MBOSSO AMCHANA ALIKIBA, NJOO WCB KWA DIAMOND, NIMEKUJA CROWN, SITAKI BIFU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 189

  • @princekassimtz
    @princekassimtz Місяць тому +26

    Mbosso 🎉pokea mauwa 🎉🎉🎉🎉

  • @JulesDior-zl6rq
    @JulesDior-zl6rq Місяць тому +12

    Ebwana mzee unazeeka ayo mambo hayatakiwi sasa ivi njokule ufanye kolabo ❤😂🙏

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean Місяць тому +29

    Mbosso is the best in the world 🌎 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @NduwimanaEtienne-s8g
      @NduwimanaEtienne-s8g Місяць тому

      You talk rubish

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR Місяць тому +1

      Mungu ambariki mchengerwa kwa kuweka mziki ikwiriri 😅😅😅dah haya maisha bn

  • @GerradLaulenc
    @GerradLaulenc Місяць тому +30

    Umetisha mboso apa ndio nyumbamani

  • @juniorSaidi-z2h
    @juniorSaidi-z2h Місяць тому +24

    Big_up Seleman mbosso❤❤❤❤

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew Місяць тому +24

    Mbosso kaongea point sana

  • @starry_boe
    @starry_boe 26 днів тому

    Nimependa conversation yenu, mtangazaji anajua sana, mbosso as well, big up💯

  • @mtulivu8743
    @mtulivu8743 Місяць тому

    Byda mboso akusema vibaya...he nailed it🎉

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 Місяць тому +4

    Mboso bhana, very charming, very true boy

  • @OmaryMuhd
    @OmaryMuhd Місяць тому +3

    Mbosso kabla mwaka haujaisha tupigie live moja

  • @neemakihembwe7298
    @neemakihembwe7298 Місяць тому +17

    Big up san mboso

  • @FeisalFaraj-n9i
    @FeisalFaraj-n9i Місяць тому

    Mbosso ana hekima

  • @JellyRuba2022
    @JellyRuba2022 Місяць тому +5

    UKOO WA WASAFI YAANI USAFINI 🎉🎉

  • @official_marney
    @official_marney Місяць тому +4

    Well said Mbosso 💯

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 Місяць тому +5

    Mbosso 🙏🙏🙏

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 Місяць тому

    Mbosso anaakili sanaa

  • @theeCUT
    @theeCUT Місяць тому

    #Mbosso couldn't hold his thoughts 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ love mbosso for being humble and truly

  • @DonaldMwamakula
    @DonaldMwamakula Місяць тому +2

    napoke mauwa yote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nasrialoyce4222
    @nasrialoyce4222 Місяць тому

    Safi mbosso mungu akupe maisha malefu kwenye mafanikio yako

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni Місяць тому +8

    Nomaa

  • @silasila3111
    @silasila3111 Місяць тому +1

    Kwamara yakwanza na kwenye iyi crown mbosso🎉

  • @KelvinPonsiani
    @KelvinPonsiani 11 днів тому

    Mbosso wee ni noma nisome kama Kelvin Mr BURUDANI.

  • @AlbinoTomás-m3j
    @AlbinoTomás-m3j Місяць тому +1

    Ni kweli mbosso ajaongea kwama mbaya, na Mimi nampanda alikiba aimbe na diamond platinumz

