ALIPOCHINJIWA MTOTO ARUSHA ZAKUTWA RISITI ZA VIFO ZAIDI YA 50 ZIKIWA NA MAJINA YA WALIOKUFA ...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • ALIPOCHINJWA MTOTO ARUSHA ZAKUTWA RISITI ZA KIFO ZAIDI YA 50 NDANI,ZAKIWA NA MAJINA YA WALIOKUFA ..
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 171

  • @DionisiaBaynit
    @DionisiaBaynit 8 годин тому +22

    Hakika nimeogopa Sana jamani, Mwenyezi Mungu wafichue kabisa,we Mungu ee Mungu hawa washirikina wafe wenyewe

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 7 годин тому +13

    Yaani hawa washirikina wanatoa mpaka risit jamani?Mungu wa mbinguni usilale huu na uwe mwaka wa kuumbuliwa kwao.😢😢

  • @evalinemalole6709
    @evalinemalole6709 6 годин тому +6

    Ni wapi tunaenda? Dunia imekua chungu sana, msiba huwezi uelewa usipokukuta.. Mungu awape faraja wafiwa, na atusaidie sote, hatuwezi bila yeye😢

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 7 годин тому +12

    Hakunagaa lililo na Mwanzo ambalo hakuna mwisho.hy 40 Yao .
    Asante Mungu yamefichuliwa wazi leo

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 7 годин тому +11

    Duuuh mpaka nimeogopa ndugu zetu wanapotea tu hawaonekani kumbe wanakufa vibaya kwa kuchinjwa km mbuzi ewe Mwenyezi Mungu shuhulika nao wale wote wauwaji waumbue hadharani imefika mwisho wao sasa😢😢

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 7 годин тому +7

    Jamani hadi wanachama kabisa na risiti wanatoleana kanakwamba wanatoa mpk kodi😢😢😢😢,heeeh Mungu Baba tulinde😢😢

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 25 хвилин тому

    Inalilah wainnailaih rajiun Allah tunusulu waja wako uku wapi tena tunapofikiya tunauliwa kwa tamaa zawatu

  • @PhidesTairo
    @PhidesTairo 7 годин тому +4

    Ee mwenyez MUNGU fumbua wote wanaofany vitendo Kam hv inauma sanaaa

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi 6 годин тому +4

    Risiti kaandika nani malipo kapokea nani na ina mihuri wapatie polisi wa upelelezi wafanye upelelezi nyie hamna utaalamu na jambo hili hayo majina lazima kuna chama sio rahisi kuwajua wahusika kirahisi kiasi hicho.Polisi kazi yenu nini??

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 6 годин тому +2

      Polisi wenyewe wanatakiws kufanyiwa uchunguzi, woi

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 7 годин тому +2

    Wananchi mmefanya la maana kubomoa nyumba na kubeba kila kitu. Hao inaonyesha washirikina wamepewa idadi ya kuua watoto kadhaa 😢😢. Subhallah

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 7 годин тому

      Hatari sana, nyakati za karibu na chaguzi matukio haya ya kikatili na kishirikina huzidi tunaomba ile intelijensia ya kuzuia maandamano iweke nguvu kuzuia na kukamata hawa wahalifu makatili wa nafsi😢

  • @josekinyamagoa-sv4jh
    @josekinyamagoa-sv4jh 4 години тому +1

    Afu niishauli selikali. Iunde tume ya upelelez wa wachawi. Kama wakikuua wanatoa risti. Plisi wetu wengine wawe wachawi ili waweze kukabiliana na wachawi. Kwenye ulimwengu wa giza.😂😂😂.

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 6 годин тому

    Serikali huwa inatupiwa lawama kubwa sna,lakini nyuma yake kuna maovu makubwa sna,watu wanapotea kimya kimya,bila kujua haya yote ni Mungu tu😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maryamsaleh4787
    @maryamsaleh4787 8 годин тому +3

    😢😢😢😢😢😢naumia sana jaman 😢😢😢😢kwanin lakini mungu tuone bas tunazama 😢😢

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 годин тому +3

    Subhanna Allah 😭😭😭😭 Arusha jamaniii

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 3 години тому

    Tumechoka jmn,kilakukicha nimatukio tu jmn.hkuna taarifa zsmatumaini jmn nivifo tu.Uzazi unauma jmn.Mungu tusaidie,police hwa ndio watu eakupiga rasasi kumwagiwa hyo matindikali maana hwa niwatu katili sana

  • @mam_salum
    @mam_salum 7 годин тому +1

    Allah atunusuru sisi watu wa arusha

  • @Veronicahquithern
    @Veronicahquithern 5 годин тому +1

    Wale waliuwa mtoto pia wao wauliwe hivyo hivyo

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 години тому

    Jesus tanzania 🇹🇿 tumekuwaje jamn nchi inateketea watu wanakufa kama kuku 💔😭

  • @VeronicaMacha-pl3xt
    @VeronicaMacha-pl3xt 8 годин тому +6

    Mwisho wao umefika Mungu amemtumia huyo mtoto aune huo mkono apige kelele ili kieleweke.

