TAZAMA WAANDAMANAJI WALIVYOPIGWA VIRUNGU na KUMWAGIWA MAJI ya KUWASHA MBELE ya RAIS SAMIA - NDUKI!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • TAZAMA WAANDAMANAJI WALIVYOPIGWA VIRUNGU na KUMWAGIWA MAJI ya KUWASHA MBELE ya RAIS SAMIA - NDUKI!
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 57

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka День тому +4

    Hakuna haki hapo polisi tendeni haki hayo sio maonyesho yanayopaswa kuonyeshwa kwa wananchi

  • @hafsa118ll
    @hafsa118ll День тому +4

    Kinachotakiwa kuwasikiliza wanchi na sio kuwapiga mabom io sio sawa

    • @MakaveliErnest-sj1tr
      @MakaveliErnest-sj1tr День тому +1

      kwel kabisa wso wangeacha waje wawasikilize kero zao warud🎉🎉

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso День тому +3

    Wananchi wenye maboksi mikononi mnawashambuliaje kwa virungu na nguvu zote hizo?
    Mfano huu ni wa aibu na ni dhahiri ,jeshi la polisi linawaonea wananchi, waoandamana kwa amani bila kuleta vurugu.
    Mentality dhahiri ya kidikteta.

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k День тому +4

    Nchi hii viongoz akili zao ndg xana

  • @zephaniasirikwa7495
    @zephaniasirikwa7495 День тому +1

    Sio sawa!!!

  • @VitusNdaruhekeye
    @VitusNdaruhekeye День тому +2

    Usiwafanye Watanzania kuwa ni wajinga Kam ulivyozoea. Hayo ni maigizo, subiri uhalisia.

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 День тому +1

    Tanzania nchi yangu, R.I.P MAGUFURI

  • @ameirmanzi2684
    @ameirmanzi2684 День тому +1

    Mh rais oneshe hili sio zuri kwa vile unashabihisha haki za wananch na amani

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka День тому +2

    Tunahitaji kufahamu madhara yanayotokana na mabomu ya machozi hayo siyo tu kuishia kupiga mabomu

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka День тому +2

    Sio kila muandamanaji analeta fujo Bali wanadai haki zao

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 День тому +2

    Kwa hiyo munawatisha waliotangaza maandamano!

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm День тому

      Si kawatidhia tu, kawakejeli waliofungwa, tekwa, potezwa, kimbia, vamiwa . Moja kwa moja wote Chadema waliofungwa kwa kuonewa akiwemo Mbowe. Ni kama aliwahurumia na inawabidi wafyate mikia yao. Moja kwa moja imemlenga Lisu , ambaye sasa ni kilema aliyetaka kuuawa kwa kuikosoa serikali. Lema aliyekimbia. Mnyika. Jitafakari sana kama wewe ni mmoja wa hao, raisi anawaelekeza polisi wawashughulikie hadharani kama amiri jeshi. Namngojea ndugu Slaa, Raisi wa TLS, Lisu na Mbowe na maasisi wa makanisa nini watakijibu. Nchi haiko salama. Ni tete sana haijawahi tokea kibiriti kinawashwa dhidi ya raia.
      Mungu epusha haya yote. Juzi mapadre waliombea heri, umoja, amani. Leo ni kiberiti.

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k День тому +1

    Samia halipi mishahara bali wananchi ndo wanaowapa mishahara leo mnawapiga hmko sawa kiakili

  • @hyy4114
    @hyy4114 День тому

    Mungu tunusuru tunapoelekea Tanzania siko hata hao wanawake wenzangu wameacha watoto huko Mwisho mpigwe bure 😢😢

  • @StephenZacharia-tr4oy
    @StephenZacharia-tr4oy День тому +2

    Kwa huu upumbavu wa polisi w2 nimewadharau ana

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza День тому +2

    Jesh lina siraha wananchi hawana tupambane kw ngumi muone

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka День тому +1

    Ndani yenu kupitia kitendo hicho hutumia nafasi hiyo vibaya kwakuwadhuru wananchi na unaposema kuwa mabomu Yana lejesha Amani sio kweli kwani mabomu hayawezi kuleta amani

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm День тому

    Raidi umewakisea sana watanzania kwa hili. Hakuna sheria nchini isemayo muwaonee na kuwanyima haki watanzania

  • @modestatemba2602
    @modestatemba2602 День тому +1

    Police mnatumiwa vibaya kunyanyasa raia, hamna haki za kibinadam tz .

