Huyu jamaa safi sana anajituma aisee na kwenye game sasa hiv wasanii waliopo chini ya label yake ndo wapo hot wengineo watabidi wasubirii tuu hi jbebe ipoeeee
Watching from HongKong...kudos to wasafi trending every week...the talented Mbosso's star is shining...hit after hit...Diamond anafanya kazi nzuri kukuza vipawa hivi..bila kumsahau lavalava...nawatakia mafanikio kwa yote mfanyayo kutuburudisha Wakenya na jamii ya East Africa kwa jumla..very impressed by Wasafi Records!..keep it up!
I don't care if we started dating 3hrs ago..... I can't live without you ..Huu ni ujumbe kutoka wa Crush wangu baada ya kumchezea huu wimbo... From Kenya🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
Diamond is a hit maker, sings in Swahili and jibberish and still mints 💰. Don’t care for his personal life but in business he’s doing a fantastic job. Well done. Love from Ireland xx
Nalivyo jaza nyuma fungo mbili 😂😂😂 mbosso ipo siku utakuja kuniua ❤ nalingi bino depuis le pays de l’aigle 🦅 fally ipupa.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 2024 kozala kaka awa.
My primary school Kiswahili teacher lied to me she knew Kiswahili she was just saying neno hili liko katika ngeli gani? kumbe hana habari sasa jibebe ina maanisha nini?
My favorite song since kitambo❤❤❤ gonga like kama ni shabiki mkubwa wa wcb na simba platnumz🎉
Wa tanzania kama umependa gusa 👍🏻 kisha tujihesabu
Waliokubali hili bonge la Hit🔥from WCB 5years ago wapi likes 👍 zenyu hapa😊
Nataka kwenye pacha pachu nan wapo 2024
Wasafi would make you think TZ has no other artistes. Mlitumaliza na Kwangaru sasa ni Jibebe...Simba na Washiriki kazi yenyu iko juu...🇰🇪
of them all Mbosso kill it
TRUE.. HE IS making East african artist look like back up singers,,
Trevor Thagicu . kweli aise
+254 mko wapi jamani.... Ngoma kali sanaaa yaan WCB 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tuko
Huyu jamaa safi sana anajituma aisee na kwenye game sasa hiv wasanii waliopo chini ya label yake ndo wapo hot wengineo watabidi wasubirii tuu hi jbebe ipoeeee
This song fuelled my interest to learn kiswahili . What a song Tanzania are lucky to have WCB
sijui hii nyimbo mnaiupdate kila siku, maana kila nikisikiliza naiona mpyaa WCB for life
Calanka Somalia 🇸🇴 Hadaad ku Dhimato Halkaan Ma dhaafi doontid ismuujiya 🇸🇴🇸🇴🇸🇴❤️🙏🏾
🇸🇴🇸🇴🇩🇯🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Congrats Wasafi. You kidnapped east African music industry. U make us believe there is no other artists in Tanzania.
Big salute from Rwanda
Unaji
@@franklameck2136 what is the meaning in English of *unaji?
East Africa namber one all time
Diamond has a unique way of dancing,,yaani jamaa ata akiamua afanye Odi Dance ya Kenya kuna vile ataongeza fravour..
Hii video kawaida sana tuache chocha audio iko juu kuliko hii video
charles Ndungu ....kenya dance is the best..u guys sing n let 254 do the moves....manze its gonna be liiittttt
Flavour*
@@milkanjeri4958 no no lies
Facts he makes simple dance moves fun to watch
ليالي دهراب 💃🏻
كلنا 😂😂😂
اني هم 😂👌🏻
انت ولد
انا 😭😂من ليالي
حتا انا
GOOD JOB WASAFI....coz JIBEBE is a big tune in Kenya and we....LIKE IT
Wale watu tuliosikiliza hii ngoma 2023 naomba like zenu hapa 😢❤❤❤😢😢😢
::
::
Kwahiyo NDo unapita Bila hata like au 😢
Me yes
😂
Afu mbn kama backup za kike aliingiza zuchu vile
😂
Iko fresh
Watching from HongKong...kudos to wasafi trending every week...the talented Mbosso's star is shining...hit after hit...Diamond anafanya kazi nzuri kukuza vipawa hivi..bila kumsahau lavalava...nawatakia mafanikio kwa yote mfanyayo kutuburudisha Wakenya na jamii ya East Africa kwa jumla..very impressed by Wasafi Records!..keep it up!
