KITENDAWILI CHA UTATU MTAKATIFU (PART 3)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 223

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому +13

    dah pastor ndacha pole sana kwa kujizonga na ukweli uko wazi

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 Рік тому +7

    Ustadh Ramadhan may Allah bless you .huyu mkristo mwenyezi Mungu aongoze

  • @asmaal-shkiriy9518
    @asmaal-shkiriy9518 Рік тому +17

    Huyu anelewa lakini ni kiburi ishaalla mwenyezi mungu amongoze shekhe ramadhani mungu akupe subra nakutie nguvu

  • @mwanaidiabdullah8173
    @mwanaidiabdullah8173 Рік тому +3

    Ndacha yuko sahihi sana katika maandiko

  • @LoveStory-ne2ee
    @LoveStory-ne2ee Рік тому +11

    Mashallah elimu nzuli sana ata kwa sisi wa wa islam tunazidi kuimalisha imani yetu

    • @halimaa9367
      @halimaa9367 Рік тому

      Sasa muhulize yesu anaitwa mtt wanani musa bin maryam

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz Рік тому +21

    Allah mjalie ramadhan nguvu na uzima...na umuongoze ndacha awe muislamu inshaAllah biidhini allah

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  Рік тому +3

      Allahuma ameen 🤲

    • @nooor1120
      @nooor1120 Рік тому +2

      Aameen yaarabb

    • @moanamohammed1406
      @moanamohammed1406 Рік тому +2

      Amina ya Rabbi 🤲

    • @nooor1120
      @nooor1120 Рік тому +1

      Aameen aameen

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 Рік тому

      GOD IS TRINITY!
      The Trinity does not divide God into three parts. The Bible is clear that all three Persons are each one hundred percent God. The Father, Son, and Holy Spirit are all fully God. For example, it says of Christ that “in Him all the fullness of Deity dwells in bodily form” (Colossians 2:9).
      We should not think of God as like a “pie” cut into three pieces, each piece representing a Person. This would make each Person less than fully God and thus not God at all. Rather, “the being of each Person is equal to the whole being of God.”[1] The divine essence is not something that is divided between the three persons, but is fully in all three persons without being divided into “parts.”
      Thus, the Son is not one-third of the being of God, He is all of the being of God. The Father is not one-third of the being of God, He is all of the being of God. And likewise with the Holy Spirit. Thus, as Wayne Grudem writes, “When we speak of the Father, Son, and Holy Spirit together we are not speaking of any greater being than when we speak of the Father alone, the Son alone, or the Holy Spirit alone.”[2]
      There is only one God
      If each Person of the Trinity is distinct and yet fully God, then should we conclude that there is more than one God? Obviously we cannot, for Scripture is clear that there is only one God: “There is no other God besides me, a righteous God and a Savior; there is none besides me. Turn to me and be saved, all the ends of the earth! For I am God, and there is no other” (Isaiah 45:21-22; see also 44:6-8; Exodus 15:11; Deuteronomy 4:35; 6:4-5; 32:39; 1 Samuel 2:2; 1 Kings 8:60).
      Having seen that the Father, the Son, and the Holy Spirit are distinct Persons, that they are each fully God, and that there is nonetheless only one God, we must conclude that all three Persons are the same God. In other words, there is one God who exists as three distinct Persons.
      If there is one passage which most clearly brings all of this together, it is Matthew 28:19: “Go therefore and make disciples of all the nations, baptizing them in the name of the Father and the Son and the Holy Spirit.” First, notice that the Father, Son, and Holy Spirit are distinguished as distinct Persons. We baptize into the name of the Father and the Son and the Holy Spirit.
      Second, notice that each Person must be deity because they are all placed on the same level. In fact, would Jesus have us baptize in the name of a mere creature? Surely not. Therefore each of the Persons into whose name we are to be baptized must be deity.
      Third, notice that although the three divine Persons are distinct, we are baptized into their name (singular), not names (plural). The three Persons are distinct, yet only constitute one name. This can only be if they share one essence.
      www.cru.org/us/en/train-and-grow/spiritual-growth/core-christian-beliefs/understanding-the-trinity.html