  • @Rukia-n1d
    @Rukia-n1d 2 години тому

    WafAnya makosa sana kushika hizo receipt na kusoma majina .wa me alert hao watu wabaya wAtoroke

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 годин тому

    Allahu akibarr sasa anawakatakata iliiweje anawapeleka wapi hao alowauwa. Jamani kunawatu wanarohombaya. Anaishi miaka yotehiyo anauwawatu tuu

  • @GracegofreyntanduNtandu
    @GracegofreyntanduNtandu 7 годин тому +2

    Watu wanauliwa kuanzia 1991 eeeh Mungu😢😢

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso 3 хвилини тому

    Kwa nini vyombo vyetu vya ulinzi , usalama na intelijesia ni dhaifu hata vimeshindwa kugundua uhalifu wa muda mrefu kama huu??
    Pili
    Mbona mnashika hizo risiti kwa vidole,na kupoteza ushahidi wa alama ?

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 19 хвилин тому

    Hizo receipts ni docs muhimu sana kuwa loose hivyo zinaweza kupotea

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 2 години тому

    Nyie mbona mnatuchanganya,mpeni mwenye anaweza kutusomea tuelewe.sio kutafuna maneno tu apo.anaetakiwa kulipa ada kwa ajili ya vifo ni nani ?? Na hao mnaowasoma majinga na idadi ya vifo ni akina nani??tuwajue na wote waseme wametumwa na nani,mwisho wanyongwe wote.

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 2 години тому

    Sio Wenye hasira Kali,,hata wewe na Mimi tuna hasira juu ya hao wauaji ,na wao wakamatwe wauwawe haraka.

  • @zainajirani5296
    @zainajirani5296 3 години тому

    Ndio maana Arusha Kuna matukio mengi ya Mauwaji.. Sio kwa lisiti hizo za kifo

  • @ClaraCecil-rq4xf
    @ClaraCecil-rq4xf 6 годин тому

    E mwenyezi Mungu utusaidie

  • @RahelUrio
    @RahelUrio 4 години тому

    Jamani binadamu tumekua viumbe hatari kuliko ata wanyama. Ee mungu tuhurumiee.

  • @josekinyamagoa-sv4jh
    @josekinyamagoa-sv4jh 4 години тому

    Yaani sheria yetu ya tanzania inazngua. yaani huyo bibi awekwe sero na mateso kidogo kidogo mpaka anakfa nayeye afe kwa uchungu.

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 6 годин тому +1

    Za mwizi 40 leo wameaibika pakibwa😭😭😭

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 6 годин тому

    Subhanallah subhanallah subhanallah

  • @BahatiYenzela-kj6jq
    @BahatiYenzela-kj6jq 7 годин тому +1

    Hatari sana

  • @MaishaBabu-m2g
    @MaishaBabu-m2g 6 годин тому +2

    Hizo risti za mchango wa vifo sio michango ya vikundi jamani

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 4 години тому

    Nduguzangu niamnin mimi aya mbwa mawili yalomuua uyu mtoto watakuwa ni waumin wazuri saan misikitini au makanisani

  • @abdalaomari8430
    @abdalaomari8430 Годину тому

    Sasa hapo mtakuwa umeingilia upelelezi vitu hivyo ilibidi wapewe police ingelahisisha kazi kwa sasa hapo walengwa wanaweza kimbia

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 6 годин тому +1

    Subhahanallah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @devotajoel3730
    @devotajoel3730 5 годин тому

    Mungu kweli Kwann waruhusu wachawi wishi jmn

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 годин тому +1

    Eee Mungu nakuomba hiyo ni mishetwani,ichomwe moto hadharani.