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 День тому +1

    😂😂😂 yaan tanzania Nia yaajabu sanaa sasahiv wameamua kutoa vitisho kwa waandamani ili waogope

  • @AsumanIssah
    @AsumanIssah День тому

    Daa inasikitisha mbere yalaisi watu wanapigwa vilungu Hawa wanai haki kwamujibu yamaneno yao Sasa kwanini laisi anashindwa kusimama nakuawauliza jee hio haki munayo itaka niipi ,mungu asaidie taifa ra tazania

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t День тому +1

    Nikazi ndogo na rahisi cna kuwatuliza hawa pale tu mnapo wasikiliza wanataka nn

  • @imanimgaya6607
    @imanimgaya6607 День тому +1

    MC wa hii kwata hajui kunogesha

  • @rassanleezedon6861
    @rassanleezedon6861 День тому +4

    😂😂😂 raia wanataka haki zao, wanapokelewa kwa vilungu na mabomu.... ndugu mmoja amewahi kusema jeshi la polisi lipo kwaajili ya watu na mali zao. sasa mwezangu na mimi usiye na mali jeshi gani litakulinda 😅😅😅

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi День тому +1

    Mh kumbe wahitaji haki ndowanaolengwa na virungu na risasi?

  • @user-pk9yr4go8p
    @user-pk9yr4go8p День тому +1

    Kiukweli ngojatuone

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 День тому +1

    Iko siku

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 День тому

    Tanzania mmempoteza raisi makini sana cjui kma tutapata raisi kma magufuli

  • @Enjoy-ge5cy
    @Enjoy-ge5cy День тому

    Hiyo ndio ina maana gani wakuuu😢😢

  • @shehemohammed1761
    @shehemohammed1761 День тому +1

    Hizo kwata mkuje mpigie gen z muone

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 День тому

    Kuna fujo au ghasia hapo naomba jibu ..mabox yenye maandishi nakuimba kutaka haki zetu ..ni ghasia kwa wengine sio..

  • @MERCYLINEKATANA-v9o
    @MERCYLINEKATANA-v9o День тому

    Mbona akili yenu n duni kufikiria!!! waandamanaji ni haki yao kuandamana na mnafaa muwapatie ulizi s kuwapiga bila kuwasikiza hoja zao.

  • @FeisalDoctor-wr8ws
    @FeisalDoctor-wr8ws День тому +1

    Yaan mupo mnaendelea kupiga propaganda n kutisha watu nyiny ndio mnaovunja katiba y tanzania uchawa tu mwingi

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 День тому

    Mnatuonesha watu wanaandamana kwa amani,wanataka haki zao na wanasema,nyie mnatuonesha mnajipanga kupambana nao,mpaka silaha za moto,,mbona aibu hiii!!!? Mnatuonesha nini,wanasema hawatendewi haki,,amani itarudi kwenu?

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 День тому

    Kuna akili kweli hapo...wananchi wamebeba ujumbe wa malalamiko yao..hawana hata fimbo

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 День тому

    This is not acceptable at all, waandamanaji kama hawana silaha hakuna haja ya kuwapa

  • @LeonardGilbert-ox5ul
    @LeonardGilbert-ox5ul День тому

    Mnafanyag hivyo afu mnaenda kummalizia

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi День тому

    Mbona sasa mnawaachaga wanafia selo

  • @DAVIDMMASSY
    @DAVIDMMASSY День тому

    Haya ni maigizo mzee watu wakiwa wechafukwa ni mawe yaani askari wenyewe wanakuwa nao wanajificha

  • @rehemarajabu3655
    @rehemarajabu3655 День тому

    hayo maigizo muda ukifika mnyonge akachoka hapatakalika

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 День тому

    hao ni waigizaji wanafanya maonesho kama hamjui

  • @mwalimhamad3825
    @mwalimhamad3825 День тому

    Hawa ni wandamanaji au wafanya fujo?

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv День тому

    Kinacho onyeshwa hapo kunamtu anatishiwa nyau

  • @PAULJULIUS-yi8jl
    @PAULJULIUS-yi8jl День тому

    Hamututishi

  • @joshuarungwe6092
    @joshuarungwe6092 День тому

    Kumanisha nini sasa 😅

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm День тому

    Ipingwe kwa nguvu zote.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm День тому

    Haya si smbayo tunayataka Tanzania. Hasa kuyaonyesha mbelevya Raisi naye kukaa kimya. Inamaana Samia anabaruki hizi ghasia za polisi. Ni kinyume cha sheria za nchi. Jeshi, ccm na Raisi haya mnayoyaleta na kuyaonyesha ni kinyumr cha katiba yetu na sheria zetu. Polisi inabidi wawe walinzi tu. Loooo

  • @EdwardBalloho
    @EdwardBalloho День тому

    😅😅😅 𝔨𝔴𝔞𝔥𝔦𝔶𝔬 𝔫𝔡𝔦𝔬 𝔴𝔞𝔪𝔢𝔨𝔲𝔧𝔞 𝔫𝔞 𝔥𝔦𝔦 𝔪𝔟𝔦𝔫𝔲 𝔩𝔞𝔷𝔦𝔪𝔞 𝔱𝔲𝔞𝔫𝔡𝔞𝔪𝔞𝔫𝔢😅😅😅

  • @user-pk9yr4go8p
    @user-pk9yr4go8p День тому

    Huondio utawalawamama

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm День тому

      Utawala wa mabavu.

  • @ibrahimrajabu8722
    @ibrahimrajabu8722 День тому

    😂😂😂😂

  • @PenuelDismas
    @PenuelDismas День тому

    😂😂😂😂😂😂