  • @officialkhalid3510
    @officialkhalid3510 11 днів тому +1

    Assalam aleikum straight path family hamujambo insha'Allah. MashaAllah daai'ii wetu ustaadh Ramadhan kuria bin kaguo mwenyezi mungu akuhifadhi na akujaalie uzima na afiya ya kufikisha ujumbe insha'Allah ❤❤❤ Halafu naona francis ndacha ankuja na mpya 😂😂😂anakataaa utatu mtakatifu. Amezindua ya kwake mpya sasa wawili watakatifu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @saciidcaliashkir4494
    @saciidcaliashkir4494 Рік тому +14

    Mansha Allah, brother Ramadan. May Allah continue blessing you for the great work you do in dawah. We all need to take part in this great work of dawah and support our brother Ramadan and his team.

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 Рік тому +6

    Mashaallah shekhe Ramadhan Tabaraka Rahman

  • @jumamanu6054
    @jumamanu6054 Рік тому +1

    Ndacha mungu hakujalie maisha marefu hili huwaubirie waislam ukweli.

  • @mulkyibrah2959
    @mulkyibrah2959 Рік тому +3

    Subhanallah Ndacha unauona ukweli Ila umeamua kujidhalilisha. Allah akupe mwongozo InshaAllah

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 Рік тому +4

    Ndacha kisunzi😁😁😁ajichanganya mwenyewe

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +7

    Ndacha kashikika ahsante sheikh ramadhani

  • @alafasyprintingservices660
    @alafasyprintingservices660 Рік тому +4

    Allah akulinde shekh Ramadan, Mashallah unafany kazi nzuri sn yni maswali yako yanaufahamu mkubwa sana ukizungmza tu mtu anaelewa mashallah

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Рік тому +2

    Masha Allah Ustaz wetu.Ndacha afanya kazı ya İblees mkubwa WA mashetani.

  • @gladysjosephmacharia3250
    @gladysjosephmacharia3250 Рік тому +1

    Mwalimu ndach neema iktoshe katika jina la yesu

  • @mohamedhulbale4404
    @mohamedhulbale4404 Рік тому +1

    Sheikh Ramadan umefunga kabisa kwa sababu mara ni mwana wa mungu mara ni mungu isitoshe mara ngine mungu wa ndasha amekufa

  • @shuaibsaid515
    @shuaibsaid515 Рік тому +7

    Ndacha hatulii mara anataka kuinuka mara anafutafuta uso. Hizo ni dalili ya dozi zimemuingia.

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Рік тому +1

    Maasha Allah.Shehe Ramadhan ulimkamata Ndacha vilivyo kapoa utafikiri si yule mwenye fujo zake.

  • @oromiyaajittu7188
    @oromiyaajittu7188 Рік тому +1

    Ndacha alielewa lkn anakata ukweli
    Jzk ustaz♥️

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 Рік тому +3

    Allah akubarik sheikhe Ramadan

  • @shuaibsaid515
    @shuaibsaid515 Рік тому +5

    Mfano wa ndacha ni sawa na kusema baba akiwa na mtoto wake, Baba aseme kunwambia mwanawe Baba mwenzangu.🤣🤣🤣

  • @nooor1120
    @nooor1120 Рік тому +3

    Hana akili wala fikra anaesema mmungu anazaa.
    Astaghfirullah al'adhiim

  • @MohammedOmar-wt3vg
    @MohammedOmar-wt3vg Рік тому +5

    Allah amuongoze

  • @saumkisira9328
    @saumkisira9328 Рік тому

    Mashallah shkh Ramadhan Allah akupe umri mrefu

  • @faridahkavochi8079
    @faridahkavochi8079 Рік тому +3

    Mashaallah tabarak Allah

  • @attainingallroundexcellenc6992

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
    USTAD RAMADAN may Almighty ALLAH Bless you.
    Show him this Verse
    Quran chapter 23 Verse 91.
    Allah has not taken any son, nor has there ever been with Him any deity. [If there had been], then each deity would have taken what it created, and some of them would have sought to overcome others. Exalted is Allah above what they describe [concerning Him].
    92:[He is] Knower of the unseen and the witnessed, so high is He above what they associate [with Him].