  • @ahmedjobs6453
    @ahmedjobs6453 Місяць тому +8

    Nimeipendaa iyoo😅

  • @ibraimoselemane17ibraimo29
    @ibraimoselemane17ibraimo29 Місяць тому +19

    Umeongeya fact sana mana wandishi wana chonganisha wasani sana

  • @LABANKTV
    @LABANKTV Місяць тому +5

    mbosso mkali wao kwa mashairi

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 Місяць тому +2

    Mbosso he is smart

  • @muharamimwalie9753
    @muharamimwalie9753 Місяць тому +9

    well spoken

  • @NyemoGalahenga-o4r
    @NyemoGalahenga-o4r Місяць тому

    mbosso the great

  • @maxbeatz__8813
    @maxbeatz__8813 Місяць тому +2

    Mbosso ana akili mno🙌🏾

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 Місяць тому +1

    Sawa mbsso 👏👏🥰🥰🥰🥰😂😂😂😂

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 Місяць тому +14

    *kuna waandishi wa habari na waandishi wa bahari*

  • @RazackSulehmani
    @RazackSulehmani Місяць тому +1

    Nakubali sana seleman

  • @kitwangu
    @kitwangu Місяць тому +2

    Unazeeka Njoo nyumbani😂😂😂

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada Місяць тому

    Team kiba huko sisi hatuji ng'ooo

  • @MartinoFransisco-c5k
    @MartinoFransisco-c5k Місяць тому +1

    Asa mbn Mboso ndo mzee kuliko Ali😂😂😂

  • @RobertMsimbe
    @RobertMsimbe Місяць тому

    Mbosso yuko sahihi

  • @TausAbasi-jf2xx
    @TausAbasi-jf2xx Місяць тому

    Kama umemuona fei toto nipe like😂😂😂😂😂

  • @PaschalTonny
    @PaschalTonny Місяць тому +3

    jamaa hanaga noma yani 🥰

  • @nurtoaliosman8303
    @nurtoaliosman8303 29 днів тому

    Best point walai❤❤❤

  • @ivantompoo-c9k
    @ivantompoo-c9k Місяць тому +9

    Ni kweli tuish ivo

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel Місяць тому +40

    Kama ni mbosso kuja crown nikama abdukiba alivyo fika wcb tena crown yéyé ameitwa yakufata piya wcb wanatakiwa kuonesha upendo wao pita sa ite mwengine musani pengine konde Ama vanillah Ama tomy Flavour Ama king mwenyewe

    • @juniorSaidi-z2h
      @juniorSaidi-z2h Місяць тому +2

      Tumekujuwa wewe ni team Diddy-wife😅😅😅😅

    • @IsakaMwaitete
      @IsakaMwaitete Місяць тому +2

      Acha ugambnish na kushadadia mamb ya ajab

    • @raymondlaurent4167
      @raymondlaurent4167 Місяць тому +2

      Jifunze kuandika kwanza si unaandika kama mtoto wa chekechea

    • @JumaaNdululu
      @JumaaNdululu Місяць тому

      Kweli

    • @b-creative4662
      @b-creative4662 Місяць тому

      Jifunze Kiswahili kwanza kisha uje!!

  • @emmanuelcharles4600
    @emmanuelcharles4600 Місяць тому

    Tatizo la mboso Anataka kupanda ndege wakati Ana Tiket ya Haice😂😂

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Місяць тому +12

    Fact Xan Mbosso✊

  • @djjailoskyelambeya6072
    @djjailoskyelambeya6072 Місяць тому +2

    Huyu mwandishi bado sanaa hajui kuhoji anatumia nguvu nyingi sanaaaa

  • @LameckMangwenje-k6p
    @LameckMangwenje-k6p Місяць тому +6

    Ila mtangazaji kanyoa kwl😂😂

  • @christopherfrank9097
    @christopherfrank9097 Місяць тому +2

    Msenge huyo dada interview ya alikiba kauliza swali la kisenge ambalo ata mbosso akusema hivyo

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe Місяць тому +9

    Ilaaa mbosso

  • @eleneiagustino-w2g
    @eleneiagustino-w2g Місяць тому

    Uyu big anakitu

  • @Aziza-z4f
    @Aziza-z4f Місяць тому +2

    Nikweli kabisa mzee

  • @princemzuri3139
    @princemzuri3139 Місяць тому

    Mbona ameongea point Sana

  • @salehezimbwe6395
    @salehezimbwe6395 Місяць тому +14

    Aliyeona mbosso kamshika dada bega mara 32

  • @idriskinye1190
    @idriskinye1190 Місяць тому +1

    Wew kamdoli acha kucheza na alikiba usje ukatufanya tukatukana kimdori wew

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Місяць тому

      Aliyekwambia matusi yanakua Nani? Don't be a fool!

