Nimeona hii wimbo on a certain video in TikTok nikaamua kukuja straight UA-cam ku watch 🥺🥺my family going through a lot at the moment hoping everything gets better... I'm leaving this comment here so that everytime someone likes it I'm reminded to watch this song again
Hongereni watoto wetu kwa kazi nzuri mnazozifanya kuwa kwetu nyuma kimaendeleo kulitufanya kutokufanya vitu vizuri nakuua vipaji vyetu lakini Leo nehema imetushukia endeleeni kufanya ivyo Mungu awape maharifa zaidi mfike mbali amina.
Imeguswa sana na kipande alichoimba huyo dogo,kwamba hivi nilivyo Leo sitabaki kuwa wa chini baba atanipandisha viwango vyajuujuu duuuuh mbarikiwe nyote wimbo unabariki
Mwimbo zuri sana mungu awabariki
4:34 👉❤️👈hubarikiwe 🥰🙏sana kbs💪
Kazi Nzuri mungu awabariki❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
By YAKOBELLA_ØG_Tz
Hii kazi lazima iwekewe ulinzi wakutosha . Acha malaika WA Mungu wawe nanyi Kila mda na Kila wakati . Mumejuwa kunifurahisha wanangu.
Wow mubarikiwe sana 🥰
Here from tiktok boy trending eating githeri ❤May God bless you ❤
Hongera sana UHU wimbo ume nikumbusha mbali sana yani sijui niseme nini
Hallelujah, MUNGU awabariki kwa kazi njema!!!🥹🥰🫰🏽
Hii ngoma inanihuwaga sana kweli
Amen sana Mungu awabariki sana 🎉 🇨🇩
Nimeona hii wimbo on a certain video in TikTok nikaamua kukuja straight UA-cam ku watch 🥺🥺my family going through a lot at the moment hoping everything gets better... I'm leaving this comment here so that everytime someone likes it I'm reminded to watch this song again
Wimbo UHU umenibariki vyakutosha jamani
Mubarikiwe nikisikia wimbo huu unanikosha❤❤❤
Kama itawezekana huu wimbo ufanyiwe lyrics ❤
Hongereni watoto wetu kwa kazi nzuri mnazozifanya kuwa kwetu nyuma kimaendeleo kulitufanya kutokufanya vitu vizuri nakuua vipaji vyetu lakini Leo nehema imetushukia endeleeni kufanya ivyo Mungu awape maharifa zaidi mfike mbali amina.
Jameni ule wimbo uko hewani 🔥🔥
Kazi nzuri sana nakubali serious gospel mpo vizuri
Good luck
Mungu atanipandisha viwango vya juu juu tu Sana ..👋👋🔥 guys baraka tele na tele
Murampezagiye 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
From tiktok and am liking it already
Nimeipenda san kweli
Mungu abarikiwe, continue following him youngsters, your good future is guaranteed
Amen 🙏🏾
Mubarikiwe sana
Mbarikiwe sana watoto wa Mungu.
Mmmmmmmm
Haki Bwana awainuwe zaidi jwa huduma hiiii
Wow nabarikiwa sana nanyimbo nzuri.❤️❤️
Amen mungu awabariki sana ❤❤❤🙏🙏❤❤
All the way from TIKTOK ❣️❣️❣️
Mungu azidi kuwabariki jamani mnajuwa sana.
Look at the good team
Wooow....nyote mmecheza part zenu be blessed y'all...but ukweli huyo mtota amewezaa zaidi ....nawapenda 🥰🥰
Amuja wai kufeli hongereni sana watu wangu
Just found it from TikTok it brought tears.. Masterpiece beautiful song 🇰🇪🇰🇪
❤❤❤😊😊
Nani ambaye angaliki nasikiya hiyi wimbo hiyi wakati kama mimi? Kama kuko like it,nawafata tokeya South Africa ❤❤
Actually it's seriously pure gospel song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu wambinguni awabariki sana, wimbo ni mzuri sana na unagusa moyoni, unafariji na unatupa matumaini yakusubiri yale tuyaombayo kwa Mungu.
Hongereni sana wimbo iko vizuri sana 🥰 mubarikiwe nyote 🙏🏾
Chris Bill k fapapa nimeona hii kitu 👂🎤 imekaa vzr kifalsafa Zaid 🙏🙏📖📖📖📖
Mungu awabariki Sana Kweli 🙏🙏
Woow, Mungu awabariki sana. Kweli msaada wetu ukatika Bwana. What a great melody 🙌🙌
Yani sijui niseme nini uhu wimbo unanibariki. Sana,
Nakubali bro💪🏾💪🏾💪🏾🔥🔥🔥
I feel this song 💞🧡💙🖤❣️💞🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Mbarikiwe vijana wa ys
Mungu awabariki saaaan 🔥🔥
Ameni naipenda sana ii nyimbo 😍😍😍😍😍
Nimebarikiwa sna na wimbo huu.