    • @MaishaBabu-m2g
      @MaishaBabu-m2g 6 годин тому

      Hivo no vikundi jamani hata vijijini tinavyo acheni ujinga kunamichango ya msiba

    • @MaishaBabu-m2g
      @MaishaBabu-m2g 6 годин тому

      Risti za vikundi izo acheni upambe

  • @Mseti-ky3vk
    @Mseti-ky3vk 6 годин тому +1

    Kesho kutwa utasilia mtuhumiwa kaachiwa kwa dhamana

  • @joshuamsaki7734
    @joshuamsaki7734 6 годин тому

    Ok poleni kwa matukio hayo,sasa mnapo wataja hao wausika kwa majina mtapoteza ushahidi sasa wazee wajazi,mlipaswa kuachia police wachukuwe hatua za kiupelezi wenyewe

  • @Husnasalim-f2g
    @Husnasalim-f2g 7 годин тому

    Kwaiy akina mchang mkoo wao wamechukuana wenye kwa wenyew Subhban Allah

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 7 годин тому +2

    Sasa ninyi mnazishika shika risiti zitafanyiwaje uchunguzi?

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 6 годин тому

      Kwani kushikwa kuna ubaya gaji? Kwqn na risiti uliwah kusikia zinafanyiwa postmortem?😂😂😂

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 7 годин тому +2

    Sasanimeelewa kwà nini MUNGU alikataa Wanawake wasiongoze!!

    • @alphoncembasa592
      @alphoncembasa592 7 годин тому

      Sasa hapo Raisi mwanamke anahusika vipi .
      Acheni ujinga wa kubagua jinsia

    • @sarahkwamboka8190
      @sarahkwamboka8190 7 годин тому +1

      Kwani hili linahusianaje na kiongozi wa kike? Na mwaka 1991 ni mwanamkw alikuwa anaongoza?

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 7 годин тому

      Acha ujinga mwaka tisini na Moja Raisi alikuwa mwanamke?

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m 13 хвилин тому

    😂jiulize polisi wapo wapi muda wote na mshahara wanalipwa wa nini sasa..

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 8 годин тому

    Balaa la Arusha,tena, Allah nsataraa, MARIAMU, lailahailah, rabbi huyo mchawi,lohoo,n kua TU

  • @mussamashauri
    @mussamashauri 7 годин тому

    Yesu Rudi mapema mazengo company Ltd sengerema mwanza sda

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 6 годин тому

    Yaani Huyo mwenye matukio hayo niMwanadamu kama sisi kweli

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 6 годин тому

    Subhanallah
    Inna lillah wainna ilaihi rajiun

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 години тому

    Aisee hawa binadamu hatari sana kuliko hata wanyam

  • @annamussa185
    @annamussa185 6 годин тому +2

    Harafu muuaji na hao wanaodaiwa Vifo wote waislamu jamani😢

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 7 годин тому +2

    Hayo majina hakuna mkristo duuuu

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 6 годин тому +2

      Sikiliza majina ya mwanzo ,wakristi wengi hutumia majina ya kiarabu mfano ayubu,Musa,Yusufu,,abusalimu, alafu usiwe mbaguzi kosa ni la mtu sio dini yake

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 3 години тому

      Wadhambi hawana dini jamani

  • @LionofAfricantourismLOAT
    @LionofAfricantourismLOAT 5 годин тому

    Hizo risit mbona kama za michango ya misiba

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 6 годин тому

    Polis polis hebu washugulikien hawa wauwaji mbona wanataka kueapanda kivhwani mbona naona mnaweza naomba mkiwakamata msiwapeleke hata mahakani wale shaba live a watu waashuhudia

  • @NajmaramadhaniAlly-is6mf
    @NajmaramadhaniAlly-is6mf 5 годин тому

    Yani uyo bibi atamjibu allah kwakweli yani watu wanapotea kumbe yeye daaah

  • @abednego3876
    @abednego3876 7 годин тому +1

    Aseee hata wale watekaji hawaoni ndani.

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 4 години тому

    Mmmh Iko kikundi Cha wachawi hàwa wanatoa kafara

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 5 годин тому

    Unaambiwa damu y mto ayiweze enda bure malipo n hapa hapa

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 8 годин тому +2

    Mkiwataja mtavuruga ushahidi.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 7 годин тому

    Jaman naomben NIDA watusaidie hayo majina watuambie hao marehem wanapelekwa wapi wakishauwa 😢

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 7 годин тому +1

    Nani aliokuwa anazitoa hizo risiti

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 7 годин тому

    wanavyouaa wanapeleka wapi mungu baba 😢😢😢😢

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 2 години тому

    Hawa waganga wafutwe tu iwe kosa la jinai kukutwa mgaga

  • @sabteectanzaniaLimited
    @sabteectanzaniaLimited 7 годин тому +1

    Hii kama sinema.

