Mubarikiwe sana rafki zangu,kazi imetulia sana 🌹, message imekaa vizuri sana,Mungu awatangulie katika safari hii ya Muziki 🌹 IMETAZAMWA NAMI IBRAHIM MJUMBE 🙏🏼
Amen, kwenye ningewaomba tu msiaribu jina mliyoweka ya UA-cam Channel yenu, wanawake wajifunze kujistiri kwa zaidi, atutaki injili za unafki, Bwana awabariki
🎉🎉🎉🎉Mbarikiwe sana 🎉🎉🎉
Mungu awabarik watoto wa Mungu kweliiiih
Tunawapenda sana huku Kenya ❤❤
Kazi nzuri sana vijana wa yesu, nawakubali sana kwa kweli
Awww its finally out!!🥰🥰🎶🎶🎶,..sweet melody, MUNGU awabariki kwa kazi njema!🙏🏾❤️
asante na wewe pia
Mimi niweni serious Gospel mpaka kufahaaaa.
Musi fananishwe n'a dunia ata mu nyimbo zetu
I❤ THIS BLESSED PRAISE!!! GOD BLESS MY BROTHERS!!!
BRASIL
Mwaka MWENGINE TENA SERIOUS GOSPEL USHINDI NILAZIMA kweli
Neema izidi kukuaa juu yenu,,,katika hii safari Wacha mungu apokee sofa na utukufu
Asante Mungu wambinguni kwatusahidia kuhona mwaka MWENGINE TENA.
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤God bless🎉🎉
Made By Me Director Mr Spy
Mungu kwanza serious GOSPEL
Kazi ipo nzuri sana serious nawapenda sana
Mini niwenu Siku zote zamahisha Yangu SERIOUS GOSPEL USHINDI NILAZIMA.
Mubarikiwe sana rafki zangu,kazi imetulia sana 🌹, message imekaa vizuri sana,Mungu awatangulie katika safari hii ya Muziki 🌹 IMETAZAMWA NAMI IBRAHIM MJUMBE 🙏🏼
Nawakubali sana SERIOUS GOSPEL.
Ubarikiwe sana mtumishi ISRAEL KYANGA ML
Mungu awatangulie kwa kila atua. Kheri ya mwaka mpya 🙏🙏🙏
Mingus awabariki ❤️
By jackasongo from vunja mbavu family 🙏🙏mungu mkubwa kwakutufikisha mwaka mwingine
Nawapenda san t
Good job mungu azid kuwabarik kwa kwel
Nawapenda san
Mimi nawakubali bureheeeeeeee...............................................
Kaki ihendelee serious Gospel.
Mimi nawakubali asilimia zoteheeeeeeee.............
Nizuri kabisa yaan nime barikiwa
MWAKA MWENGINE TENA SERIOUS GOSPEL MMEJUA KUTUFURAISHA
No one is talking about the voice of the man talking in there and the dressing code of these angels
So amazing
Mungu mwema umetufanya tuishi hadi leo
Mungu awajalie kwenye kazi zenu
na wapenda sana kweli 😊😊Mungu awashaindiye kabisha
Nawapenda sana watoto wa Mungu.
Mbarikiwe kwa kazi nzuri
Mungu awabariki sana ili mzidi kuwakilisha zaidi
Nice music MAY GOD BLESS YOU SO MUCH 🙏🙏
Kazi ni kubwa sana mbona nime penda sana tu
♥️♥️♥️♥️amjawahi kuniangusha
Hapa naendelea kuwaona mkisonga mbele sana mko vzuri mno mnanibariki sana saut zote amaizing ujumbe mzuri pia
Mbarikiwe na Bwana❤
Yani nawapenda sana
Barikiweni sana wana wa Mungu
Amen, kwenye ningewaomba tu msiaribu jina mliyoweka ya UA-cam Channel yenu, wanawake wajifunze kujistiri kwa zaidi, atutaki injili za unafki, Bwana awabariki
Asate sana jamani nawa penda sana kaka zang na dada
Mbarikiwe 🩸 sana serious Gospel nawapenda sana watumishi
Amazing rhumba,amen serious gospel
Hiyo sehemu ingependeza huyo dogo Jack
Mungu awabarik san ety nawapenda san
Mungu awabariki kwa kila kheri ya mwaka mpy 🙏🙏🙏
Mingus awabariki ❤️
mng nimwe mbariw saaaaantuuu!!! vjn wmng.
Asante sana 🙏😭😭
Ongeni sn tu kwa uduma zuri sn tu
Nikiona hiyo napenda sana
Finally ❤❤ nawapenda sana
Vzr ZAIDI sana
Mungu wambinguni awabarik sana Na Awa zidishie baraka nyingi sana
Nawapenda sana serious Gospel kwapamoja tuna weza sana.
Mungu nimwema sana
Nzuri hiyo
Nc sana serious Gospel
Mpaka apo mmejitaindi ndugu zang
Watu wangu❤️
Mubarikiwe na mungu
amen kubwa👏🔥
Kheri ya mwaka mpya nawatakia
Kazi kazi
Mubarikiweee sanaaa tenaaa sanaa❤️❤️
Mubarikiwe sana
Niwatakie baraka nyingi kwasababu nimebarikiwa kupitia wimbo huu
Good 👍 xong
Wahoooooo kiongozi wangu nawapenda sana.
Mbarikiwe sana 🩸💪
Amen ❤mungu awabariki kweli
Kazi uko vizuri kabisa.
Nimependezwa nayo hiyo
Always serious, good music like nasubiri big up
Mubarikiwe sana ❤❤❤
asante na wewe pia
Nawatafuta sana tafadhali
Good work ❤❤
Mlijuwaga kunifuraisha
Mubarikiwe🎉
asante na wewe pia
God did 🙏🏾love from Dar es salaam 🏙️
Amen na mungu awabariki nyote!!❤️🙏🏾 🎶
Mbarikiwe 🩸💪
Mungu azidi kuwa weka nguvu watu wangu
Amen sana🙏🥰🥰
Sweet melody 🙏🏼🙏🏼❤️🎸
Hongereni sana watumishi wa Mungu kabisa.
Nawapenda sana serious Gospel
Mbarikiwe sana serious Gospel
Mwaka mpya umefika wahoooo
Kaka Kuya basi na Aya kwanini esta akimba kwenye Wimbo huwo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaaaaan kupitia wimbo Mzuri kama huu nim barikiwa sana
Mbarikiwe sana
Nice songs ❤️💚
WANANDOTO BRAND
Poa kabisa
Ongereniiii
C ferré gola. Vraiment