ASHUKURIWE MWENYEZI
Вставка
- Опубліковано 3 лис 2023
- Waimbaji: Friends of Eddo
Mtunzi: Ray Ufunguo
Audio Production: Essence Productions
Video Productions: RAJO Productions
Organist: Ray Ufunguo
Kwa upendo mkubwa tunapenda kujitambulisha kwenu kama ESSENCE Productions kupitia kazi hii ambayo tumeshiriki kufanya Audio production.
Kwa Malezi mazuri kabisa ya kufanya Production tunajivunia kwamba RAJO Productions imekuwa sehemu ya familia hii.
Tunapoianza safari hii, mtupokee na tunawaahidi kazi bora za kiwango kizuri.
ONYESHA UPENDO WAKO KWA KUSUBSCRIBE, KUSHARE NA KUCOMMENT.
Mungu aendelee kutubariki sote.
My favorite song of January 2024. Big love from St. Marry Catholic Church North Carolina United States. 🇨🇩🇺🇸
God bless you 🙏 be blessed
❤@@Essence_pro
This is the best song I’ve listened to today!♥️♥️
Hongereni sana👏👏👏👏
Thank you so much my friend Anne 😊🙏 be blessed
Hongera sana wimbo mzuri❤❤❤❤
I'm a Catholic from Zimbabwe 🇿🇼
Tik tok brought me here❤
You're warmly welcome, God bless you Chiravirwa🙏
Sitachoka kuusikiliza Kila wakati nikitafakari mema ya Mungu kwetu 🎉🎉🎉🎉
A very good song. I wish it were a little bit longer🔥
Hongera kwa uinjirishaji
Asante sana na Mungu aendelee kutubarki sote 🙏
Hongera sana 🥰🥰🥰
Tunashukuru sana na karibu kwenye familia ya Essence Productions
This brings God closer tome
❤ Wimbo mzuri ajabu
Nice song, ashukuriwe Mwenyezi
mungu nakushukuru kwa mema yote, ushukuriwe wewe uketiye pahali patakatifu. ninalihimidi na kulitukuza jina lako
Amina 🙏
Waoooo I love the song! Proud to be Catholic for life!!
Young choir yet so powerful in voice production. You started so Well.
I wish you well in the future works.❤
Thank you so much 🙏
Sauti safiiiiii. Kongole kwa waimbaji. Nao fundi wa mitambo wameifanyia kazi safi. Zidini kutubariki
Hongereni sana kwa kazi nzr
Amaizing 🎉🎉 nimejikuta nalia tu mmeusemea moyo wangu ..be blessed🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇩🇪
God bless you Peace
From TikTok to here❤ groly to GOD ❤
Amen 🙏 God bless you Hekima 🙏
Ashukuriwe mwenyezi❤
Hongereni 💪🔥🔥
Nakushukuru sana mungu baba yetu wa mbiguni, mapenzi yako baba ni matamu na ya kudumu siku zote. Nakupenda yesu wangu. Amina
Amazing song👏🏻👏🏻mmetisha❤❤❤❤
Tunamshukuru Mungu kwa kuona vijana wetu wa nazidi kutubariki kwanyimbo zadini.Mungu awabariki.
Nice song
Waoooh i like it,,,hongera kwako bro Ray Ufunguo na wana kwaya kwa utume
Asante sana 🙏
Lovly song❤❤
Mpiga kinanda hongera sana kwa ufundishaj mzuri wa kwaya yako
Honger xna ray kwa kazi unayofany
Kazi Nzuri sana❤❤💯💯💯
Asante sana Prisca 🙏
We did it 🎉🎉🔥🔥🔥
Aisee Wimbo huu naupenda sana❤❤
God bless you
Hongereni sana kwa kazi nzuri❤❤❤❤
Asante sana kaka 🙏 tunashukuru
Daahh hii wimbo before itoke nzima watu tushafanya challenge kama zooted, 🙏🙏❤️🔥🔥🔥 hongereni Sasa sana.
Tunashukuru sana, mungu atubariki sote 😊🙏
Sure adi nikashika 😂
This is one of it's unique kind....
Hapa Bwana Ray umeweza and the entire choir...
The blending of voices100%
Pitching 👍
"Feeling blessed ooohh❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazi nzuri sana ❤
Kazi nzuri Essence 🔥🔥
Big thanks bloodline 😊🙏
We didi it🔥🔥🔥🔥🔥
As we agreed 😅🔥🔥
Kazi safi kabisa....God bless you all heko👏🏽 👏🏽 👏🏽 👏🏽 👏🏽 👏🏽 👏🏽
Amen 🙏
Ashukuriwe Mwenyezi🙏🙏Ngoma safii🎉❤❤
Be blessed 🙏
Even if I don't understand the language but God be praise, I love, play a thousand times, more love.