  • @SarriveSaRRIKeY
    @SarriveSaRRIKeY 27 днів тому

    iyo ni kweli kbs

  • @MtumbaOG
    @MtumbaOG Місяць тому +2

    Oya mzee unazeeka njoo WCB

  • @SimbaAbubakar-b3d
    @SimbaAbubakar-b3d Місяць тому +1

    Mashallah

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa Місяць тому +1

    😂😂😂😂
    Mbosoo kama wewe umekuja
    Basi na crown 👑 watamleta Vanilla wasafi

  • @ZecaZecado
    @ZecaZecado Місяць тому

    KING music

  • @WahuBoth
    @WahuBoth Місяць тому +2

    YANI AKUNA MEDIA YA INAYO CHONGANISHA KWA MASWALI KAMA WCB

  • @Chillah19
    @Chillah19 Місяць тому

    Unajua sana

  • @FrontalClousure
    @FrontalClousure Місяць тому +3

    ILA WAANDISHI WA HABARI
    MBOSSO kitu ambacho hamfahaku mimi na abdulkiba Tulikuwa na maugomvi kwa sababu ya wanawake
    MWANDISHI Mlishea wanawake?
    MBOSSO Apna tulipiga nao story!
    😂😂😂 nani amelikubali jibu la Mbosso kwa Mwandishi

  • @SwaleheMassawe
    @SwaleheMassawe Місяць тому +1

    Dadang jitahid kuiprove mbn upo media kubwa lkn upo local

  • @gilbertbusuku7445
    @gilbertbusuku7445 Місяць тому

    Mbosoo Kawa chana IPO sawa

  • @scopy0428
    @scopy0428 Місяць тому +4

    Mbosso kawachana waandishi wa habari kwa kuchonganisha habari negative

  • @popiya2368
    @popiya2368 Місяць тому +5

    Ulipiga naye story wakati ulijua alikuwa mke wake mwe

  • @jonathanmwanja3994
    @jonathanmwanja3994 Місяць тому +1

    1 million views very soon. Though short interview

  • @mrtii5668
    @mrtii5668 Місяць тому

    Kasahau mapaga na mashoka😂😂😂

  • @elizabethmachio6499
    @elizabethmachio6499 Місяць тому +3

    Kwani mboso anaendelea kua mtoto

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Місяць тому

    Sawa sawa kaka

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim Місяць тому +2

    Mboso Hana baya watu watageuza haya maneno mboso amesema kiba mkubwa wake

  • @gerry_macopper3808
    @gerry_macopper3808 Місяць тому

    Waandish mnachangia sana wasanii kuwa na mabifu yasiyo na maana

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew Місяць тому +25

    Kiukweri huyu dada bado sana kwenye kutangaza aise aise huyu dada bado anaona kawaudatu

    • @yascoguidezanzibar
      @yascoguidezanzibar Місяць тому +11

      Bado kivip mbn kajitaid tuu

    • @kinjekitilew
      @kinjekitilew Місяць тому +6

      @yascoguidezanzibar maswali aliyo kuwa anamuliza mbosso niya uchonganishi nandomana mbosso ka mwambia nyinyi wandishi wahabari ndio huwa munapandikiza chuki kiukweri sio poa

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 Місяць тому +3

      Ana maswali ya kitoto xn

    • @AllyDion
      @AllyDion Місяць тому +3

      ndio anachipkia cku zinavyoenda atakuw mzur ataach maswal y kiboy

    • @kinjekitilew
      @kinjekitilew Місяць тому +1

      @AllyDion oya hakuna mambo ayo nakupa mfano. Momo alikuwa tikitoka voice hajawai kufanya kazi radioni ila anafanya poa sana kama alisha wai fanya kazi radio

  • @sharonjudy3390
    @sharonjudy3390 Місяць тому +1

    Mzee unazeeka

  • @emmanuelmakamba3815
    @emmanuelmakamba3815 Місяць тому +2

    Awa mwandish mda mwingine wana kua machoko

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Місяць тому

    fact mbosooo

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 Місяць тому +3

    ❤❤❤❤

  • @BenadFrank
    @BenadFrank Місяць тому +5

    🎉

  • @TommyBella
    @TommyBella Місяць тому +1

    Haya maojiani yalianza Kama utani na yakaisha kiutani... Ila katikati Kuna Mambo magum