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂ndacha anakuelewa vizuri sana lkn hataki kuonekana baifu Mashaallah hk wangu Allah akupe umri mrefu wenye mafanikiyo mema inshaallah

  • @Kitwitwi
    @Kitwitwi Рік тому +3

    But those who deny Our verses are deaf and dumb within darknesses. Whomever Allah wills - He leaves astray; and whomever He wills - He puts him on a straight path.
    (Al-Anaam 39)

  • @reutthemoabite
    @reutthemoabite Рік тому

    Mwalimu Ndacha my God bless you and you may never luck anything 🙏

  • @yusrahb4461
    @yusrahb4461 Рік тому +3

    Huyu naye Pastor anajichanganya kweli Lo!. Anaangamiza wafuasi wake yaani hajielewielewi hivi anatafsiri Biblia vile yeye anataka

  • @mohamed-zh6cn
    @mohamed-zh6cn Рік тому +1

    Mansha Allah sheikh ramadhan

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +2

    Mola akubariki cna sherk wetu huyo ndacha anaogopa kujisalimisha ju akokwa biashara ya upasta yakuibia maskini,

  • @thimaathman7002
    @thimaathman7002 Рік тому +1

    MashaLLAH sheikh ramadhan ndo kiboko yao ALLAH AKULINDE

  • @gazaomar677
    @gazaomar677 Рік тому +2

    Shukran

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Рік тому +1

    Yani wakiristu akili sijui ziko wapi poleni sana Ustadhi ramadhan hongera kwa kazi nzito yakuelemisha 🇹🇿🙏🤲

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Рік тому +2

    Mashallah Allah

  • @yaqubabdi9532
    @yaqubabdi9532 Рік тому +2

    Ndacha ndacha , hujielewi

  • @zuhurabahati5996
    @zuhurabahati5996 Рік тому +4

    Aslm alykm warahmatullah wabarakatuh,ustadh huyo yuaelewa ila kujifanya tu hiyo wingi hata sisi mijikenda huitumia kwa kujiheshimisha, example Kwa farther inlaw siezi jiita mimi lazima nijiite sisi

  • @malongoisack5811
    @malongoisack5811 Рік тому +2

    NATAMANI NINGEKUWA NAONGEA KAMA RAMADHAN.
    UONGEAJI WAKE NI WA KISTAARABU SANA.

  • @benin9773
    @benin9773 Рік тому +1

    Mungu ana mwili akupe andiko sheehe wetu

  • @mrok284
    @mrok284 Рік тому +1

    Eti ndacha alitaka kumbatiza mazinge Wakati yy mwenyewe maji shingoni🤣🤣🤣

  • @ahmedjiir3511
    @ahmedjiir3511 Рік тому +2

    Tulielezwa kama watakataa ukueli na yesu ni mtume wa mungu

  • @ibrahimhajji6210
    @ibrahimhajji6210 Рік тому +3

    Ati kupaa ni kushuka..Ndacha will soon invent his own kamusi.

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 Рік тому

    Ramadhani Allah akulipe kheri. Nyingi kwa Kazi unayoifanya ni kubwa!

  • @AHMEDMOHAMED-qb3ux
    @AHMEDMOHAMED-qb3ux Рік тому +4

    Huyu Ndacha !!!!

  • @fadumabdullahi217
    @fadumabdullahi217 Рік тому +2

    Masha Allah Shikha

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 Рік тому +5

    Huyu asilimu tu hana lolote

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Рік тому +1

    hii ni comedy hehe

  • @hakimabdul7494
    @hakimabdul7494 Рік тому +1

    Mashallah Sheikh Ramadhan

  • @JaafaTiputip
    @JaafaTiputip Рік тому

    MaashaAllah, JazakaaAllahu kheira Sheikh .