Hii ngoma ni kali kabisa😀🔥😁😁 kuna ngaleloo humo ndani moja
Baba ni kwere kwenyo 😅😂
Kazi safi. Hongereni washiriki wote. Special congratulations to Essence Productions 🎉🎉🎉🎉
Thank you so much Trizah 😊🙏 karibu kwa friends of Eddo 😊
I love Tanzania chiors but I am malawian
Katika yoteee kinanda 🫶🏻🫶🏻🫶🏻🙏🙏 mbarikiwe sana namuona Mc Uiso
Asantee sana 🙏
We did it😘
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🎼Tamu sana
Thank you so Atambo Jr 💪🙏
I listen to this song every single day since its release. May He be praised!
Amen 🙏
Very good song, very encouraging, God bless your good work
Amen be blessed 🙏
Wimbo mtamu sana
Hii imeenda
ileeeeeeeeee😅🙏
Kazi nzuri essence production we'll support, let's keep going
Big thanks @skyworld 🙏
Watching it from ticktock to UA-cam❤❤❤❤
Be blessed Lydia 😊🙏
Good job eddo,, congrats to the team👏👏👏
Thank you Anita, be blessed 🙏
Wow the best of the best❤
Nafalijika sana wimbo mtamu nnoo
Wimbo mzr nataman ninge kuwa miongoni mwao
Ray Ufunguo Jamani Unatisha Mungu Akutie Nguvu.
Nashukuriwe Mwnyezi!!!! Amen
Nizuri kabisa
Nice song can't have enough how I wish ray we can do a collabo
Wimbo mzuri
Asante sana
Good work @Essence production..This is amazing ❤
Thanks for listening and watch6😊🙏
Mtuongezee nyimbo nyingine nzuri zaidi❤❤
Zinakuja tukifika 3k subscribers 💪🔥🔥
Asante
Proudly Roman Catholic 🎉❤
Proudly catholic ❤🎉well done
Thank you so much 🙏
Everything here is perfect. Thanks @Ray for the great work
Wimbo mzuri sana❤❤❤
Big thanks brother 🙏
Oooh sifa na utukufu kwa Mungu
Only God 🙏
Wow🥰I absolutely love this song🥰
Be blessed 🙏
Napenda sana wimbo huu. Ray utunzi wako kila mara ni wa kusisimua, kazi nzuri waimbaji ❤
Asante sana tubarikiwe kwa pamoja 🙏
🔥🔥🔥🔥
Sichoki kuusikiliza hii nyimbo barikiwa sana watumish wa mungu🎉
Asante sana Frida, tubarikiwe sote 🙏
Wimbo mzuri sana naombeni mtunzi
Sauti mzuri keep up the Spirit
Thank you 🙏
Good song
Hongereni sana,,am proud t be RC jamanii uwiii❤❤
Tunashukuru sana Mungu akubariki sana na karibu kwenye familia ya Essence productions 🙏
Huu wimbo umeimbwa vizuri sana,
Asante sana kwa niaba ya waimbaji, Mungu atubariki sote
Proudly catholic for ever
Be blessed Judith 🙏
Wimbo mtamu saba
Nice song, nice voices, dress code wow
Be blessed Susan 🙏
Wow❤Ashukuriwe milele 🙏
Be blessed 🙏
From TikTok to here ,, a very nice song❤ forever a Catholic 🩷🦋
Thank you so much the support 🙏
Me too from Tik Tok...good voices ❤❤
Mungu aibariki kazi yenu na aibariki safari yenu ya mziki. Much love from Nairobi, Kenya
Thank you brother, James 🙏
Tamu Balaaa❤
Hongereni Tr. Kameja, mtunzi huyu hatari sana, I love your songs both of you.
Waoohh . So nice
Thank you so much Njeri
@@Essence_pro two days ago i was searching it in yoy tube not getting it. I was about to contact essence production but thanks lord finally the song is in youtube. Bless yoh gals muchnlove from kenya Nairobi
Tumsifu yesu kristo🙏
Milele Amina, karibu kwenye familia ya Essence productions 🙏
Nzuri❤
Thank you boss Abigael 🙏
I love this song. These Easters it rocks. From South Africa .
Be blessed Brenda 🙏
Be blessed Brenda 🙏
I can't get enough of this beautiful song. Angelic voices🎉🎉🎉
Barikiwa sana Stella🙏
Kweli shukrani kwako mwenyezi mungu.amina
Mubarikiwe sana namuzidi kutumikia mungu wimbo huu unatuliza moyo wangu,❤❤
Tunashukuru sana, Mungu atubariki sote 🙏
Nice song but very short indeed ucud have made it longer
This song is just amazing I can't play it 100 times
God bless Christine
I can't get enough of this song
Be blessed 🙏
wow angelic melodies keep it up and God bless you abundantly
Thank you so much christine 🙏
Asanteni sana kwa wimbo mzur
This song should be at 1 million views
Can't explain ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi safi sana the team, asante kwa kunipa wimbo wa kuimba Kila siku😍🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Na Mungu atubariki, enjoy Maria 🙏
@@Essence_pro asante🙏🏻🥰