Acheni kumdhihaki Snura mwenzenu yupo kwenye kheri kubwa msimfananishe na mzee Yusuf acheni tabia za shettani kutokupenda mwenzenu mazuri M Mungu amuongoze kwenye njia ya haki na awe mfano mwema kwa wengine
Ni kweli kabisa! Hata mm niliwahi kujiuliza ameacha mziki wakati mkewe anafanya mbona ni km ngum hv! Yaani uamke kuswali mkeo yuko stejini anatumbuiza mmmhhh.
Na hiki kinaweza kuwa kipindi kigumu kwa dada yetu Snura kiuchumi ili Mungu aikomaze imani yake vizuri ila dada Snura kaza buti Mungu atakuinuwa tena na sisi tupate moyo huyo wa kwako inshallah.
Dida km ka nafsi kanamsuta hv, anaona km jambo guumu coz yeye kashafungwa minyororo na shetani. Ndio mana muda wote anasema Km kwreli km kweli, Hana imani masikini.
Jamani msifananishe na Mzee Yusuf, Tumuombee Duaa.
Acheni kumdhihaki Snura mwenzenu yupo kwenye kheri kubwa msimfananishe na mzee Yusuf acheni tabia za shettani kutokupenda mwenzenu mazuri M Mungu amuongoze kwenye njia ya haki na awe mfano mwema kwa wengine
Mashallah Allah akuongoze tudia tunapita
Acheni kumsakama muombeeni dua
Inshallah hatorejea kwa uwezo wa Allah Snura go ahead usisikilize kelele za mindaoni Allah at akuhifadhi na shettan maluni bi idhini Allah
Allah amuhifadhi
Allah amzidishie kheri amuepushe na shari
Allah Amuongoze 🤲🤲
Hahahaha daa dida nakumpenda bure mkubwa angu❤
Mansha Allah 💚💚💚💚
Kutubu kwa mtu na mazingira pia huchangia mzee angekua mkewe achez mziki angekua na nguvu ya kurud
Kabisa
Ni kweli kabisa! Hata mm niliwahi kujiuliza ameacha mziki wakati mkewe anafanya mbona ni km ngum hv! Yaani uamke kuswali mkeo yuko stejini anatumbuiza mmmhhh.
Chanzo cha mzee yousuf kurudi mjini nimkewe bado anaipenda dunia ingelikua mkewake hayupo kwenye muziek sangerudia kuimba 😂😂😂😂
Ni ye mwenyewe tu bwn,kwan ye hakukiskia kisa cha nuh na lutwi?
Na hiki kinaweza kuwa kipindi kigumu kwa dada yetu Snura kiuchumi ili Mungu aikomaze imani yake vizuri ila dada Snura kaza buti Mungu atakuinuwa tena na sisi tupate moyo huyo wa kwako inshallah.
Snura anatumiwa na wahuni tu atachakaa atarudi kwenye gemu kwa aibu na hata asiporudi atasita tu kifedheha. Ndoa kweli jeneza.
Huyu kidogo tunamiamini kwsababu amekaaa miaka 2 hajaimba
❤❤❤
Snura wa chura ametubu Mungu ampe mwisho mwema asirudi tena mjini km mzee yusuf jaman !ushamfaham uzur eeh
Dida km ka nafsi kanamsuta hv, anaona km jambo guumu coz yeye kashafungwa minyororo na shetani. Ndio mana muda wote anasema Km kwreli km kweli, Hana imani masikini.
Mzee na maka akaenda na karudi tena mjini akarudi 😂😂😂😂sasa hivi eti ndoo na download nyimbo zake
Jmn hebu tuacheni kumdhania mambo hayo kikubwa dua tu jmn
Ata nyie mludieni mungu ikazi si mzur pale mnamuona anaakili siku ya kiama mtalia sana na mkiwa mwanandani
😂😂😂
Siombaya ni maamuzitu
Snura ulijifunza nini mpaka kufikia kuacha mziki?
Snura siku atapigika naye atarudi 🤣🤣🤣 atakuwa kama mze yusufu 🤣🤣🤣
Allah amemuhifadhi na atamuhifadhi unatakiwa umuombee Duwa na ufurahike uwamuzi wake ni sahiii kupigika si sababu ya kumkufuru Allah
@Rand B_Channel:Harudi In ShaaAllah ameacha sasa miaka miwili.
@@sheikhanasser4714Sahihi
Allah amuhifadhi