Sasa broo mim Kuni code nilibonyeza kutoka mtandaoni nimezisahau ila nikipigiwa wenginenwanasema mda wote wakinipigia sim inatumika nawakati siongei na sim nifanyaje ?
@@IfahamuTeknolojia yani naitaj code ambayo me nikiwa naongea na mtu kwenye sim af mda huo huo mtu mwingine akanipigia.sa sim yng aionyeshi kama kuna mtu mwingine ananipigia ivo nd naitaj iy code
Hongera kwa kazi nxur kaka❤
Pa1
asante sana broo kunajamaa alitaka kuniibia akajifanya yeye wakala akanambia nipige *33*0000# nikajifungia bilakutarajia shukran broo🙌💯💯💯💯
Pa1 ndugu
Ubarikiwe kwa somo zuri
Aamiiin, pa1 🙏🙏🙏
nashukuru sana Kwa kunisaidia,niliifunga laini yangu nikashindwa kuifungua lakini ulipofundisha nikaifungua, Asante sana
Pa1 ndugu
Kaka embu nilielekeze mbona me sjui kaka
Yangu imefungwa na mtu nisiemjua Ani simu nikipiga haziendi kabsa
Maelezo yamenyooka. Safi sana
Pa1 🙏
Daaaah kaka Asante sana
Pa1
safi mani
Pa! Mzee 🙏🙏🙏
Naomba unitumie iyo pro ya wondershare
P1 sanaaa kiongozi
🙏🙏🙏
Asante sana
Pa1
Unyama sana
Pa1 sana mzee
Nimekubali weng walikua wakinidanganya kwasasa nikukufatilia sana
Pa1🙏🙏🙏🙏
Bonge la elimu🙌👏👏👏👏
Pa1 sanaaa
wamenitapeli nikajifungia kupiga sm na kutuma sms nifanyeje?
#33*0000#
Je ukitaka kujiondoa kwenye huon mfumo
Anza na reli
Naomba no. Nnashda
Namba zipo kwenye hiyo hiyo video, anyway,
0716494444
0736494444
Mwanang we noma asante sana sanaaaaaa
🙏🙏🙏
Kak sm yang imejifunga nimejirog nimedanganywa please
Natumai ni wewe uliyenipigia nikakuhudumia boss wangu
Mi nikipig inasem huna salio la kutosh mi nilitak ifany call ended isisem mambo ya salio hamn
Tazama video hii👇👇👇👇
ua-cam.com/video/dJTBjS4vFH8/v-deo.html
@@IfahamuTeknolojia
Mm Naomba kuuliza . Code gan unatumia kuweka ktk cm yako mtu akipiga iite tu lkn kwangu isiingie call zake ?? Naomba Nifahamishe
In progress
❤❤
Pa1
Hallow mr
Hello
Kaka kumblock mtu kwenye kibatan cha nokia asikupigie wala mesej zake zisiingie unafanyaje?
Je hiyo simu yako ina sehemu blacklist? Nichek WhatsApp 0716494444
Code ya 35,iliniponza sina hamu nayo...ni miezi 6 sasa,sipokei incoming yoyote,sina hamu nayo......mtandao ni ttcl
Kwani uliweka bila kujua, na je ushafahamu namna ya kurejesha mawasiliano?
bonyeza #35*0000# kurudi hewani..
Calvin Kitare hapa
😮😂😂😂😂😂
Chief naomba namba yako..,
0716494444
Sasa broo mim Kuni code nilibonyeza kutoka mtandaoni nimezisahau ila nikipigiwa wenginenwanasema mda wote wakinipigia sim inatumika nawakati siongei na sim nifanyaje ?
Je ni muda inakuwa hivyo?
Kwenye halotel je
Jaribu hivyo hivyo,, Kama inagoma tumia manual setting, tazama video hii👇👇👇
ua-cam.com/video/dJTBjS4vFH8/v-deo.html
Good
Pa1 🙏🙏
Artell mbona haikubali
Natumai nishakusaidia
Inakuaje kwenye tigo na halotel
Tigo ndo mtandao ambao huduma hizo inakubali fasta, je ni huduma gani kati ya nilizoelezea hapo unataka kuitumia kwenye halotel?
Apo kwenye namba ikitimia itakua inaita bos au
Ndio, utakuwa umefoward
Je akinitfuta ntajuaje sasa
Huwezi kujua
Kwel kbx
Naomba namba yako
0716494444
Nifahamishe bc kule whatsapp
Hy baba nakusoma
Kaka mm nataka kwa mtu mmoja tu akinipigia ambiwe sipatikan
Hiyo hakuna labda utumie blacklist
Sharifa nitafute
Unaweza?@@AbuuAlly-fg5df
Ukimpigia mtu simu akipokea uwezi kukata screen haiwaki mbaka akate yeye
Cjakuelewa boss,
Apo cm yako mbovu
Me nataka nisaidie mtu akipiga nisiwe napatikana ila sms napata za mhusika
Ndugu, tazama vizuri video hii hii ndipo nimelielezea swala hilo
Mi nataka simu yangu isitoke yani isiwe inapiga simu
*33*0000#
Nitumie namba ako kaka
Namba ipo hapo kwenye video mwisho 0716494444
huduma hii bado ipo
Nimeelezea nyingi, ni ipi hapo
Kwa sasa hii haifanyi kazi😓
Ipi haifanyi kazi?
Unyama nimwingi sema hii code nitigo navoda tu
Hata airtel pia, ila baadhi ya cmu zinagoma
halotel jaman tunafanyaje
Nipigie kwa maelekezo zaidi, 0716494444
Acha usenge wewe unazunguuuka eleza mara moja usiwe na mboyoyo
Sawa boss
Mambo yako vip tz broo maomba unitumie number
Namba nimeiweka kwa video hiyohiyo, anyway 0716494444
Nataka nipokee sms.tu
Cjakuelewa boss, hujaelezea vizuri
@@IfahamuTeknolojia yan nataka sms ziingie afu simu ispatikane
Brother mm nimeibiwa cm yng
Je wataka kuitafuta na kuipata?
Mbn mm nime jarb ika ita
Labda umekosea maelekezo, umefanyaje?
Mada pendwa kaka
Pa1 kaka 🙏🙏
Me naitaji code ambayo inaonyesha kama unaongea na sim afu ukapigiwa
Cjakuelewa ndugu
@@IfahamuTeknolojia yani naitaj code ambayo me nikiwa naongea na mtu kwenye sim af mda huo huo mtu mwingine akanipigia.sa sim yng aionyeshi kama kuna mtu mwingine ananipigia ivo nd naitaj iy code
Hiyo cyo code bali ni setting kwenye cmu, naweza kukupa mwongozo kwa WhatsApp 0716494444
@@IfahamuTeknolojia ok saw
Ukitaka kutoa utatoa aje bro
Anza na #
Je kumu hki una fAnyje
Kufanyaje?
Airtel je
Ni hivyo hivyo pia
Naitaj kujua kudaivert
Tazama video yangu nyingine yenye title inayofanana na hii
Kuzuia SMS zisiingie tigo
Ndugu, itazame vizuri hiyo video nimeelezea kuhusu kuzuia msg
safi broo
Pa1 mzee 🙏🙏🙏