  • @faridahussein4962
    @faridahussein4962 Рік тому +1

    MashaAllah ustadh Ramadhan

  • @MohammedOmar-wt3vg
    @MohammedOmar-wt3vg Рік тому +4

    Ndacha ni sumun bukmun. Maskini ameishiwa

  • @mohamedhulbale4404
    @mohamedhulbale4404 Рік тому +1

    Ndasha neno lake yote halieleweki maana anasema yesu ni mwana wapeke wa mungu naye Ibrahimu ni mwana wa mungu

  • @sarboko
    @sarboko Рік тому +2

    Halafu ndacha Mimi sijakuelewa hivo kufuta uso mara kwa mara unakusudia nini..
    Wewe unashetani anaitwa shamharushil bahaba. Nasubiani.
    Ushindwe kwajina laramadhani.

  • @Sharrif456
    @Sharrif456 Рік тому +1

    Leo dacha kapata kiboko yake 😅😅😅😅😅

  • @EvangelisteThomas
    @EvangelisteThomas Рік тому

    Kweli kbs yesu ni mwana wa Mungu aliye hai.pia yesu ni neno la MUNGU .

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +7

    Ukweli ndacha anaujua ila ukaidi na kuona aibu,inabidi sasa avurugetuu

  • @ummabubakar5319
    @ummabubakar5319 Рік тому

    Aseme Mungu, Mtume wa Mungu na Roho wa Mungu

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 Рік тому +11

    Ndacha utajiunga na usilamu hivi karibuni tu inshaallah 🙏

    • @mohammedbakari1364
      @mohammedbakari1364 Рік тому

      Ameen 🤲🏾

    • @nooor1120
      @nooor1120 Рік тому +1

      Aamiin
      Aamiin
      Aamiin
      Aamiin
      Aamiin
      Aamiin
      Aamiin
      Aamiin

    • @fadumabdullahi217
      @fadumabdullahi217 Рік тому +1

      Ameen ya Allah

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 Рік тому

      GOD IS TRINITY!
      The Trinity does not divide God into three parts. The Bible is clear that all three Persons are each one hundred percent God. The Father, Son, and Holy Spirit are all fully God. For example, it says of Christ that “in Him all the fullness of Deity dwells in bodily form” (Colossians 2:9).
      We should not think of God as like a “pie” cut into three pieces, each piece representing a Person. This would make each Person less than fully God and thus not God at all. Rather, “the being of each Person is equal to the whole being of God.”[1] The divine essence is not something that is divided between the three persons, but is fully in all three persons without being divided into “parts.”
      Thus, the Son is not one-third of the being of God, He is all of the being of God. The Father is not one-third of the being of God, He is all of the being of God. And likewise with the Holy Spirit. Thus, as Wayne Grudem writes, “When we speak of the Father, Son, and Holy Spirit together we are not speaking of any greater being than when we speak of the Father alone, the Son alone, or the Holy Spirit alone.”[2]
      There is only one God
      If each Person of the Trinity is distinct and yet fully God, then should we conclude that there is more than one God? Obviously we cannot, for Scripture is clear that there is only one God: “There is no other God besides me, a righteous God and a Savior; there is none besides me. Turn to me and be saved, all the ends of the earth! For I am God, and there is no other” (Isaiah 45:21-22; see also 44:6-8; Exodus 15:11; Deuteronomy 4:35; 6:4-5; 32:39; 1 Samuel 2:2; 1 Kings 8:60).
      Having seen that the Father, the Son, and the Holy Spirit are distinct Persons, that they are each fully God, and that there is nonetheless only one God, we must conclude that all three Persons are the same God. In other words, there is one God who exists as three distinct Persons.
      If there is one passage which most clearly brings all of this together, it is Matthew 28:19: “Go therefore and make disciples of all the nations, baptizing them in the name of the Father and the Son and the Holy Spirit.” First, notice that the Father, Son, and Holy Spirit are distinguished as distinct Persons. We baptize into the name of the Father and the Son and the Holy Spirit.
      Second, notice that each Person must be deity because they are all placed on the same level. In fact, would Jesus have us baptize in the name of a mere creature? Surely not. Therefore each of the Persons into whose name we are to be baptized must be deity.
      Third, notice that although the three divine Persons are distinct, we are baptized into their name (singular), not names (plural). The three Persons are distinct, yet only constitute one name. This can only be if they share one essence.
      www.cru.org/us/en/train-and-grow/spiritual-growth/core-christian-beliefs/understanding-the-trinity.html

