Wimbo umeimbwa kwa hisia kali sana. Tancut almas ilikamilika kila idara.Nakumbuka licha ya baridi kali ya Iringa lakini kumbi zilikuwa zinajaa watu kibao. Daaah! Iringa nitarudi tena.Hapa Mohammed Shaweji alionesha uwezo mkubwa sana. Ameimbisha kwa sauti iliyojaa hisia kali sana huku Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa wakimuitikia. Mangala dance ilikuwa mangala kweli. Mwenyezi Mungu awapumzishe wanamuziki hawa kwa amani. Amina
Mungu sina la kusema Bali mapenzi yako yatimizwe,walaze pema wana tuncut Alimasi,sauti hizo na midundo hiyo havitarudi tena,kizazi chetu hakikuwa cha mitandao,hasante Mungu tujalie mwisho mwema tukakutane tena na wapendwa wetu,Bila kumsahau Baba Mama"Hamisi Dale"
Ohh,!Pili vibaya hivyo. Tuncut wanakulilia!,,Rudi basi hii 2024
.
Wimbo umeimbwa kwa hisia kali sana. Tancut almas ilikamilika kila idara.Nakumbuka licha ya baridi kali ya Iringa lakini kumbi zilikuwa zinajaa watu kibao. Daaah! Iringa nitarudi tena.Hapa Mohammed Shaweji alionesha uwezo mkubwa sana. Ameimbisha kwa sauti iliyojaa hisia kali sana huku Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa wakimuitikia. Mangala dance ilikuwa mangala kweli. Mwenyezi Mungu awapumzishe wanamuziki hawa kwa amani. Amina
Daa miaka inaenda nilikuwa namiaka 15 mangala densi
Bravo mabushi stars kazi nzuri mlifanya kwa kweli
Old is gold hairudi tena namkumbuka mtunzi wa wimbo huu Abdul Salvador father kidevu.Hakika ardhi inameza sote tutarejea kwake
Mungu sina la kusema Bali mapenzi yako yatimizwe,walaze pema wana tuncut Alimasi,sauti hizo na midundo hiyo havitarudi tena,kizazi chetu hakikuwa cha mitandao,hasante Mungu tujalie mwisho mwema tukakutane tena na wapendwa wetu,Bila kumsahau Baba Mama"Hamisi Dale"
Swadakta Hamisi,.maua yao huko walipo🎉🎉🎉
Sina la kusema bali mungu ndie kila
Duuh arrangement ya vyombo na sauti za waimbaji ni hatarii sana.
Ujumbe nao ni mzuri sana.
Brother Eddie, bravo. What I can say .... those were the days! Old is Gold!
Mungu hakika uheshimiwe sana hiki kizazi cha dhahabu sizani km kitarudi tena
Sio rahisi kbsa
well done Eddie keep it up brother!!!
Wimbo huu wa hawa mabush man sijausikiliza siku nyingi sana safi sana
Asante ndugu yangu
Hii ilikuwa ni zaidi ya hatari kasaloo kyanga vs kyanga songa
Acha tu bhana mazuri yamepita
Ngoma kali sana. Pili
Tancut almas mabush stars