Hey
@@catendinda6000 hey
Wasafi duuh..hili bebe silichoki namini hii ndio imevunja record kwenye simu yangu kuisikiliza mala nyingi hi ngoma...🔥🔥🌟🌟🌟🌟🌟
Nani wakumpondua daimondi
team yng ya ushindi ya kila siku nasemaje WCB for life.. kama na ww ni team WCB ngonga like kama zote hapa
Roshinge family reo kimekaamua nisikirize goma pamoja sana ndugu zangu
Ata Kama sielewi kiswahili hii wimbo imeweza mob love from 254 watu wangu lavalava😍
Yester day i went to buy a speaker n a Lg shop n Qatar i found Arabs playing n enjoying this song i was surprised men big up Diamond
Jirani zetu TZ nawapenda Sana Kwa nyimbo nzuri na umbea East Africa kombe ni lenyu 👌 I like it
noma noma mkali wangu chibudii chibudenga all the way from wasafiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
No one is talking about MBOSSO'S verse🔥🔥🔥
its a killer verse!
✌✌✌✌✌
Moto Fire 🔥🔥
hes my favorite east african act anyways.
this one is dope....how i wish harmonize was included...kama unakubaliana nami weka like..
...aki I LIKE IT...
From Mauritanie 🇲🇷🇲🇷🇲🇷 ,live 🇧🇪🇧🇪🇧🇪, je suis première fans de Diamond Alay gué
Majakow
🙂🙂🙂🙂🙂👉😍😍
I don't care if we started dating 3hrs ago..... I can't live without you
..Huu ni ujumbe kutoka wa Crush wangu baada ya kumchezea huu wimbo...
From Kenya🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
Safi Sema nn
😂😂😂
Acha we brobox
😂😂😂😂😂😂
Hahahaha umetisha much love
From south Africa watching this hit song again in this year of 2024 still this song sound like today song...
😅 hi ibjoiihoooiuii
Iko pw sana ❤
22 March 🎉🎉🎉
❤❤❤❤ from 🇰🇪
Nani amegundua lavalava ameua apo ?gonga like twende kazi ,oyiah jibebe bebe
Somalia 🇸🇴 in tha haus we love you Demondy platnumz go forward Bro
THANKS
DEMONDY PLATNUMZ lol🤣🤣🤣
@@harmonicanegra9963 😫😂😂😂
@@harmonicanegra9963 😂😂😂😂🙌🙌🙌cheza chini kaka
@@harmonicanegra9963 cheza chini Kaka anyways love to my other east Africans 🇩🇯🇸🇴
Diamond is a hit maker, sings in Swahili and jibberish and still mints 💰. Don’t care for his personal life but in business he’s doing a fantastic job. Well done. Love from Ireland xx
Kev
Vp
❤❤
This song never get old for me😊
What a hit oohh Gosh! unconditional love to platnumz. if you are dancing this song like me show your up thumb @Rwanda
From Nigeria 🇳🇬
Don't understand one thing they're saying, but absolutely love this song! Great visuals too. 👌
Diamond means Lion, Lavalava means love bite, Mbosso means mbosso khan and Jibebe means put your like down there👇👇🤣🤣🤣
@@officialkassimu7791 Hhhhhh
Same her and imagine I am from Kenya
Same here
Am From RWANDA, aise huu wimbo ni kwikwi kinoma-noma naipenda sana lugha ya Swahili
Tuko pamoja tujivunie vyakwetu swahili ni rungha ya Afrika.
2023 we are here....Huyu lava lava ako na talent sana... he's the one who killed in this collabo...hao wengine ni neema tu
The melanin queens in this video are something to behold😍😍😍,quite a satifsying video.. WCB4LIFE.. LOVE FROM KENYA🇰🇪🇰🇪
Amazing
fanya wainama kisha roteti😛😛baby njonjo 2024 nani ako hapa
Tuko hapa
Uryt
🇰🇪🇮🇶🇰🇼🧑🚒 2:23
Am here baby.
