Kaka EBM Umekua msaada kubwa sana kwetu kwa ujumla wake, Tanzania 🇹🇿 na nchi za afrika mashariki, ubarikiwe sana, Nimeomba tena mwaka, Mungu aweze kunijalia, Napenda uweze kunipa mwongozo hatua kwa hatua,
Kaka EBM Mungu Akubariki Sana Kwa Kutoa Elimu,Ambae. Atapuuzia, Kushindwa kuelewa na Kushindwa ku Apply bas ni matatizo yake binafsi Wala sio Ya Shetani au mganga au wachawi kumloga..
💪''EBM yupo mmoja Tanzania na Dunia nzima,..Ujumbe umefika Kaka
mwenye Shaka atuwache,sisi ni wakujaribujaribu mpaka tunase💯
Kaka EBM Umekua msaada kubwa sana kwetu kwa ujumla wake, Tanzania 🇹🇿 na nchi za afrika mashariki, ubarikiwe sana,
Nimeomba tena mwaka, Mungu aweze kunijalia,
Napenda uweze kunipa mwongozo hatua kwa hatua,
Kaka EBM Mungu Akubariki Sana Kwa Kutoa Elimu,Ambae. Atapuuzia, Kushindwa kuelewa na Kushindwa ku Apply bas ni matatizo yake binafsi Wala sio Ya Shetani au mganga au wachawi kumloga..
Sikuweza kufika dar mwaka huu,
Nipo morogoro, lakin matokeo yakitoka , Mungu aniwezeshe niwe mshindi mwakani,
Nitakuja ofisin kwako,
Naomba unisaidie najuwaje kama nimefunguwa UA-cam channel
Habari broo nimeshindwa kuapata huduma yenu ya kufanya application ya green card tafadhali
EBM ameshushwa kututia moyo sisi tunaotaka kuingia majuu.
Ww😂😂😂Gold..nmwachie 😂😂😂nan
Nimiaka ngapi wanajasha green card
Naomba number yako kk nipo hapa ujerumani
Bro sioni sehem ya malipo ya mpesa kule kwenye website nisaidie linki ambayo ni ya tz kule naona kingeleza tu na sehem ya malipo ni Kadi tu
Hello my brother.swali langu ni hili mbona hujibu e-mail.nimeshakuandikiy mpak nachok.ok asante
Kaka mtu kuwa na passport anaweza kupata
Wemzee tupenambayako