewe wahi nazani mahali yenyewe sio yakusema kwamba huna s kweli fanya ivo ndugu

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 3 роки тому

    But nimempenda sana kwakuomba ndoa allah amujalie ila kwenye ndoa wewe sio rahisi

  • @salamaseif4032
    @salamaseif4032 3 роки тому

    Uko vzr xana beka

  • @fainajaffary4070
    @fainajaffary4070 3 роки тому +3

    Happy safi sana akuoe jaman😅🤣🤣😍😘

  • @rakbeenrakbeen4961
    @rakbeenrakbeen4961 3 роки тому

    Nimekupenda bure happy 😊 😃

  • @madiwarongomba6
    @madiwarongomba6 3 роки тому

    R
    Beka acha hiyo demu kiburi mademu wapo wengi mzee

  • @yasiniibrahim3335
    @yasiniibrahim3335 3 роки тому +6

    apo mwanamke yupo sawa uwezi kumpangia mtu sheria kabda hujamuoa , we bint ukipata mume olewa

    • @fainajaffary4070
      @fainajaffary4070 3 роки тому +1

      Kunywa soda nakuja kulipa aisee

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 роки тому +1

      Kabisa afu msichana mzur sijui anakwama wap,..Kama hamtak aachie ngaz watu wambebe chap

    • @fainajaffary4070
      @fainajaffary4070 3 роки тому

      @@janethkilonzi4260 wasanii kuoa kaz sana kwa nadra sana mana vichupi wanavyo vingi😏😏😏

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 роки тому

    Beka yupo sahihi na anachokiongea na amesema hataki mwanamke wake awe vixen basi haina haja ya malumbano mengi

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 3 роки тому

    Binti yupo sahihi sana, Beka oa binti huyu, acha kumchezea binti wa watu!

  • @stellankirote1046
    @stellankirote1046 2 роки тому

    Wow❤❤

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 3 роки тому

    Jamani beka unakwama wapi masikini muoe huyo binti atakuponyoka shauri yako please mark my comments

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому

    Demu anatafuta mume huko kwa uvixen. Beka yuko sahihi kabisa,hata mimi kuna kazi flani nime mwambia mke wangu asifanye na hio haina mjadala

  • @charlesmyamba5292
    @charlesmyamba5292 3 роки тому +7

    Beka funga ndoa mbna ka unajibu jeuli vle hujiamin kidume ?

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 3 роки тому +1

    😂😂😂Happy kasema ukweli jamani beka muowee mwenzio

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 3 роки тому +4

    Mapenzi ya mitandao kwahyo Ayo ndio mzazi wenu au alafu we beka Wacha wivu hataivyo uyo si mkeo

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 роки тому

      Kabisa kabisa,sababu beka hatak kumuoa ndio sababu ya hayo...muoe uwe na haki

  • @zainabumashine3542
    @zainabumashine3542 3 роки тому +1

    Nyie kina kaka mnatutesa
    Sana mwanamke kumuacha
    Mwanaume anaempenda kazi sana
    Mtuurumietu

    • @shadowmedia7644
      @shadowmedia7644 3 роки тому

      Zai mashallah wewe jaman 😍😍😍😍😍😍😍🙏

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 роки тому

    Owaaaaa usikubaliiii WANAUME sijui kwann awataki kutuo yani wenye mapenzi amtutaki ila mkidanganywa mnakubali