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому +1

    Ndacha 😁😁

  • @saidamur5747
    @saidamur5747 Рік тому +1

    Yeye.ndacha.kwa.nn.mwenyezi.mungu.anatumia.wingi.anakusudia.na.malaikawake

  • @minhajsahal4467
    @minhajsahal4467 Рік тому +4

    Ndacha anashikashika USO😂😂😂😂
    Ameshikwa😅😅😅

  • @bakari52
    @bakari52 Рік тому +3

    Huyu Ndacha ni ujania tu analeta. Alafu anajizunguusha

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +4

    Wakristo mumemuona ndacha? Munajifunza nini hapa yaani ndacha nafsi inamsuta kusema uongo anao jua kama huu niuongo

  • @yaqubabdi9532
    @yaqubabdi9532 Рік тому +2

    🤣🤣 , huyu ndacha hajielewi

  • @faridahussein4962
    @faridahussein4962 Рік тому +1

    Ndacha ameelewa hata haku celebrate Christmas karibu atasilimu ameen

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz Рік тому +4

    Ndacha acha ushindani wewe silimu tu coz umeandza kujua ukweli

  • @MohammedOmar-wt3vg
    @MohammedOmar-wt3vg Рік тому +3

    Mungu gani huyu Ana miaka.huyu ndacha hana akili

  • @bakari52
    @bakari52 Рік тому +3

    Kumbe Ndacha ukiwa naye peke yako ana adabu. Hana zile kelele

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 Рік тому

    Wallah cjutuii kuslim, wakristo nyie duuuuuuuuh

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +1

    Kumbe Ndacha chizi Ajizima data mala yesu Mungu mala mwanawa Mungu mtatatu anachezea akiliza wakiristo.

  • @erickolizer
    @erickolizer Рік тому +1

    Matayo 28:18-19

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 Рік тому

    Subhaana Allah: Ametakasika mwenye zimungu

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Рік тому +1

    Amechanganyikiwa

  • @musaguga
    @musaguga Рік тому +2

    Shekhe ramadhani, nipo Tanzania, nataka hicho kitabu, na bei yake.

  • @ahmedjiir3511
    @ahmedjiir3511 Рік тому +1

    Mara mara we loose patience on wat they refuse and its true

  • @yusufmahdi8921
    @yusufmahdi8921 Рік тому +2

    The most confused man Ndacha sometimes Jesus Christ is messenger sometimes he is son and sometimes gods very confused

  • @mrok284
    @mrok284 Рік тому +1

    Mm mijadala ya ndacha Huwa nayafuatilia Sana lakn Sasa anaogopaogopa🤣🤣

  • @abdallahcharo2798
    @abdallahcharo2798 Рік тому +1

    Ashajua ukweli huyo analeta usanii tu ndacha kwisha

  • @maherzain615
    @maherzain615 Рік тому +1

    Ndacha muongo wakupita kiasi eti serikali akifa raisi huwa imekufa serikali yte. Mbona alipokufa magufuli seriklai iliendelea kupitia naibu mama samia.

  • @mathiasspyussmilanga6894
    @mathiasspyussmilanga6894 Рік тому

    Big up ndacha

  • @iankibet3207
    @iankibet3207 Рік тому

    We all believe in one supreme God who is the creator of heaven and earth.

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 Рік тому

    Ndacha anafurahisha wallah...yesu sio mungu ni mwana wa mungu ila sio mungu😆😆Allah akuongoze njia ilio nyooka

  • @sarboko
    @sarboko Рік тому +3

    Sura 2 - Aya 13
    وَإِذَا قِيلَ لَهُمْ ءَامِنُواْ كَمَآ ءَامَنَ ٱلنَّاسُ قَالُوٓاْ أَنُؤْمِنُ كَمَآ ءَامَنَ ٱلسُّفَهَآءُ‌ۗ أَلَآ إِنَّهُمْ هُمُ ٱلسُّفَهَآءُ وَلَـٰكِن لَّا يَعْلَمُونَ
    Na wanapo ambiwa: Aminini kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo amini wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu, lakini hawajui tu.
    Sura 2 - Aya 18
    صُمُّۢ بُكْمٌ عُمْىٌ فَهُمْ لَا يَرْجِعُونَ
    Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea.
    Soma Hio ndacha.