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 8 годин тому +1

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 7 годин тому +1

    Tunaomba akamatwe yeye ndio mkuu wakitengo naona

  • @stephenrwaich1078
    @stephenrwaich1078 7 хвилин тому

    watanzania huamini uchawi mno

  • @barakaamos3538
    @barakaamos3538 7 годин тому +1

    Hivi Arusha nayo ni Tanzania kweli

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j 7 годин тому

    Tukisema ushirikina haupo serikali inakataa na tukiwataja washirikina mnawakatalia mnasema uchochezi

  • @MwanahamisiRajabu-u9c
    @MwanahamisiRajabu-u9c 6 годин тому

    Kwanini serekali asiwe inawakamaa Hawa wanganga sababu Ni waganga

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 5 годин тому

    Nahuyo aliye muuwa huyo mtoto ni mama samia lema yuko wapi atujibu sasa

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 годин тому +3

    Ao ni wakunyongwa tu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 годин тому

    Kumbe mwanamke huyo muuaji duuu nayeye auliwe akatwe kipandekipande nasi kwasiku.moja kilasiku kiungo kimoja

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 4 години тому

    Alieuwa nae auwawe tuu

  • @Mseti-ky3vk
    @Mseti-ky3vk 6 годин тому

    Daaaah

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 7 годин тому

    Jamani ! Nimeshindwa cha ku koment,

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 6 годин тому

    Kwa polic hii amna kitu hapoo

  • @KILINDONI_ONLINE
    @KILINDONI_ONLINE 5 годин тому

    Kubabaake sio poa

  • @NasraN-hr5uh
    @NasraN-hr5uh 5 годин тому

    Nimeogopa

  • @alphoncembasa592
    @alphoncembasa592 7 годин тому

    Daaa

  • @HusnaSimbila-ig7ks
    @HusnaSimbila-ig7ks 6 годин тому

    Ila me naisi huyu anaesema kaokota lisiti anaweza kua anajua kitu

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 2 години тому

    Arusha uuhhhhhhhhh😭😭😭🤔

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 7 годин тому +1

    Kila jambo linamwisho wake

  • @AishaOman-k6f
    @AishaOman-k6f 7 годин тому

    Heeee.dunia hii sasa atapata nn wtu wote hao mh mtihani

  • @emmanuelmasatu
    @emmanuelmasatu 7 годин тому

    Watuhumiwa wamekamatwa au mbona hamsemi kama watuhumiwa wamekamatwa

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 7 годин тому

    Innalillah Wainna ilayah Rajiun 😭😭

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 6 годин тому

    Huko mpaka muisheee

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 7 годин тому

    MUNGU tusaidie

  • @JohMwita
    @JohMwita 6 годин тому

    hizo lisiti zilikuwa zinatolewa nani dah😂😂😂

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 7 годин тому

    Hivi kwanini wananchi hawakumuua huyo mama??

  • @FatumaMatanga
    @FatumaMatanga 8 годин тому

    Uwiiiiiiiii.

  • @Nguvuyaasili
    @Nguvuyaasili 7 годин тому

    😭😭😭😭😭Mungu ingilia kati hili usinyamaze tutakua hatuaminiani tena majirani ,kweli nimeogopa sana siamini hiki ninachokisikia😭😭😭😭😭

  • @Mzena4343
    @Mzena4343 7 годин тому

    Alfu hiyo nyumba sasa ilivyo mbovu

  • @furahamwatwinza9560
    @furahamwatwinza9560 7 годин тому

    Wapareeeeee uwiiiiiiiiii

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 7 годин тому

    Mara paap unasikia Jina lako huko kwamba una deni😂😂

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 8 годин тому

    Ukstaajabu ya Musa......

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 8 годин тому

    Duuuuh, ada ya vifo?

  • @rachelmbwambo1627
    @rachelmbwambo1627 6 годин тому

    sasa mbona sh 300 ni ndogo sana1

    • @rachelmbwambo1627
      @rachelmbwambo1627 6 годин тому

      yaani 300 unaua watu,mmmmh, Mungu atusaidie

    • @eestermos9933
      @eestermos9933 6 годин тому

      N zaman kwahyo 300 ilikua kubwa

    • @rachelmbwambo1627
      @rachelmbwambo1627 4 години тому

      @@eestermos9933 Dah!ila huo ni ushirikina kabisa,Mtu anadaiwa mpaka maiti 12,wook,Mungu atusaidie,Uchawi ni kitu kibaya sana

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 7 годин тому

    Mmmh vinatisha mtu mnaishi nae mnasalimiana mtaani kumbe ni muuaji dunia imeisha

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 годин тому

      Sijuwi tukaishi wapi, uwiiiiiiiiiiii 😢😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 годин тому

      Na wanajuwa kutunza kumbukumbu aise 1991,mpaka Leo risiti zipo aise😢😢😢😢

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 8 годин тому

    Uongozi wa samia watakufa wengi