FATWA|Jee inafaa mtu kumuoa mwanamke aliezini nae? Na ipi hukmu ya ndoa baada ya kufumaniwa?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 26

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez Рік тому +3

    Asante sana wewe ustadhi kwakutufunua Marikina asnte Tena asante mungu akuzidishie umri mrefu ishaallah ❤❤❤you.

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 2 роки тому +2

    شكرا بارك الله فيك يا شيخنا
    اللهم استرنا يا رب

  • @a.856
    @a.856 2 роки тому +3

    Jazakallah khayran

  • @AbuBacar-kr5en
    @AbuBacar-kr5en 5 місяців тому +1

    Allah niepushe na zinah

  • @IbraRakas-u4r
    @IbraRakas-u4r 2 місяці тому

    Allah atusuru na kizaz chetu

  • @HamadiSwedi
    @HamadiSwedi Рік тому +1

    Je yafaa kufanya mapenzi kwa kunyonya utupu wa mwanamke kwa mdomo

    • @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
      @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 11 місяців тому +1

      Hii haifai kwa sababu ya kuna madhara makubwa sana mtu anaweza kupata kama madonda mdomoni au hata kensa y koo

    • @ahz6907
      @ahz6907 9 місяців тому +1

      Tunafundishwa na mtume wetu muhammad kuwa chochote au jambo lolote lenye madhara makubwa sana ukilinganisha na faida kiduchu zipatikanazo basi halifai.
      Allahu yallam

  • @sleyumngolo
    @sleyumngolo Рік тому +1

    Asalam alaykum warahmatullahi

  • @maysaraltiwany7945
    @maysaraltiwany7945 8 місяців тому

    Nini hukmu ya kuolewa na mtu uliexini nae baada ya toba pande zote mbili

    • @feisaldube7296
      @feisaldube7296 3 місяці тому

      Hio aliwahi iongelea sheikh mselem kuwa kisheria wapigwe Fimbo 100 ikisha watengwe miji yaani wasionane n haifai kuowana

  • @nasramkwega
    @nasramkwega Рік тому

    kwaiyo ukiwa ndio mushaowana baada ya zinaa je watakapo tengana na kuvunja ndoa je kalne iz izo Azabu za kisheria nani anae zitekeleza ya kuchapwa bakora mana iyo ndio ukumu ya uzazi azinifu kuachana wataachana je izo bakola 100.nani anawachapa awa au kualibu ndoa ndio kinacho takiwa kuchapwa viboko100 sio lazima

    • @Shabri12Ramadhani
      @Shabri12Ramadhani Рік тому +1

      Mimi nilitolewa posa na mahar kidogo ila sikufunga nae ndoa tukaanza kuishi kutokana na kazi tukakubariana akimaliza masomo yake tutafunga ndoa nimevumilia miaka 4 nikaja nikamfumania anazini na mwanamke mwingine na nilipotoka kwenda kwa wazazi shehe akawafungisha ndoa pasipo mimi kujuwa nimerudi naambiwa zamu je niharali kwangu au nifanyeje

    • @ahz6907
      @ahz6907 9 місяців тому

      ​@@Shabri12Ramadhaniulitolewa mahari nusu tu au ulifungishwa nae ndoa pia?
      Maana kama ulitolewa mahari nusu na ndoa haikufungwa basi hakuna ndoa hapo.rudisha tu mahar ya huyo mwanaume.
      Ikumbukwe ndoa ina nguzo tano:
      1.mahari
      2.kuwa waislamu wenye akili timamu (mume na mke)
      3.mashahidi wa mume na mke
      4.tamko la ndoa la mume na mke
      5.khutba ya ndoa
      Kikikosekana chochote katika haya inakuwa ndoa haijakamilika

  • @yusraahmed1783
    @yusraahmed1783 Рік тому +2

    Assalam alaykum shekh,naomba kujua walio owana kwa njia ya uzinifu,inakuwa hamna ndoa hapo,je wanafaa kuachana?

    • @nasramkwega
      @nasramkwega Рік тому

      Waachane ndio au ujaelewa.apo ss mi nauliza VP vile viboko100 wanaipataje ukumu ih.mana sheria wachapwe viboko 100 kisha ndoa ivunje

  • @Hamzamakame-rc7gl
    @Hamzamakame-rc7gl Рік тому

    Assalam alaikum kaka mm nataka unisaidiye mm nnae mchumba wangu tuna miaka 4 sijawahi kuzuni nae ila mambo wengne kama romac na kuchezeyana kimwali hii unaizungumziya vip

    • @allyabdallah7080
      @allyabdallah7080 Рік тому +1

      وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته Ukiuliza swali usijitaje ww

    • @allyabdallah7080
      @allyabdallah7080 Рік тому +1

      Sema kwa mfano mtu kaishi na mwanamke miaka 4 ...

    • @sakinahsuleiman2493
      @sakinahsuleiman2493 Рік тому

      😂😂😂

    • @africa7479
      @africa7479 Рік тому

      kumbuka Allah hakisema msizini amesema msikurubie zinaa..sasa nyie mnafanya nini hapo

    • @ahz6907
      @ahz6907 9 місяців тому

      kwanini msioane tu?

  • @KhadijaKaaya-zy8zb
    @KhadijaKaaya-zy8zb Рік тому +1

    Mimi nilikuwa siyajui haya mambo ndio nimeslimu juzi,lakini nina mchumba na tunahitaji kuoana je haisamehewi kwa sababu nilizini pasi na kujua haya?ndio kwanza najifunza Alif sijui lolote.

    • @faidikanamawaidha
      @faidikanamawaidha  Рік тому +2

      Ikiwa uzinifu ilifanyika wakati wote mwanamke na mwanamme si waislamu, kisha baada ya kusilimu wakataka kuoana hakuna tatizo kuoana kwani uzinifu wao hauzingatiwi katika hukumu hii, kwani hukumu hii inawahusu Waislamu, kwa hiyo ikiwa uzinifu umepatiakana baada ya kusilimu hapo hakuta kua na ndoa milele baina ya waliozini. wallahu aalamu.

    • @IbrahJuma-r5s
      @IbrahJuma-r5s Місяць тому

      Mbna kama unabase kwenye madhebu na mtume hajaleta madhebu ungetoa kulinganisha na msimamo wa kiislam ndo ingekua Bora Kuna sura yote Allah anasema watu wawe ibadhi n k ?