SAMIA UNGEMUACHIA USEMAJI WA CHAMA KUZUGULUKA NCHI YOTE KAMA ZILE ZIARA ZAKE UNGEPATA KURA BILA UPINZANI ASILIMIA TISINI ZA KULA KUPITIA HUYU MAKONDA KWA KAZI ALIYO FANYA ALIVYOKUA MWENYEZI MSEMAJI WA CHAMA AUTAPOTEZA KITI CHA URAISI MAKONDA AMEKUFAGILIA NJIA SAMIA😂😂😂MAKUFULI JUNIOR ❤❤❤
We ndo Rais wa badae hii nchi imejaa huonzo kila idara ni uohozo tu haki hakuna mahakama azitend haki yan kila idara ni kelo 2025 tunaomba mabadiriko ee mwenyez mungu tunaomba Rais mwenye huruma na mwenye uchungu na wananch wake
Piga spana hao hadi maji Waite mmaa. Mpaka mseme mwaka huu. Haya Ndiy asiyoyataka Mery Chatanda anataka wananchi wakihangaika wallah Mary chatanda anahusd ya wazi wazi Bila kupepesa
Endelea kuwapiga spana! Wanatuchelewesha sana Watumishi wa Umma
Mkuu wa wakuu wa mikoa Tanzania
Mkuu Wa Mikoa Yote Tanzania❤
SAMIA UNGEMUACHIA USEMAJI WA CHAMA KUZUGULUKA NCHI YOTE KAMA ZILE ZIARA ZAKE UNGEPATA KURA BILA UPINZANI ASILIMIA TISINI ZA KULA KUPITIA HUYU MAKONDA KWA KAZI ALIYO FANYA ALIVYOKUA MWENYEZI MSEMAJI WA CHAMA AUTAPOTEZA KITI CHA URAISI MAKONDA AMEKUFAGILIA NJIA SAMIA😂😂😂MAKUFULI JUNIOR ❤❤❤
😂😂😂
Sijawahi shuhudia kiongozi mkuu wa mkoa akimudu kuonyesha madhaifu ya utendaji wa watumishi wengine kada mbalimbali kiasi hichi 💪
Wee Makonda, mwenyezi MUNGU awe pamoja nawe. Aisee!.
Mungu wang kama magufuli TU jamani agombeeee tuuuu urais
Brother makonda kiukweli natamani siku tupambanie wanyonge pamoja
😂😂😂sasa hivi watumishi wa umma watakua wanapishana kwa waganga ili wasaulike kwa kutumbuliwa 😂😂
Fanyeni hivo mikoa yote watu wengi Wana maisha magumu
Unawapapanisha na wengine igeni tupate imani na nchi yetuuu
We ndo Rais wa badae hii nchi imejaa huonzo kila idara ni uohozo tu haki hakuna mahakama azitend haki yan kila idara ni kelo 2025 tunaomba mabadiriko ee mwenyez mungu tunaomba Rais mwenye huruma na mwenye uchungu na wananch wake
Yaani kwa Makonda kama mtendaji uko vbaya jifukize mwenyewe
Piga spana hao hadi maji Waite mmaa. Mpaka mseme mwaka huu. Haya Ndiy asiyoyataka Mery Chatanda anataka wananchi wakihangaika wallah Mary chatanda anahusd ya wazi wazi Bila kupepesa
Haya ni madibwasha hakuna engineer hapo
Kaka raidhani kwen uko arusha sasaivi by alhaji mchawi rondo
mkoa wa mkoa tunakuomba ufike kijiji cha oidonyo sambu Arusha DC kuna changamoto sana
Uskonde nitafika andaa kero