Waoh I like it... jibebe 😊
nipo na konyagi yangu hapa narudia mara kwa mara nimesikiliza mara 1000 lkn bado na jibeba hapa
GQTVONLINE nakubaliii mm mara 36000
usizidishe mzee
GQTVONLINE haha
EBWANA MAFUNDI NDO HAO ACHA WATAMBE WATUBUDISHE JIBEBE
😂😂😂😂😂
tunao pokea hii goma Kwa 2025 tujuane apaaà ❤
Who else enjoying and can't get enough of mbosso's verse?? Well Niko hapa najibeba tu!
Eve K hataree!
Mbose got sex voice and he really knows music
Aicher fo Aisha Mbosso named mi hulalalla
hawashindwi haoooooo penda sana
#Mbosso nipepee.
penzi letu nikama biskeli bomba mbele piaa
I lk the verse
Team wasafi toka kenya gonga lyk twende sasa...... Team wasafi, 🔥🔥
Ndaani👌
Sumenki vibnim 💕⛱💝
Mbosso killed who is with me🎵🎶🎧〽
Mint hill
That's true
Absolutely
Nalivyo jaza nyuma fungo mbili 😂😂😂 mbosso ipo siku utakuja kuniua ❤ nalingi bino depuis le pays de l’aigle 🦅 fally ipupa.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 2024 kozala kaka awa.
من طرف ليول 😭♥️♥️
انا❤️❤️❤️من طرفها
ونا😭😭💔
حبيييييت اغنيه 😂😂
🔥 🔥......hii ngoma unaweza kula na UGALI .😂😂😂😂
😃😄😃😄😃😄😃 na ugali hata wali pia
Abdallah Mtonda tena unaweza kula hata na wali
😂😂😂😂
😀😀😀😀😀😀😀😀 abdalla.. umevunja lecod
Hahaaa sounds like a typical kenyan
Diamond mweny ana like it why ww sasa usi like twende sawa
Diamon was the most famous of the most
Perfect song good from Kurdistan Region 💚☀️❤️
From Tanzania 🇹🇿🇹🇿 if you love this song , give me like
The song that made me sneak with a phone in highschool just to listen to it. Enjoying it till now
Uko na ushamba funny gal 🤣🤣🤣
@@xanderchampagne 😂😂
Lava Lava did this song justice. He had the best verse by far
Mboso killed it for me 🫡
This song remind me one of my gf from Kenya living in saudi arabia suggest me this song.
From Sweden 🇸🇪
East Africa to de world 🌍
Simba mbosso lava lava keep going from 🇸🇴 we luv 🇹🇿 2
I lk it
Much love diamond 💎 ❤👑
We
Jejj
@@edrisyusuf7317 qahdhrjd
Azisj
Slwlkkw
Kali sana kama unaniunga mkono wapi like kwangu ...#ilikeit from Kenya 😘😘😘😜
Kevin Franco basi kutoka Kenya +254 na Mimi ni +252 kutoka somalia. Sio
Listening from Turkey 🇹🇷 Afghanistan 🇦🇫 😍
Halaf nashangaa mbona ukitaka ku like haitak 😮😢😢
jibebe classic. toka kenya n wako kiangishiri mafia
bonge moja la ngoma,daaaaah! mond na mboso mmeuwaaaa kinoma jmn wasafi for life 🙌🙌🙌
this is playing in all clubs in Nairobi. ✨🔥😍
Kasauti ka hamisamobetto kananiosha🥰😘😘🙌🙌🇿🇲
I was here within the first 5 minutes of this video being uploaded! WaKenya gonga like hapa! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My primary school Kiswahili teacher lied to me she knew Kiswahili she was just saying neno hili liko katika ngeli gani? kumbe hana habari sasa jibebe ina maanisha nini?
