Kazi nzuri ila wa dada zetu sijui nani aliye wa loga Mungu apendezwi na nyele bandiya msifu Mungu na ku mtumikia kwa hasılı wa alivyo tuumba acheni kuji chafua na mapambo ya dunia hii hayo yote yana asili yake na nikuzimu.
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Serious Gospel kwa wimbo wao wa kipekee, "Ufunze Moyo Wangu". Wimbo huu umenigusa kwa namna ya kipekee, ukinionyesha uzuri wa kimya na faraja katika imani. Ni wazi kuwa wimbo huu umekuwa baraka kwa wengi, ukigusa mioyo na kutoa ujumbe wa matumaini na utulivu katika maisha yetu ya kila siku. Asanteni kwa kuleta nyimbo zenye maana na zinazobadilisha maisha. Endeleeni na kazi nzuri, Mungu awabariki!
Wadada wamependeza kweli. Thumbs up 👍 😊
Mungu wambinguni awatunze dahima serious gospel ❤️💔
Mungu wambinguni awatunze dahima serious gospel
Hongereni kwa kazi nzuri wana wa Mungu
Mungu wambinguni awatunze dahima serious gospel ❤️❤️❤️❤️💔🌍🎤🎤
nguvu iko mumahombi 🙏
Vue par baba boys 💥 amen ❤️
Nawakubaligi sana kweli, pia natamanigi sana kujihunga Nanyi
Mungu ahikumbike kazi yenu❤❤❤
Amen 🙏 🙏 🙏..Mungu awabariki.
Mungu azidi kuwaweka nguvu watumishi 🎉🎉🎉🎉❤❤
Mungu awabariki sana, natamani kuwaona live jamani mko wapi🙏
Munguh wa mbingun awabarik
Mungu wambinguni ni mwema sana ❤❤ nategemea hujasiri mioyoni mwetu ♥️ kupitia wimbo huu 🙌🏿🙌🏿💗
Uwa nawapenda san mungu azind kuwalinda kweli
Kazi kubwa sana israeli
My Favorite Choir
Love Y'll even ISRAEL knows it
Ufunze Moyo Wangu kunyamaza kimya....kazi nzuri...Sifa zirudiye Mungu mwenye enzi
freshi sana ❤❤❤
Kazi nzuri sana mungu awabariki ❤❤❤
Kazi nzuri ila wa dada zetu sijui nani aliye wa loga Mungu apendezwi na nyele bandiya msifu Mungu na ku mtumikia kwa hasılı wa alivyo tuumba acheni kuji chafua na mapambo ya dunia hii hayo yote yana asili yake na nikuzimu.
Kazi nzuri sana mungu awazidishie❤❤🎉🎉🎉
Mungu wambinguni awatunze dahima serious gospel ❤❤🎉🎉🎉
MUNGU wa mbinguni awazidishiye na kuwaweka nguvu amen 🙏
poa san vijana ❤❤❤
Mungu awaongoze safarini. Wakaribie 🇺🇸🇺🇸🙏🙏❤️. Ujumbe choir, poleni sana ila safari Sio kifo ipo siku mtaonana 🙏🙏❤️
Mungu wambinguni nimwema awatunze dahima serious gospel ❤️❤️❤️
Nimebarikiwa Sana batana Mungu akutangulie israeli
Nigunze kunyamaza
Wahimbanji wakuu kabisa !
Mubarikiwe sana.
Mubarikiwe watumishi ❤❤
Wimbo wangu
Kazi nzuri
Mubarikiwe wapendwa❤❤
Seen by Mr judge from surprise music I like it ❤❤
Mungu awabariki sana na awape nguvu mzidi kutangaza injili popote dunia amen 🫶🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Amena Sana ❤
My people l'm so proud❤
Fav song and words 🔥❤️
I believe it God he have been blessing our destination 🥺🥺
Mubarikiwe na Bwana 🎉🎉🎉🎉❤
Umaharufu mbaya wa dada wote wa serious walienda😂wap naona wapya wengi
Apn mbn niwale wale t wawili ndo awapo
Apana apo akuna wapya ila wamepunguwa kama wawili tu ndo hawapo apo
Amina no wale wale tu sema wamepungua wameenda ulaya wengi 😊
Favorite song ♥️
Mungu awabariki kweli nyimbo iyo inanigusa kweli ❤🎉🙏🏻🤲🏻
Hongr San kak ❤❤❤
Mungu azidi kuwaweka nguvu watumishi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Serious Gospel kwa wimbo wao wa kipekee, "Ufunze Moyo Wangu". Wimbo huu umenigusa kwa namna ya kipekee, ukinionyesha uzuri wa kimya na faraja katika imani. Ni wazi kuwa wimbo huu umekuwa baraka kwa wengi, ukigusa mioyo na kutoa ujumbe wa matumaini na utulivu katika maisha yetu ya kila siku. Asanteni kwa kuleta nyimbo zenye maana na zinazobadilisha maisha. Endeleeni na kazi nzuri, Mungu awabariki!
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤ mungu watunze daaima kazi ipo ❤❤❤❤vizuri
Amen 🙏
Amen ❤❤❤
Mungu awabariki sana 🙏🙏💯❤️
Amen
I love this song
🎉🎉🎉amen 🙏
Mungu hazidi kuwa nanyi milele 😢❤
Very powerful song!
Much and more blessings.❤️
Mubarikiwe sana watoto wa Mungu. Nyimbo zenyu Zina ni kugusa sana. Mungu awawezeshe mpaka mwisho. Na wapenda sana.
Yesu mwema
Yooooo!! Yaan ili kundi litakuja kunifany niokoke walah✈️✈️
Huu wimbo nauangaliaga kila siku. 👍👍👍☝️
M fv song❤
Aksanti kwaku nitumia hii video mchungaji NGOMA EKEMBE mjini Indianapolis !
Nawakubali sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎶
Seen by POWER GOSPEL
Nice job 🎉
Mungu hazindi hawambariki sana
Nawapenda bureee❤❤❤🎉
Nimebarikiwa vyakutosha
Amen amen 🎉❤❤❤😢🎉
director KHASI seen it🎉🎉
Amen 🙏🙏
Amen, amen
My favorite group God bless you guys
Kazi zenu ubariki sana
Amena
🎉🎉🎉❤❤
Good job 👍🏽 👏👏👏👏
Kundi hili nitanihuwa namaraha jamani Mungu anilindie nyie
❤️
Dany hapa
Kazi kubwa ❤❤
Nakubali ❤❤
By Mr YAKUTUMBA MABALA imethibitishwa mda wose
seen by baruani kisubi. napenda sana uimbaji wenu mr mululu
Amen🥰🖤
Seen by diaspora stylish
Heshima na zama zimrudilie aliye juu
Moyo wangu tulia ❤️🍎🩷🎵🎶
My favorite gospel group ever 💕💕💕💕💕💕
Vue par baba boys ❤❤❤❤
🙌🙌🙌🙌🤝🏻🤝🏻🤝🏻🙏🏻
Seen by Mr judge from surprise music I like it ❤❤
UGela
Seen by madiba
Mungu awabarik san❤
Ibrahim Daniel 👀
By YAKOBELLA_ØG_TZ
🎉❤
Glory to God 🙌🙌