hi I ni namna ya kutatua tatizo la simu kushindwa kutuma au kupokea sms malizia video hii hapa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • hii ni namna ya kutatua tatizo la simu kushindwa kutuma au kupokea sms malizia video hii pale UA-cam Uongozi wa joakim work production academic training services tunayoheshima ya kukukaribish mlezi/ mzazi kumleta mwanao katika kituo chetu Cha kutolea huduma za kitaaluma kwa program ya PRE- form one.
    Masomo yatakayofundishwa ni pamoja na history, physics, biology, kiswahili, civics, chemistry, English language na geography. MKAZO UTAKUWA KWENYE masomo ya sayansi na masomo ya LUGHA.
    ADA NI nafuu Sana.
    FOMU za kujiunga naasomo hayo zinapatikana katika ofisi zetu zilizopo matamba.
    Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu namba: 0754465961/0785060926
    KARIBU SANA

КОМЕНТАРІ •