ralitsa ritakuli 💞
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Watu wa Abroad wangapi wamewait hii Jibebe video kama mimi,I like it,Team WiFi gonga like Naujibebe💪💪
Akinyi Teckler hi
Akinyi Teckler nitumie message Kwa WhatsApp+254721856601
ngoma Kali sana
nawakubali Sana wcb
I lyk it too...
chibu dangote salute ,,,sema ungeiweka kwenye chanel yako tungeua uku views wanachelewa bhana
kruverth Masanula kweli ingekua kwa chanel yake ingekua inakaribia M saiv ila ngoja hata kina Mboso awainue hivo
JIBEBE KATUNI HII....Angalia ukipenda SUBSCRIBE..NAOMBA SUPPORT YAKO PLEASE ua-cam.com/video/bPaJ9Y7l5z0/v-deo.html
Diomedes mtayoba true kazingua kinoma noma mara ya kwanza aliweka kwenye channel yake ikapita kama 10 minute akatoa
Eeeh bhana we 2023 ..hii nyimbo imenikumbusha fall kdogo 2018 naishi na wazungu from Manchester England kule bukoba
I am Nigerian and i speak seven languages when it comes to music Swahili is the best Diamond Yako Sauti ni Tamu keep it up.
Thanx
Tatizo Ngoma imegoma Kutoka ON TRENDING 😐💪✔✔✔✔✔
Naseeeeeemajeeee.... Hiii kituuu ni Hot, Maaana mi Nipooo Jamaica Hukuuu Na Kiswahilii Sikijuiii Lakiiini nimeilewa Ngomaa. Maraaaa naskiiia "Ulivyoo Jaza Nyuma, Funguuu Mbilii Ndioo Nin Jamaaany Its Xo Funny Kwaa kwelii. Luv yu Tanzaniaaa Karibuniii Jamaica Hukuuu MALIMBE Kwa Ndanii ndanii Karibia na SAUT😍😂😂🌋
apo sawa waseia imeweza sana
hahahaha yaani ww ni pumbavu kabisa upo Jamaica Kiswahili hukijui vzr lakini umeandika hichohicho tena
Wa gwaan tuko wote Jamaica jimbo la nyegez kona hahha
@@petersanga4167 hahahahaha fala sana jamaa
Medxon Dascapital hahaha😀😀😀😀👍
Navyo upenda huu wiimbo wueh 2024 still a hit song
From Bahrain 🇧🇭 Tanzania is my beautiful country 😘😘
#JIBEBE.....daaah ngoma motoo...WCB for life +254 ndanii
JIBEBE KATUNI HII....Angalia ukipenda SUBSCRIBE..NAOMBA SUPPORT YAKO PLEASE ua-cam.com/video/bPaJ9Y7l5z0/v-deo.html
kiukweli hii teams kari sana mondi mungu anakuona unatukosha najua bila ww no wcb live more
Proud to be east African .were my fellow east African's .na WA Arabu wanasema nini
1:05 Mbosso 🤤🤤🤤
Everything Diamond touches becomes magical. To me this is his best ever song. Made it look so easy, its not fair!
mi nikujibeba beba tuu😂😂😂😂 mbosso❤❤
Poa
You mean the best of obscene lyrics?
