Ramadhani ameelemewa na ukweri wamaandiko nahuondio ukweri barikiwa mtumishi ndacha kingine nimependa huyo ramazani nimuelewa amebakia ubatizotu sio kama hawa mashehe wahuku Tanzania wanakejeri watu katika dini hakuna ukweri wowote ndani yao
Hivi mwalimu mbona lakini hata kwa mwanadamu aliye mfano wa Mungu nkimtizama naye pia ana utatu na haifanyi huyu Mwanadamu kuwa wanadamu3 kama vile utatu kwa mungu haifanyi Mungu kuwa watatu3???Nauliza kujifunza wala sio kwa ubishi au kupinga mada tafadhali na Na nmeokoka Yesu ni Bwana na mwokozi wa roho na maisha yangu Amina 🙏
Actually nimejifunza mengi sana kwa jinsi Ndachi alivyoelezeya uhusiano wa Yesu na Baba yake. Kadri alivyojitahidi kuelewesha Ramadhani, mimi nilikuwa namuelewa vema sana. Ile point aliyoinena kuwa tumezaliwa kwa Neno ila Yesu amezaliwa halisi ni kitu nimejifunza.
Hongera ...ustadhi Ramadhaa....ndacha one on one is finish .....usifiche ukweli ndacha
May the Holy spirit guide both of you to find the truth always.
Blessings to you brother Ngacha
Asalam alykum www thanks sheikh Ramazani mungu ni umoja ni special si binadamu azayi awo akuna anawofanana naye
Hahahaha ndacha amepatikana
Ndacha uko sawa.
Ndacha sheikh Ramadan Ameelwa hadi anasema kwende aya ya mwisho
Ndacha hataki kukubali yesu ni mungu
Ametoa jasho mpeni kijitambaa akajipanguze hapo ni kiti Moto sio barabara vile amezoea 🔥😂😂
Ndacha😂😂😂😂😂😂😂pole tafuta rizki kwa njia halali ....si kupoteza innocent christian s ...
Ndacha amepatikana 😂😂😂 ramadhani ni msomi alitoka ukiristo he was not fool ....
Kweli ndacha ni professor kwa uwenzo wa Mungu
Ramadha .....is learned man who was preaching Christianity ....he reverted to islam not for jokes ...elimu ni mhimu
Mm ningekua muislam leo ningeachana na nifuate ukristo
Kuria anahepa maswali na kutetea Allah na google
Ramadhani ameelemewa na ukweri wamaandiko nahuondio ukweri barikiwa mtumishi ndacha kingine nimependa huyo ramazani nimuelewa amebakia ubatizotu sio kama hawa mashehe wahuku Tanzania wanakejeri watu katika dini hakuna ukweri wowote ndani yao
Hivi mwalimu mbona lakini hata kwa mwanadamu aliye mfano wa Mungu nkimtizama naye pia ana utatu na haifanyi huyu Mwanadamu kuwa wanadamu3 kama vile utatu kwa mungu haifanyi Mungu kuwa watatu3???Nauliza kujifunza wala sio kwa ubishi au kupinga mada tafadhali na Na nmeokoka Yesu ni Bwana na mwokozi wa roho na maisha yangu Amina 🙏
+254705602959
Ndacha tumia akili hata kama huna elimu...yesu alikuwa kwa tumbo ya mariamu ....maliaka Gabriali apewa idhini na mungu
ndacha usikubali tena akuletee mifano ya kibinadamu na elimu yao ya msikitini shida ya waislamu ndio hio tu wanaelewa mambo kibinadamu
Shida ya Ramadan ni uelewa tu na ubishi akiacha hilo na akubali maandiko yaseme Niko na uhakika kubatizwa atabatizwa
Mpaka lugha unafundishwa .....ndcha ungesoma ...hata form 4 atleast
Actually nimejifunza mengi sana kwa jinsi Ndachi alivyoelezeya uhusiano wa Yesu na Baba yake. Kadri alivyojitahidi kuelewesha Ramadhani, mimi nilikuwa namuelewa vema sana. Ile point aliyoinena kuwa tumezaliwa kwa Neno ila Yesu amezaliwa halisi ni kitu nimejifunza.
Muulize uyo shekhe quroan sulatul al-imlan aya ya 49 yesu aliumba kwa yeye ninani na nimwanadu gani mwenye kuumba?
Chenga tupu hapaa, huwezi kulazimisha Biblia itafsiriwe Kama Quran .🚶🚶
Ndacha utawacha nini kutetea uwongo
Ramadhan muongo anaye wapoteza wanyonge wasio jua wala kuelewa chochote
amezoea kuhoji jehova wanyonyi apa akuna kuruka
Finally what i have been praying for kimefika😂😂😂 nilitaka Ramathan apatane na Ndacha....Ramathan abatizwe tafadhali
Hiyiu alitoka ukiristo ....si alikotoka hiv hivi ..alisoma
We kweli mwalimu umemfundisha vizuri uyooo mpotoshaji ambaye siku zote ujadiliana na watu zaifu jimwambafai sasa kwa mwalimu mwanzako
WAISLAMU ni WAJINGA ndio wanaangukaga mitihani kwa jutoelewa. UJINGA iko kwa uislamu very STUPID