  • @nasrialoyce4222
    @nasrialoyce4222 Місяць тому

    Nikweli kabisa

  • @eliaspaul9028
    @eliaspaul9028 Місяць тому +2

    Mzee umezeeka

  • @BrownFamilyTransportation
    @BrownFamilyTransportation Місяць тому +2

    Hili ndo aliliongea hapo sasa hii caption na kilicho zungumzwa mbona tofauti

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 Місяць тому

    Safi sana anazeeka na mikunjo ya chuki bila faida yoyote

    • @amoscharles-d9q
      @amoscharles-d9q Місяць тому

      Ungejua uyasemayo usingeyawema wazi maana maisha yako na hao watu hayahusiani kabisaaa

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Місяць тому

    LABDA THE BEST KWA USHOGA NISHOGA

  • @MeshackMalemba-zm6cl
    @MeshackMalemba-zm6cl Місяць тому

    Sema mwandishi wetu bado mbosso kakataa mambo ya ugomvi lakin bado wana yaleta sasa kajibu kwa utan imekua noma kila sehem et kamkosea heshima king no ni utan tu

  • @JumaMuhhamad
    @JumaMuhhamad Місяць тому +4

    HEADLINE:
    MBOSSO AMCHANA ALIKIBA UMEZEEKA, NJOO WBC KWA DAIMOND

  • @hassankibanga2836
    @hassankibanga2836 Місяць тому +7

    King kawalipa wasafi duuu sio s

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l Місяць тому

      Nyinyi ndo wale wanaosemewa hapo

  • @safiamanyana6707
    @safiamanyana6707 Місяць тому +2

    Mbosso apo kaongea ukweli.

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 Місяць тому +1

    Embu tazama title hapo vipi nyiy waandishi

  • @riphathhamiltonjr1038
    @riphathhamiltonjr1038 Місяць тому +1

    Ila bongo hakuna waandishi 😂

  • @AbdulRashidi-s4z
    @AbdulRashidi-s4z Місяць тому

    Ni kweli aje was safi mana hana ngoma yenye vs 100m

  • @chenzhen7772
    @chenzhen7772 Місяць тому

    Bro umemambo ya kweli

  • @imacapela8426
    @imacapela8426 Місяць тому +5

    Mbona marangirangi sasa..

  • @martinemayunga2357
    @martinemayunga2357 Місяць тому +4

    Aha kuja wewe haitoshi sisi wenyew tushamtuma abdukiba sasa bado nani amfuate nani nyangumi

  • @fednandnews2240
    @fednandnews2240 Місяць тому

    Ningekuwa mkurugezi wa crown Media Huyu Dada Namfukuza After kushusha maic, ujue hawa watu wa HKL hart wanaujinga sana D Moja Unapata degree Ndo Unakuja Kuwa Joint kat ya ugomvi wa watu wawili,Tunashindwa Kutengeneza presenters wenye ubora wa Kuendeleza inchi kwa mazuri na mema Tunaleta hawa wanaoona dosari nyingi kuliko mazuri

  • @iwenikigodi5419
    @iwenikigodi5419 Місяць тому +2

    Sasa hapo kawachana wandishi au alikiba

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn Місяць тому +2

    Kisembe og

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r Місяць тому +6

    Ali kiba gami huyo anae mzungumzia yeye huyu tuanzie hapo kwanza ? kwani si aliamza kuja Abdul kiba wasafi kisha ndo ukaenda wewe kings music sasa tumalize kama tulivonanza aje huyo diamond wako kwanza kisha afuate ali kiba kuja na ikishindikana tufanye iwe basi tu ila ali kiba akija nipo nimekaa pale😂

  • @swalehomari2019
    @swalehomari2019 Місяць тому

    Hawa waandishi wa habari ndo washenzi Sana wanauzushi

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq Місяць тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @edwinoduor2421
    @edwinoduor2421 Місяць тому +3

    Malaya na media yako,hivo wajua maana yakuchana