Take the words out sounds great but best naaaaah
@@khalekichambo1131 you don't like him, do you? 🤭🤭🤭
@@PatrickManoah in fact one of my favourite maybe swahili is not your first language to write what you wrote 🙄🤦♀️
Jibebe kweli haswa jibebe 2020 from Tanzania 🇹🇿😋🎼🙏😍👍 gonga like kama zote kama unapenda muziki wa bongo
Nc
Diamond is the best of the best
@@paulmalamba7320 we bado upo mzee nime ona 2 day 😂😂😂apa
Kwa lizaa yangu bila kushawishiwa na mtu najivua nyasifa zangu ndani ya RoCk star naungana na team wasafi kwa juhuzi wanazozifanya
Dogo Hemed hahaaaaaaa
Dogo Hemed karibia katika account yangu all akh ua-cam.com/channels/vBW-jkLLlGdtn3RzTNQogw.html
Jodas Entertainment andika vizur sijakusoma
Sawa bwana waitara
Salehe Innocent haya poa bwana mbowe
Oyaa Leo tumalize utata nani aliu kwenye hii ngoma huu ubishi uishe 2024
Lava lava
Simba
Simba
Lava lava
Great tune.issa banger.with love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
wcb mtabaki kua nyinyi 2 Tanzania mzima akuna Kama nyinyi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hongereni sanaaaa
Pia hongera zakipekee kwa Lizre magic finger
Iko bommbaaaaa mbosso nomaaaaa saaana
Najibeba leo
Mpaka wa leo this is my favourite walaii❤
من عند ليالي 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤️
زيي😔😂❤️
ههههههم😘🙏🇹🇿
I think Wasafi is the best record house in east and central africa
Musa Daniel
@@lucykiwango3869 nugu hii
Everything diamond touches turns to Gold
Here for Diamond platinum only 😅😅😅
I'm here team mbosso end lavalava🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Big up Wcb wasafi ngoma kalii mno 🔥🔥🔥
Wakenya ni JIBEBE si VEVE VEVE!... Great staff !! Hit like if u get it..
Haahahahahahahaha...wooooiii tuko na shida
🔥🔥🔥🔥 @ludice pale IG
I dont understand swahili but hii inateleza hata bila kupaka mate ✌️✌️
Lazzo Hahahaha
Form 4 wa 2018 ndo waliufaidi huu wimbo
The best East African artist of all times.. big up diamond platinumz
Benjamin Rusagara diamondisnot the best bu lilbaliil isthe best rapper in africa african
Canción maravillosa, tu voz se escucha en toda Libia. Sigue, eres el mejor 🇱🇾💪
احلى تحية لي ليبيا بلادي🇱🇾🇱🇾🇱🇾❤️
@@tahaabdo8170 مفقد ب
@@tahaabdo8170 نن
@@tahaabdo8170 نووووو
Love africa
Kama unawaonea ROCKSTAR HURUMA LIKE MAAN WCB SIO WATU WAZURY
Brighton Valentino hahahahahahhh!mwe! watajibeba
v
Ila mondi jamani acheni tuu ni mnyama saaaana hata kama watoto wanajalibu kubisha nae Ila hawataweza
From somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Jibebe daimond❤
Thanks for yhiu🖕✨💕💞💌😻💍🇪🇹🇰🇪💟😍👩❤👩💞💑👨❤👨👩❤👩👳🎅🌹🌷🎂🚗💒🏣🎶🎻📱👙
Mbosso
Jibebee mbosso 👌✌👍❤❤❤
No Tanzania
Sonkor
من استوري ليالي دهراب ❤️❤️..
Anae sikiliza hii ngoma mpaka saiv,like nyingi tafadhali 🙌🙌
Hapana
Yuko xaf
Hii imeweza sana
Umeonae wapo gudi ile mbaya yani 🔥🔥🔥
Brown Brown nawapendawate
MBOSSO :"Nipe chozi la chukuchuku ninywe bakuli zimaaaaa !!!"
TULIO KUJA KUSIKILIZA TENA SAUTI YA "I LIKE" KUWA NI HAMISSA MOBETTO BAADA YA INTERVIEW YA LAIZA❤😂😂😂😂
Mimi pia😂😂😂😂
Haha Mimi pia
😅😅🖐🖐🖐
😅😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hiv kuna media hazigongi ngoma hii pumbavu kabisa
Diamond
iam lavava
Mboso
Msumeno Justine Suhudia Motoo huu hataree gusa hapa
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
ua-cam.com/video/nDF6YZhNA98/v-deo.html
kama unaamini unajiweza kwanini uwaze kuhusu media zingine?
Aaah
Sema kichupa chakawaida sn vitu vinavyoimbwa na anavyocheza tofauti sehemu yakucheza wanawake wanacheza wao hamna maajabu kabisa...
Wapoteza watu hebu wasicheze waone
The collabo i have been waiting for.
Ulivyo jaza nyuma fungo mbili 😂😂😂 mbosso utakuja kuniua siku moja. Nalingi yo depuis le pays 🇨🇩 de grand aigle 🦅 fally ipupa.