Mmefanya Kazi nzuri Saaaana very Emotional
Mungu awabariki sana
Tamaa sikatii maana najua mungu wangu yupo 🙏
Nimebarikiwa sana uhu wimbo 😫🙏🙏
Mungu awabariki sana mes frères
Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda, jamani kweli mnaweza binafsi mmenikosha Sana🔥🔥🔥 Mungu awabariki kwakazi nzuri 🙏🙏🙏
I love the song.....nmeamka kusikiliza nahisi kutiwa moyo...Mungu azidi kuwabariki
Mbarikiweee sanaaaaa❤💙
Mbawikiwe Sana wimbo unabariki
Keep going Guys,
You made it..
Wimbo upo vizuri sana tena kuna ujumbe mzuri sana.
God blesse you guys
Stay blessed more 😚❤️ u guys this is so anointed one powerfully song 👍🆗🆗
Kweli jamani mbarikiwe sana nimwimbo mzuri unagusa Moyo sana mungu amizidishiye tu
Nice songs 🎧🎧🎧
Nice song
Napend huu wimbo mung awabarik san ten san
Amen amen na mimi nasubiri mda wa bwana, mubarikiwe sana wapendwa katika katika kristo
Watu wangu
Hivi nilivyo leo sitabaki kuwa wa chini Baba ata nipandisha viwango vya juu "nasubiria" 😊🥰 Mungu awabariki sana 🙌
Mubarikiwe sasa kwa wimbo huu, nawaomba mzidi kutupa vibwagizo vizuri kama iki kwa mara nyingine.
Mbarikiwe nabwana pia tutasubiri wakati Mungu.
Wonderful song mungu awa bariki kweli.
Mubarikiwe Sana watu wa Mungu mwimbo unabariki kwa kila Mara niki usikiliza
The young boy for me,hivi nilivyo Mimi sitabaki kama nilivyo,bwana atanipandisha viwango vya juu jui
Watu wangu nawapenda sana serious Gospel.
Nawapenda sana serious Gospel.
Nawapenda sana na mungu azidi kuwabariki ❤️😫
My favourite song, may God bless you all for this wonderful song 🔥🔥🔥🔥🥰🥰
Yani ihinyimbo mungu azidi kuihonekaniya🙏🙏🙏🙏
Mungu Awatangulie ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
God bless you guys 🙏🙏🙏🥲 I'm nagi from Australia 🇦🇺 🙏
Sooo Talented 🙌🙌🙌🙌🙌
Mungu hawabariki sana kweli kwa kazi nzuri ❤️❤️❤️💕🙏🙏🙏🙏
I like it 👌 wow good job 👏
Mubarikiwe sana katika kristo.🥰💞 Jesus my redeemer, my protector, my defender.😍☝🏾
AMEN. ❤️
Inspiration song 😢👏👏
Daaaaah Ngoma kali sana nisiwe mnafk adi inatoa machozi kbs pongezi sana bro Yani Nani awezi kuelewa hii kazi ata Asie sikia Luga anakubali kazi vizur
Amena 👌🏽🇦🇺🇦🇺 listening from Australia 🇦🇺
♥️♥️♥️
Keep going up in GOD we trust 🙏 🙌
🥱🆙🫂
Nakukumbali mtoto wangu kazi kubwa sana hii
All the way from TikTok.just to show some love ❤
KUMBE mnajuha Mashabiki wenu wana taka Nini mbarikiwe sana serious Gospel.
Wimbo Mzuri kabisa
Powerful song amen 🙏🏿
Imeguswa sana na kipande alichoimba huyo dogo,kwamba hivi nilivyo Leo sitabaki kuwa wa chini baba atanipandisha viwango vyajuujuu duuuuh mbarikiwe nyote wimbo unabariki
Amina nyimbo zuri San mubarikiwe🙌
Inabariki Moyo 🥰😘🙏
huuu wimbo umenikosha sana hakiyamungu mubarikiwe sana ndugu zangu
Waooo my son I'm proud of you
Mungu akufunike na kukuinua
Watching from kenya
Barikiwa
Jamani nimependa Sana ni nzuri
Kazi ihendelee SERIOUS GOSPEL