TATIZO LA KUSHINDWA KUTUMA AU KUPOKEA SMS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • Kumekuwa na malalamiko mengi kwa watumiaji wa simu kushindwa kupiga au kupokea simu au sms angalia hapa mwanzo mpaka mwisho

КОМЕНТАРІ • 21

  • @user-vc1mc5lr1m
    @user-vc1mc5lr1m 5 місяців тому +1

    Asante 🙏🙏 sana ndugu nimefanikiwa kutatua tatizo langu kupitia mafunzo Yako barikiwa sana

    • @Joakimworkproduction
      @Joakimworkproduction  5 місяців тому

      Unaweza kushare na kwa wengine waweze kupata suluhisho hili kwani hii Ni njia pekee ya kuwasiliana Kati ya Mimi na wewe na baadae na yule. Ambaye hajaona video hii asante

  • @DeejayGOMBOUtawauwaTz-yq7ci
    @DeejayGOMBOUtawauwaTz-yq7ci 8 місяців тому +1

    upo vizur sana kaka nimesevu simu yangu kupitia maelezo yako upo vizur sana boss

  • @user-wg3qi5gm3c
    @user-wg3qi5gm3c Рік тому +2

    Simu Yang ni kubwa inagomaa kutuma message

    • @Joakimworkproduction
      @Joakimworkproduction  Рік тому +2

      Asante sana natumaini utakuwa umeelewa namna ya kutatua tatizo Hilo kwa msaada zaidi piga simu namba- 0754465961

    • @Joakimworkproduction
      @Joakimworkproduction  Рік тому

      Thank you subscribe in my channel

  • @EvarEdward-hl4vu
    @EvarEdward-hl4vu Місяць тому

    Jmn samahan me tatizo langu nikitumiwa sms hazifiki kwa mda au hazifiki kabisa, naomba nisaidie please nifanyeje

  • @Ruba_da_gama
    @Ruba_da_gama 3 місяці тому

    Hii kitu imenisaidia leo hii. Shukran

    • @Joakimworkproduction
      @Joakimworkproduction  Місяць тому

      Asante Sana kwa kutambua mchango wetu. Unaweza kushiriki video hii kwa watu wengine ili nak waweze kusaidiwa kupitia video hii
      #from the @author fn: joakimwork productionservices

  • @kingnyamafutv8646
    @kingnyamafutv8646 7 місяців тому +1

    Tatizo unaongea sana mapicha picha mengiii

  • @zamukahemele1505
    @zamukahemele1505 5 місяців тому

    Mm ninasm kubwa ila nikituma inanambia trable sending. check option

  • @masuatz1249
    @masuatz1249 4 місяці тому

    Cm Yangu Aipokei cm wala masaji