  • @salumuhamza
    @salumuhamza Рік тому

    Ndacha utatoa jasho sana maana umependa mwenyewe kujitesa kwani ukweli unauona lakini unajidai hujaelewa

  • @minhajsahal4467
    @minhajsahal4467 Рік тому +2

    Nauliza Ndacha swali Kwa kupitia Ndugu yetu Ramadan kuria.
    "Kwa Nini yesu alipaa(alienda) na mwili aliyoichukua hapa duniani kama alirudia uungu(ufalme) wake?"
    Please nataka hili lijibiwe

  • @Sal.0
    @Sal.0 Рік тому +3

    Pesa za SDA, yam sumbuwa Roho ya Ndacha!😒😒😅

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Рік тому +1

    Ndacha silimu, acha ubishi hauna faida. Moto ni mkali sana. Kiburi sio kizuri. Soma uelewe ndacha sio kujibebesha itikadi tuu

  • @jamalshabani1293
    @jamalshabani1293 Рік тому +1

    Kiburi ya kutafuta riski

  • @salimalriyami7654
    @salimalriyami7654 Рік тому

    Sheikh wangu, kifupi ndacha mnamvuta hajijui🌻ndio maana wakristo walimvunjia spika zake,, maana anajichanganya mwenyewe,. Mpe kibano huyo dini yahaki anaijua ila ubishi wakutafuta posho ipatikane.

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 Рік тому +2

    Huyu Ndacha ako na Comdie nyingi sana!
    Ati Yesu ali kuwa 'mwanzo wa Viumbe'????
    Si hii ni Comedy!

    • @Sal.0
      @Sal.0 Рік тому

      Comedy na UWONGO mwingi kwa sababu hawana ELIMU yeyote!
      'elimu' yao ni kile wame fundishea na Ma Boss wao kutoka SDA, Merikani!

    • @thimaathman7002
      @thimaathman7002 Рік тому +1

      Sasa yy anakataa kua yesu aliumbwa Kisha anasema alikua mwanzo wa viumbe
      Maana ya viumbe sinivilivyo umbwa
      Amechanganyikiwa kweli

  • @adonsiz9564
    @adonsiz9564 Рік тому +1

    Isiah 44:24 ni haki lakini ndugu pastor analenga juu ya kiburi.

  • @mrok284
    @mrok284 Рік тому

    بسم الله الرحمن الرحيم
    قل هو الله احد. الله الصمد. لم يلد ولم يولد ولم يكن له كفوا احد.
    صدق الله العظيم

  • @iankibet3207
    @iankibet3207 Рік тому

    As a true Christian it is true the issue of the trinity is a scam. I am with ndacha mwalimu

    • @abcfisheries2865
      @abcfisheries2865 Рік тому

      Ndacha is NOT a mwalimu!
      He just a SDA trained Clown with zero real knowledge!

  • @ndikumanaamadi2105
    @ndikumanaamadi2105 Рік тому

    Ndacha anatetea imani pasina mandiko Allah akuongoze

  • @maherzain615
    @maherzain615 Рік тому +1

    Ndacha yuwafaa kazi ya uwakili hata ukashikwa umeuwa red100 huwezi fungwa kama ndacha niwakili wko😂😂

  • @singanoatanasi1994
    @singanoatanasi1994 Рік тому

    Ndacha apo unapambana na kejei za shetani macho ya rohoni ni muhimu sana

  • @aminaoman2100
    @aminaoman2100 Рік тому +1

    Kupaa ni kushuka nakupaa 🤔 kama kiswahili tu nishida sasa maandiko ataelewaje mungu amuongoze naatujaalie sote mwisho mwema 🤲

  • @mohamedissack69
    @mohamedissack69 Рік тому +1

    Asalamu aleikum warahmatulahi sheik Ramadham may Allah bless u spread yhe truth